ITAKUTOA MACHOZI JINSI DUDU BAYA ALIVYO ONGEA UKWELI TUHUMA ZA KULAWITI ZA ALIE KUWA MKUU WA MKOA

  Рет қаралды 10,522

Mpalla Updates

Mpalla Updates

21 күн бұрын

Пікірлер: 53
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 18 күн бұрын
Walilala pamoja akijua ni mume wa mtu pia kosa, alikubali kwenda naye guest house kwa hiyari yake kwa appointment akavua, akatanua miguu akapiqwa mkuyati hadi unapelekwa kwa mparange umekaa kimya hukupiga kelele, umepewa pesa umepokea, yaani wewe mtoto na mama yako nyote wapuuzi mnajiaibisha. Mparange mwenyewe ukicheka unatoka vituuiz. Halafu unakwenda kujiaibisha bora ungemwambia endelea tu ninunulie japo kibanda. Nyoko wee hushindi umemuabisha baba yako, mama yako, ndugu zako na umejifedhehesha. Huna hadhi tena hata kwenye dala dala watu hawakai nawe unanukq mavi mjinga weee. Sasa dada kama imeahawishiwa kumchafua mtu basi umejichafua. Na wanaume hilo fundisho bakini na wake zenu, nguvu zenyewe wazee wenzangu hamna halafu mnataka watoto himalayas sasa ndio malipo yenu.
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 19 күн бұрын
Iko hivi,watoto wetu hatuwalei,bali tunawatunza.Tunawapa kila kitu.Hatuwapi malezi.Bali malezi wanaokota huku.Sehemu hatari shule za chekechea,shule za mediums,shule za bweni na vyuo.Wazazi hatuwataki watoto mtu hana pesa atakopa ili mradi apeleke bweni.Huko ndiko uliko uchafu wote,Kesi za kulawitiana zitakuwepo sanakwa kizazi hiki,mm naumia sana kiongozi Kama RC anatishia na uchafu ule wakati Malaya wote wa mkoa wako chini yake jmn.mm nahamia burundi
@AfricaQueen
@AfricaQueen 16 күн бұрын
🤣😂🤣
@RobertMachenga-tz3re
@RobertMachenga-tz3re 19 күн бұрын
Hili swala la mkuu wa mkoa wa Simiyu ni tatizo hata hakuna atayelisemea ukweli kwani ni mapambano mabaya sana kuna watu wametengenezewa huo mchezo na kweli wamefungwa kwa hiyo ni mungu amsaidie. kwa nini yeye huyo bint amfanyie hivyo huyo hawala wake? sababu ni mtu wake kwa nini sasa angeuke ghafula kuna tatizo.
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 17 күн бұрын
Mke wa mkuu wa mkoa amshitaki huyo bint adai fidia kwakua amekiri mwenyewe kuwa anamahusiano na mme wa mtu, yeye aendeleze kesi ya kunajisiwa na ajibu mashtaka ya kutembea na mume wa mtu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Aaanze kumshitaki mume wake Kwanza,,,
@AwaziRajab
@AwaziRajab 18 күн бұрын
Vyeo Ni Vita Lakini Shetani Yuko.Kazini Pia Kwaivo Ongea Ukijua Kweli Utoe Kweli Wacha Kuongea Bila Wewe Kufunguka Ukweli
@AbdallahMpwatile
@AbdallahMpwatile 17 күн бұрын
Much respect dudu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 18 күн бұрын
Dudu akili kubwa kuliko wazungu Ukraine
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 16 күн бұрын
Bikra hadimu kwelikweli hongera kwa neema ya MUNGU Tuliozikuta na wachache walionazo😂😂😂😂😂😂
@AbdallahMpwatile
@AbdallahMpwatile 17 күн бұрын
Respect za kutosha dudu
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 19 күн бұрын
Usitutukane dudubaya sio kila mwanamke mshenzi waambie hao wenye michezo hiyo tafadhali saana
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 18 күн бұрын
Unaumia ukiwa wapi?
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 18 күн бұрын
@@AlhajiIssa-jb9hr 😅😅😅kwn ametajwa mbn anajihis
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 16 күн бұрын
@@revocatusawadhi6550 Muambie huyoo.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Bhangi zishamdhuru,,,
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 17 күн бұрын
Uko sahihi
@AwaziRajab
@AwaziRajab 18 күн бұрын
Kama Kalala Nae Na Sio Mkewe Na Cheo Chake Akitakiwi Uhuni Kama Uo We Vipi Mkuu Wa Mkoa Oa Utoe Nyege Zako Kwakua Wewe Ni Kioo Cha Jamii Hata Asingemlawiti Bado Kimizamu Sio Sawa Aende Balabalani Uko Kwa Malaya Cheo Eshima
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 18 күн бұрын
Kweli hata kama binti atakuwa ametumwa lakin mkuu wa mkoa nae ni mshenzi kwa umalaya
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@DakorTrony
@DakorTrony 14 күн бұрын
Hivyo watananzania wapigana miti nyuma kwa makalio sasa akishuta wanakunyaa tuu Haha haha . Kunya tuu Mavi haswa
@winnesakara6957
@winnesakara6957 19 күн бұрын
Yule bint mhuni atakufa vibaya
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 19 күн бұрын
Hata namm simuamini sana maana hata anavyoongea anaonekana ana mambo mengi
@subirajohn728
@subirajohn728 18 күн бұрын
Kwa kweli amemdhalilisha Sana Kaka wa watu! Mwenyezimungu afanye Jambo kama kweli hana hatia jamani!
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 19 күн бұрын
Konki acha mahakama ifanye kazi yake
@user-uh3eg5cj2r
@user-uh3eg5cj2r 11 күн бұрын
Mh!!!
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 18 күн бұрын
Hii imeenda
@HappyatHome-bn8wm
@HappyatHome-bn8wm 18 күн бұрын
tena anakesi nyingine alimshtak kijana et alimlawit. huyu dada anashida.. kiukwel inauma sana kuharibiwa maisha. huyu dada atalipa hili siku
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Hata kama ni tabia yake, Kwa huyu hakuwa radhi,,,
@ezrakaturitsaofficialtz7873
@ezrakaturitsaofficialtz7873 18 күн бұрын
Kwishaa
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 17 күн бұрын
Halafu kwenye gari Kama ni kweli basi kuna mapatano kinyume na hapo wangevunja vioo na wanavaaga skip tight haohii inatia mashaka
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 15 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅 wadada wa 2000 mtakoma safari hiii
@ericfelician7996
@ericfelician7996 19 күн бұрын
Hahahaha hana malindaaa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Mwandishi mpumbavu, anayehojiwa mpumbavu,,,
@joycehaule9717
@joycehaule9717 19 күн бұрын
Kama hakutenda Mungu atamtetea KWA UTUKUFU WAKE... ACHA WAMCHAFUE ILA MUNGU ATASIMAMA UPANDE WAKE ....
@errydeo8865
@errydeo8865 19 күн бұрын
Na kama ametenda?
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 17 күн бұрын
Kujambaaaaaaaaaa😢😮😅😊
@user-xc1vv5ut3l
@user-xc1vv5ut3l 19 күн бұрын
Mbona kujamba ivo😅😅😅😅😅😅
@Lilmbunah
@Lilmbunah 19 күн бұрын
Nimecheka aisee 😂
@user-xc1vv5ut3l
@user-xc1vv5ut3l 19 күн бұрын
@@Lilmbunah 😀😀😀😀
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Hata nyie inaonekana mmehongwa ili kuiongoza mahakamani nje ya uwanja,,,
@mataypanga5262
@mataypanga5262 17 күн бұрын
Miaka 18 siyo mtoto ila kwa vile hawajamaliza masomo na kuanza kazi ndio tatizo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 16 күн бұрын
Kesi iko mahakamani, mwandishi wa wapi wewe, unaanza kuijafili huku nje?
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 19 күн бұрын
Bro Dudu crown ndo habari ya mjini usikose kufuatilia kasri la kikeke
@josephineokama2200
@josephineokama2200 18 күн бұрын
we kaka ni mpumbavu sana ndo maana unazidi kuchoka kwani vipimo si vimeonyesha na dawa anakunywa kwahiyo alilawitiwa na bibi yako utakufa vibaya lione hata sauti haitoki usashachuja wewe
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 18 күн бұрын
Dudu sio mpumbavu labda wewe huo ndio ukweli mabint wameharibika Zaid ya kuharika huyu bint ni mshenzi
@josephineokama2200
@josephineokama2200 17 күн бұрын
​@@DaimonMwapelelekawe mwanasheria wa mlawiti sasa
@youngtone4333
@youngtone4333 17 күн бұрын
Aliempeleka gest nani unamvulia mme wa mtu unapokea hela na unaanza kujijambia hovyo ilimladi unatamaaa huyo walikubaliana
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 16 күн бұрын
@@DaimonMwapelele ukweli huo
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 19 күн бұрын
Dudu baya acha kutetea uovu,acha mahakama ifanye kazi yake
@graciousmgeni7249
@graciousmgeni7249 19 күн бұрын
wewe sio muovu??
@JosefuSwai
@JosefuSwai 14 күн бұрын
Sio muovu
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 35 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 1,1 МЛН
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
Они не знали, почему он так поступил, пока
0:39
БАТЯ И ТЁЩА😂#shorts
0:58
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,1 МЛН
A young mother couldn't calm down her baby at the lesson #shorts
0:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 7 МЛН
All creatures are from God #jesus #jesuschrist #jesuslovesyou
0:19
Jesus By Your Side
Рет қаралды 15 МЛН