TBC1- NYOTA WA WIKI : MEJA JENERALI WA KWANZA MWANAMKE TANZANIA, ZAWADI MADAWILI (PART 1)

  Рет қаралды 139,602

TBConline

TBConline

2 жыл бұрын

Пікірлер: 139
@sarahmbilinyi1809
@sarahmbilinyi1809 2 жыл бұрын
Hongera sana Dada madawili kwa kuwa mwanamke pekee meja jeneral wa kwanza
@gracesamson924
@gracesamson924 2 жыл бұрын
Bigup matron,mama nakumbuka ulivyotulea ulitujali usia wako ulitufundisha meeeengi saana,hakika sitokusahau hakika we we ni Super mama MUNGU akupe umri mrefu
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
Dada mzuri mcheshi na anajua kuhoji sana hadi raha, hongera kwa mama madawili kuwafungulia wanawake wengine kwenye tasnia ya jeshi 👏.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Hakika YAKEE! Namkumbuka sana tukiwa CSTC Dar 1970, 1971/72 akiitwa ZAWADI MADAWILI.., kina marehemu Adeline SAWE, MARGRET nk. Tunamshukuru Mungu sana, tupo tu !!
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Nkya uko wapi siku hizi??
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Mabinti popote mlipo, kamatia ndoto yako, unaweza! Jamani wanawake tunaweza Hongera mama Mdawili, napenda sana kuona wanawake ktk nafasi za juu. Mungu azidi kutusimamia🙏
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Mashallah hongera mama na unavojistiri kwa nguo za heshima ivo mama allah akufanyie wepesi
@azaintv2731
@azaintv2731 2 жыл бұрын
aaamin
@bishopesronrutayisire5210
@bishopesronrutayisire5210 2 жыл бұрын
Mama Afande Meja Generali, nami ni mefurahia saaana wema wako, hekima na busala vyako. Wewe ni Mama wa dhamani kubwa. Dada Mtangazaji hongela na wewe pia umefanya kanzi njema kwa kwenda kumuona Shuja Meja Generali Madawili. Mungu awajazie kwa neema yake !
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Hongera sana mama Meja Generali Mungu akujalie maisha marefu.
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 2 жыл бұрын
Hongera mama mwema nimejifunza kwako mamangu mungu akulinde na kukutunza tuzidi kujifunza kwako
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 2 жыл бұрын
Once A Soldier Always Soldier Mama Umenitangulia mizi 6 tu mimi nilijiunga JWTZ Mgulani January/1973, mimi ni MT7
@ashamkaula2632
@ashamkaula2632 2 жыл бұрын
Hongereni ss mwengine bado tunapambana jkt huku
@ashamkaula2632
@ashamkaula2632 2 жыл бұрын
Na ss tumuombe mungu tufukie huko op makao
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Kila la kheri
@nurumohamed7225
@nurumohamed7225 2 жыл бұрын
@@ashamkaula2632 op makao makuu
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 2 жыл бұрын
@@ashamkaula2632 Mimi nipo jeshi LA kuuza matunda sokoni kariakoo Tupo pamoja sana Ila hata kuiona risasi live sijawahi ona tangu nizaliwe
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 2 жыл бұрын
Mashaaalah mama mwenye hekima na busara nyingi Allah akulinde
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Ukiingia ndani ni mama sauti huishia getini. Hekima kubwa sana.
@umfarid247
@umfarid247 2 жыл бұрын
Nimependa historia yako mama napenda watu wanao chapa kazi asante mama
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Wamama Tz mnaweza sana. Sasa tunae Rais wa kwanza mwanamke EA na hata bodigadi wanawake tunawaona sasa. Watz tuwaunge mkono wanawake zetu wanaweza. Watoto wa kike jipeni moyo kama mama huyu.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Mama kapendeza inaonekana alikua mtu mwema hongera mama
@hishamally4846
@hishamally4846 2 жыл бұрын
Maashaallah bi mkubwa allah akukinge na husda
@azaintv2731
@azaintv2731 2 жыл бұрын
Aamin
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 жыл бұрын
hongera sana mama yetu,Major,unawafundisha mabinti ukakamavu wenye mafanikio,dada zetu wengi sana kazi yao kuwaomba hela wanaume,kumbe wakati fulani Mungu unakuta kambadiliki mwanamke zaidi akijituma kuliko mwanaume ila hawajitambui.Wengi wakiona mwanaume wanaona pesa sio mpenzi au mume.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Siyo Major ni Major General. Ni sawa kumuita General lakini siyo Major , Huyu ni Major General.
@farijalanyoni5685
@farijalanyoni5685 Ай бұрын
ni two star general mjomba
@gosbertkachekolera5037
@gosbertkachekolera5037 2 жыл бұрын
Nakumbuka,alifika karagwe mwaka 1975.shule ya msingi bugene ilichaguliwa kiwilaya kuupokea mwenge mwisa na tuliusindikiza hadi kanyamasongo ngara.big up mother
@williamkeitha1262
@williamkeitha1262 2 жыл бұрын
Maj gen kodi bonge la kiongozi aise salute to match you Madawili na kodi
@cyprianonesmo1832
@cyprianonesmo1832 2 жыл бұрын
Safi mama mungu akupe maisha marefu
@zainakuzenza759
@zainakuzenza759 2 жыл бұрын
Wakati nasoma huyu alikuwa rollmode wangu hongera
@noelswai2660
@noelswai2660 2 жыл бұрын
Mama anaongea kwa hekima saana 👏👏👏
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Mtu hana cheo chochote anakua jeury hasa hawa trafki jeury sana namuomba mkuu wa jeshi la polisi awaangalie sana hawa pamoja na manesi pia jeury
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Ай бұрын
Hongera bibi umetuheshimisha ingekuwa mademu wa siku hizi
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 2 жыл бұрын
Nacheka sans sana sana sanaaaaa. Kila kiongozi ana haki yake ya kuweka watu anao ona watakuwa nae Wanawake pambaneni kweli kweli na hal zenu. Laini ninavo ona mukishatoka mumekwisha tena. Yaani vyeo mutavisikia tu.maana mpango wenu wengine wanaona siomzur
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Mama Meja General kweli wewe una hekima ya ajabu. Unavyojieleza ni Mwl tosha wa hekima kubwa. Yafaa uwe unaitwa ktk hazina za hekima ya taifa .
@jumamhina3892
@jumamhina3892 2 жыл бұрын
Hakika ni mwalimu na busara zimemjaa. Kuna mengi ya kujifunza hapa kuanzia malezi na kung'ang'ania ndoto yako. Ahsante TBC na Mama yetu kwa kipindi hiki
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 2 жыл бұрын
Jicho la.pekee likuone upewe nafasi ya kulea vijana.hasa wadada jeshini. Mama ni mama.
@avitimmochi227
@avitimmochi227 2 жыл бұрын
Hi Madawili. Tulikuwa pamoja UD. Nakusalimu. Mmochi
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Mama hongera Sana kwa cheo ulicho fikia jeshini
@monicambossa4937
@monicambossa4937 2 жыл бұрын
Asante sana
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Taratibu iko hvyo hvyo Mama General, miaka 6 kwanza ndio mambo ya kuoa na kuolewa yaje.
@emmanuelmtono7576
@emmanuelmtono7576 2 жыл бұрын
Major General Madawili alifika pale IDM Mzumbe wakati akiongoza mbio za Mwenge 1975. Nilikuwa form two pale Mzumbe Secondary, kapiga combat yake ya JWTZ mkakamavu sana. Ilipendeza sana. Mungu azidi kukupa afya njema.
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 2 жыл бұрын
Daaaaah hatari sanaaaa, nilishangaa jeshini tunaitwa madawili kumbe ndo kwa ajili yake
@abuumaisarah6595
@abuumaisarah6595 2 жыл бұрын
Duh 1975 Sawa Kiongoz
@abraman8260
@abraman8260 2 жыл бұрын
@@marystelaswai5174 wewe ulikua unajua ni nn au cheo
@allyfawziyaat3246
@allyfawziyaat3246 2 жыл бұрын
Super proud to be your niece 🥰🥰🥰
@Ambagaye
@Ambagaye 2 жыл бұрын
Huyu Madawili nadhani ndiye aliyengoza mbiyo za mwenge mwaka 1974 akiwa luteni, na kuanza kusifiwa tangia hapo.
@ashamkaula2632
@ashamkaula2632 2 жыл бұрын
Hongereni bcz wengin nd tunaendelea kupapambna jkt huk
@ahmadkasika7114
@ahmadkasika7114 2 жыл бұрын
@@ashamkaula2632 pambana Dada pia jichanganye na wakuu watakusaidia sana 🙏🙏
@Tv-qs8iz
@Tv-qs8iz 2 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 2 жыл бұрын
A good interview in terms of style and content. Hongereni wote wawili ...
@janefrolakalinga5664
@janefrolakalinga5664 2 жыл бұрын
waooooo nilikuw najiulizag siku zote kwa nini wasichana jkt huw wanaitwa madawili bila kupata majibu, ila nikawa najipa majib kumbe ni 7bu ya huyu mama mwenye jina lake na mwenye cheo kikubwa jeshini, salut kwako mama zawad honger sn maan hat mimi nilishawahi itwa jina lako la dawili and a new phone🙏😆😆😆😆😆😆
@sharaarabiy858
@sharaarabiy858 2 жыл бұрын
Ahahaaa truee
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 2 жыл бұрын
Umeonaaaa eeh tuliitwa madawili sana kumbe ndo sababu ya hili
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 2 жыл бұрын
Nimesikia raha
@saidishebuge4796
@saidishebuge4796 2 жыл бұрын
Very Inspired
@gwamakamwailunga9146
@gwamakamwailunga9146 2 жыл бұрын
Salute kwako General, Mungu aendelee kukutunza uishi miaka mingi
@methodmarwa1406
@methodmarwa1406 2 жыл бұрын
Hongera sana
@joycemwaikofu4923
@joycemwaikofu4923 2 жыл бұрын
Hongera sana mama. Superwoman
@rebeccampingwa7616
@rebeccampingwa7616 2 жыл бұрын
Hongera bibi aliera na alia nimefurahi kukuona mungu akupe maisha marefu yenye baraka
@rosemarymwanjali5512
@rosemarymwanjali5512 2 жыл бұрын
Hongera sana Dada Madawili Mungu akujalie afya na uishi maisha marefu
@anawa4326
@anawa4326 Жыл бұрын
Impressive Madame 👌✊🏼👏🏼
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 2 жыл бұрын
Sio wanawake wa siku hizo wajeury kajifunzani kwa mama leo trafki wa kike wanawatukana mpaka wazee nendani mkajifunze kwa mama huyo mama ana tabia njema
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 3 ай бұрын
KWELI KABISA
@stafordbusumbiro2810
@stafordbusumbiro2810 2 жыл бұрын
Hongera sana Rtd Major General Madawili.
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 2 жыл бұрын
Mashaallah Allah aku afidhi mama
@allykhamis3378
@allykhamis3378 2 жыл бұрын
Waa mejajenerali my live
@lewismsumari1315
@lewismsumari1315 2 жыл бұрын
Kumbe ndo maana wanawake jeshini wanaitwa madawili 😀😀
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 2 жыл бұрын
Umenichekesha sana na kunikumbusha mbali
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Safi sana mama.
@abraman8260
@abraman8260 2 жыл бұрын
Nimempenda mtangazaji
@abdullatifsuleiman5371
@abdullatifsuleiman5371 2 жыл бұрын
Na mtangazaji pia wanaendana Sana wapo kirafiki zaidi
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Salute Generali
@vetsengore1035
@vetsengore1035 2 жыл бұрын
Inspiring content
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Alijielewa sana,hata sketi yake tu unaona ilikuwa ikivuka Magoti.
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 2 жыл бұрын
Huyu afande hongera yake.na rafiki.yake Rukia masasi yupo wapi walikuwa wote
@jimmundakega8117
@jimmundakega8117 2 жыл бұрын
Hongera sana!
@elisannko5892
@elisannko5892 Жыл бұрын
I'll be like you one day in Jesus Name
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
Hakika Mnaweza
@dr.kassimumtunguja6978
@dr.kassimumtunguja6978 2 жыл бұрын
Madawili Wote foleni nje ya kombania 😆
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 2 жыл бұрын
Hatari saaaanaaa
@anuaryally6177
@anuaryally6177 2 жыл бұрын
Meja jeneral kitambo umepatia kuweka kabostani kuliko kufuga mijani isiyokuwa na faida
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 2 жыл бұрын
Hongeraa mama
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 жыл бұрын
Kamanda Mwenekano wako bado una Nguvu Mama
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Huyo Ni mjeshi lazima awe na AFYA njema hapa simzungumzii walevi nazungumzia wenye kujitambua Kama huyu mama
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 Tumshukuru Mungu ampe afya njema zaidi pamoja na sisi lakini ujeshi na afya ni vitu tofauti.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
Kwa afya yako njema Mungu akuzidishie inafaa Rais akupangie kazi Serikalini.
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
Mbona sijaona part 2
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 2 жыл бұрын
Mashallah
@mariamuanuari8241
@mariamuanuari8241 2 жыл бұрын
Masha Allah
@hadijachakori2352
@hadijachakori2352 2 жыл бұрын
Hongela sana mama
@maigajohn702
@maigajohn702 2 жыл бұрын
Safi
@allyfawziyaat3246
@allyfawziyaat3246 2 жыл бұрын
My auntieeeeee😍😍😍😍❤️❤️❤️
@janethmponzi8308
@janethmponzi8308 2 жыл бұрын
Hongera sana bibi yangu
@adeltuskarugaba138
@adeltuskarugaba138 Жыл бұрын
Mbona gari hapo mbele lina nyota moja ambalo ni gari la brigedia sijaelewa Au wamefanya parking tu
@fredymahonya1359
@fredymahonya1359 Жыл бұрын
Mume wake ni Brigedia General mstaafu
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 2 жыл бұрын
Iringa hoyeeeeeeee nimefurahi sana kuona mstaafu bado anajitambua vizuri maana wengine wakistaafu utawaogopa hawaelewekieleweki, ila wewe twihongecha je Nguluve.
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 2 жыл бұрын
Hongera sana mama. Nimejifunza mengi kwako. Kweli wanawake wastaafu wanajitahidi sana kujitunza
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 2 жыл бұрын
awana dhulma hao ndio maana wamestaafu lkn bado wamenawili
@allykhamis3378
@allykhamis3378 2 жыл бұрын
Day meja wee achaa tu
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 2 жыл бұрын
We proud of you Sir
@abbasirovya6118
@abbasirovya6118 2 жыл бұрын
She is a lady, cannot be addressed as "Sir" .
@abdullatifsuleiman5371
@abdullatifsuleiman5371 2 жыл бұрын
Ni madam sio sir
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 12 күн бұрын
Nimepata tabasamu muda wote wa video mimi ni raia tu
@tajielpatrick9372
@tajielpatrick9372 2 жыл бұрын
major na mama umeongea ukwel mnooo kila mtu atafute chake wazazi now days wanakuwa slaves wa watoto yaaan ww umtafutie kila kitu yy aenjoy as if amekuja dunia kuenjoy that's not right
@salongomuyoboke514
@salongomuyoboke514 2 жыл бұрын
Kutoka Rwanda. Jameni niambieni maana ya kukimbiza mwenge.
@naimaseif7615
@naimaseif7615 2 жыл бұрын
Mwenge ni ngao ya taifa la tz kila mwaka unakimbizwa tz nzima
@naimaseif7615
@naimaseif7615 2 жыл бұрын
Unapeleka ujumbe fulani kwa watz
@peterchristophernyansambo4959
@peterchristophernyansambo4959 2 жыл бұрын
Jambo afande (itikia mkuu ili nifungue mguu)
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Ah ah ah
@tegemeantenga102
@tegemeantenga102 4 ай бұрын
Kumbe ni mnyalukolo? Malangali kitaaluma ni nyumbani kwetu,, Malangali boys sec school,,,,au ndo maana mabinti jeshini wanaitwa madawili???
@andrew29468
@andrew29468 2 жыл бұрын
Mama anaonekana mnyenyekevu anastahili sifa
@robinhomesuza9263
@robinhomesuza9263 2 жыл бұрын
Wewe mtangazaji amkia kwanza
@jamesmasanja1963
@jamesmasanja1963 2 жыл бұрын
Mavazi yake tu yanaonesha Alivyo, misuruali wanasalimiaga
@DonSompo
@DonSompo 2 жыл бұрын
Tazameni na sikilizeni kwa makini, alimsalimia wakati anapokelewa
@myself4128
@myself4128 2 жыл бұрын
Naona mwanamke kaja kupandisha vvyeo wanawake tuu.soon serikali umbea na misuto itaanza
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 жыл бұрын
Mama yako ana tabia za umbea na kusutana???
@sleimbh
@sleimbh 2 жыл бұрын
Inaonekana umezaliwa na mwaume na huna ndugu wa kike.
@mohammedsururu4047
@mohammedsururu4047 2 жыл бұрын
Ww Una mihemko huyu ni mstaafu tangu 2008 kapandishwa vp cheo na mwanamke
@shufaamnyoty5626
@shufaamnyoty5626 2 жыл бұрын
@@slowclimbertothetop4572 kwa kweli inaonekana ndio mazingira yalomkuza
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 жыл бұрын
@@shufaamnyoty5626 itakuwa hivyo
@mohamedomar7692
@mohamedomar7692 2 жыл бұрын
Sijui bado anae mume na kama hana sijui anataka kuolewa nami.?
@Nicaonlinetv7324
@Nicaonlinetv7324 2 жыл бұрын
Uwe na adabu huyo ni mama kwako
@patloveupdatestv1005
@patloveupdatestv1005 2 жыл бұрын
Fungua Ujionee Aisee🤭🙏🏼 kzbin.info/door/BGjEtmsEsFvt2fMeWNtvPg
@bayongwabyabuzi7840
@bayongwabyabuzi7840 2 жыл бұрын
Hayo yote ni porojo tupu....
@sufianjuma4155
@sufianjuma4155 2 жыл бұрын
@kyellymissago9210
@kyellymissago9210 2 жыл бұрын
Ĺ
@monicambossa4937
@monicambossa4937 2 жыл бұрын
Asante sana
@georgelupembe8672
@georgelupembe8672 2 жыл бұрын
...ooh dada Zawadi....nakumbuka ukiwa Malangali Middle School mkicheza mpira wa miguu na dada zangu Elizabeth Lupembe na wengineo.....pia nakumbuka John Carson's (mmarekani) akiwa mmoja wa waalimu wenu....mama umekuwa mfano mwema kwetu sote na kioo kwa wana Malangali na wana Iringa kwa ujumla. Nakutakia maisha marefu
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,4 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
#TBC: NYOTA WA WIKI NA JAJI JOSEPH WARIOBA NA MKEWE
28:54
TBConline
Рет қаралды 7 М.
UWEKEZAJI KISIWA CHA BAWE
7:10
ZIPA TV
Рет қаралды 12 М.
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 945 М.
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 62 М.