MKUU WA WILAYA AMCHONGEA ASKARI MBELE YA KAMISHNA KWA KUTOMPIGIA SALUTI

  Рет қаралды 28,813

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 128
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 жыл бұрын
Anachongelea sio kwamba anapenda Salute waugwana Hoja yake ni kwamba Jeshi halina Nidham ndio eneo lake
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Wamevimbiwa,wanataka salute.... angelalamika ulawiti kwa watoto huko zenji... puwa puwa by Steve
@everextbabarixt9764
@everextbabarixt9764 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Salute...inakusaidia nni,hujui kuwa uongoz Ni dhamani utapigiwa salute mile ovyooo
@joshuagolihama5390
@joshuagolihama5390 2 жыл бұрын
Jinga kwel eti hanisalute ...concetrate kwenye maendeleo utapigiwa izo salute za kutosha
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 жыл бұрын
Kumbe ww mbuzi Mimi nilifikiria unaongelea kuhusu uhalifu wa unaofanyika we unaongelea salute pumbavu zako
@zuberimkuba2324
@zuberimkuba2324 2 жыл бұрын
Huy vp usaluliwe kwa lip yan depo niende mm salute nikupe ww tena hata depo ya mg hujafika🤣🤣🤣
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
huyu mzee si ndie alimuoa wastara huyu
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Kwahyo unamaanisha RPC sio cheo kikubwa. Ngoja siku atoe command kwa askari wake wa mkoa wakushughulikie ndio utajua ni mkubwa au mdogo. Msipende kutukuzwa. Salute ni km sijda isipokuwa inatoka mkononi. Someni historia ya salute.
@saidmo8392
@saidmo8392 2 жыл бұрын
Hicho unachosema sio sahihi mkuu wa wilaya ndani ya wilaya yake ana kua na mamlaka na atapigiwa salute na wakuu wa vyombo vyote vyaulinzi na usalama
@jumajuma8456
@jumajuma8456 2 жыл бұрын
Sijawahi kuona kiongozi jinga kma uyu
@daviusyakobo3053
@daviusyakobo3053 2 жыл бұрын
Hii nchi ngum sn mpk mtu anaomb apigiwe salute kasom. Taratibu vizur badal ya kujdl maendleo ww unabwabwaja tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Waulize wenye jeshi lao wakupe muongozo wewe hata shule hukwenda hicho cheo umepachikwa tu hii inaleta aibu sana ni kama vile mama alivyokosea kumleta vuai wakati amestaafu kwani wasomi zanzibar hakuna vijana wenye weledi mambo mengine yanakers sana
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Wa kutukuzwa Mungu! Kamishna anajua wa kusujudiwa ni Mungu pekeee.
@saidmohd1975
@saidmohd1975 2 жыл бұрын
PGO inasema wakuu hao watapigiws salute wakiwa kwenye himaya zao sasa umekuja mjin unaomba salute jaman tunakoelekea huku ni shida tuu
@salehaliy7198
@salehaliy7198 2 жыл бұрын
Kumbe huyu jamaa ni jinga,akasome pgo 102 kwa umakini sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Salehe hivyo ni vyeo vya kupachikwa madhara yao ndiyo hayo mungu tusaidie Tanzania tunaomba amani tu
@ololosokwani1140
@ololosokwani1140 2 жыл бұрын
Saluti unapigiwa wilayani kwako tuu ukiwa nje ya wilaya yako sio lazima Hafu Sasa salute itakusaidia nini mzee wangu??😂
@edsongamuga7375
@edsongamuga7375 2 жыл бұрын
Hahahaha !
@josephatmkutano3426
@josephatmkutano3426 2 жыл бұрын
Haiko hvyo popote tu anapewa salute yake imladi tu atubulike ni mkuu wa wilaya ndivyo protocol ilivyo na sio hvyo tu hata mkuu wa majeshi anapaswa kumi salute mkuu wa wilaya hawa niwatawala jeshi ni watendaji
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 2 жыл бұрын
Heshima ifate mkondo inabidi kila mmoja ampe heshima alie juu yake
@Tee-King
@Tee-King 2 жыл бұрын
Nazan ujielewi waloweka Sheria sio vichaa
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz 3 ай бұрын
Upigiwe salute nani wewe si huyo hakukosea hiyo saluti ikusadie nini ama kweli kila kichwa na akili yake munapenda madaraka kweli
@lutegobusweru5949
@lutegobusweru5949 2 жыл бұрын
Mweshimiwa Rais amchunguze huyu DC atakuwa na matatizo makubwa sana
@mfalmekima5318
@mfalmekima5318 2 жыл бұрын
Huyu aliachishwa kazi jwtz akuwa na nyota mbili aliuguwa uchizi
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 жыл бұрын
huyu siyo mzima
@hildantandu5909
@hildantandu5909 2 жыл бұрын
@@mfalmekima5318 inaonekana alitoroka hospital ya vichaa
@alialibablly7010
@alialibablly7010 2 жыл бұрын
Na kama anakosa huyo kwa kudae apigiwe salute basi atumbuliwe tu wawe funzo kwa wengine wanadae kupingiwa salute wakae ujifunze sheria si kuharibu mafuta ya wananchi kwa serikali wakati wagonjwa vitanda shida siptali
@seifhabib5987
@seifhabib5987 2 жыл бұрын
Kwani Muheshimiwa ushaacha kulewa,Mlevi toka lini akapewa heshma
@Princewaweru
@Princewaweru 2 жыл бұрын
Fanya kazi salute siyo lazima wewe acha ujinga
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 2 жыл бұрын
Badala ya kulalamikia matukio mabaya ataka apigiwe saluti hovyo
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Kusaruti sawa, anamaanisha kusalimiwa 😂😂😂😂
@mbunah255
@mbunah255 2 жыл бұрын
kwan salute ni lazima wapenda misifa bana
@allymtak1181
@allymtak1181 2 жыл бұрын
Ni lazima
@mbunah255
@mbunah255 2 жыл бұрын
@@allymtak1181 sheria ya wap
@alimussa2655
@alimussa2655 2 жыл бұрын
Mshamba kweli uyu dah
@medimajogoo
@medimajogoo Ай бұрын
duu anapenda salut
@siyahrukun5626
@siyahrukun5626 2 жыл бұрын
Hahaha anataka salute
@adiliomar3006
@adiliomar3006 2 жыл бұрын
Simba anasubiri pwenti 3 aingie robo fainal ila huyu pwnti 3 za kutenguliwa kashaazipata
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 2 жыл бұрын
Huyu jamaa inaonyesha nyumbani kwake chakula hakiliwi mpaka ale yeye kwanza
@kapongoamos5391
@kapongoamos5391 2 жыл бұрын
Nisije nikakutukana bule ila huna maana, na kama elimu ya shuleni haijakusaidia basi angalia umri wako basi ukusaidie
@lutegobusweru5949
@lutegobusweru5949 2 жыл бұрын
Huyu mzee atanivunja mbavu badala ya kushugulikia matatizo ya wana nchi utakalia kulalamikia saluti
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Hao ndo viongozi wa Zanzibar kesi za kipuuzi asa km anataka saluti si amwambie mkewe tu
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 жыл бұрын
@@hamidmweusiii35 Jaman😆
@ndeziboysanga
@ndeziboysanga 2 жыл бұрын
Avue kanzu hiyo anaaibisha wislam huyo hafai kua kiongoz,,kwahali hiyo bas wananchi wanapata tabu kwel,,
@AbdulHamid-qd9ji
@AbdulHamid-qd9ji 2 жыл бұрын
Wew marehemu malim seif sharifu alikuona wew u ccm wako weka pembeni fanya kazi
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 жыл бұрын
Kha binadamu unapenda kutukuzwa hivo
@stevenmnyema281
@stevenmnyema281 2 жыл бұрын
hivi huyu yupo seriously kabisa kwahyo salute ni command
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Acha kupenda kutukuzwa ww! Alafu kanzu kubwa unapenda kupewa sifa ya uungu. Salute itakuongezea nn? Acheni siasa kwenye majeshi. Hata km kiprotocol inatakiwa iwe hivyo lakn naww ujiulize. RPC au Kamishna wa polisi naww nani ana nguvu kubwa. Yaani ni sawa na jokate amaindi hajapigiwa salute na CDF. Haha. Tz bana.
@benedictmlawa1034
@benedictmlawa1034 2 жыл бұрын
Hajitambui huyoo
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 2 жыл бұрын
Awaulize wenzake kina Sabaya...
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 2 жыл бұрын
Bora alivo sema wazi mana angenyamaza angelea jeuri na utovu wa nidhamu kwenye utendaji
@saidmohd1975
@saidmohd1975 2 жыл бұрын
Mwambie akasome PGO ataaibika mwenyew uyo
@charlesbasil9031
@charlesbasil9031 2 жыл бұрын
Ki Protocol inatakiwa apewe Salute
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Sawa, lakini si Kwa kuikondea huko
@hermannanyunga7113
@hermannanyunga7113 2 жыл бұрын
Protocol IPI bhana? majesh yana miongozo yake uyo anapigiwa salute mwisho na MTU mwenye rank ya nyota mbili
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@hermannanyunga7113 huna ulijualo!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
Ukuu ni wa Mungu pekee!!!
@damianmakala2913
@damianmakala2913 2 жыл бұрын
Piga kazi acha kuomba omba salute
@saidalisamir239
@saidalisamir239 2 жыл бұрын
Unataka salut au unataka assalam ujinga tu
@salumissa7237
@salumissa7237 2 жыл бұрын
Rekebisha hakuna mkoa wa Kaskazini A Ni Kaskazini tu ila kuna Wilaya ya Kaskazini A na B
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 2 жыл бұрын
Wangekuwa wanapewa semina baada ya kuchaguliwa hii ingesaidia kupunguza hizo vapour anazoongea ,angejua ni nani anapaswa kumsalimia kijeshi na kwa wakati gani
@afropanorama4730
@afropanorama4730 2 жыл бұрын
ndo tatizo la viongozi wetu.kila mmoja anataka ajioneshe yeye mkubwa kwa mweziwe
@adamuandrea6658
@adamuandrea6658 2 жыл бұрын
Hatari sana
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 2 жыл бұрын
😂🤣😂 makonda wa Zanzibar huyu
@leganmichael6148
@leganmichael6148 2 жыл бұрын
Tulia wewe Sadifa, RPC tangu lini akawa mdogo wa DC??? Huyo RPC anaweza kuwa kamishina msaidizi wa jeshi hivyo kwa rank yako sio lazima akusarute ukiwa na bendera ya Taifa atafanya hvyo. Ndio maana wanasema wilayani kwano kwan huruhusiwi kuwa na bendera nje ya wilaya yako.
@kabysamiami4224
@kabysamiami4224 2 жыл бұрын
Mpuuzi huyu tena kichaa
@adiliomar3006
@adiliomar3006 2 жыл бұрын
Kaibe ngombe utapigiwa saluti
@charlesbasil9031
@charlesbasil9031 2 жыл бұрын
Mama ni Mama Hata kama umemzid umri
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 жыл бұрын
Alafu unajiita muislamu
@islamjarwan1476
@islamjarwan1476 2 жыл бұрын
Mkuu kama unaona msaidizi hakufai unaomba ubadilishiwe au ahamishwe uletewe mwenye nidham lakini kinyume na hapo naona kama haipendezi kuomba saluti itaonekana kama unataka utukufu na sio kufanya kazi bana.
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya Kweli hatupigiwi saluti....🤣🤣🤣
@Michoarbah
@Michoarbah 2 жыл бұрын
Mpigien salute jaman
@african_channel
@african_channel 2 жыл бұрын
Du aise polisi tuna kazi kubwa
@saidmohdsaid9677
@saidmohdsaid9677 2 жыл бұрын
Kuna siku atasema asujudiwe
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 2 жыл бұрын
Binadamu😂🙌
@KhojaNasri
@KhojaNasri 2 жыл бұрын
Wewe mkuu wa wilaya utasalutiwa na O.C.D Kuja chini na R.P.C anamsaluti mkuu wa mkoa
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 2 жыл бұрын
Kuanza nyota mbili tu Hadi Pc ndio wanaotakiwa kumpigia salute DC. Kuanza nyota tatu hawatakiwi kumpigia labda waamue wenyewe. Angemchana tu live
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 2 жыл бұрын
Kuanza nyota mbili tu Hadi Pc ndio wanaotakiwa kumpigia salute DC. Kuanza nyota tatu hawatakiwi kumpigia labda waamue wenyewe. Angemchana tu live
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa mipasho kwel au anafungia kwetu hyu kwl hazaran mbele za watu akazungmze saluti hatr kwl kwl
@AliMohamed-gv7nw
@AliMohamed-gv7nw Жыл бұрын
Saluti ndio nn ww paka
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 жыл бұрын
Jaman
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 2 жыл бұрын
Unatak kuabudiwa ili iweje ?
@mudrickabdallah7251
@mudrickabdallah7251 2 жыл бұрын
Mshenzi tunamjua mshenzi mshenzi tu ichi kibabu
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 2 жыл бұрын
Salute ndo mada
@MrEdYKgb
@MrEdYKgb 2 жыл бұрын
Salute itakufaidisha nini wewe?? Hizo sifa unazotaka zimepitwa na wakati tunataka maendeleo ndio sifa kamili ya kiongozi bora sio salute wala cheo chako..km unataka sifa lete maendeleo tutakusifu sisi na tutakupigia salute
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 2 жыл бұрын
Ongelea vitu vya maana achana na saluti kwani si salamu tu hiyo mkuu, kuna shida kibao ongelea hizo.
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 2 жыл бұрын
Ulichaguliwa ili usalutiwe ulichaguliwa ili ufanye kazi hata mm kama ningekuwa polisi nisinge kupigia saluti mlevi ww ww mwenye heshma huna
@mohamedhajj9881
@mohamedhajj9881 2 жыл бұрын
Wacha sifa ili upate nn
@alialibablly7010
@alialibablly7010 2 жыл бұрын
Sasa hoja yako salute tu cheo cheo kiburi
@bravofundikila965
@bravofundikila965 2 жыл бұрын
Mkuu wa polisi mkoa na mkuu wa wilaya nani yuko juu sifikiri mtaelewa
@bravofundikila965
@bravofundikila965 2 жыл бұрын
Nikweli mkuu wa wilaya anapigiwa saluti lkn kuna madaraja
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 жыл бұрын
@@bravofundikila965 hakuna daraja lolote,,,,anapigiwa sslute
@bravofundikila965
@bravofundikila965 2 жыл бұрын
Atasalimiwa kamishina baada kutambulika ndy yeye kamishina atamjibu kwa saluti
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Sasa wewe unapenda saluti hee kweli wewe mshamba kwani hicho kitu ni lazima kwako
@salehhemed9388
@salehhemed9388 2 жыл бұрын
Pua, pua, pua,... Pua sana
@rasvuaimarley4049
@rasvuaimarley4049 2 жыл бұрын
Hili jitu gonjwa kweli sasa hio saluti ndo utakula au umekushinda ubunge
@benedictmlawa1034
@benedictmlawa1034 2 жыл бұрын
Una matatzo ww mkuu wa wilaya
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 2 жыл бұрын
😂😂
@hawahbohero2425
@hawahbohero2425 2 жыл бұрын
Wewe unataka saluti tu. Mbona unaidhaililisha taasisi iliyokuweka hapo
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 2 жыл бұрын
Sasa naanza kuamini kwanini wastara alikukimbia
@paschalmgashi6704
@paschalmgashi6704 2 жыл бұрын
Haka kajamaa kaliwahi kupitia jeshi kambi za arusha kakaacha kakiwa koplo kakadili na siasa
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 2 жыл бұрын
Heshima inahitajika
@abuushaakir9582
@abuushaakir9582 2 жыл бұрын
Heshima haiombwiiii
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 жыл бұрын
Kwel askar wetu hawajui kanuni kabisa
@khamislishe3825
@khamislishe3825 2 жыл бұрын
Mkokotoni na Sio vikokotoni
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Acha ujinga wewe upigiwe saluti ili iweje? Kwani umepungua nini?
@georgembunda9233
@georgembunda9233 2 жыл бұрын
uroho wa madaraka uo
@anastaziafrancis191
@anastaziafrancis191 2 жыл бұрын
Hiyo saluti inashibisha au ndo ulimbukeni unakusumbua
@francesteven528
@francesteven528 2 жыл бұрын
huyu achunguzwe khaa
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 2 жыл бұрын
Alikuwa sahihi, na PGO YAO INAELEZA 102 KAMA SIKOSEI
@Msolopaganzi7076
@Msolopaganzi7076 2 жыл бұрын
Wewe acha kubuni nenda kasome anatakiwa apigiwe akiwa wilayani kwake tu
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 2 жыл бұрын
Ovyoooo usalutiwe ili uwejee
@hassanlusewa7568
@hassanlusewa7568 2 жыл бұрын
Duh
@ssaa7495
@ssaa7495 2 жыл бұрын
Pumbavu tena matako yako
@tamrikznz7583
@tamrikznz7583 2 жыл бұрын
Anazungumza Ujinga,Kwani Salute Lazma.Ongeya Vitu Vyamaana Bwana.Uksha Pgiwa Hyo Saluti Sasa Iweje Ndoonii,Unapata Nn Wewe, Mijitu Mijnga Kweli Kumbe
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Mmmhhhhh?????
@swalehmgumia2727
@swalehmgumia2727 2 жыл бұрын
Hahahah
@mshatikimara7605
@mshatikimara7605 2 жыл бұрын
Doooh
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
@gervasmalimi5126
@gervasmalimi5126 2 жыл бұрын
Mama tumbua huyu
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Yuko zanzibar
@conradmchomvu9567
@conradmchomvu9567 2 жыл бұрын
Mpumbavu wewe,,, sasa salamu ya kijeshi itakusaidia nn mbwa wewe...
@saidmo8392
@saidmo8392 2 жыл бұрын
My friend huyu jamaa ni mwanajeshi mstaafu int ya 16 kunduchi ndio int iliyopogamtongani na tegeta na kupelekea kufungwa kwa chuo
@hamzaalisalum7370
@hamzaalisalum7370 2 жыл бұрын
Ovyoooo
@anastaziafrancis191
@anastaziafrancis191 2 жыл бұрын
Hiyo saluti inashibisha au ndo ulimbukeni unakusumbua
DIAMOND AFUNGUKA KILICHOMTOKEA KENYA HADI AKASHINDWA KUFANYA SHOW
16:00
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 23 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 9 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Waziri Mwigulu kwenye eneo walikouwawa Watu watatu Kibiti
15:27
Millard Ayo
Рет қаралды 76 М.
Новости дня | 11 декабря - утренний выпуск
11:37
Euronews по-русски
Рет қаралды 14 М.
MAZISHI YA CDF MSTAAFU MUSUGURI, APIGIWA MIZINGA 17 YA HESHIMA
11:23
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 23 МЛН