"MKURUGENZI NIMEKUSAMEHE, GARI NAKURUDISHIA ILA USIRUDIE" - RAIS MAGUFULI..

  Рет қаралды 194,850

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@salimabdallah9290
@salimabdallah9290 3 жыл бұрын
Mungu Akuzidishie umri mrefu Na Afya Njema Kwa Kumsamehe
@susanwairimu2622
@susanwairimu2622 3 жыл бұрын
So sad 😢
@margaretodira8704
@margaretodira8704 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔
@fadyaahmed7872
@fadyaahmed7872 3 жыл бұрын
Yani yani Mungu tuu anajuwa lakini hakupaswa kuondoka mapema sana tunge tamani Kenya 🇰🇪 tuwe na kiongozi kama huyu baba mlezi kama huyu mtetezi wa wanyonge kama huyu ulale salama baba yangu
@kingkiro570
@kingkiro570 3 жыл бұрын
Mungu amekubali dua zetu. Rais makufuli sio mtu wa kawaida nawaambia kila siku.huyu jamaa ni blesed sana hapendi dhulma kabisa huyu jamaaa god bless u my fadher president.karibu jimboni mkurugenzi wetu kipenzi allahumma amin
@fidelruga3814
@fidelruga3814 3 жыл бұрын
@ednambata9503
@ednambata9503 3 жыл бұрын
Kweli
@hafidhamana325
@hafidhamana325 3 жыл бұрын
Rais magufuli hoyeeee
@aishamwinyi5048
@aishamwinyi5048 3 жыл бұрын
Hongera rais mungu akulinde🙏
@rainerjustine4466
@rainerjustine4466 3 жыл бұрын
Nenda baba ❤️
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Chato beach ⛱️ aiseee shikamoo magufuli
@RamaRama-ul9nc
@RamaRama-ul9nc 3 жыл бұрын
Big up president in Tanzania piga kazi mheshimiwa wetu watakubali hata walioshindikana kwani mda huu ni amani nchi nzima
@amonimgay5303
@amonimgay5303 3 жыл бұрын
Hongera san JPM
@azashaban5846
@azashaban5846 3 жыл бұрын
apana wew sio binadam magufur ni nabihi uliyeletwa na mungu kuokoa kizazi cha tanzania nowwwwwwww like your
@bakarimashi848
@bakarimashi848 3 жыл бұрын
Hili sasa ni tatizo yaani waziri mkuu, waziri tamisemi ni kuwa work done is equal to zero
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 3 жыл бұрын
Niliandika acha mzee wa watu ale bata,mmeonaa?Msukuma anajifanya hana dhambi.Wagalatia 5:19--Fitina imekatazwa.
@dorissizya5625
@dorissizya5625 3 жыл бұрын
Big up mkurungenzi wetu
@aminaathuman715
@aminaathuman715 3 жыл бұрын
siasa bhn
@pascaldonati2219
@pascaldonati2219 3 жыл бұрын
safi sana
@abbaimran4122
@abbaimran4122 3 жыл бұрын
Wah! Hongera sana JPM mtetezi wa wanyonge na Africa kwa ujumla
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 3 жыл бұрын
Wanyonge ni akina nani kwanza nini maana ya wanyonge
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj 4 ай бұрын
2024😢
@marthaleonard2444
@marthaleonard2444 3 жыл бұрын
Hii ndio hekima .Ukweli mchungu !Uonevu sasa basi !
