MKURUGENZI MTENDAJI ABANWA AMUOMBA SAMAHANI RC MAKONDA...

  Рет қаралды 13,640

OFFTRACK TV

OFFTRACK TV

Ай бұрын

#OFFTRACKTV #offtracktv #samiasuluhuhassan #raissamia #ikulu #makonda #arusha
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 621 149 014)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv

Пікірлер: 26
@sleymanshaffih-vj5pq
@sleymanshaffih-vj5pq Ай бұрын
Hongera sn RC Arusha kwa Kazi nzuli na hawa watu wa serkal ndo wanao tumia vyombo vya Habari kukuchafuwa ww kuwa nimtu mbaya Kumbe wao ndio wabaya endelea kusimamia unacho kiamini naamini Mungu ataendelea kukupigania ktk Kazi yako naamini arusha wamepata mtu sahihi.
@UwinezaBorah-lz3lo
@UwinezaBorah-lz3lo Ай бұрын
Jamani mi nimunyarwanda anae penda t.z.d. makonda nampenda sana kutokana na anavofatiria kirakitu kwa wanainshi wake jmn ongera sana makondaaaaa,mungu akuepushe mabaya yotee
@margaretshaidi3161
@margaretshaidi3161 Ай бұрын
This RC is sharp. Magufuli style.
@user-fq2gp1ek5y
@user-fq2gp1ek5y Ай бұрын
Walah mwanzo sikua nampenda huy jamaa lakn kumbe ni kiongoz wa maana sana
@nathanielmkuki3048
@nathanielmkuki3048 Ай бұрын
Mh Mungu akubariki kwa kukulinda hadi utakapotimiza uliokabidhiwa na Mh Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania dkt Sana suluhu Hassan, hayo ni maombi yangu kwa Mungu.
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Am from 🇰🇪 kenya,but i love Mukonda
@kulambichi
@kulambichi Ай бұрын
Wewe ni mpango wa Mungu
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Mungu yupi?
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Ай бұрын
Mbona watakoma kaka
@kallystjonathan2377
@kallystjonathan2377 Ай бұрын
Huyu mheshimiwa ana ajili sana
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np Ай бұрын
Watu wanaosema kwamba sura ya mtu ina fanana na matendoyake. Hajakosea sana. Kaka yangu makonda muzuli kwelikweli. Nakazi zake sawasawa
@florakissiri-np8hu
@florakissiri-np8hu Ай бұрын
Kamata wote weka ndani wamezoea mheshimiwa Safi sana
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 Ай бұрын
Hekima ni zawadi kubwa sana itokayo kwa Mungu. 🙏🙏🌹
@FrankLupumbwe
@FrankLupumbwe 25 күн бұрын
Piga kazi mheshimiwa
@cmoshi7014
@cmoshi7014 Ай бұрын
NAMUONEA HURUMA HUYO BABA YANI ANATAMANI ARDHI IPASUKE AINGIE 😅😅
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Ай бұрын
Hapo alipo shetani wa wizi kamkimbia hapo alipo ni yeye original anajuta
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
WEE JAMAA NADHANI UNAFAA KUONGEZWA MENO UWE RAISI KABISA YAANI KABISAAA
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 Ай бұрын
MUNGU TUPE MAKONDA AWE RAIS
@user-qm2ds9mr9r
@user-qm2ds9mr9r Ай бұрын
Hahaha 😆 😆 😆 eti Umri unaweza kuwa mkubwa lkn kuakili ni mtto, asee nimechekaaa, alizoea , leo ametukanwa, mimi ningejificha nikatoroka, nikawa na uzuru
@user-lq6ty2vy3p
@user-lq6ty2vy3p 27 күн бұрын
Tumpate wa pi mtu mwemye ekima mwingine kama wewe kweli mh alikujua Munguhongera kumchagua kuwa mkuu wa Mkoa wa Arusha Mungu awe pamoja nawe Samia oye
@stanastana3199
@stanastana3199 Ай бұрын
Mkurugenzi amepanik hahahahaha
@samwelhango5785
@samwelhango5785 Ай бұрын
Nzuri fikia muafaka
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Ай бұрын
Wakurugenzi wengi sana ni wavuruga nchii ni Wala rushwa sana kwa sababu wamewekwa kisiasa hii aitusaidii sisi wananchi bora katiba mpyaa ili tubadilishe mfumo WA madaraka tumeichoka ccm na majambazi. Wao jamani viongozi. Muwe kama magufuli au makonda ata raisi wetu mama Samia sio mtu wakutowa mamuzi haraka angalia CAG mpaka Sasa utujapata majibu yoyote kupo kimyaa je tutapata wapi Imani nae
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 Ай бұрын
Makonda Mungu akusimamie unyooshe hawa wateule wenzako hawafai kabisa wameoza, sijui Rais aliwateuwaje?maana wanatia haibu,na kumuhahaibisha.😂😂😂
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Ай бұрын
Achaneni na maigizo ya makonda samia na ccm
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Ай бұрын
Ww maigizo ya mamaako umeachana nayo?
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН
World’s Deadliest Obstacle Course!
28:25
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 393 М.
🔴 Al Jazeera English | Live
Al Jazeera English
Рет қаралды 6 М.
MAKONDA ALIVYOIBUA MADUDU MRADI WA ZAHANATI LEREMETA LONGIDO
36:38
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,2 МЛН