MOTO AWASHIWA WAZIRI WA FEDHA MAKAMO WA KWANZA MHE OMO ATAKA AFUKUZWE ANAVUNJA MUUNGANO

  Рет қаралды 10,498

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 32
@Mahirwazanzibar
@Mahirwazanzibar Ай бұрын
Let's be like Kenyans 😢 tutabak hiv mpak lini
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 Ай бұрын
Mchafuvi wa lugha Chama hiko, chama hiko, chama hiko,nilifikiri ulitamka kwa bahati mbaya kumbe unajaribu kutusilimisha
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Inasikitisha fedha zinavofujwa 😢😢😢
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Awajamaa kweli wamejipanga kuchukua nje namungu atawajalia
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k Ай бұрын
Ujinga ujinga sasa basi
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Ай бұрын
Aaamiin Allah awape nchi yao
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 Ай бұрын
Amen
@Rashidmohammed03
@Rashidmohammed03 26 күн бұрын
Amiin ya rabby
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Sasaivi ndio pazuri kusema bendera inamruhusu usimlaumu 😂😂😂
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Ай бұрын
Jambo lilouwa zanzibar ni dhulma ya wana ccm wa Zanzibar na Tanganyika
@Jal210
@Jal210 23 күн бұрын
Wazanzibar simtoke Tanganyika ya nini maneno kila siku hatuna faida na Zanzibar yenu nyie wapumbavu sana
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 23 күн бұрын
@@Jal210 siku zote hata mwendawazim hujiona ana akili na kuona watu hawana akiili sikulaumu
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Taarifa nzuri ila lugha ya mtangazaji haipo Sawa
@rajabrajab3525
@rajabrajab3525 Ай бұрын
Mtangazaji ajifunze kiswahili cha znz
@user-ll8fv2xt9n
@user-ll8fv2xt9n 29 күн бұрын
naam sahihi kabisa..ati "CHAMA HIKO" ni aibu kwa kweli
@kassim1262
@kassim1262 28 күн бұрын
Mbona ccm hwtki hili neno znzbr yenye mamlaka wao wnachokitaka barabara namasoko ty😂😂😂😂
@MwigaAdam
@MwigaAdam Ай бұрын
Ndugu mtangazaji sio chama hiko kiswahili sanifu ni chama hicho
@SaydyShaabani
@SaydyShaabani Ай бұрын
waambie
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
yaguju
@febby8308
@febby8308 29 күн бұрын
Mwamba yuko sahihi
@hakiyangu
@hakiyangu 28 күн бұрын
Hata sisi Tanganyika tunataka mamlaka kamili, na ss tuwe na rais wetu kama nyinyi.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Ай бұрын
Hapa ndio unaona serikali tatu hazikwepeki
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Ай бұрын
Cha hicho dada sio chama hiko
@user-kv9lq7yy8l
@user-kv9lq7yy8l Ай бұрын
ndugu muandishi chama hiko ndio nn
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Chama hiko au chama hicho?
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db Ай бұрын
Labda mtangazaji ni mchina
@muhidinimohd1470
@muhidinimohd1470 Ай бұрын
Yani masiara mbali uyu jamaa anaongea vitu muhim
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Mhe. OMO ulikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa karibu miaka 10 naoina ilikuwa "plate form" nzuri kusema hayo na ulikuwa ni wajibu wako. Hasa. Mamlaka kamili kwenye Muungano yapo je? Naomba anaeelewa anieleweshe. Hivi sasa tunadai Katiba Mpya lakini iliyopo haijatekelezwa wala kuheshimiwa ipasavyo. Mfano Ibara ya 131 - 144 kuhusu fedha ikiwemo akaunti ya pamoja. Je Katiba Mpya itafaa nini ikiwa haitatekelezwa wala kuheshimiwa.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Haji mbona unakuwa kama mtu ambae huna uelewa wa mambo kwanini,mimi naamini unajifanya tu,kwanza ungechukizwa na huu udanganyifu unaofanyika katika Muungano juu ya Zanzibar inavyofanyiwa.mambo yapo wazi hata wewe kama unafanya ushirika na mtu juu ya biashara yenu ya ushirika usingekubali kuendelea na huo ushirika ingemwambia kila mtu afanye biashara kivyake kwa sababu ilishamuona mwenzako dhamira yake ni mbaya.tunapotaka kushabikia mambo tuangalie ukweli zaidi ulivyo.
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db Ай бұрын
Jaribu kupinga uwa bado umo kundini mwa wachawi uone watakavo kula nyamnyam
@user-pm7yo3xi3h
@user-pm7yo3xi3h Ай бұрын
Ulikuwepo wapi alipofukuzwa na Shein hakuna au
@Jal210
@Jal210 23 күн бұрын
Wewe mjinga huna adabu leo ndiyo unataka nchi yenu wakati vizazi na vizazi vimeshazaliwa mjinga kabisa wewe
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 24 МЛН
'I Stand By My Statement,' Ndume Breaks Silence After Sack As Chief Whip
11:10
Channels Television
Рет қаралды 176 М.
Donald Trump Addresses Republican Convention After Assassination Attempt
12:24
Good Morning Britain
Рет қаралды 116 М.
LIVE: US General CQ Brown speaks at Aspen Security Forum
15:46
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН