MKUU WA MKOA WA MWANZA AKAGUA UTEKELEZWAJI AHADI ZA MAGUFULI KWA USAFIRI KANDA YA ZIWA NA NCHI JIRAN

  Рет қаралды 9,100

GSengo

GSengo

6 жыл бұрын

Ili kuondokana na adha ya usafiri, Serikali imeanza ukarabati wa Meli ya Mv. Clarius iliokuwa imesitisha huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo kwa zaidi ya miaka 10 bila kutoa huduma hiyo kwa wananchi wa Wilaya ya ukerewe mkoani Mwanza wanaozungukwa na ziwa Victoria.
Akizungumza mara baada ya kukagua meli hiyo na nyingine zilizopo katika bandari ya Mwanza kusini, Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, amesema kukamilika kwa ukarabati wa meli hiyo na nyingine zilizopo katika mpango wa ukarabati utasaidia kwa kiasi kikubwa kukuwa kwa uchumi .

Пікірлер: 2
@charlesenock8586
@charlesenock8586 6 жыл бұрын
Kwani miaka mingine Pesa zilikuwa zinaenda wapii
@dismasswai5838
@dismasswai5838 5 жыл бұрын
Zilikuwa zinaliwa na wajanja
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 124 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 52 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Cheki maendeleo ya ujenzi wa Stendi ya kisasa Nyegezi Mwanza
4:20
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 9 М.
HABARI NJEMA KWA WASAFIRI KATI YA DAR NA MWANZA
0:46
TRC RELI TV
Рет қаралды 1,8 М.
🔴 TAMASHA LA MICHEZO, JULAI 28, 2024.
ITV Tanzania
Рет қаралды 11
MHE. RAIS  AWEKA BARAKA  ZAKE MV. MWANZA 'HKT'- AAHIDI KUIZINDUA MWENYEWE.
3:40
KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI -MSCL
Рет қаралды 1 М.
MCHANGO WA VIVUKO VYA KIGONGO BUSISI KANDA YA ZIWA
4:10
Temesa Tanzania
Рет қаралды 26
Kampuni ya Mwanza Huduma yaunga mkono juhudi za mbunge wa Nyamagana
5:12
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 4,3 МЛН
BTS of this trend with my scarry friends 😳| Andra Gogan
0:16
Andra Gogan
Рет қаралды 24 МЛН