KURA YA MAPEMA HAIYONDOKI INABORESHWA ZAID WAZEE WAGONJWA WAJAWAZITO WALEMAV WATAPIGA KURA YA MAPEMA

  Рет қаралды 12,804

Tifu Tv

Tifu Tv

Күн бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 118
@w4058
@w4058 2 ай бұрын
Alaysa llahu biahkamulihakimin hakimin na Allah anazijuwa mbinu zenu ovu na atawaweka mnapostahiki madhalim waku Hasbunallah Waniimal Wakiil anawaumbuwa bila wenyewe kujijuwa
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 Ай бұрын
WEWE MWENYEWE NI MNAFIKI
@saidsheha-wn4qw
@saidsheha-wn4qw 2 ай бұрын
Ewe Allah, tunakuomba waja wako, wewe ndo wakuombwa hakuna mwengine ispokua wewe, mshushie laana kila aliye katika katika chama cha mapindizi. Iangsmize ccm na watu wake kama ulivyomuangamiza Firaun na wagh wake. Amin
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 Ай бұрын
LAANA IMEANZA KWAKO WEWE USHAANZA KULAANIKA
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 2 ай бұрын
Basi kama wagonjwa wote wapige kura ya mapema ndio sote maana hakuna mzima maisha yameshatutia ugonjwa
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 2 ай бұрын
Subhanallah yarabi yani ccm mnazalisha chuki zanzibar yani ccm kiswahili unamwita mwenzako mvuta bangi @Mansour Yussuf Himid
@MwigaAdam
@MwigaAdam 2 ай бұрын
Mungu anawaona nalolote litakalotokea mutakuwa mas... Uul mbele ya Allah.
@alinassor391
@alinassor391 2 ай бұрын
Sasa km kweli mnajiamini hio kura ya mapema inamaana gn mpaka Wagonjwa wa akili pia nao wapige kura ya mapema lkn wizi upo palepale ndio lengo lenu ila inshaallah m.mungu atawahukumu apa apa duniani
@alimau7939
@alimau7939 2 ай бұрын
CCM Chama cha Mabaradhuli
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 2 ай бұрын
Dunia nzima basi wagonjwa wapo Zanzibar tu mbona muna hila huko bara kunako watu wengi hakuna kura ya mapema au bara hawagnjwi achena hila zenu uwizi tu kutaka kupiga kura mara sabasaba
@jombadulla
@jombadulla 2 ай бұрын
asha bakar ashatangulia mbele ya haki,John pombe magufuli ashaenda,na wew ursenda,mwyi mkuu ashaenda,kwa kila nafs itaonja unauti,ata wew ipo ciku utaenda,fanya amali njema
@nassorseif7907
@nassorseif7907 2 ай бұрын
Kwani kura ya mapema ni sheria ya Allah kua haifutiki Hio kura ya mapema ndio chanzo cha mauwaji na nyinyi ndo munaonadi amani na utulivu kila sehemu kwahio munashilikilia jambo ambalo tayar mmeshaliona athari yake ili mupate kuua wenzenu madhalimu wakubwa nyinyi Allah atawangamiza km alivo muungamiza Firauni na watu wake
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 2 ай бұрын
Tafuta kazi ufanye ujipatie rizki ya halali kua c c m sio lazima. kinyume na hivo utahesabu majaji hd kiama.
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 19 сағат бұрын
Namkifika,kwa,mungu,pigeni,kura,ya,mapema,msijemkasahau,kupiga
@muhidinimohd1470
@muhidinimohd1470 2 ай бұрын
Usitutukanie mansoor wetu anathamani kubwa zanzibar
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 2 ай бұрын
Ccm haitadum Zanzibar kwa miaka 10 ijayo In Shaa Allah naomba muhifadhi hii comment Mwinyi hatomaliza miaka yake 10 abadan
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 2 ай бұрын
Endelea kujipa moyo ccm ni milele na milele
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 2 ай бұрын
@@SanguloRaahoo ikiwa ww hauna uhakika wa kesho basi ndio hivyo hivyo kwa jambo lolote hukaa kwa muda uliokadiriwa na alla
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 29 күн бұрын
Hakuna Cha milele walikuwepo waengerza na waliondoka ​@@SanguloRaahoo
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 2 ай бұрын
Mansoor umemwita mvuta bangi ! Jee wewe ukiambiwa khanithi au msenge utasemaje hiyo
@user-jh5ne9mw4w
@user-jh5ne9mw4w 2 ай бұрын
Na ww pia ishalla utakufa mapema
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 2 ай бұрын
Mamaako mvuta bangi mbwa koko
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB 2 ай бұрын
Kuwa mkweli maana ya kura ya mapema ni nini. Kama sio wizi.
@allymaha-tv5lf
@allymaha-tv5lf 2 ай бұрын
Kila mbinu za uovu tumieni lakin inshaallah madam mna nia ya kufanyia wenzenu hamtoshinda Maisha litakalo baki kwenu hivyo hivyo Kuwauwa watu mjibebeshe jukumu Kwa Allah. wizi kura kama hivyo mnavyo panga au kuwatumia Vijana ambao hawajitambui Kwa kupiga kura mia mia . na kubiruwa matokeo na kufuta uchaguzi pale ambapo mnapoona mmeshindwa hayo ndio mnayoyajua lakin Kwa zanzibar hii ccm haishindi kwa njia ya kura ya. halali haishindi
@salyali7807
@salyali7807 2 ай бұрын
Laanatullah ... Hasbiyallah waneemal wakeel
@NoufelSalim
@NoufelSalim 2 ай бұрын
Wote woga huo ila kura ya mapema haipo.
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 ай бұрын
Wee mbwaa utamutaje mvuta bangi wezio
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 ай бұрын
Hapo ni baada ya kuona miaka saba ya nyongeza haiwezekani
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz Ай бұрын
Wewe mbona unakashifu watu mbona yenu mumeyasau mukumbuke na umauti mafisadi wa Kitanzania wizi udhuluma ndio sera yenu kweli ACT haina nia njema je nyinyi munaouwa watu muna nia njema COM wacheni woga maana hamujiamini mumezoa kuiba kura hata aibu hamuna
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 2 ай бұрын
Wallah wingi walotouliwa binafsi Mh khamis mobeto tu ndo nnae mkubali jama sijawai msikia akiongea kumkashif mtu.. lkn pia ata akiongea unamuona fika hayupo kugombanisha wapinzani na Mh Rais mwinyi lkn hawa wengine wallah wapo kimaslai na kumgombanisha Rais wetuu mpendwa Hussein mwinyi na wapinzani na wananchi
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 ай бұрын
Ccm Zanzibar wamechanganyikiwa
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Huko ACT kuna mvuta bangi, hii kauli haikubaliki kwa vile ni kumkash
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 2 ай бұрын
Nakuambie hapo hakuna la ukweli hata moja alosema. Anawazuga mibunju wenzie tu. Khanithi mtef tef bora Mauzinde kuliko huyu.
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 2 ай бұрын
Zanzibar inawezakufanya uchaguzi kwa nusu SAA tu kama ilivyo nchj ya isrrael,,,lakini ulimwengu mzima unajuwa zanzanbar hakuna uchaguzi ni ubabaishaji tu,,wapiga kura laki tano uchaguzi siku mbili???? Hii ni balaa
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah 2 ай бұрын
Ata kama act wana mabaya yao ila hawajaifikia ccm kwa uovu ila kizuri nikua dunia ni mapito subir mfukiwe ndipo mtaiona wizi wa mapema
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f 2 ай бұрын
Kura ya mapema ni nini kama si wizi, kwani hao wazee wa pensheni, walemavu, waja wazito na wagonjwa si wapige kura wao kwanza kisha kura ziendelee kupigwa kwa wenginine siku hiyohiyo moja
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Semeni tu kuwa ni mbinu ya kuiba kura wala hakuna shaka.
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 2 ай бұрын
Magufuli yuko wapi
@ISSAJR-fo5nt
@ISSAJR-fo5nt 2 ай бұрын
Kwani walemavu wapo Zanzibar tu au ninyi ndo mnaowatia ulemavu?
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 ай бұрын
Kura ya mapema ndio njia ya wizi
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi 2 ай бұрын
Nahis. Uyujamaa. Alkua. Anamushia. Bangi. Mansour. Halafu. Analiwa. Uyuuuu
@mangofish9079
@mangofish9079 2 ай бұрын
Ila cha ajabu kwa ccm kila wakiiba ndio wanazidi kujidhihirisha kama hawana watu wa kutosha zanzibar kura ya mapema kwa wapiga kura 5 ndio nini sasa?
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 ай бұрын
kama haijaondoka basi ccm itaondoka .hata iweje ndufu yangu
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 2 ай бұрын
Uchaguzi Kwa CCM ni worst nightmare.. ikikaribia uchaguzi wanatapatapa
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 2 ай бұрын
Daaa yani hata aibu hamna sasa mnaogopa nini kuta kupigwa kama nchi zengine zinavopiga? Mnajishrukia 😂 duu kumbe mnaogopa hahahaha
@user-wr3jp6tg4p
@user-wr3jp6tg4p 2 ай бұрын
Chaaa ajabu hivi visiwa vina watu takriban milio 1.8 wakati urusi na afrika kusini itakua na idadi gan wao wanapiga siku moja na wanatoa matokeo vp wao Hawana wagonjwa na watu maalum Ila cc visiwa hivi tu
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 2 ай бұрын
Dunia bana kwsho yake mtu haijuwi
@WakaWaka-eu9ky
@WakaWaka-eu9ky 2 ай бұрын
Wee dimwa huna swaga ni kibaraka wa ccm t huez kumwita mwenzio mvuta bangi ww je mvita unga au
@rashidmohdkhaji7649
@rashidmohdkhaji7649 2 ай бұрын
Wajidanganya aliye akiwaleya kashakufa uji uji basi hapa hapatoshi tena
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 ай бұрын
Kura ya mapema imeandaliwa maalum kwa ajili ccm kupata njia ya kuiba kura, hlf unamtukana mansour ni mvuta bangi, kibusara umefeli na huna busara, unamtukana mtu kwenye jukwaa jee wewe unavuta nini??? Si unavuta madawa ya kulevya, yaani jitu likiwa halina aibu utalijua tu uso umempauka aibu imetoka ktk uso wake
@drabdi6806
@drabdi6806 7 күн бұрын
hapo naomba niwasanue yaani lengo leo wale watu wa bara walioletwa kupiga kura huku zanzibar wawahi kupiga kura ili siku ya kura yenyewe wasafir waende kupiga kura kule bara
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 2 ай бұрын
Hizi ni dalili za kuwaogopa wapinzani mna lenu jambo twawajua uzuri kwani hao mnaowapigisha kura mara mbilimbli ndo wanotoa siri acheni dhulma nyie uhai mfupi
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 ай бұрын
KURA ZA WIZI NA MAUWAJI NI PALE PALE
@wakwetu2444
@wakwetu2444 2 ай бұрын
Hiyo ni Kura ya wiz.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo 2 ай бұрын
Nahisi kichefuchefu hata kusikiliza
@SuleimanSalim-ql3ny
@SuleimanSalim-ql3ny 2 ай бұрын
Mim huaga nasema hviii ccm yeyote akisema jambo lolote kuhsu kura uongozi ama nchi basi liamin ata km analosema ni ovu km firoun
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 2 ай бұрын
Ccm mutaondoka mwaka huu
@SalumFuraha
@SalumFuraha 2 ай бұрын
Huyu nae
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l Ай бұрын
Hiyo inaitwa kura ya mauwaji
@user-im6dl1ie9i
@user-im6dl1ie9i 2 ай бұрын
Ccm zbar mnatuangusha hakuna jipya 😅
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 2 ай бұрын
Huyu jamaa nimsenge yy nawezake
@allyalsubhy6899
@allyalsubhy6899 2 ай бұрын
Na Jecha yukowapi
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 ай бұрын
nachafukwa na nyoyo kuwaskiliza hawa
@binmasoud4150
@binmasoud4150 2 ай бұрын
Kweli hasa😮
@user-im6dl1ie9i
@user-im6dl1ie9i 2 ай бұрын
Dimwa huna jipya madaraka yamekulevya ccm hamna jipya
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 2 ай бұрын
Mbona Ccm kama wao ndio tume ya uchaguzi
@user-lb8gz5pt3u
@user-lb8gz5pt3u 2 ай бұрын
Sasa mbona bara Kuna watu weng hakuna kura ya mapema munataka iwe znz tu Nia yenu kuwa watu kwa idadi kubwa ila mungu yupo baba utakufaa ww mapema
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 2 ай бұрын
Mhh, mheshimiwa mimi sikuelewi wewe ni nani zaidi ya kukuona kuwa ni ccm, lakini hiyo haisumbui sina ulazima wa kukujua inatosha vyovyote ulivyo ni wewe tu na mungu wako kwa aliokubariki nayo, jambo muhimu napenda kukumbusha lisije likasahaulika katika maboresho ya kura ya mapema ni vyema ikafanyika usiku ili kuwapunguzia usumbufu maalibino na wazee wanaopokeapenshen wasisumbuke ama na jua kali au mvua, ni wazi mkifanya hivyo hata matokeo ya uchaguzi atakuwa mazuri kwa wagombea kwani vimeandikwa katika bibilia matendo - - - - - - hufanyika kwenye giza 👍
@allyalsubhy6899
@allyalsubhy6899 2 ай бұрын
Labda mnavuta pamoja
@VillaBoy-fv2zw
@VillaBoy-fv2zw 2 ай бұрын
Kwan wazanzibar wajing kuw wasielew leng len haliyakuw ccm nyot mulisom bila kuelimik wajing wakubw nyiny
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 ай бұрын
Kwa hali hii Zanzibar hamna uchaguzi niuchafuzi
@hasinabukheiti
@hasinabukheiti 2 ай бұрын
Mashaka tu
@khalidmwinyi1981
@khalidmwinyi1981 2 ай бұрын
Kwa mungu hakuna act wala ccm uko kuna uislam tuu
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 2 ай бұрын
Jamani maneno ya chuki ya nini kumwita mtu mvuta bangi ni ujinga na ushoga pamoja na chuki zako sio za chama unayumba pumzi tu hizi
@delasdiego6537
@delasdiego6537 2 ай бұрын
Hatutaki kura ya mapema fala ww
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 2 ай бұрын
Hivi niulize hii zanzibar km hawawezi democracy kwanini wasiseme tu why wanajipa shida chama tawala wameona wapi duniani kura ya mapema Nchi hii naishi ina watuilioni 80 lkn hatupigi kura ya mapema na Walemavu wagonjwa hawana idadi
@abdnassor
@abdnassor 2 ай бұрын
6:12
@saidrashid5972
@saidrashid5972 2 ай бұрын
Umeongea vzr sana mkuu ACT 🎬 ni chama cha wafanya biashara sio chama cha kuwatumikia Wazanzibar. Kwa mujibu wa sheria ya Zanzibar 1984 kifungu cha 52 Raisi haimlazimu kupokea ushauri wa yeyote yule.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 ай бұрын
Chama cha siasa ni ccm peke yake ndio watu wa ajabu ,unadhulumiwa katika Muungano wala husimi kitu anaekuambia kuwa hapa tunadhulumiwa kwa hili na jambo hili nawe unaona kuwa nikweli hata mtoto wa darasa la tano anaona kuwa hapa ni kweli dhulma inafanyika wewe ccm Zanzibar hulioni hilo na huku ukijua ,nyinyi tuwaiteje mimi binafsi CCM Zanzibar siwaelewi na sitawaelewa kwa ujinga ujinga huo.
@alihassan3648
@alihassan3648 2 ай бұрын
Tuoni mkae milele
@user-ly5nv3yv8o
@user-ly5nv3yv8o 2 ай бұрын
Kamakurayamapema hitaondo ka utaondokaww ishaallah
@Time-ev3dw
@Time-ev3dw 2 ай бұрын
Umoja wa walaji😊😊
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm Ай бұрын
Nyie maccm mutadhulumu mpaka siku ya kiama
@user-rv1vn9zj5w
@user-rv1vn9zj5w Ай бұрын
Wewe mshenzi usiejitambua wacha kutufitinisha Wazanzibar wenzangu na hasa vijana tujiepushe na watu kama Hawa ccm tonge
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 29 күн бұрын
Ulijuwaje mansoor ni nvuta bangi kama si nyote wavuta bangi??
@user-om2ur5by9n
@user-om2ur5by9n 2 ай бұрын
Pigeni ya asbh mchna na ya usiku dunia yenu
@OmanIbri-hj8ss
@OmanIbri-hj8ss 2 ай бұрын
Choko uyoooo
@khamissaid5525
@khamissaid5525 2 ай бұрын
Asimalizee manenooo
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi 26 күн бұрын
Usitutukanie mansour wetu ww una laana kubwa
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Et mvuta bang mmoja mansoor 😊😊
@seifserenge3340
@seifserenge3340 2 ай бұрын
Yaonekana mna huruma kweli CCM, hamtaki raia wenu wapate tabu hata chembe,
@user-wr1iu5re2c
@user-wr1iu5re2c 2 ай бұрын
Mi napita 2 world on fire kumbe inavyotwa
@ZANAMBER
@ZANAMBER 2 ай бұрын
Kwani hiyo tume ni mali ya ccm na hiyo kura ya mapema ni mali ya ccm au ni. Mali ya wananch au ni jeuri ya madaraka na hapo wenye nia nje nani ?
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 2 ай бұрын
Pia umesikia bwana wako amos makala kamujibu nyoko wee
@saidsheha-wn4qw
@saidsheha-wn4qw 2 ай бұрын
Alikuwepo Firaun, leo yuko wapi?
@muslihpandu6
@muslihpandu6 Ай бұрын
Sas kam yeye mvuta bangi ww nan sas maana naon hujielew mtu mzima
@YahyaOthman-et2ki
@YahyaOthman-et2ki 2 ай бұрын
DAH NCHI HII
@kitosio
@kitosio 2 ай бұрын
Hakuna kibaya ktk mazungunzo yaliyotolewa bila kuzingatia uhasama WA vyama
@KhamisSalum-wz8cy
@KhamisSalum-wz8cy 3 күн бұрын
Unagongwa
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 2 ай бұрын
Iyendelee milele hata miaka elf.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 2 ай бұрын
Hakuna uchaguzi hapo
@jaanjaan111
@jaanjaan111 2 ай бұрын
Nahisi unajifurahisha wakati utasema
@husseinbakar2358
@husseinbakar2358 2 ай бұрын
Nyie ndio mliokaa na kujali matumbo yenu
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 ай бұрын
Wacheni mipango ya wizi hamuwezi kushinda mpaka kura ya mapema
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 2 ай бұрын
Hata hiyo kura ya mapema pia hawakushinda. Maalim alikua juuu
@alyspare4850
@alyspare4850 2 ай бұрын
punzi isikuhadae ww mzee na kutegemea siasa siku ikifika utakwenda kujibu kwa allah
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Atajibu kabla hajafika kwa Mungu wake Unguja ni ndogo wenzake walikuwa kama yeye na mwisho wao ukawa mbaya sana. Basi Dua na Loooh za Wananchi ndio zitamrudi yeye na wenzake.
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Ай бұрын
Firauni kaondoka iwe ccm bwana watondokatu haiwi dunia inamwisho je wajinga hawa wanaojifanya miungu watu mtatuuwa sana lakini hatukati Tampa
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 2 ай бұрын
Utumbo mtupu
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 32 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
What is apartheid and why do some accuse Israel of it? | Start Here
15:00
Al Jazeera English
Рет қаралды 175 М.
MPINA KAMA MPELELEZI ANASA NYARAKA / ABAINI UOZO HUU
13:28
Uhondo TV
Рет қаралды 13 М.