Mpangaji kuzuia 10% ya kodi na kuilipa TRA

  Рет қаралды 1,857

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mamlaka ya mapato nchini (TRA) kupitia mabadiliko ya sheria ya kodi ya mwaka 2022 imeanza kusimamia sheria inayowapa mamlaka wapangaji wote kuzuia kodi ya pango katika nyumba binafsi na zile za biashara ili kurahisisha ulipaji na ukusanyaji wa kodi ya pango.

Пікірлер: 21
@furaharyana5019
@furaharyana5019 2 жыл бұрын
Na ile Pesa mnayokata kwenye luku ni ya nini jamani?
@valeflolian5869
@valeflolian5869 2 жыл бұрын
Maisha yanazidi kuwa magumu. Daaa hii nchi.
@heryymlelwa6108
@heryymlelwa6108 2 жыл бұрын
Serikali tawala kuweni na huluma mnatupeleka wapi yaweza kuwa ni haki kudai kadi hzo watanzania tulio wengi hata kdod ya mwezi inatusumbuwa leo mtake kod za mwaka?????? Mabka siamni kuwa mimi nilipiga kula kuchagua viongozi bora nimejifunza sitaludia makosa
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
hivi mnajua changamoto na gharama za kuendesha nyumba?
@kazikazini1042
@kazikazini1042 2 жыл бұрын
Mwenye nyumba atadai chake tu ukileta shida unaambiwa sepa. Mwisho wa siku ni mpangaji atagharimika kumlipia mwenye nyumba.
@johngibson3089
@johngibson3089 2 жыл бұрын
Kwanini msikusanye wenyewe?
@yohanamashauri7742
@yohanamashauri7742 Жыл бұрын
Yaninyiee munaonekana kama mumesoma kumnezilokabisa hivi mimi nimepanga nyumba yakuishi anaetakiwa kuleta hiyo pesa yakodi nimwenye nyumba mana ndiye anae fanya biashara
@timopanga5286
@timopanga5286 2 жыл бұрын
Ipo siku mtayajutia hayo mnayo wafanyia watu msifikiri kuwa mtaishi milele.
@johngibson3089
@johngibson3089 2 жыл бұрын
Kwanini mimi mpangaji niwafanyie kazi zenu na mishahara yenu ipo pale pale??? Kwani nyumba zipo mwituni?
@omaryramadhani6664
@omaryramadhani6664 2 жыл бұрын
Kwa kuwa serikali inataka wapangaji walipe kodi kwa niaba ya wenye nyumba, kwa hiyo haitokusanya tena kodi ya nyumba kutoka kwa wenye nyumba au inakusanya kotekote? Serikali inasema kuna ugum kumfikia mwenye nyumba itawezaje kumfikia mpangaji? Nyumba inavyumba vitano kila chumba 10% ni 40000/=kwa hiyo nyumba hiyo itatozwa kodi sh 200000/=upandaji huu wa kodi hili limekaaje? Mwenye nyumba anapangisha kibiashara na hawezi kukubali kupata hasara hivyo atapandisha bei ili afidie pengo lake atakae umia ni mpangaji,hali ya maisha itazidi kuwa ngumu kwa watu wa hali ya chini ambao ndo wengi ni wapangaji hili nalo lilitazamwa? Mungu atunusuru na awape nyoyo za huruma viongozi wetu .
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Anaweza pia akaweka kodi ya uwongo. Badala ya 40K anasema 20K. Umelifikiria na hilo?
@modricseif1018
@modricseif1018 2 жыл бұрын
Serekali mnazingua, munajali ssana maslahi yenu kuliko utu kwa raia wetu, kuweni na utu.
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 2 жыл бұрын
Kwani sensa ya majengo hayipo TRA mnatesa watu kwa hizo Kodi!!
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 2 жыл бұрын
Wa Tanzania hawajazoea kodi maskini duniani kote ipo hivyo jamani
@mrpambatv7256
@mrpambatv7256 2 жыл бұрын
Nasema mtanikumbuka si kwa mabaya bali mtanikumbuka kwa mema R.I.P JPM
@salimkombo7949
@salimkombo7949 2 жыл бұрын
Mkisha kutuuwa kwa stress mutatulia
@samniza1763
@samniza1763 2 жыл бұрын
Nchi tutaisusia tusirudi Ng'o,kodi kila kona ya nchi looh!
@Kakamkubwa3564
@Kakamkubwa3564 2 жыл бұрын
Dah hii nchi Sasa kiboko
@benderarulenge2477
@benderarulenge2477 2 жыл бұрын
Mmmmmh
@martintv9696
@martintv9696 2 жыл бұрын
Ishakuwa nchi ya kaisari
@martintv9696
@martintv9696 2 жыл бұрын
Fungu la kumi
We Put 7 Uber Drivers in One Room. What We Found Will Shock You.
12:03
More Perfect Union
Рет қаралды 2,1 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 41 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 216 МЛН
IJUE SHERIA :  MAHUSIANO YA MPANGAJI NA MWENYE NYUMBA
24:16
ITV Tanzania
Рет қаралды 9 М.
NAMANA YA KUTIMIZA MALENGO YAKO: JOEL NANAUKA
12:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
Fahamu zaidi kuhusu YouTube TAX Info | Ulipaji kodi ya YouTube
10:25
How to grow the next generation of CEOs | FT Working It
13:00
Financial Times
Рет қаралды 23 М.
Zifahamu Kodi Zinazotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
17:41
Why Egypt’s Economy Is (Still) Getting Worse
10:37
TLDR News Global
Рет қаралды 160 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,7 МЛН