@maryjoseph7931
@maryjoseph7931 3 жыл бұрын
Mzee Baba uko vizuri kufuatilia data ,ni kweli kama Halmashauri inakusanya mapato ya ndani zaid ya 1.5 bilion sio nongwa kununua gari la milion 400 mbona kuna Halmashauri nying tu zinakusanya mapato ya ndani chin ya million 700 na DED's wake wana magari ya milion 150 - 200 ,Wabongo tuache maneno tuchape kazi mbona Wabunge wana magari ya bei mbaya na Majimbo yao haya Vituo vya Afya,Watoto wanakaa chini 👹👹👹 mpaka JPM anajenga vituo vya Afya na nyie mwatafuna tu fedha za mifuko ya Jimbo hamsomi wala kubandika mapato na matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo😂😁😀Utamu unakuja ,Utamu unakataa 😇😇😂😁😀 JPM kumuelewa kaz sana
@annamwakibinga3190
@annamwakibinga3190 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@johnndenji1321
@johnndenji1321 3 жыл бұрын
Usamehe na magari yetu yapo tra yanaoza tu hata ukiomba kupunguziwa faini hawatujibu mtetezi wa wanyonge
@lusupi
@lusupi 2 жыл бұрын
Kwaio raisi wetu hadi 28 jan alikua mzima na nguvu zote kabisa sio poa
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 3 жыл бұрын
Babaaaa haya nenda
@explorelondon3695
@explorelondon3695 3 жыл бұрын
Naomi Andrew, mbona wewe unaonekana mpumbavu vile, Mzee ameaga, wacha apumzike Kwa Amani🙏🙏
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 3 жыл бұрын
Wewe ni mwanadamu ama malaika haya lala salama
@islammtei8988
@islammtei8988 3 жыл бұрын
Mkurugenzi alikua Hana makosa nakukubali Sana mkurugenzi gar ingekua yako binafsi sawa lakin gar bado ni ya selekari
@mikehjackson8146
@mikehjackson8146 3 жыл бұрын
Hii hotel nitakuja soon with my family so amazing
@farajiharuna6600
@farajiharuna6600 3 жыл бұрын
Hapo umeyumba mzeebaba ila nandumba zipo jamaa lilirudi kwa mganga wake likaambiwa litarudishwa kazini kwa kishindo halikuamini miti IPO bwana
@chamritaabdul1592
@chamritaabdul1592 3 жыл бұрын
😂😂😂
@yusuphsege7495
@yusuphsege7495 3 жыл бұрын
Acha kuwaza Maisha ya ushirikina mjomba.
@deodatussungura7172
@deodatussungura7172 3 жыл бұрын
Msukuma maamuzi hayo we unajisikiaje ya mkurugenzi kurudishiwa gari .nakusifiwa.sana
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 жыл бұрын
Mlio chini ya Rais mjifunze jamani,muache kusukumwa na kutumia uongo,na maigizo ktk nafasi mlizo nazo*Kusamehe ni ahadi ya Mungu*
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 жыл бұрын
Hawa watz ni watu wa aina gani kulalamika wao na kupongeza wao
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ashuramzee4348
@ashuramzee4348 3 жыл бұрын
Eti
@ellyisidoli2192
@ellyisidoli2192 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sarahclement5382
@sarahclement5382 3 жыл бұрын
Ni watu wakulanakupo
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Sio wote hao ni moja ya watu wanaotuponza kwa faida ya mda mfupi ya matumbo yao.
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 3 жыл бұрын
Musukuma upooooo, lete usengerema wako
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@barikilaizer5574
@barikilaizer5574 3 жыл бұрын
Rais kweli anafanya kazi hamwonei mtu umetowa hukumu Kama ya mfalme Solomon mwana Wa daudi mwizirael
@anahna6788
@anahna6788 3 жыл бұрын
Hotel kama hotel ya moto sana
@jamesmzubakwa7357
@jamesmzubakwa7357 3 жыл бұрын
Kifo chadereva
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 3 жыл бұрын
...sasa mzee una double standards..kabla hujamtumbua ungetafakari hayo!!
@hamzambonde2144
@hamzambonde2144 3 жыл бұрын
Unachosema kuusu mkurugenzi wetu nikweli muheshimiwa rais hapo ratiba yako ingetosha ungefika kwenye viwanda zongomera eneo la viwanda vidogo na vikubwa tupo pia sisi wadau wa viwanda tunashukuru kutuletea mkurugenzi huyu undarson msumba mchapa kazi anaekwenda na kasi yako tunaomba aendelee kubaki hapa
@barakakimario8960
@barakakimario8960 3 жыл бұрын
Sasawalio mchoma wanahali gani?
@annamwakibinga3190
@annamwakibinga3190 3 жыл бұрын
Mbaya
@bornthagylife3802
@bornthagylife3802 3 жыл бұрын
Umeendauraya link????
@isaackiwelu1458
@isaackiwelu1458 3 жыл бұрын
Amesema walipeleka umbea, umbea ulipelekwa na msukuma, sasa msukuma ni ccm au upinzani?
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
KAMA HUJUI KITU ,NYAMAZA.HUYU NI MKURUGENZI WA KAHAMA,YULE ALIYETIMULIWA NI WA GEITA.
@mwatasamwel7296
@mwatasamwel7296 3 жыл бұрын
@@errydeo8865 msamehe na wageita
@errydeo8865
@errydeo8865 3 жыл бұрын
@@mwatasamwel7296 yule kwanza alijibu kwa jeuri! pili,hakua amefanya kitu,shule kwenye halmashari wanakaa chini,kununua magari eti ya wafanya kazi. mapato yalikua chini utopolo mtupu
@halimakihame1744
@halimakihame1744 3 жыл бұрын
Tukumbuke na cc rufiji baba hatuna bara bara tuna teseka
@iddyadamu8218
@iddyadamu8218 3 жыл бұрын
Utete nn hyo
@jumakiatu.628
@jumakiatu.628 3 жыл бұрын
aMiSaMiiWa.siO.jAmAni. sA .nDo.akAfAnYe.kAzi.sAsA.
@yohanmolle3897
@yohanmolle3897 3 жыл бұрын
.sele
@singidaone5628
@singidaone5628 3 жыл бұрын
Msukuma akome
@zanzibasingida4869
@zanzibasingida4869 3 жыл бұрын
usiwe mjinga msukuma si jimbo lake huyu ni wakahama sasa msukuma kawaje
@sarahclement5382
@sarahclement5382 3 жыл бұрын
Vipi kuhusu alieshindwa kuapa utamsamehe umwapishe atumikie nafasi yake?
@imchristian323
@imchristian323 3 жыл бұрын
Hata ingekuwa umepewa nchi je ungemuapisha?jifikilie kwanza
@abusaeed9037
@abusaeed9037 3 жыл бұрын
Ww mzee baba umeenda lini ulaya wacha kutubeba ufala
@dianagwanchele849
@dianagwanchele849 3 жыл бұрын
CCM oyeee
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 3 жыл бұрын
ok alisomea wapi akawa doctor?
@mosimba467
@mosimba467 3 жыл бұрын
Hujitambui wewe
@glorygosbert2659
@glorygosbert2659 3 жыл бұрын
Na alisomea PHD yake Ulaya
@geofreyanderson3809
@geofreyanderson3809 3 жыл бұрын
Sasa itakuaje kwa mbuge msukuma
@habibmohamed4766
@habibmohamed4766 3 жыл бұрын
Hapo ni kahama na huyo ni mkurugenzi wa Kalama siyo yule wa Geita na wewe nyumbu.
@johnkakaa7990
@johnkakaa7990 3 жыл бұрын
.
@petarnjoole7859
@petarnjoole7859 3 жыл бұрын
Nawaza bungeni kutakua na hapana kweli!!!ni swali tu najiuliza majibu Sina ebu ngoja tuone japo kazi ndio inafanyika
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Kwa nini hapana isiwepo??wata shindana kwa hoja sio matusi
@jumamglecs7684
@jumamglecs7684 3 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 hapana ina umuhimu gani kama hapana hata kwenye mambo ya maana?
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 3 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 unakaa hajitambui kabisaa hata hujui umeandika nini
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 3 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 Mimi nimekuelewa vzr sana
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
Hotuba ya Askofu Gwajima 'iliyomvunja mbavu' Rais Magufuli bungeni
9:30
Daily News Digital
Рет қаралды 521 М.
Chozi la Mkurugenzi baada ya Mbunge wa Chadema kumchongea kwa JPM
8:36
Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA"
15:50
Global TV Online
Рет қаралды 766 М.
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
MZEE ALIVYOMCHONGEA MKURUGENZI 'WA MAREKANI' KWA MAGUFULI NACHINGWEA
17:24
Mtanzania Digital
Рет қаралды 228 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН