Chozi la Mkurugenzi baada ya Mbunge wa Chadema kumchongea kwa JPM

  Рет қаралды 1,780,531

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 960
@ashanaftali4319
@ashanaftali4319 6 жыл бұрын
Pole sana mkurugenzi, tunakushkuru muheshimiwa Raisi kwa kumfuta mkurgenz machozi. Pamoja Sana mkurgenzi wetu
@roseissa56
@roseissa56 2 жыл бұрын
G'g
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 2 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema....nlipenda Sana uongozi wake na kamwe hakutawahi tokea kiongozi zaidi ya hyu..big up
@zaituniyusuphjuma415
@zaituniyusuphjuma415 6 жыл бұрын
Asante rais mungu akuzindishie sana. Pole sana mkurungezi mungu amekuheshimisha sana maana siyo kwa kuchafuliwa huko pole sana. Pia namshukru rais mungu emekupa jicho latatu 🌷
@salmakassim3975
@salmakassim3975 6 жыл бұрын
Jmni naipenda hii video 😂😂 mheshimiwa Rais Magufuri asante baba
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 жыл бұрын
Natamani ungekuwepo jmn kweli kizuri hakidumu. RIP baba
@mankakileo8423
@mankakileo8423 6 жыл бұрын
Hadi machozi Hongera mkurugenzi chamsingi omba Mungu sanaa ktk kazi zakoo na Mungu akubariki hapa kazi
@monicajulius905
@monicajulius905 6 жыл бұрын
Mungu wangu mbariki sana huyu raisi Magufuli,mpe maisha marefu na yenye amani tele.Huyu mkurugenzi kanifanya mpk nikatoa machozi(Mungu akuongoze🙏🏿)like za nguvu kwa Magufuli plz💪🏿
@patrickmbarugwa3190
@patrickmbarugwa3190 6 жыл бұрын
Barikiwa sana rais wa wanyonge
@danieljacob557
@danieljacob557 4 жыл бұрын
I
@danieljacob557
@danieljacob557 4 жыл бұрын
I
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 3 жыл бұрын
Daaah bahati mbaya mungu akamchukua..so sad
@jonizamosmayenga3528
@jonizamosmayenga3528 3 жыл бұрын
rest in peace
@Bongo1Media
@Bongo1Media 6 жыл бұрын
😂😂Mbunge huyoo aibu tele😎😎😎
@johnnjogundegwa9799
@johnnjogundegwa9799 5 жыл бұрын
Good for your solomonic leadership. THANK YOU FOR THE LOVE AND BEING SERVANT OF THE PEOPLE.
@fernandovictoralfredo2834
@fernandovictoralfredo2834 3 жыл бұрын
Etiópia
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 2 жыл бұрын
Daima tutakukumbuka
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 жыл бұрын
Pole sana mkurgenzi na hongera pia Mheshimiwa Rais kwa kumfuta machozi mkutugenzi
@chandrnyoeliakim1006
@chandrnyoeliakim1006 6 жыл бұрын
Pole Sana mkurugenzi ndio changamoto za kazi baba
@mamalinamtei326
@mamalinamtei326 6 жыл бұрын
Saumu Ha.ssan
@patricknduwimana2840
@patricknduwimana2840 6 жыл бұрын
Saumu hassan nauku umefika?
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 жыл бұрын
Walai saum nihatari
@MdMd-th9vh
@MdMd-th9vh 6 жыл бұрын
POLE SANA
@saidbanga
@saidbanga 6 жыл бұрын
Inauma sana... Ila magufuli nakukubali kwani akili zako unazijua mwenyewe...
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 6 жыл бұрын
Iwe juma 3 j4 j5 uta kaa hapa hapa .hahahaha ili kumkomeshea huyo kaoe hata dadaake ....kina juma hebu wekeni like hapa
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 6 жыл бұрын
chande waleo nime-like ila mm siyo Juma 😆
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 6 жыл бұрын
@@wechemakambo2182 hahahaa pamoja sana uende ukaoe dadaake mbunge
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 6 жыл бұрын
chande waleo mmh kwa shemeji huyu siwezi...
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😂😅😅😅
@amanimlembe2170
@amanimlembe2170 6 жыл бұрын
pole sana mh.rais kwa hali hii mungu akusaidie maana wengi wanakuzunguka
@hassanhassan8351
@hassanhassan8351 6 жыл бұрын
Mti wenye matunda ndiwo upigwao mawe, hongera mkurugenzi kwa uadilifu wako. Ahsante mheshimiwa JPM kwa kujali
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 6 жыл бұрын
Aah kumbe Moro Safi kazi nzuri hongera Kaka yangu
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 6 жыл бұрын
Asant sana #Mh Rais😘😢
@elizabethlucas4983
@elizabethlucas4983 6 жыл бұрын
Hv hili libunge liliwaza nn? Baba wa watu analia haya machozi hayatamuacha huyu mbunge salama,cjui nani alimteua,ila nashukuru kabaki na aibu,hongera sana raisi wng Mungu akulinde
@anwaryrutenge5695
@anwaryrutenge5695 6 жыл бұрын
Dar. Pole sana mkurugenzi Juma. Hongera mzee baba Magufuri
@winfridagama2280
@winfridagama2280 6 жыл бұрын
Hongera Mkurungezi
@pascoiddy1592
@pascoiddy1592 5 жыл бұрын
Anwary Rutenge qhv
@stevenlubala9237
@stevenlubala9237 6 жыл бұрын
Mungu zaid kukushikilia daima mkurugenzi uko Safi sana ahsante rais hapa kazi tuu
@chimamychimychimamy8482
@chimamychimychimamy8482 6 жыл бұрын
Gud job president love you magufuli from Kenya+254
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 6 жыл бұрын
Love u Kenya asee +255 Luna upinzani wa kisiasa na Si kimaendeleo
@simonmagembe7140
@simonmagembe7140 6 жыл бұрын
It is true that magufuli is now popular
@rajeep-ni7lh
@rajeep-ni7lh 2 жыл бұрын
I miss this maguful rest in peace always I miss you❤❤❤❤❤
@barakahenula1370
@barakahenula1370 6 жыл бұрын
Nampenda sana Raisi wangu,hapa kazi tu
@kruverthmasanula9914
@kruverthmasanula9914 6 жыл бұрын
safiiii jamaa kaumbuka vibaya hahahahahha
@ommymvp884
@ommymvp884 6 жыл бұрын
See how God is protecting His people.#mkurugenzi
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 6 жыл бұрын
Ommy Mvp Allah Akbar
@musamasiko4925
@musamasiko4925 6 жыл бұрын
Ommy Mvp fact
@evemangare1732
@evemangare1732 6 жыл бұрын
Ommy Mvp ooh yeah
@nicholaustvraphael4102
@nicholaustvraphael4102 6 жыл бұрын
Hongera Sana Mh raise nakukubali Sana unamsimamo nikikutana nawewe nitakuthibitishia kwa maneno
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 6 жыл бұрын
Pole mkulugenzi ndio changamoto za kazi
@msalikemedia
@msalikemedia 4 жыл бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibu 😀😀😂😂ubunge kimya
@delitonavaia3503
@delitonavaia3503 6 жыл бұрын
mungu amfichi mnafiki
@furahamudende6316
@furahamudende6316 6 жыл бұрын
Nampenda sana Rais wa Tanzania,anaakili sana,busara na hekima.tungempata rais kama huyo congo aiseee inchi yetu ingeendelea saaana.big up baba JPM
@nachokyale1915
@nachokyale1915 3 жыл бұрын
Wa congo unamjua kiswahili
@eliasaphbussa9332
@eliasaphbussa9332 6 жыл бұрын
Njia nzuri ni kuoa hata dada zake ili aman iwepo 😂😂😂😂
@annajoram9370
@annajoram9370 6 жыл бұрын
Baba hapo hongera sana kweli unamjua mungu,mungu akuongoze baba
@fatumarajabu810
@fatumarajabu810 6 жыл бұрын
Ha ha ha........ Mr president na muendlezo wake wa tungo tta ...hbu gonga dole tumpe pngez
@mcrahaleo688
@mcrahaleo688 6 жыл бұрын
Hahaaaaaaa, na ni tungo tata kweliiiii, hili libunge ni likarai kabisaa hili
@alexfrance5486
@alexfrance5486 6 жыл бұрын
Pole saaana mkurugenzi Mungu atakulipa
@hamisikabwe3980
@hamisikabwe3980 6 жыл бұрын
Kwa nchi za mbele hapo huyo mbunge angejiuzulu kwa hicho alichokifanya.huwezi kufikisha ujumbe kwa style hiyo,hata kama ni kweli alichosema,bado hawezi kupewa sheria kulingana na kufikisha ujumbe kipumbavu kabisa.
@elishamartine9852
@elishamartine9852 6 жыл бұрын
I appreciate you ptlresident
@neemawilliam1960
@neemawilliam1960 6 жыл бұрын
DA aiseee mchawi wa binadamu ni binadamu mwenyewe, kweli unamcjongea mwenzio afukuzwe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣magu bhana et akaoe dada zake na mbunge
@mkapaelias7136
@mkapaelias7136 6 жыл бұрын
pole xanaa mkurugenz na hongera xanaa rais wetu ,,hadi nmelia jaman
@allykazoa7065
@allykazoa7065 6 жыл бұрын
magufulli wewe ni rais wa mfano mkurugenzi amejiereza vizuri sana uyo mbunge ni chizi
@collinsmwaipasi7580
@collinsmwaipasi7580 6 жыл бұрын
The truth shall set you free
@salimakuyela8212
@salimakuyela8212 6 жыл бұрын
Huyu mbunge mwehu magu mungu akujalie kumfuta machozi mkulugenzi🙏🙏🙏🙏
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 жыл бұрын
Christopher Mganga hahaaa
@lucascheyo4849
@lucascheyo4849 5 жыл бұрын
.
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 4 жыл бұрын
@Change Mindset asay aibu kweli kweli mi ni Wa 254 ila na fanya bidii Kuja Tanzania ni muone maghufuli wallah sija ona raisi wa kuigwa kama huyu
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 6 жыл бұрын
Mungu yupo!!!!!!! Wanaoonewa wote walie na Mungu mimi nimemwona mara nyingi.
@mendoramasaki3567
@mendoramasaki3567 6 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu Mungu akupe maisha marefu kwakuwa unatenda haki pasipo kumuonea mtu. Pole sana mkurugenzi Mungu yuko nawe aibu amezipata huyo mbunge kwa majungu yake
@hadijaabdallah5477
@hadijaabdallah5477 6 жыл бұрын
Maskini baba mpaka analia na mm nimelia jamaniiii huruma rais hongera sana
@yusuphsabega3936
@yusuphsabega3936 6 жыл бұрын
Hadija Abdallah usijal
@evelynmon6491
@evelynmon6491 6 жыл бұрын
Yaan mimi mwenyewe nimelia jaman baba kaniliza huyo jamani
@evelynmon6491
@evelynmon6491 6 жыл бұрын
Yaan hii mijitu mingine inakurupuka tu mbunge mzima kaaibika vibaya kweli dume zima majungu tu mfyuuuuuu
@haibreus2005
@haibreus2005 6 жыл бұрын
Ndio ujinga wa wanawake mtu akilia tu huruma
@fatmax8710
@fatmax8710 6 жыл бұрын
@@haibreus2005 hahahaha hayo ndio maumbile yetu tuvumilie tu
@anithaflorian1157
@anithaflorian1157 6 жыл бұрын
Pole sana mkurugenz Mola akutie nguvu maana si wote watakao kukubali Mungu aibariki kazi ya mikono yako
@antoniasanga3563
@antoniasanga3563 6 жыл бұрын
Usilie jaman Mungu hamtupi mwenye Haki Amini Rais bado anakupenda pia zidi kufanya kazi
@aishajeaninejeanine8934
@aishajeaninejeanine8934 6 жыл бұрын
hongera saana rais wetu Mungu akuongoze
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 6 жыл бұрын
Libunge LA chadema ...libaki huko huko chadema
@athumanmohammed7550
@athumanmohammed7550 5 жыл бұрын
Daah safi saana mkuu wa nchi na mkurugenzi safii
@Bongo1Media
@Bongo1Media 6 жыл бұрын
mwaka huu tutaona mengi 😂😂😂😂😂😂😂
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 6 жыл бұрын
