Рет қаралды 72,703
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri anatarajia kusherehekea miaka 100 ya kuzaliwa kwake siku ya Jumamosi Januari 4 mwaka huu.
Katika kuelekea kwenye sherehe hiyo Azam News imefanya nae mazungumzo mahsusi.