WAJIKAANGA UJENZI WA SHULE YA SAMIA RC MAKONDA ACHUKIA AWABANA MASWALI MAGUMU..

  Рет қаралды 15,282

OFFTRACK TV

OFFTRACK TV

Ай бұрын

#OFFTRACKTV #offtracktv #samiasuluhuhassan #raissamia #ikulu #makonda #arusha
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 621 149 014)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv

Пікірлер: 46
@emmanuelwarra1025
@emmanuelwarra1025 29 күн бұрын
Competent engineer... Stop harassing her...
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 29 күн бұрын
Duh..!? Hii Kazi ni Shida mno..Makonda wape Nafasi tena wajitafakari...huyu Dada Engineer anajielewa mno Big up sana kwake...maana Kuyajibu Maswali ya Makonda si Mchezo ujipange.
@SalimuAbdala-sg9cw
@SalimuAbdala-sg9cw 29 күн бұрын
Injinia anajibu vizuri sana.
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
Makonda fatilia vzur weka tume hapo kunashida kubwa hapako sawa hapo Kuna shida mkuu wa mkoa force ya akaunti ni cheap sana
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 29 күн бұрын
Mnawatesa walimu wa watu. Siyo kazi zao kabisaaa.
@SophiaMnzava
@SophiaMnzava 12 сағат бұрын
Mh wapo vizuri ww mkali bana?
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 28 күн бұрын
Kwa kweli makonda wakati mingine unafeli
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 29 күн бұрын
Daa huyu dada kaaminiwa nae kazingua duu ila naamini watu wazuri wenye akili kubwa na msoto wa hali ya juu wenye uchungu waliopitia magumu ambao wanaouwezo wa kuwa wazalendo wapo vijiweni ni kwasababu tu hawakupata phd oooh my god natamani kutoa wazo lakn hakuna wa kunisikiliza mimi ni kama samaki ndani ya maji tu ninayo mengi ya kusema lakini..😢
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 29 күн бұрын
Makonda umepamia kwa huyo Dada leo anajua kujieleza. Sema uko biz kumtafutia sababu
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 29 күн бұрын
Una haki ya kumhoji bila kumfokea wala kumtamkia mtu mzima maneno yasiyo na staha.
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm 29 күн бұрын
Ni kweli kabisa, kuna muda anafeli ukali unazidi
@DSFAMILYGRAPHIC
@DSFAMILYGRAPHIC 17 күн бұрын
Kwahiyo unataka kusema je?
@crispoleo8771
@crispoleo8771 12 күн бұрын
Ukiona hivyo ujue naww nimwizi
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 8 күн бұрын
Kaka Hawa watu hata wakitukanwa sawa tubwanatumiza sana usiwaonee huruma kabisaaaa sio Hawa anatunyonya sana kaka
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
Good makonda
@SalimuAbdala-sg9cw
@SalimuAbdala-sg9cw 29 күн бұрын
Injini mzuri dada oyee.
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
Safi sana uchunguzi ifanyike mashimo ya choi manne million hamsini
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 29 күн бұрын
Kweli mwalimu kusimamia viongozi wa juu niwasumbufu sana mtu anakwambia mandalie mamilion
@ericamtuimtui8016
@ericamtuimtui8016 27 күн бұрын
Mnamwonea mwl WA watu yeye ni Engineer
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 28 күн бұрын
Huyu Dada nimempenda bure anajiamini Na Majibu sahihi
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
Walimu wamekosea kuomba pesa zipitie kwenye akaunti zao badala ya kupitia akaunti ya mkurugenzi na kosa kubwa kutumia force akaunti ni Bora kutafutwa mkandarasi angebananishwa mkurugenzi na mkandarasi wake
@seifumussa9493
@seifumussa9493 29 күн бұрын
Tanzania my country
@SalimuAbdala-sg9cw
@SalimuAbdala-sg9cw 29 күн бұрын
Dada anaelewa kazi. Msimcnanganye.
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 28 күн бұрын
Makonda muache mtu aeleze"mbona unafos sana unataka ajibu nini
@sheikhabdillahmassawe5302
@sheikhabdillahmassawe5302 25 күн бұрын
Makonda Mimi binafsi huwa nakuelewa Sanaa
@imeldamatemu-gg9rl
@imeldamatemu-gg9rl 27 күн бұрын
Hii Mweshimiwa imepigwa
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 29 күн бұрын
Injinia soma hio 😄😄🙏
@SophiaMnzava
@SophiaMnzava 13 сағат бұрын
Mh unawachanganya unakuwa mkali sana unawazodoa mh busara kidogo pliz hawa watu wapo vizuri tuuu ?
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
Hii shule makonda Kuna shida Mzee milioni 25 vyoo nne tu
@claudiajames2003
@claudiajames2003 28 күн бұрын
Mheshimiwa nakukubali ila hapa huyu dada unamtafutia kosa kusema kweli
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 29 күн бұрын
Fundi analipwa baada ya kamati ya ufundi kujirithisha na kazi ambayo imefanyika n asilimia ngap kwa mujibu wa mkataba wake unavyoelekezaaa
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 29 күн бұрын
Huyu muhandisi hewa hajui taaluma yake ya uhandisi akasome ufundii
@elardurasa67
@elardurasa67 29 күн бұрын
Hii kazi ni ngumu walahi
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 29 күн бұрын
Anahema huyooo😂😂😂
@harunarashid6404
@harunarashid6404 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 mwalim komwe limechoka kbs jmn😅😅😅😅
@ericamtuimtui8016
@ericamtuimtui8016 27 күн бұрын
Hayo maswali ni ya Engineer cio ya Mwalimu jamn yeye anadilii na wanafunzi
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 26 күн бұрын
Makonda piga kazi, mil 460 yote ya nn tena engineer hayuko serious na kazi zake, mwal wa watu mwacheni so kazi zake
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 28 күн бұрын
Wakuu wa mikoa mingine waige mfano wako,
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 29 күн бұрын
Wazee msichukulie poa Nguvu kaz ya mafundi wameumia hapo na huenda wamepigana kwa kudaiana na wanacheleweshewa hela na hiyo kamati ya ufundi , na sisi mafundi tunailaumu serikali wanarusha hela ,hawalipi ,kumbe ni ambayo hawana aidia ya ufundi
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 29 күн бұрын
Walimu kwenye mirad hawan meno mh makonda ata kdg hoji mkurugenz,engenear na afisa manu nuzi
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 29 күн бұрын
Fundi ataomba nyongeza ya mkataba endapo amefanya kazi asilimia 80 na hela ikaisha kwa sababu maalimu , ndio ataomba nyengeza ya hela na kamati wataa pitia mradi na watakaa kikao kwa pamoja wakiridhia fundi ataomgezewa mkataba wa nyongeza.
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 28 күн бұрын
Huyo dada anafatiliwa na laana ya kutotetea haki za vibarua ndio maana mkuu anakula nae sahani moja 😂
@kelyjames5452
@kelyjames5452 5 күн бұрын
Mwalimu mkojo umekja ghafla 😅😅😅😅
@MaulidNdunda-cl3gz
@MaulidNdunda-cl3gz 29 күн бұрын
mim ningekuwa mkuu wangenyooka
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 28 күн бұрын
Mpumbavu sana wewe. Hela ni kodi za wananchi.
@ericamtuimtui8016
@ericamtuimtui8016 27 күн бұрын
Mnamwonea mwl WA watu yeye ni Engineer
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 93 МЛН
Её Старший Брат Настоящий Джентельмен ❤️
00:18
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 8 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
Whyyyy? 😭 #shorts by Leisi Crazy
00:16
Leisi Crazy
Рет қаралды 20 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 65 М.
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 93 МЛН