HEKAYA ZA NABIIMSWAHILI

  Рет қаралды 461,054

Madebe Lidai

Madebe Lidai

Күн бұрын

Hizi ni clip zinazobeba ujumbe unaohusiana na masuala mazima ya ulindwaji wa utalii wa ndani na kutunza vyanzo vya Miti
#LPMEDIA
#2021
+255769000762

Пікірлер: 142
@farajilupeto4647
@farajilupeto4647 3 жыл бұрын
Qariiii sana madebe. Kama unakubar madebe gonga like hapa tujuwane
@charlesdotho3230
@charlesdotho3230 2 жыл бұрын
Poa
@user-ru7vn9nl8w
@user-ru7vn9nl8w 11 ай бұрын
Hakika Nabii Mwenyezi Mungu Akuzidishie kuishi maisha marefu elimu tuyipatayo Toka kwako hakika tunaelimika🙏🙏🙏
@fettykisamvu4447
@fettykisamvu4447 3 жыл бұрын
Sauti zuri mnoo hongera kwake uyo muimbaji mtungaji na mwandish wa nyimbo iyo
@ustadhemmanuel8797
@ustadhemmanuel8797 3 жыл бұрын
Anaitwa nani
@markopiyotv2010
@markopiyotv2010 3 жыл бұрын
From kisii Kenya we enjoy your show
@philemonanyona223
@philemonanyona223 2 жыл бұрын
Safi
@passionflavour5159
@passionflavour5159 3 жыл бұрын
Mbona ckuiz umepotea Sana kaka siokama zamani
@citogentlemanbusiness7028
@citogentlemanbusiness7028 3 жыл бұрын
Huuu mwimbaji anacho kijua niku imba sana🇨🇩🇨🇩😂😂
@more2559
@more2559 3 жыл бұрын
Feysal machuya
@citogentlemanbusiness7028
@citogentlemanbusiness7028 3 жыл бұрын
@@more2559 ✊
@dignanachenga5699
@dignanachenga5699 3 жыл бұрын
Unaeza sana Allah akusimamie Zaid kwenye kazi na kukubal sana madebe mie na familia yangu
@jimmyjeremie6723
@jimmyjeremie6723 Жыл бұрын
Asante nabii Ila tunaomba mwendelezo waii filam
@abdinasiromar3262
@abdinasiromar3262 2 жыл бұрын
Watching From Northern Kenya, Very Interesting. ✓
@nakulemuderhwa6648
@nakulemuderhwa6648 2 жыл бұрын
Nashukuru kabisa kuhutazama filamu hii kiukweli niyenye kujenga
@mrmariki9090
@mrmariki9090 2 жыл бұрын
Nzur Sana tunasubir mwendelezo wa nabii mswahili!!
@marcelinammasa3114
@marcelinammasa3114 3 жыл бұрын
Madebe unawakilisha Tanzania 🇹🇿 yetu kwa bongo movie keep it up brother 🔥🔥🔥 🔥
@hamadmsigwa3448
@hamadmsigwa3448 3 жыл бұрын
Jamaa anajua
@mwabigabriel3053
@mwabigabriel3053 3 жыл бұрын
Hongera Nabii Mswahili, umenifanya kukimanya Kiswahili na kuyajua mengi. Asante
@christopheamos7150
@christopheamos7150 3 жыл бұрын
Hii itakua kiboko zaidi sana tunakusubiri kwa hamu
@mbunah255
@mbunah255 3 жыл бұрын
Duuh 5 day npen like hata 100 jamon😔😔😊
@samirpictures9929
@samirpictures9929 Жыл бұрын
I really appreciate ur work madebe 🙌🤝🤝🤝
@franknyali573
@franknyali573 3 жыл бұрын
Naisubili kwa hamu San iachie
@thwalibmshairi1428
@thwalibmshairi1428 3 жыл бұрын
Huu ni ukweli miti n yamaana sana katika maisha ya kiumbe yeyote mwenye damu
@thwalibmshairi1428
@thwalibmshairi1428 3 жыл бұрын
Kutokea Kenya madebe mengi umenifunza Kaka nakupenda sana
@thwalibmshairi1428
@thwalibmshairi1428 3 жыл бұрын
Hongera kaka
@albertabas2888
@albertabas2888 2 жыл бұрын
Thank you for your work bro
@denniswasike1193
@denniswasike1193 3 жыл бұрын
Tunangoja kwa hamu sana can't wait
@rehemakigody9359
@rehemakigody9359 3 жыл бұрын
Jamaa Anajua sana
@favouroriginal4120
@favouroriginal4120 Жыл бұрын
Naikubali sana kazi yako nzuri inaelimisha jamii.
@mwangamediasimoncephas
@mwangamediasimoncephas 3 жыл бұрын
Mombasa-Kenya,nafuatilia tu kwa ukaribu sana
@ciscongala1037
@ciscongala1037 2 жыл бұрын
Huna mfano Tanzania brother,from 254🇰🇪
@justineonline6556
@justineonline6556 3 жыл бұрын
Kweli hekaya za nabii mswahil
@abelwanjala9577
@abelwanjala9577 2 жыл бұрын
Hongera kwa kazi unayoifanya madebe l,I wish that one day to meet you
@christopheamos7150
@christopheamos7150 3 жыл бұрын
Hum noma kabisa jiwe akeangikia yai hasara kwake naikifikapo yai anaangukia jiwe hasara kwake huu msemo unahitaji ufumbuzi zaidi, kikubwa nikufuatlia kwa makini mbeleni tupasha kuelewa mengi zaidi
@citogentlemanbusiness7028
@citogentlemanbusiness7028 3 жыл бұрын
Ningependelea muwe mnaposti izo wimbo tuwe tuna sikiliza kwaku jifunza naku furaisha nyoyo zetu 🙏
@innocentoder8481
@innocentoder8481 Жыл бұрын
Kamaa tunamkubalii madebee wapii likee jamaniii,,,anajuaa madebeeeeeee ni hatar
@jamesbullet2906
@jamesbullet2906 Жыл бұрын
Hogera sana madebe kazi poa
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 3 жыл бұрын
Wakwnza like kwangu😋
@pascalwanjala7478
@pascalwanjala7478 3 жыл бұрын
Good .karibu Kenya dada.
@autographics2023
@autographics2023 3 жыл бұрын
Wangapi hatukati miti tena
@luisrich4261
@luisrich4261 3 жыл бұрын
Paka anae samini kesho yake hawezi kula panya mwenye mimba
@katembenduto9560
@katembenduto9560 5 ай бұрын
Nakubali Nabii
@ismaillhussein1357
@ismaillhussein1357 3 жыл бұрын
Mwendelezo wa matusi vp
@RehemaSaidi-or7nt
@RehemaSaidi-or7nt Жыл бұрын
Hongera Sana
@amisiba751
@amisiba751 3 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa sana ujue
@officialfeba2120
@officialfeba2120 3 жыл бұрын
Nakukubali sana brother
@spensmokimalenga
@spensmokimalenga 3 жыл бұрын
Kwa kweli in kweli, asiyejua thamani ya mimba, huavya, anayeijua haika ni tasa
@stanleykiok7944
@stanleykiok7944 2 жыл бұрын
Great minds
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 3 жыл бұрын
Heee saa kumi na moja Asubuhi??.. daaa unatukosesha uhondo
@ktwoeddy3941
@ktwoeddy3941 2 жыл бұрын
Napenda huo wimbo kwa background, nani ameimba???💥💥
@mutanafatiibrahim2240
@mutanafatiibrahim2240 2 жыл бұрын
Natamani kua kama madebe athman mbinga. Mm ni mkongo nipo goma. Nitajitahidi namimi niwe mswahili wa Drc.
@elishasilawi2492
@elishasilawi2492 3 жыл бұрын
Naisubiri maana zote nishamaliza
@augustinomunuma853
@augustinomunuma853 3 жыл бұрын
Nakubali sana uwezo wako wa kufikiri. Hongera sana. Ujumbe ufike kwote ulimwenguni. Miti ubeba asili yetu, ubeba utamaduni wetu, Afya yetu, elimu yetu na maisha yetu. Maisha yetu utegemea sana mazingira yetu ya asili. Mungu akubariki wewe na timu yako
@jumaabdalah3884
@jumaabdalah3884 3 жыл бұрын
Tunasubl kwA hamu sanaaaa
@christinamosses178
@christinamosses178 3 жыл бұрын
Bro uko vizur sana kwa mtu ambae hakuelew bs atakuwa mchawi
@emmanuelmasungaemmanuelmas5697
@emmanuelmasungaemmanuelmas5697 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bro piga kazi achana na maneno na ubisho🔥🙏
@willemwinuka8396
@willemwinuka8396 2 жыл бұрын
Nakubali
@stevemariga1
@stevemariga1 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 napenda hizi hekanya
@haronsiele4144
@haronsiele4144 3 жыл бұрын
Totaly enjoyable real in life
@malumejunior3674
@malumejunior3674 3 жыл бұрын
malizia
@yakoubwachafu4694
@yakoubwachafu4694 3 жыл бұрын
Waiting
@MICHAELMTILWA
@MICHAELMTILWA 8 ай бұрын
Like it❤
@bbablack9080
@bbablack9080 3 жыл бұрын
Madebe tunakuitaji zaidi ✊🏿
@Nshimirimana80
@Nshimirimana80 Жыл бұрын
Safii
@Chachathecj
@Chachathecj 3 жыл бұрын
Madebe nimesubiri Sana ,iachilie
@justinramadhan6909
@justinramadhan6909 2 жыл бұрын
Nakubali Sana kazi zako kaka
@salimusaid304
@salimusaid304 3 жыл бұрын
Iachiwee yoteeee kbsaaa kbsaaaa maaaaan imejenga maudhui na mafundisho
@molimoli1052
@molimoli1052 2 жыл бұрын
Kenya commend
@Chachathecj
@Chachathecj 3 жыл бұрын
Finally it's here 🔥🔥🔥
@freddyfelice8799
@freddyfelice8799 3 жыл бұрын
Oggy snaaa
@badboykiemke
@badboykiemke Жыл бұрын
Akoseag uyu jamaaa
@yahyangoroka4010
@yahyangoroka4010 3 жыл бұрын
Asala kwa yai
@nas2800
@nas2800 3 жыл бұрын
Nakupenda bure madebe
@Makavelithedon2086
@Makavelithedon2086 3 жыл бұрын
*Muigizaji pekee Tanzania mwenye filamu zake*
@Brayban
@Brayban 3 жыл бұрын
Fupi sana
@Nakasinge_Mugarula
@Nakasinge_Mugarula 3 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri sana
@marikokinyua2144
@marikokinyua2144 3 жыл бұрын
Smart
@upendovahaye1901
@upendovahaye1901 2 жыл бұрын
Tweve axante kwa kutuelimixha kijana
@marcusmeshack3106
@marcusmeshack3106 2 жыл бұрын
Kamanda unapasua Anga
@josephmartini1431
@josephmartini1431 3 жыл бұрын
Duuh nakugoja hujawah kufel
@OswadNkuba
@OswadNkuba 2 ай бұрын
Kenya
@salimusaid304
@salimusaid304 3 жыл бұрын
Tumeisubiri kwa Hamuu
@kitumbomagufuli3602
@kitumbomagufuli3602 3 жыл бұрын
Hongera madebe
@hellenmwambembe9342
@hellenmwambembe9342 3 жыл бұрын
Nceee
@abdallahyunus6079
@abdallahyunus6079 3 жыл бұрын
Paka anaeijali kesho yke hawezi kumla panya mwenye mimba
@charlesdotho3230
@charlesdotho3230 2 жыл бұрын
Madebe vijana wengi tunajifunza kupitia kwako hususan kwenye ndoa
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 3 жыл бұрын
Kazi Safi kabisa
@skullboy_karimh
@skullboy_karimh 3 жыл бұрын
Big up sana unajua
@adammombo1855
@adammombo1855 3 жыл бұрын
Iko poa
@yusrabangusilo893
@yusrabangusilo893 3 жыл бұрын
🤗😘😘😘
@simonsweka7305
@simonsweka7305 3 жыл бұрын
Matusi...mliixhia wapi jmni na hii mxje mkaixhia njian bci
@allyndingo1812
@allyndingo1812 3 жыл бұрын
L.p. forever
@sylvesterdaniel7423
@sylvesterdaniel7423 3 жыл бұрын
Asante kaka
@justinjghuliku8182
@justinjghuliku8182 2 жыл бұрын
Kenya commedy
@joyceherman2740
@joyceherman2740 3 жыл бұрын
Tuma hata kipande cha dk 30+
@tekala8778
@tekala8778 3 жыл бұрын
Matusi imeishia wapi mbn kimy MADEBE
@ysufuerasto8361
@ysufuerasto8361 3 жыл бұрын
Madebe nimekuelewa apo kwamba paka mwenye akili hawez kumula panya mwenye mimba
@mutambalafikiri8124
@mutambalafikiri8124 3 жыл бұрын
Kwasababu gani hawezi kula
@mcjayupdatenewsonlinetv408
@mcjayupdatenewsonlinetv408 3 жыл бұрын
Darasa huru hakika najifunza mengi
@wastaramponda8447
@wastaramponda8447 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kavulahuseni9801
@kavulahuseni9801 3 жыл бұрын
Tunataka vitam kila kukicha wewe umiza kichwa kutunga tuko pamoja
@KedyTz
@KedyTz 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@fortunatuspaul9077
@fortunatuspaul9077 3 жыл бұрын
Iko njema
@yussufsalim7306
@yussufsalim7306 3 жыл бұрын
Punguzeni sifa
@abdulazizimbwana1586
@abdulazizimbwana1586 3 жыл бұрын
Vzur
@erictucker4213
@erictucker4213 2 жыл бұрын
Napenda Kila kipindi yako Nabii..wewe ni akili sana. Taifa yangu in Liberian lakini ninajaribu kujifunza kiswahili kidogo Kwa KZbin video katika Makarini.
@bilombelekilozodieudonne123
@bilombelekilozodieudonne123 3 жыл бұрын
Tuna subir
@abeidameir2414
@abeidameir2414 3 жыл бұрын
Sawa
JAMBO NA VIJAMBO - Mzee Wa Kauli Tata -Yesu Wa Bongo-
7:34
Mario dattany
Рет қаралды 365 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
NABII MSWAHILI SERIES Episode 12 - Madebe Lidai, Havit Makoti (New Bongo Movie)
31:54
MISEMO YA MADEBE NDANI YA MATUSI
2:56
itv thebase
Рет қаралды 20 М.
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Chadema Media TV
Рет қаралды 10 М.
KATAPELIWA
9:40
Joti TV
Рет қаралды 684 М.
nabii mshwahili mijibu na maswali yake ya kukela na kukufunza
6:42
UTAPENDA MAJIBU KONKI YA MADEBE LIDAI NABII MSWAHILI
18:04
Mbengo Tv
Рет қаралды 131 М.
VILLAZA ''Sehemu ya Kwanza''
26:47
Madebe Lidai
Рет қаралды 163 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 554 М.