I wish kuwepo na Mabalaza ya Maendeleo ngazi za Wilaya watu wa Kawaida wajadili hii Dira, pia tuwezeshe watu wetu kuwekeza hata kwa ubia kuliko kutegemea Wageni kuja.
@ebitariho972014 сағат бұрын
Shida watu wanaogopa kusema ukweli. Huwezi ukaenda mbele bila kutowa corruption kwenye office za umma. Lazima kwanza tuwe na mahakama zinazo aminika.
@noelngowitechnicalsolution16 сағат бұрын
Mwelekeo sahihi. Ninawatakia mafanikio katika hilo
@alphoncehanura32552 сағат бұрын
Toeni uraia pacha kama nchi nyingine.... vijana waje na teknolijia..... .
@tanzanite9944Сағат бұрын
Huyu Jamaa mPakistan ana point ila sasa anaonekana kuikacha Pakistan for good na Ame fall in love with Tanzania