mbunge huyu ni O
@mussakatoto3125
@mussakatoto3125 6 жыл бұрын
rais hongera sana
@yusuphmlaponi7864
@yusuphmlaponi7864 5 жыл бұрын
Safi sana rais komesha wanafiki
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 жыл бұрын
Rais mtenda haki, Msema kweli, Mwenye huruma, Tulio wengi Tunaokuombea siku zote, uendelee Kiongozi, Mungu anatuona, Anasikia Na InshaAllah Atapokea Maombi yetu, Aamina q
@victoriabayo7704
@victoriabayo7704 3 жыл бұрын
Rais Magufuli akuweke mkono wake wa kuume ulale salama kipenzi cha watanzania umetenda haki hakika tunaendelea kukumbuka
@stewartmillanzi1596
@stewartmillanzi1596 6 жыл бұрын
Ahaaah....kumbe Mkurugenzi alisingiziwa..!? Mungu ni mwema...Hongera sana mheshimiwa raisi. Hongera sana Mkurugenzi. Pole sana Mkurugenzi...Mungu akufute machozi yako.
@cleverlove6225
@cleverlove6225 6 жыл бұрын
Pole sana mkurugenz
@silasteven8956
@silasteven8956 6 жыл бұрын
Pole sana mkulungenzi kila kazi namagumu yake usiogope baba piga kazi
@edinazegu7173
@edinazegu7173 6 жыл бұрын
Jamani yote anataka mwenzie atumbuliwe pole Kaka angu ndio siasa hizo zimekufanya mpaka uumwe lkn Mungu atakutia nguvu linapita
@agnesmkude12
@agnesmkude12 5 жыл бұрын
Dah inasikitisha asije akafa na presha mungu akusimamie
@issaissa8047
@issaissa8047 6 жыл бұрын
Uyu mbunge anachuki mkurugenzi mchukulie Dada ake akuheshimu raisi Wetu oyeeee
@nataekuolopilinjo2504
@nataekuolopilinjo2504 6 жыл бұрын
woyeeeeeee😂😂😂😂😂😂
@arafatalshabani1372
@arafatalshabani1372 6 жыл бұрын
Baba angu issa issa nimefurahi
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@emilydavidmdoe3552
@emilydavidmdoe3552 6 жыл бұрын
Safi Rais nakupenda
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 6 жыл бұрын
Imeniuma sanaa kwa kutoa chozi mkurugezi kwa kusingiziwa na hili fisadi hili bunge ningekua mimi ningelifukuza kabisa
@furthernelly665
@furthernelly665 6 жыл бұрын
Duh pole sana mzee
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 6 жыл бұрын
Kaoe hata dada zake ili kujenga heshima😂😂😂😂😂 Asee tangu nikujue mheshimiwa leo umenivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂 Magufuli For Change 😂😂👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
safi sn mkuu chadema wana majuguu tuu hawajui kazi bali wanajuwa majuguu tuu
@emmymasoud6385
@emmymasoud6385 6 жыл бұрын
Zambi Sana kumchafua mwenzio ikiwa ww unayako kibao nyuma ya pazia.... Allah bless you
@inocentedward8856
@inocentedward8856 6 жыл бұрын
Safi sana mh rais! Kuna watu wana roho za kimaskini sana!
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@billyblanks099
@billyblanks099 2 жыл бұрын
Thank you for pointing this out. Africa is killed by the puppets of the imperialist and neo-colonizers in the pretense of being friends of Africans. It will only take Africans themselves to develop Africa.
@jumatamimu6841
@jumatamimu6841 Жыл бұрын
U7(tygyttt
@aminasenkuni3844
@aminasenkuni3844 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 Inna lillah waina illah ragigune wee mwenyezmungu muodoshee kila lililobaya kwenye kabur lake.
@lemalikulinja6551
@lemalikulinja6551 5 жыл бұрын
Hongera xana Rais we2 kwa kuwatetea wanuonge
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 6 жыл бұрын
Yaan chadema cjui mkoje daaah mmekalia chuki2
@salimkambona2798
@salimkambona2798 6 жыл бұрын
Nakukubali sana kiongozi,,tuchape kazi siasa tuziache jamani!Jpm hajakosea ktk kuteuwa watendaji wake!Mungu awe nawe daimaaaaaa
@malonemalick1999
@malonemalick1999 3 жыл бұрын
Daah mzee pumzika kwa amani tutakukumbuka daima😭😭😭😭😭😭😭
@annahnguvumali1626
@annahnguvumali1626 6 жыл бұрын
Duuh, pole sana Mkurugenzi.
@rosehillary6884
@rosehillary6884 6 жыл бұрын
Rais wewe nakupenda sana wewe ni Baba, ni mlezi, na unamjua Mungu.
@lukandotv8101
@lukandotv8101 6 жыл бұрын
J.Hamsin Chapa Kazi....... Hahaha Vzr Mh Rais.......
@chandewaleo3853
@chandewaleo3853 6 жыл бұрын
Duuuh wa 3 leo hahaa naeza kua mkurugenzi badae
@gracethomas683
@gracethomas683 4 жыл бұрын
Dooh! ndiyo naiona leo daah! Juma amepitia mengi hapo 🙌🏽... Mungu amemuona
@fettybernard8695
@fettybernard8695 6 жыл бұрын
Kwer sio kila mtu anakupenda mungu ndo Mtetezi wa kila jambo mtegemee mungu tu
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 6 жыл бұрын
Pole sana mkurugez hongera sana rais wetu kwa kuona uonevu
@lukombesoemmanuel7271
@lukombesoemmanuel7271 6 жыл бұрын
Mkurugenzi kanifanya nitoe machozi..huyu mbunge kuazi kwelikweli
@queenkabula7952
@queenkabula7952 6 жыл бұрын
Pole DED
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 жыл бұрын
Mungu ni mwenye haki.umetafuta kumwaibisha juma. umejikuta aibu imekurudia mwenyewe na umepata aibu ya maisha yako kizazi chako chote kitaona jinsi ulivyo kichwa maji.
@olivamushi5843
@olivamushi5843 6 жыл бұрын
kila nikiangalia hii video nalia sana we mbunge muombe msamaha mwenzako
@farajamwakasaka4221
@farajamwakasaka4221 6 жыл бұрын
Joyce mashikolo.
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yke mahal pema peponi,Amin
@mr.furahamalele1854
@mr.furahamalele1854 6 жыл бұрын
Daaaaaaah, Mungu Kweli Wa Wote Ninaanza Kuamini Maana Daniel Alitupwa Ndani Ya Shimo La Simba Wenye Njaa Hawakummeza, Leo Mungu Amesimama Upande wa Mkurugenzi, Kweli Hila Hazimpati Mtoto wa Mungu, Nakuombea Mkurugenzi na Mhe. Rais Pigeni Kazi Wana Wa Mungu!.
@olaislukumay571
@olaislukumay571 6 жыл бұрын
Dah mpaka naskia kulia jaman wanasiasa acheni visasi baba wa watu mpaka analia yaani.God bless you sir Juma
@sifasanga7866
@sifasanga7866 6 жыл бұрын
Magufuli kumbe kuna wakati ana huruma sana. Baada ya kugundua Mkurugenzi kaumia moyo amerudia rudia sana manano kumweka sawa. Pole sana Mkurugenzi hawa wapinzani sometime wamekua waongo sana. Jamaa anakusema bila haya na ushahidi hana pole kaka
@lawagustino1887
@lawagustino1887 6 жыл бұрын
sifa sanga kweli kabsa
@matyshirima1242
@matyshirima1242 6 жыл бұрын
Hata angekua na ushahidi kumchongea mwenzie afukuzwe sio vizuri
@mbaroukabdi1918
@mbaroukabdi1918 6 жыл бұрын
Hii shutuma ingekuwa kwa mpinzani Rais angejibu hivo kwa mfano
@saadachara943
@saadachara943 6 жыл бұрын
Baba magufuli oyeeee Mungu akuzidishie imani kwawananchi wako tunakupenda sana 2020utapat kurayangu alfajir namapema
@laurentemanuel8559
@laurentemanuel8559 6 жыл бұрын
Duuuu ama kweli Serengeti tuna hali mbaya kama mbunge ndo huyu wa chuki zisizokuwa na maana,,, atapata faida gani mkurugenzi akifukuzwa huyu mbunge ndo mwxho wake 2020 hatunae tena
@nsrnsr5838
@nsrnsr5838 4 жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu pole sana mkurugenzi hongera sana Raisi waongo
@stephenmassawe218
@stephenmassawe218 6 жыл бұрын
Isije ikawa ni chuki ya kisiasa hapo!!! Busara ni muhimu katika mambo haya, mbunge kwa mujibu wa sheria ni mjumbe katika baraza la mawaziri.
@petermwenda5179
@petermwenda5179 6 жыл бұрын
magu mungu akupe maisha maisha marefu utuokoe sisi wa hali ya chini
@omegajustin9926
@omegajustin9926 6 жыл бұрын
Pole mkurugenzi ndo changamoto za kazi hizo baabaa limemrudia mwenyewe chapa kazi
@omarylugusha
@omarylugusha 6 жыл бұрын
Hongera sana mh rais 2020 njia nyeupeee
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 жыл бұрын
Mkurugenzi Mungu akupe nguvu, watu wanaopiga kazi Kama wewe wanapigwa Vita munooo
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 жыл бұрын
Mungu akulinde Rais wetu Wasiokutakia mema, Watashindwa kwa Nguvu za Mungu.
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 жыл бұрын
Nani kaona mkurugezi akipandisha suruali yake alivyoitwa na Rais😁😁pole sana baba yangu umeniliza jamani umepata maradhi yamoyo ulivyoanza kuwatumikia wananchi wako pia nimejifunza kitu"wewe unapambana kwenda mbele kuna pimbi mmoja anakurudisha nyuma m'mungu amemuabisha leo "God is good all the time "#chozi lako halijakutoka bure unamengi moyoni but M'mungu atakutianguvu 😘😘.
@kinggembo7135
@kinggembo7135 6 жыл бұрын
Sakina Omar all the time GOD is good
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 жыл бұрын
M'mungu atamlipa wallah
@johngeorge6182
@johngeorge6182 4 жыл бұрын
Mkurugenzi chapa kazi ukweli utabaki ukweli tu! Uongo umesjindwa.
@allyhussein4625
@allyhussein4625 4 жыл бұрын
pole kaka wewe nimelia kwa jili ya mkirungenzi
@hildababyabdullah5627
@hildababyabdullah5627 6 жыл бұрын
Chozi limenitoka pole mkurugenzi iyo ndo kawaida ya wanadam hutizama lamwezie tuu lakwake halion Allah akuongoze vyema ktk utendaji wako kazi, upizani co watu wazr alitaka ufukuzwe mbele ya qadam nnas chozi lako halipotea kwa huyu mbunge lazima litalipa magufuli hongera umekua mfano wakuigwa ktk uongozi wako
@frankmmary6371
@frankmmary6371 6 жыл бұрын
chapa kazi mkurugenzi mazuri yakwako yote anayajua mwenyenzi mungu.
@sifaupindo8384
@sifaupindo8384 6 жыл бұрын
Omar Alofi roho imeniuma jamani, Pole sana Baba Mungu yupo nawe kila sekunde
@haibreus2005
@haibreus2005 6 жыл бұрын
Namshauri mbunge apiganie maisha yake na family yake. Wananchi ni wanafiki sana
@giannajoji7944
@giannajoji7944 6 жыл бұрын
Wivu tu,mbona kaumbuka!chezea Magufuli wewe!
@denismakweba3870
@denismakweba3870 6 жыл бұрын
Uzadiki umewajaaa viongozi,wote mnahudumia wananchi kwann msipendane💋
@hamiskanama1945
@hamiskanama1945 6 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mh rais
@gabrielemmanuel4348
@gabrielemmanuel4348 6 жыл бұрын
Pole mkurungenzi wangu usilie jaman baba angu pole mungu mkubwa sana
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 5 жыл бұрын
Pole mkurugenzi mungu yupamoja na we we chapa kazi.
@yasiniseiph6119
@yasiniseiph6119 6 жыл бұрын
Noma sana 😅😅😅
@allykazoa7065
@allykazoa7065 6 жыл бұрын
ivi uyu mbunge amechaguliwa na watu wenye akili timamu kweli atakujieleza awezi embu ccm jitaidini 2020 chukueni ilo jimbo
@selemanikiwande5137
@selemanikiwande5137 6 жыл бұрын
Wallah km k ungekua na sheria ya kumtumbua MTU anae mdharirisha mwenzie basi Leo angetumbuliwa huyo mbunge kwanza anatakiwa amuombe radhi mkurugenz hongera sana kwake mh. Rais kwa kazi Nzuri sn anazozifanya mungu ampe maisha marefu azidi kulitumikia hili taifa kwa kutenda haki. Me pia machoz yamenitoka kwa kumnafikia mkurugenz. Pole sn kaka yangu kwa changamoto unazozipata hata mitume walipitia vikwazo na changamoto nying sn lkn walishinda na kukamilisha yote walioagizwa
@levinajoeli3465
@levinajoeli3465 6 жыл бұрын
Christopher Mganga Good mkurugenzi
@magorimagori9264
@magorimagori9264 6 жыл бұрын
Christopher Mganga umesema kweli kaka
@ggmmjasiliamalionline2746
@ggmmjasiliamalionline2746 6 жыл бұрын
Hapa ndo wananchi tujifunze hali hii hatujawapa ikulu tukiwapa waingie ikulu watatupeleja wapi hawa kaka maendeleo jamn tufanye maendeleo sio chuki Za upinzani jamani wananchi wanatusoma kwa picha mbaya Santa chadema alafu 2020 tuseme tumeibiwa kura ni kweli acha ccm iendeshe nchi sisi ng tukue kwanza wapinzani tuna akili za kitoto wananchi wametuamini bas tusiwaangushe dah inauma asee afu hata kujieleza hajui maskini dah nandomana wanaohama wanahama kwa kauli mbiu kwamba wanaenda ccm kuunga juhudi za muheshimiwa rais kwa style hii huwez kuunga juhudi zinazofanywa name rais acha wanaojielwwa wahame tuu
@cholowao
@cholowao 3 жыл бұрын
Tumetekeleza agizo
@markobuhuku1564
@markobuhuku1564 6 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi Dr. Magufuli Kura yangu haikupotea kabisa, hongera kwa kuliona hilo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 жыл бұрын
pongezi sana raisi hakika amemchafua mwenzie hazarani kwa siasa ya kijinga kaka juma hamsini endelea kufurahi raisi ana imani nawewe
@nasraalobaidani3194
@nasraalobaidani3194 6 жыл бұрын
fitna haina faida kasimam miship uson kwaunafk ili kumkomesh mwenzie kimbe ajiaibish mwenyewe ulaaniwe ww usio nautu daim hutofanikiw kwarohoyko mbya pole sn kakaang juma ALLAH akuongoz ,ALLAH ambarik sn rais wetu nakupend sana dc magufuli daima nitakuombea
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA"
15:50
Global TV Online
Рет қаралды 746 М.
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Global TV Online
Рет қаралды 487 М.
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Global TV Online
Рет қаралды 253 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН