Story zinafurahisha na kufundisha at the same time ......
@ntegamaherezovenuste8 күн бұрын
Nakupend mim ni munyarwanda nkupenda san
@BonPetro-kb6gfАй бұрын
Dah! Mzee yuko funny sana 🤣🤣🤣
@allahisone6386Ай бұрын
Ndiooo
@jwakoofficial1560Ай бұрын
Noma sana dereva
@user-jx8qj8gm5gАй бұрын
Noma sana
@user-bd6nt4yq3mАй бұрын
Huwa namuelewa sana huyu dereva mkongwe
@ramadhanmnembuka1408Ай бұрын
Namwelewa Sana deleva mwenzangu tunapata tabu Sana
@OfficialSamuel__MtuiАй бұрын
😂😂😂😂😂😂 ako angu uyo😂😂😂❤
@aminaomary556724 күн бұрын
Mimi nampenda sana dereva mkongwe❤❤❤🎉🎉🎉baba🎉🎉🎉❤❤❤nassibu❤❤❤🎉🎉🎉
@RichardDaniel-no5eu16 күн бұрын
Nakuelewa sana dereva
@ashrafadam4629Ай бұрын
uko vizuri daddy
@kabujeasukile5462Ай бұрын
Big up mzee nimependa story zako👏👏
@lenniefei6710Ай бұрын
Nimegundua waTz wengi wanapenda na kuzuzuliwa na mambo ya vituko na kipuzi.....Wanashabikia sana usanii kuliko mambo ya kimsingi maishani kama Elimu na utandawazi ! Abiria chungeni mizigo yenu !
@AnnoyedSunlightForest-uv2cx29 күн бұрын
Hatari sana kk
@halimaamini8015Ай бұрын
Huyu baba ana kitu mjue lamata amuangalie😂😂😂😂
@user-ju3nm8oc1cАй бұрын
Daah! Kweli kazi.
@ShufainaAhmadАй бұрын
Baba levo anacheekaaaa😂😂😂
@abrahammichael642Ай бұрын
Huyu jamaa angepata nafasi cheka tu ingekuwa poa sana
@olemenye-jb8ywАй бұрын
wasafi wangempa kazi
@amaninamfua8472Ай бұрын
🔥🔥
@StephenJindwa28 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Mkongweeeeeee.mimi hapa kutoka 254 nimecheka 😂😂😂😂
@ubalaseleman5894Ай бұрын
Namkubalii sanaa
@kwizeralajoie3619Ай бұрын
Nakwambia dereva mkogwe atawakauche ❤❤❤nacheko
@antelmaswai898829 күн бұрын
❤
@samsonmuema21713 күн бұрын
Namuaminia sana , dereva mkogwe, , Mimi pia Niko katika hio sekta ya udereva
@gaspeldaniel1140Ай бұрын
Dereva mkongwe
@NasbuSaleheАй бұрын
Master
@barikimushi9723 күн бұрын
Ahahaha Dereva mkongwe,mimi na mkubali sana
@robertmasha173Ай бұрын
Lala nayo babu nakuaminiii
@dave_mwanzia3 күн бұрын
Huyu kizee ana hadithi za abunuasi, uwongo kweli ameujaza kila kona. Mkenya nimesafiri kwingi huku anako ongelea na ni rongo tupu hizi.
Huyu afurahishi Bali anaponda madereva baada chansi kama hii kutetea madereva wenzake kwamadereva atumwelewi kabisa vioja anavyovitowa
@mariamrajabu7458Ай бұрын
😂😂😂
@martinshitindi190223 күн бұрын
mshamba tu huyu mzee wala hana ukongwe wa kihiivyo..
@yahyaabdulrahman723521 күн бұрын
Acha roho mbaya bhn
@josephmihayo6236Ай бұрын
Kateshi Dareda Babati hiyo, Kuna down inaitwa Sigino kabla hujafika Njia panda ya Dodoma bonga huko
@JamilaSereri27 күн бұрын
Híyó bàlaàà
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
Yaani nimecheka vibaya mni! Alafu mie sio mrahisi wa kucheka hua...ila huyu dereva amenikosha
@user-rk6sx2bw3eАй бұрын
Sasa kinachokufanya usiwe mrahisi wa kucheka kitu gani???bac itakua una shida ww......
@BarbaraPatience-qt9ccАй бұрын
@@user-rk6sx2bw3e wewe ndio inashida nikicheka nisipocheka inakuhusu nini? Hebu tuliza utoko na UTI sugu huko!! Hii comment haikua yako ama wewe ni Wasafi? Shenz kinuka mkojo wewe!!!! Hebu tuliza mshono....au ni fumage Kwa mshono tena!!! Ibilisi kasoro mkia!!!! Kinyago wa mwembe tayari
@joelmutunga819319 күн бұрын
Tafadhali mtu aniambie jina la zile mabasuli yalitumwa kuwachukua Burundi 😅😅😅
@thabityasin8624Ай бұрын
Muongo huyo sisi tuna jua
@ilynpayne7491Ай бұрын
Una jua nini?
@tadeibongole4833Ай бұрын
Anaacha kuzungumza mambo ya msingi na changamoto za madereva anafanya comedy