Mkristo Hatakiwi Kutoa Fungu La Kumi - Sehemu ya Kwanza

  Рет қаралды 19,105

Spirit Gathering Ministry

Spirit Gathering Ministry

2 жыл бұрын

Mkristo lazima Aelewe Kuwa Kutoa Kwako Mbele Za Mungu Hauzalishi IMANI bali IMANI ndiyo inayomzalisha Mtoaji.
Utoaji Wetu Haupimwi Kwa Asilimia Bali kwa IMANI
Fungu La Imani Ndio Maelekezo Ya Mungu...
Na Lazima ujue Sadaka Hii mnayoita Fungu la Kumi Ni Ya Mungu Wala Sio Ya Mtumishi...

Пікірлер: 123
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Жыл бұрын
UNAWEZA TUMA SADAKA YAKO KUPITIA NAMBARI HIZI.: MPESA-0755640454/ TIGO PESA-0719275409/ AIRTELMONEY- 0789186301 Majina ni GODLOVE CHARLES.... Walioko Nchi Za NJE MPESA +255755640454 GODLOVE CHARLES
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Mafundisho tu hayo yanafanya nisione kama Kuna hata umuhimu kutuma sadaka kwako
@emmysam7938
@emmysam7938 Жыл бұрын
Tusomee kitabu Cha Malaki..
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 ай бұрын
Safaka unataka ila Fungu la 10 hapana mmmh
@florenceflorence1170
@florenceflorence1170 Ай бұрын
Malaki 3:10:11.iende kanisani 2corithians. 9::12 iende kwa watakatifu 2corithians 9:8:9 iende ended kwa maskini 1wafalme 17:10:14 kwa watumishi 1corithians 6:7:14 iende kwa wajane
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 9 ай бұрын
Zaka ina nguvu kubwa kuliko jinsi unavyo fikiria ndugu yangu MALAKI 3 10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi, mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Amen ❤❤❤
@chiriccmabobo8746
@chiriccmabobo8746 2 ай бұрын
😂😂😂😂zaka inanguvu kuliko Yesu
@rehemafyumagwa8005
@rehemafyumagwa8005 2 ай бұрын
Mungu tupe nguvu maana kuna mengi siku za mwisho
@charlesmayellah7818
@charlesmayellah7818 Ай бұрын
Mungu saidia kiumbe hicho hatari
@brownmtofole
@brownmtofole Жыл бұрын
Biblia ni kama msitu Mnene,we ngi wasio na ufahamu wakiroho watawapotosha Wengi na hatimaye kuingia upotevuni.Utoaji wa fungu la kumi/zaka ni sehemu ya ibada ya shukrani kwa Mungu.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Una ufahamu mpana wa neno la Mungu hongera
@Mushidebb
@Mushidebb Жыл бұрын
Soma hapo hapo ilipo sema toa fungu la kumi utakuta kuna sheria nyingine nyingi sana tumeziacha kwann tuziache hizo nyingine tufate fungu la kumi peke yake ??? Jiulize hili kama mkristo wa kristto tunapotea maana tunafata mihemko hatusomi biblia mm fungu la kumi nilishaachaga kutoa zamani sana natoka kwa mwaka mara moja tuu tena kwa yatima na masikini
@dulividuli5237
@dulividuli5237 10 ай бұрын
Zaka na Fungu la kumi ni tofaut zaka inatolew kila mwaka mara moja na wanaopaswa kupewa na Maskini na Mafukara sio wachungaji na mapasta
@joelking3692
@joelking3692 9 ай бұрын
Yaan Tutaona mengi mimi sitaacha kutoa fungu la 10, Mungu atawahukumu wanaofundisha watu kuacha fungu la 10
@user-dl9lb4qp7n
@user-dl9lb4qp7n 10 ай бұрын
Soma vizuri Malaki 3 : 8. Tunatoa Kwa Yesu kuhani Mkuu si Kwa Mwanadamu na Mungu ndiye anasema tunamwibia
@user-tx6nz4up5h
@user-tx6nz4up5h 26 күн бұрын
Kulingana na Waebrani 7 ni kweli kabisa zaka ni kwa sheria sio neema
@conyongo1922
@conyongo1922 Ай бұрын
Bwana atusaidie
@livinganselim8435
@livinganselim8435 7 ай бұрын
These are the end days kweli, mafundisho ya uongo yataenea na wengi watapotoshwa. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@mahershalalhashbazi2189
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Kuhani ni muhudumu wa kazi za Mungu (Isaya 61:6/Yoel 2:17). Uhudumu wa Kuhani ni kufanya upatanisho wa nafsi/dhabihu za roho kupitia DAMU YA YESU(1Petro 2:5). Aposlte,Prophet,Evan,pastor and Teacher hawa wote ni Wahudumu wa kazi za Mungu/Tofautisha (Wito/call) na (Ministry/Huduma). Kuwa makini na mafundisho yako
@BenetsonKimbisa-zc9ni
@BenetsonKimbisa-zc9ni Жыл бұрын
Mtumishi usisome mstari mmoja hautaelewa hebu uwe unasoma mstari mmoja. soma Ebrania 9:26_-28 .mnaposha
@user-cq1rk4eo4o
@user-cq1rk4eo4o 5 ай бұрын
MKONO WA BWANA YESU UKUTANE NA WEWE
@sarabura8933
@sarabura8933 11 ай бұрын
Hizo roho za watoto wa MUNGU unazo zipotosha utadaiwa damu zao siku ya mwisho
@davisonlema538
@davisonlema538 Жыл бұрын
Ole wenu mafarisayo mnaowapotosha watu wangu.....alafu broo mungu anatoa kanuni hatoi ushauri acha kushauri watu wape kanuni bible is bible mungu hakua mjinga kuacha agano la kale na jipya soma malaki 3 7-12 mungu anasema mtaniibia mm dhaka na dhabihu
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 3 ай бұрын
Hatuachi ngoooo acha wewe ili upigwe vizuri tena ushindwe na mafundisho yako potofu.Hizi ni siku za mwisho mshindwe na uongo wenu wa kuzimu
@dantez8775
@dantez8775 3 ай бұрын
Tamu sana yes, nakubaliana 100%
@user-xq3xr9ui1w
@user-xq3xr9ui1w 7 ай бұрын
Kuna makosa mengi sana kwenye Tafasiri za maandiko, mfano maana ya Kuhani, tafasiri ya mfalme na kuhani kwamba ni watu wawili tofauti...inatakiwa kuelewa pia hayo maandiko kwenye kitabu cha Waebrania Mungu alikuwa anazungumzia nini...all in all mpokeaji wa fungu la 10 sio kuhani peke yake. Hili fundisho Apostle jifunze kwa watumishi wengine. Ni kweli wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu sio kama watu wasemavyo kuwa wewe ni mtumishi wa uongo ila kwa fundisho hili kuja mapungufu mengi.
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj 7 ай бұрын
Leo watu wanavunja misingi ili kujenga yao 😭
@givenmathew594
@givenmathew594 Жыл бұрын
I love the man aisee 😊 daaah
@hirdahaule-qe8ot
@hirdahaule-qe8ot 4 ай бұрын
Wew acha uongo soma malak 3 :10 atuachi kutoka Dhaka
@sarahluvai6580
@sarahluvai6580 Жыл бұрын
Barikiwa kwa funzo hili
@florentkatembo1456
@florentkatembo1456 Жыл бұрын
Mkristo ni mmoja na kristo na Baba hana mwengine ila tu ba takatifu benzake
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 8 ай бұрын
Wewe ndiyo mptoshaji. Usiyetoa ni wewe sisi tutatoa
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
watu watajichanganyaKWA mafundisho meengi yanayopishana.sijui washike lipi.hasa wachanga kiroho.🥺🤔🙌
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Tatizo siku hizi wahubiri wapotoshaji wamejaa kila kona
@odenmwakyoma
@odenmwakyoma Жыл бұрын
Mtumishi wa mchongo
@jessicamorrison289
@jessicamorrison289 Жыл бұрын
Tena agano la kale unafundishwa jinsi ya kula fungu lako la kumi.
@emanuelaurelian6118
@emanuelaurelian6118 Жыл бұрын
Mtumishi tunabarikiwa Sana ila kwenye mafundisho yako tunaomba utumie lugha moja ili tuelewe vizuri zaidi Ubarikiwe sana
@bensonmwelela4228
@bensonmwelela4228 Жыл бұрын
Ameen
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Жыл бұрын
Be Blessed
@richardgeorge5377
@richardgeorge5377 Жыл бұрын
Naomba watumishi mfundisheni huyo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 ай бұрын
Kabisaa ndugu
@mbozivillage4865
@mbozivillage4865 10 ай бұрын
Huyu hataki wizi
@peterlaurent4046
@peterlaurent4046 Жыл бұрын
Sijaelewa bado
@BarackaSeleman
@BarackaSeleman 7 ай бұрын
Mtumishi umetumia utafiti upi wewe kijana mdogo uje na mafuno hayo kwamba tusitoe zaka mtumishi tafuta shamba ulime huduma imekushinda
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 5 ай бұрын
shidayako kaka aunaera utatoa nini wanaotowa wanavyo. wamepewa namngu
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 Жыл бұрын
Mwasisi ni Neno sio mtu
@RebecaMaloda-xx2qm
@RebecaMaloda-xx2qm 7 ай бұрын
Fia mbali hatuachi kutoa
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Жыл бұрын
Siyo mtumishi wa shetani bali amezaliwa ktk familiya ya kimaskini
@charlesegbert7566
@charlesegbert7566 2 жыл бұрын
Be blessed brother
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Жыл бұрын
Ameen
@brownmtofole
@brownmtofole Жыл бұрын
Amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hiyo kwaya tu ni ya kishetani
@ruthkamau5792
@ruthkamau5792 11 ай бұрын
Siwezi acha kutoa fungu, Acha zako wewe.
@alexdominic9201
@alexdominic9201 8 ай бұрын
umemuelewa lakini?, fungu la 10 inatakiwa utoe sehemu sahihi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Жыл бұрын
Mathayo 9 13 Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
@mamakendrick7538
@mamakendrick7538 Ай бұрын
Mbona title ya hii mesej imekuwa twisted? What this man of God said is different from the tittle. The man is right! The tittle is wrong
@user-xn1kk3ur1n
@user-xn1kk3ur1n Жыл бұрын
Msidanganye watu
@sulupeacecharles1397
@sulupeacecharles1397 Жыл бұрын
Mh!
@ruthasajile730
@ruthasajile730 Жыл бұрын
Part 2 please
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Жыл бұрын
Shalom.. Part two inakuja
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
Wewe ni Mtumishi wa Shetani, na upo kazini kuwatumbukiza watu Jehanamu ya moto. Nawashauri wote mliosikiliza mafundisho ya huyu mtu, msiamini ni mwongo huyu. Yesu ameongea kuhusu zaka, au fungu la kumi. Someni Mathayo 23:-23, na Luka 11:-42. Ukishasikia mtu anawafundisha watu wasitoe zaka, ujue yupo kazini huyo, na kusudi ni ili wa Kristo wasibarikiwe, kwa sababu hiyo ndiyo kanuni ya kubarikiwa na Mungu. Asante.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
Ukitaka toa, ila yesu alisema SITAKI SADAKA ZENU. au hilo andiko huijui?. Wewe mchungaji NA wengine ni wizi tu mnawaibia watu mkiwadanganya ni yesu kasema. Acha wizi wewe
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
@@hilalalhabsi2047 hilo andiko utakuwa umelitunga mwenyewe kwa faida yako. Mbona haujasema linapatikana kitabu gani?
@laurrinejira6058
@laurrinejira6058 Жыл бұрын
Wadaisha Yesu alisema hataki sadaka zetu fine, sasa hii number yenye umeindika hapa hiyo sadaka waitaka wewe au????
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
@@laurrinejira6058 hio namba alio andika ujue sadaqa anataka yeye ila sio yesu
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
@@emmanuelzani2889 yesu ndio kasema ila nyie hamsomeshwi. Yesu anataka Rehema (kurehemewana Mungu) wala HAFANYI ili alipwe sadaka. Mt 9:13 SUV Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. ☝️ATA UKINUNA, andiko ndio hilo
@heavenboniphace5190
@heavenboniphace5190 Жыл бұрын
hpo nimeelewa jpo mbn makanisani wanaimiza sn
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Wanahimiza ili kutunisha hazina ya kanisa (Mchungaji)
@upendopeter5358
@upendopeter5358 Жыл бұрын
Una mawazo mgando.msipofundisho fundisho sahihi la 10%.mtaishia kuwa ombaomba kama hapo unapotoa namba za simu kuomba hela.
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Umesema ukweli kabisa tena siku hizi kila mtu ni muhubiri anafundisha ajuavyo yeye tena humu mitandao kumejaa wahubiri wapotoshaji hatari
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
WEWE NI MCHUNGAJI UNALILIA TUMBO LAKO. MCHUNGAJI KAMPA NANI FUNGU LAKE LA KUMI?. KAMA ABRAHAM NDIO KATOA BASI WACHUNGAJI NDIO WATOE ILO FUNGU NA MSIWAIBIE WATU WIZI TU. KUWA TU OMBA OMBA KWANI HIO KUDAI SIO OMBA OMBA?. UKIRISTO NI DILI TU, OLE WAO WANAFANYA NYUMBA ZA MUNGU NDIO ULAJI WAO WA HARAMU NA UNYANG'ANYI
@jacksonngilu6097
@jacksonngilu6097 Жыл бұрын
Kweli kabisa. Na kwamba fungu la kumi linaanza kabla ya kipindi cha Agano la kale. Uko sahihi kabisa mwanzilizi wa fungu ni Abrzhamu. JACKSON NGILU NYANDA
@prophetsedekiamwamposa7841
@prophetsedekiamwamposa7841 Жыл бұрын
Kutoa fungu la kumi nilazima kwa mtu binafsi ila sio kwa watuwote ila nicho gundua sjui watu Kama Hawa ninani aliye wapa mtumishi dah washirika kazi ipo
@apostlejamesuploads6786
@apostlejamesuploads6786 3 ай бұрын
Read more brother Genesis 28:22 and remember that Melchizedek wasn't a priest don't go against our fathers of faith
@neemamalakilevi2661
@neemamalakilevi2661 Жыл бұрын
Nimesikikiza kwa makini naona Kwa maelezo yake anasema fungu litolewe ila kwa kuhani 🤦meaning Fungu Bado linatakiwa kutolewa so issue ya mkiristo kutotoa halipo au sielewi na kuhani awe muombaji hiyo icon ya kuonyesha kuhani 🤦 totally confusing maombi ni kitu Cha faragha Cha mtu binafsi Bado hujaeleza vizuri mtumishi fungu litolewe au lisitolewe ??
@mycowillyzwilliam8056
@mycowillyzwilliam8056 6 ай бұрын
Nilikuwa nakukubal sana..kumbe tatzo wewe
@user-dl9lb4qp7n
@user-dl9lb4qp7n 10 ай бұрын
15:02 15:02 15:02
@DrKaoneka
@DrKaoneka Жыл бұрын
Pepo kama pepo,,
@complicated4337
@complicated4337 10 ай бұрын
Mathayo 5:17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Poor
@user-pl6ts4ox7q
@user-pl6ts4ox7q Жыл бұрын
Wote wanaotoa fungu la kumi wamelaaniwa
@godsonthadeonyamhanga2678
@godsonthadeonyamhanga2678 Жыл бұрын
Mtumish unapotosha neno la Mungu ina maana hilo dhehebu lako jipya la spirit of gethering ndyo mnajua biblia kuliko wengine? Kama zaka sio muhim ktk makanisa ambayo waumini wake wanatoa mbona wewe umeweka namba za watu watoe sadaka?lengo lako waache kutoa makanisani mwao wakutolee online! kazi ya Mungu haitaki hila
@MariamMganga-ss9mm
@MariamMganga-ss9mm 8 ай бұрын
Mbona mada yake,, haina mashiko?? Usituharibie imani
@benno255
@benno255 Жыл бұрын
i should connect you to one man of GOd hii mtashirikishana vzuri sana cse naye ameliandikia hili na amesema kama ulivyosema
@hapinessobeth4131
@hapinessobeth4131 Жыл бұрын
Sijaelewa sasa mbona wwe umeweka namba hiyo sadaka hapo huuuu wakati wengi wanakuja mbona huu mwanzo lakini elewa kwamba hata cornelio alikumbukwa kwa sababu ya sadaka zake ngoja Mimi nitoke nisijichanganye
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hahaha
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Kornelio alitoa kwa hiari,zaka wanatoa kwa lazima (amri)
@user-xn1kk3ur1n
@user-xn1kk3ur1n Жыл бұрын
Utaenda motoni.Sadaka ni must wacha ignorance
@stevenmkingi8588
@stevenmkingi8588 Жыл бұрын
Wewe si binadam wakawaida,ni miongoni mwa hawo wana huyo mwovu shetani
@EliyaMwangobe
@EliyaMwangobe 3 ай бұрын
Huyu amefunuliwa kweli yote ! Maana hata kwa agano la kale zaka hawakupatiwa makuhani peke Yao Bali yatima, wajane , wageni na maskini kumbu 14:29, kumbu 26:12-14
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 3 ай бұрын
Mimi kazi yangu Ni kutoa imetumikaje hayanihusu
@aminakyungu8414
@aminakyungu8414 Жыл бұрын
Unafundisha kutotoa fungu la kumi Alafu unaomba sadaka?
@SpiritGatheringMinistry
@SpiritGatheringMinistry Жыл бұрын
Amen
@brunosanga
@brunosanga Жыл бұрын
@@SpiritGatheringMinistry kama ulivyoshindwa kufafanua vizur maana ya kuhani ndivyo ulivyoshindwa kufundisha watu juu ya dhaka au fungu la kumi niheli kunyamaza Biblia inaonya juu ya kuwa walimu wengi
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mafundisho ya mashetani siku ya mwisho yatakuwa mengi sana wacha Mungu someni biblia yaan saizi watoto wanalawitiwa mnajadili habari za zaka badala ya kupambana na loho mbaya mna laha gani nyie watumishi mwanzo mpaka Ufunuo maandiko yote ni mafundisho kwA wanadamu
@paulinbyonge8478
@paulinbyonge8478 Жыл бұрын
Hunalolote wewe hayo mafundisho ya kipepo usitumalizie MB zangu
@emmanuelwasike2720
@emmanuelwasike2720 Жыл бұрын
kama waabudu shetani wao humtolea ibilisi hiyo fungu ili wapewe hirizi yakuwaroga ssa nyinyi msipotoa mtakuwaje salama
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 Жыл бұрын
haya ni mafundisho ya uongo, soma Nehemiah 13;10-12 makuhani walikimbia hekaluni wakaenda mashambani kulima kwasababu ya njaa,watu hawakuleta mafungu ya kumi, Nehemiah akaenda kuwarudisha na watu wakaamriwa watoe zaka,Yuda wote walitoa zaka,na sadaka, Mungu akasema kupitia kinywa cha nabii Malaki kusema,LETENI ZAKA KAMILI GHALANI ILI KIWEPO CHAKULA KATIKA NYUMBA YANGU, acha kupotosha watu,kila mtu anapaswa atoe kwa moyo wa furaha maana ni agizo la Mungu,
@williamntungilahe5598
@williamntungilahe5598 Жыл бұрын
Mbona mafundisho ya kutotoa fungu la kumi linakazaniwa sana?Kama mtu hataki kutoa fungu la kumi aache kwasababu halazimishwi.Moyo wako ulipo ndipo moyo wako ulipo.Ukitoka duniani ndo utajua ilikuwa sahihi au la.Anayetoa aendelee asivunjwe moyo
@jorobency4407
@jorobency4407 Жыл бұрын
Nashangaa hata Mimi hii injil ya uongo sijui ilikuaga wapi ndo Mana tukaambiwa shika Sana ulicho nacho asije mwovu akakunyanganya.hii ni Roho ya shetan inaenezwa na ya umaskin ktk maisha pesa yangu bado uniambie nositoe kwan kuna mtu alifukuzwa kanisani kisa hajatoa mi sion point wanipishe tu na Roho zao za kuzim
@sadikimduge6805
@sadikimduge6805 Жыл бұрын
mimi siwaelewi kabisa
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 Жыл бұрын
Upo vizuri mtu wa Mungu
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 4 ай бұрын
Kwenye Agano jipya hakuna utoaji wa lazima! Zaka ni utoaji wa agano la kale
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 Жыл бұрын
Kenge wewe shetani mwanatheolojia mafunzo potovu kisha mnapin namba ya SADAKA mangedere nyinyi
@emes602
@emes602 Жыл бұрын
Haya mafundisho ya kutokutoa fungu la kumi mbona yamepamba moto. Kwa hivi vidhehebu vinavyojichipukia .. inamaana makanisa makongwe yalitumia nini kutafsri biblia?
@venancemgani2041
@venancemgani2041 Жыл бұрын
Tusiwe walimu wengi
@venancemgani2041
@venancemgani2041 Жыл бұрын
Nahiyo sadaka yanini???? 😈😈😈😈 inawezeka umekusudia jambo Mungu akuponye jiwekee hazina yenu mbinguni kusiko wezi
@pastorpaulmungata231
@pastorpaulmungata231 Жыл бұрын
Sadaka ipi itumwe kwako sasa kipitia namba simu? Nitjuaje kama wewe ni kuhani?
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 Жыл бұрын
anazuia kutoa halafu anataka apewe sadaka,mbona unatuomba tukutumie wewe,hujui unacho hubiri
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
😀😅
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Anajifanya kuhani mtoto mdogo huyo aende afundishwe
@deuspastory1814
@deuspastory1814 Жыл бұрын
iko njia ionekanayo kuwa sawa macho pa mtu, lakini mwisho wake. ni njia za Mauti. Adamu alipita njia hiyo. akacha fundisho la kweli , akapotea. Nawengi watapotea kwa sababu ya uvivu wa kutafuta kweli, madhehebuu yote yenye fundisho la MUNGU, hutoa fungu la kumi. Malawi 3:7-10 Yesu hajakataa fungu la kumi, zaidi alifurahi kuona wanatoa, na akabariki, Mat 23:23 Musa aliwa kumbusha kuta zaka ( fungu la kumi) kumb 12:6 swala la uzaifu wa Mchungaji au mtumishi yo yote, , haibadili fundisho la MUNGU. Zaka, nikiwango cha mtu anacho barikiwa kwenye vyonzo vya mapato yake, TAFAKARI.
@hilalalhabsi2047
@hilalalhabsi2047 Жыл бұрын
YESU ALISEMA, SITAKI SADAKA ZENU
@user-zu1in2yf1n
@user-zu1in2yf1n 8 ай бұрын
Unaijua biblia au niuwakala wa shetani,okoka usipookoka utakuja kujuta.
Mkristo hatakiwi kutoa Fungu la Kumi - Sehemu ya Pili
29:18
Spirit Gathering Ministry
Рет қаралды 14 М.
IJUE FAIDA YA KOTOA SADAKA YA FUNGU LA KUMI-Pastor Myamba
21:40
Pastor Myamba
Рет қаралды 8 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 62 МЛН
Nguvu ya Neema
18:30
Spirit Gathering Ministry
Рет қаралды 3,9 М.
PART1:UNAWEZA KUWA MASIKINI KWA KUTOA FUNGU LA KUMI KISHERIA
39:19
Davistar Mata Media
Рет қаралды 7 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
NAMNA YA KUOMBA MUDA MREFU
25:53
Spirit Gathering Ministry
Рет қаралды 6 М.
FAIDA ZA IMANI UNAYOITUMIA KATIKA KUTOA SADAKA
1:00:32
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 147 М.
MCH.NDACHA AMLIPUA PASTOR MACKENZIE NA NABII EZEKIEL
22:40
SIMULIZI ZONE
Рет қаралды 30 М.
#1# MAKOSA YANAYOFANYWA KATIKA KUTOA SADAKA (SEHEMU A)
33:26
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
UKWELI KUHUSU ZAKA NA DHABIHU
8:59
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 11 М.
FUNGU LA KUMI KATIKA AGANO JIPYA - MWL. HURUMA GADI
22:11
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 18 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН