AHMED ALLY AELEZA AISHI MANULA KUPIGWA/ WACHEZAJI KUFANYIWA VURUGU NA MASHABIKI WA AL AHLI TRIPOLI..

  Рет қаралды 128,830

Mpenja TV

Mpenja TV

Күн бұрын

Пікірлер: 497
@enockmlyuka6475
@enockmlyuka6475 2 күн бұрын
Wachezaji wamefanya kazi kubwa sana na upambanaji wa hali ya juu! Wanastahili pongezi nyingi. 'It wasn't that easy! Kutoa sare ugenini ktk mazingira magumu! Big up coach! Big up Wachezaji!
@AlisoniGhambi
@AlisoniGhambi 2 күн бұрын
Simba imetisha hakuna tim ya kuisumbua tena bigap team yangu
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 2 күн бұрын
Hivi mnajitambua kweli nyie
@dr.phormenykishaija6508
@dr.phormenykishaija6508 2 күн бұрын
Pongezi zipi? Za 0_ 0
@malietamaliet
@malietamaliet 2 күн бұрын
​@@GOLDIANEDRICK-sm6xk😂😂😂😂😂duuuh nimecheka nashangaa nikukumbuka final na USM Alger walitufanyia vurugu na tukafunga japo goli la ugenn tukakosa kombe awa ety wakate keki ama mbuzi kwa sare😂😂🙌🙌
@henrychaula1174
@henrychaula1174 2 күн бұрын
Ndiyo, tni muhimu kukata keki​@@malietamaliet
@AnjelaMatiya
@AnjelaMatiya 2 күн бұрын
Mungu ibariki Simba yangu Mungu mbariki semaji langu Ahhmed Alli
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 2 күн бұрын
Poleni Sana Kwa uchovu na matisho ya Waarabu,, Mungu awaongoze kwenye Safari ya Kuja Tanzania
@ASHURAYAMBI
@ASHURAYAMBI 2 күн бұрын
Mungu awalinde jamani kazi kubwa imefanyika bravo bravo!!!
@user-sf8vf5ki8h
@user-sf8vf5ki8h 2 күн бұрын
Big up fadlu the best coach your the best we simba we love never doubt you at all ❤❤❤❤
@claraluoga6828
@claraluoga6828 2 күн бұрын
Asante mwenyezi mungu sifa na utukufu tunakupa mwenyezimungu uzidi kuwapa maalifa nguvu afya na mechiya maludiano tusaidie tupate ushindi wape mbinu upendo wachezaji makocha na bechilaufundi
@jacobzacharia5501
@jacobzacharia5501 2 күн бұрын
Amen
@upendokwaya8043
@upendokwaya8043 2 күн бұрын
ni Mungu siyo mungu
@PascalHermas-gg5dx
@PascalHermas-gg5dx 2 күн бұрын
Wao wameleta vurugu,,sasa tutawafurahisha sio kurusha chupa tu tutaingia na mawe ya kutosha wanapigwa magoli uwanjani huku wanachezea matofali ya kutosha,,tunawasubiri kwa hamu
@PraygodMakundi-j2y
@PraygodMakundi-j2y 2 күн бұрын
Poleni sana ndgu zetu, mungu awatangulie
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 2 күн бұрын
Poleni sana ila Hawa ndugu hutufanyia vurugu na sisi hua bado tunawafanyia wema ila Mungu atatulipa watanzania kwamkapa tutawapa wanachokihitaji na lazima tuwatoe
@AnjelaMatiya
@AnjelaMatiya 2 күн бұрын
Mungu wabariki wachezaji wa simba
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 2 күн бұрын
Bora hatukuwafunga maana wangetuulia team yetu nzima nawewe semaji wa caf ungekufa. Usijali huo ubaya ndio ubaya ubwera. ❤kuhusu kagoma unakera watu sasa.
@Rashidkitemano
@Rashidkitemano 2 күн бұрын
Kwel kak 😂😂😂
@IssaKigwanya
@IssaKigwanya 2 күн бұрын
Mimi ni yanga lakini ili jambo limeniuma sanaaa yani sisi mbona hatufanyagi vurugu wakiwa kwetu duuu inauma sanaa
@linagervas
@linagervas 2 күн бұрын
​@@IssaKigwanya Na tukiwafanyia vurugu lazima tupigwe fain daaaah inauma sana
@SuleimanAlly-c9p
@SuleimanAlly-c9p 2 күн бұрын
​@@IssaKigwanya ndo mana tunasifiwa kwa amani kaka
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 2 күн бұрын
Kabisa Yani mim kwanza TU nilivy ona uwanja umejaa atali
@chrizostomchristian1884
@chrizostomchristian1884 2 күн бұрын
Slogan yetu ikumbukwe 'kwa mkapa hatoki mtu❤"
@user-wh9zj7kf7h
@user-wh9zj7kf7h 2 күн бұрын
Hatoki mtu
@MathiasJitula-i3x
@MathiasJitula-i3x 2 күн бұрын
hakika
@user-lx3eg8iy6j
@user-lx3eg8iy6j 2 күн бұрын
Mungu ibariki simba ye2 na uwape wachezaji we2 afya njema...SIMBA NGUVU MOJA❤❤❤
@claraluoga6828
@claraluoga6828 2 күн бұрын
Pole manula mungu walinde wachezaji na makocha bechilaufundi
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 2 күн бұрын
Mungu awabariki na wachezaji wamejituma sana ila mungu atawaona hataenda popote
@neemamwocha2113
@neemamwocha2113 2 күн бұрын
Mimi ni yanga.lakini nawapongeza simba..wakija watatujua watanzania tukoje..wasilete mchezo tunawakaribishq kwa wema wanaleta vurugu.hapo sio simba tena ni watanzania wote
@abdullaabdulla7039
@abdullaabdulla7039 2 күн бұрын
Wewe ni mwanamichezo Kweli. Utanzania kwanza simba na yanga ni Za watanzania. 👏🏾
@marybeatricejoseph
@marybeatricejoseph 2 күн бұрын
Hatuwezi hizo tabia watanzania tungekuwa tunaweza wangetukoma mbona hawa waarabu
@EsgaCharo-qb4pi
@EsgaCharo-qb4pi 2 күн бұрын
Hongera sana ndugu
@Gabbyflavour
@Gabbyflavour 20 сағат бұрын
Good
@abduelebenezerkelakela7155
@abduelebenezerkelakela7155 Күн бұрын
Tunawangoja waje Lupaso! Shubaaamit! Vijana wetu walifanya kazi kubwa zaidi ya sana. Kudos!
@HappyMwendapole
@HappyMwendapole 2 күн бұрын
hongereni sana chama langu mungu azidi kuwatangulia. achana na hawoooooooo nyuma mwiko wamekalia tu kuisema simba kuogaaa aaaaaaaaah
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 2 күн бұрын
Mbona wewe umeisemea ovyoooo
@AminaharunaAbdalah
@AminaharunaAbdalah 2 күн бұрын
Pole Aishi manula❤❤ndo utafutaji.simba nguvu moja
@arafaeddy6146
@arafaeddy6146 2 күн бұрын
Mungu awatie nguvu Tim yangu ,aoo washenzi watakuja tu
@DaniusDauson
@DaniusDauson 2 күн бұрын
No retreat no surrender Simba nguvu Moja ❤️ Mungu ibariki Simba bariki na wachezaji wake wote na kurungezi nzima na makocha wote
@EmanuelSaloon
@EmanuelSaloon 2 күн бұрын
polen sana wachezaji wet❤
@FraterinMwacha-b8x
@FraterinMwacha-b8x 2 күн бұрын
Mi ushauri wangu malumbano sijambo la busara kama kuna ambae hajarizika simba kupata droo aende cuf.lakini matokeo ndo hayo jamaa kapambana,achani mambo ya uke wenza,wivu2
@RashidKupeh
@RashidKupeh 2 күн бұрын
Naomba siku ya marudiano hapa kwa mkapa bhc tufanye lolote na sis il wakienda kwao waka simuliane vzr,,,mamaeeeee
@angeltvonline9153
@angeltvonline9153 2 күн бұрын
😂😂
@SetiMBANGU
@SetiMBANGU 2 күн бұрын
Pole sana kwa misukosuko
@janethjustin2041
@janethjustin2041 2 күн бұрын
Sisi ni simba na tutabaki kuwa simba! Tutoke sare ama tufungwe tutabaki kuwa simba! Mungu wabariki wachezaji Mungu ibariki simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 күн бұрын
Hongereni Simba mmeonesha mpira lkn si matokeo mazuri sana rekebisha usemi acha usanii
@flova7022
@flova7022 2 күн бұрын
Unajua Mpira wa Africa?
@linagervas
@linagervas 2 күн бұрын
Kabisa yan
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 2 күн бұрын
Ni mazuri kwa sababu Simba ni kama imeanza kwa upya ..
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 күн бұрын
@@sera.8bomani502 matokeo mazuri sana ni ushindi mkubwa na hii Sasa tuweke wapi
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 күн бұрын
@@sera.8bomani502 matokeo mazuri sana ni ushindi mkubwa na hii Sasa tuweke wapi
@user-yq7dm4gw6j
@user-yq7dm4gw6j 2 күн бұрын
Polen sana wachezaji kwa hilo
@AnnaSamweli-e5z
@AnnaSamweli-e5z 2 күн бұрын
Pole sana Manula ❤❤❤ 2:58
@AminaIssa-g1t
@AminaIssa-g1t 2 күн бұрын
Mungu ibariki Simba mungu ibariki Tanzania
@bishoparronmgaya1749
@bishoparronmgaya1749 2 күн бұрын
Hongereni sana sana.
@user-sf8vf5ki8h
@user-sf8vf5ki8h 2 күн бұрын
hiv wanajua uchapo wa simba akiwa lupasso wanajua hawatok that's why tumewakunjua yan wajiandae wakija watajua simba ni nan tutaujaza huo uwanja hawataamini😊❤❤❤
@MonicaMosha-bz6bz
@MonicaMosha-bz6bz 2 күн бұрын
Mumefanya vzr
@AyishaMusthafa-j4j
@AyishaMusthafa-j4j 2 күн бұрын
Yes vizuri sana wamejitahidi San mungu ibarik simba yangu
@BeatriceSamwel-t1m
@BeatriceSamwel-t1m 2 күн бұрын
Poleni sana wachezaji wetu mungu hatangulie mfike salama tanzania ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MatokeoEmmanuel-h2m
@MatokeoEmmanuel-h2m 2 күн бұрын
Matokeo mazuri sana
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 2 күн бұрын
Mi nashangaa waarabu kila engo roho mbaya inamana uislam ni amani awajui au ndiyo maana siwapendi vibaya mnoo
@vinny.morales
@vinny.morales 2 күн бұрын
Uislamu haujawahi kuwa dini ya amani hata siku moja. Tokea kuanzishwa kwake mpaka kuenezwa kwake umejaa umwagaji damu.
@khamissaleh921
@khamissaleh921 2 күн бұрын
Kwani Wayahudi waba Imani ? Mbona wanawwuwa watoto wachannga nankuharibu mahospitali na mashule ,hai mabwana zako wazungu SI waliwawafanya Babu zako watumwa na kuwabadilisha dini .
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 күн бұрын
Mkundu wa mama Yako ​@@vinny.morales
@ahmedimakope
@ahmedimakope 2 күн бұрын
Mkundu wako
@omaryswedy9999
@omaryswedy9999 2 күн бұрын
Ahmed Ally ayo mawazo ya nyimbo unayoyatoa ni mazuri lakini ukichelewa tu Kuna watu watayaiba. Tangaza kwenye magroup ya Simba Kila mwenye nyimbo nzuri ya hamasa ipangwe siku maalum aje aionyeshe na namna ya kuifanyia kazi ,Nyimbo zitakazopita mtungaji jina lake liwekwe kwenye kumbukumbu za Simba.
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c
@HdhdhdhdhJdhdhd-o6c 2 күн бұрын
mm Simba damu maoni yangu kupatikane eneo la mashabiki watukutu wanaojua kushangilia mwanzo mwisho
@abdallahAbby-o6x
@abdallahAbby-o6x 2 күн бұрын
Hongeraa San Ahmed na kikosi kizima cha simba Big nation tunawakaribisha Tanzania nchi ya Aman Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake wote na viongozi wa vyama vyote Tanzania tunaomba Aman itawale Amina
@kelvinmushubiro8187
@kelvinmushubiro8187 2 күн бұрын
usimsifie sana KAGOMA,, hawa utopolo wakiskia watamloga
@PhilomenaSteven-x9h
@PhilomenaSteven-x9h 2 күн бұрын
Apo alipo kajiroga mwenyewe
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 күн бұрын
​@@PhilomenaSteven-x9h😂😂 kashajiroga huyo
@AmiliAmisi-j6e
@AmiliAmisi-j6e 2 күн бұрын
Asante wachezaji😢😊
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA SIMBA SIMBA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SIMBA❤❤❤ IN.SHAALLAH TUSHINDE MIN.SHAALLAH TUSHINDE M
@FaridaSeif-yk3th
@FaridaSeif-yk3th 2 күн бұрын
Mimi ni yanga lakini hawa waarabu wamezingua sana yani,,simba ni kama doto kitu chochote kibaya kikiwatokea kiukweli huwa tunaumia sote coz hakuna simba bila yanga.. nilikuwa naomba na sie tuwafanyie kasheshe zaidi ya walio fanya wao ili next time wastuzoee..oll Black are one ubaya ubwela.
@NaisalLove
@NaisalLove 2 күн бұрын
Ttzo cio kimtazamo huuu ni bays ubwela ukitenda utatendewa lazima tuwalip alkisas haki hata mungu anardhia kwenye hili Simba ubaya ubwela 😊
@HamisiMasunga-v9y
@HamisiMasunga-v9y 2 күн бұрын
Poleni sana kwa misukosuko mlio pitia wachezaji na benchi la ufundi kwaujumla I love Simba SC Ubaya ubwela Simba Nguvu moja 🇹🇿🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁 ktk utekelezaji wa majukumu
@FatumaSefu-z1w
@FatumaSefu-z1w 4 минут бұрын
Hongereni sana simba sc
@user-qe1ls8wj2b
@user-qe1ls8wj2b 2 күн бұрын
Sema huyu jamaa Anastahili kuwepo hapa simba❤
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
❤❤❤❤ SIMBA IN.SHAALLAH TUSHINDE MECHI IJAYO ❤❤❤ AMIN THUM'MA AMIN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JamaliJuma-pg5qq
@JamaliJuma-pg5qq 18 сағат бұрын
🔥 big up sana simba
@JUMAKISENGORAMADHANI
@JUMAKISENGORAMADHANI 2 күн бұрын
Polenta sanawachezaji wetu mungu atawalipa magnolia 3 watapokuja Benjamin mkapa sister tuimani national yetu
@payustz7107
@payustz7107 2 күн бұрын
Mungu Ibariki Simba🙏
@patrinraura1397
@patrinraura1397 2 күн бұрын
❤ Hongera Sana Makomando wetu Hakika mmewatoa wapenzi,mashabiki,VIONGOZI Tanzania kimasomaso Tunawaombea ushindi kwenye marudio Simba Nguvu moja
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 күн бұрын
Pole sana mungu ibariki simba ilaa hawa mbwaa tunawasubiriii kwahamu kubwaa lazima tuwaoneshee
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 2 күн бұрын
MAZURI KWA FOWARD IPI???WEWE BANA SEMA TU SHIDA WAMENYIMWA PENALT NDIO IMELETA SHIDA
@SalumOthman-su6hw
@SalumOthman-su6hw 2 күн бұрын
Asa kama waminyimwa penalty sisi ndio marefa wcheze na marefa na sio sisi...
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e 2 күн бұрын
Penati yko utopolo mtu ka slide kacheza mpira na kaupige pembeni na kuubadilsha mwelekeo mpira wew unataka penat ya ki nyuma mwiko anglia mpira Acha ushabki wa ki utopolo
@DeodathChinyamba
@DeodathChinyamba 2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🦁🦁🦁🦁 nguvu 1
@AnnaSamweli-e5z
@AnnaSamweli-e5z 2 күн бұрын
Pole sana Manula
@sekelo1207
@sekelo1207 2 күн бұрын
Nahisi unaye tuma hizo SMS unamapungufu kimtizamo
@christophermbuga9623
@christophermbuga9623 2 күн бұрын
Achana na vurugu, hiyo sawa, lkn waliwazidi kimchezo. Acha pambapamba na utoto na chekacheka zako
@augustinemainde
@augustinemainde 2 күн бұрын
Wangepigwatu wao ni ubaya ubwela😊😊😊
@angeltvonline9153
@angeltvonline9153 2 күн бұрын
Jicho we
@WinifridaSwai
@WinifridaSwai 2 күн бұрын
oooh poleni... kumbe mlipigwa😊😊😊😊
@allysunday8614
@allysunday8614 2 күн бұрын
Kikubwa mechi ya marudiano mmshinde... Lakini sitashangaa Simba kutolewa. Maana Kocha sub zake hazina manufaa zaidi ya kuharibu zaidi... Mashaka, Kibu hawakutakiwa kuingia.. Awesu na Mukwala walistahili kupewa nafasi.... naamini matokeo yangekuwa mazuri zaidi
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp 2 күн бұрын
acha utopolo wako
@RamadhaniBenjamin-i1n
@RamadhaniBenjamin-i1n 2 күн бұрын
Acha usenge hko ni ugenini ww so kila mchezaji achezaji
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 2 күн бұрын
Hao waarabu wa Tripol wakija kwetu tuwafanyie ule UBAYA UBWELA ule wenyewe hasaaaa wa kimafia. Yàani wasipate hata pa kupumulia hapa kwetu. Hawana maana kabisaaaaaaaaaaaaaaaa Ndengereki zao
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 2 күн бұрын
Huyu anatumia vigezo gani kuipongeza simba wakat ni ya sita africa na tripoly haumo hata mia bora
@aminabenard6506
@aminabenard6506 2 күн бұрын
Simba yetu ipo vizur jamani kushukuru sana mpira umechezwa bwana
@merycianshinda546
@merycianshinda546 2 күн бұрын
Polen sana lakn wajue huo ndo ubaya ubwela
@yusuphmtupa153
@yusuphmtupa153 2 күн бұрын
Huyo Aishi mlienda naye kufanya nini, ile hali hata kwenye bench hakuwepo😮😮😮😮
@vuauvae8552
@vuauvae8552 2 күн бұрын
Ulitaka wacheze Wachezaji wote waliokwenye Squad?
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e 2 күн бұрын
Basi ungejipendekeza wew waende nawe
@SamwelLaizer-o7l
@SamwelLaizer-o7l 2 күн бұрын
Mungu ibariki timu yetu ya Simba sc. Simba Nguvu Moja.
@PhilimonSenzia
@PhilimonSenzia 2 күн бұрын
Mim ni yanga lakini niseme tungekua sisi tungefungwa hongereni sana simba
@YusuphMwakilasa-xg7lf
@YusuphMwakilasa-xg7lf 2 күн бұрын
This is Simba 💯 Ubaya Ubwela 👊
@IddiBanqwa
@IddiBanqwa 2 күн бұрын
Kwani mpira ni vita??? Hayo mbona yalishapitwa na wakati, wajibishwe kwa hayo tusifunike maovu
@yoshuapaul8300
@yoshuapaul8300 2 күн бұрын
Yani hao washenz ngoja waje mi nakata tkt nipo tabora nahakikisha nmefika benjamin mkapa kwenye tanuru la moto 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 2 күн бұрын
CAF watawapa point
@BankerForeign-r8r
@BankerForeign-r8r 2 күн бұрын
Hongera SIMBA, game imechezwa.
@AminaharunaAbdalah
@AminaharunaAbdalah 2 күн бұрын
❤❤❤❤Simba nguvu moja
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 2 күн бұрын
Yanga ndio maana wakawekewa mwenge kwenye nembo yao Hii ina maana kuna wajinga wengi, mbumbumbu wengi, fitina/siasa nyingi na uongo mwingi na kwao ukweli ni mwiko
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 күн бұрын
Pole na mawazo yako finyu 🤔
@hassanabdallah4082
@hassanabdallah4082 2 күн бұрын
Ubaya ubwelaa,nguvu moja hongera chama langu
@SamasotiSamwel
@SamasotiSamwel 2 күн бұрын
Ahsante San Simba Kwa matokeo mazuri
@zungukessy7127
@zungukessy7127 2 күн бұрын
Mungu ni mwema
@mohamedmketo2414
@mohamedmketo2414 2 күн бұрын
Tuangalie suara la vingilio liwe na fuu ili washabiki waingie kwa wingi😊
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 күн бұрын
Wakija kwetu tutawafanyia vibaya sana ngoja waje
@user-uz1bl5bk4g
@user-uz1bl5bk4g 2 күн бұрын
Aisee tuache upole,wakija huku na cc tuwafundishe adabu.tusiwe mbuzi wa kafara kila cku
@enockmichael6835
@enockmichael6835 2 күн бұрын
Waliofanya fujo ni mashabiki sio wachezaji, so kama tunataka kulipiza kisasi tutafute mashabiki na sio wachezaji.
@benardochengelela1839
@benardochengelela1839 2 күн бұрын
Ndio ubaya wa ndondo cup .....hata CAF hawafuatilii..jitahidini mrudi club bingwa
@Amanially-pv1iu
@Amanially-pv1iu 2 күн бұрын
Huna akili ww tunalijua hilo manara alisema mda TU 😅
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 күн бұрын
Huyo kijana namkeshimu
@YonaLengai-cc6tq
@YonaLengai-cc6tq 2 күн бұрын
Poleni sana Wana Simba tuko pamoja 😂😂🎉🎉
@JosephCharles-b8b
@JosephCharles-b8b 2 күн бұрын
Time imejitahidi ila wachezaji bado ni wazito kufanya maamuzi ya kupiga pasi za haraka na kufungua nafasi kitendo kinachopelekea kupiga pasi kwa adui na kutolewa mpira haraka wasipokuwa makini ata nyumbani ni shughuli pevu.
@richardsesa7494
@richardsesa7494 2 күн бұрын
Milion 30 wakanunulie supu za vibudu
@HamisiHusseni-c4s
@HamisiHusseni-c4s 2 күн бұрын
Nc blood
@onesmongulo3770
@onesmongulo3770 2 күн бұрын
Labda niumwe ila kama mzima nawapiga nawao wakija kumamae zao wamewaponza ndugu zao
@AbuuKitwera
@AbuuKitwera 2 күн бұрын
Shangilia sana maana ni kawaida yenu kushangilia droo
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 2 күн бұрын
Mungu Awalinde wachezaji wetu
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 2 күн бұрын
Hii mechi ilikuwa tushinde ,ilikosa tu maelewano kule mbele . Ila kwenye defence ilikuwa bora sana , Muhamed Husein Tshabalala , Zimbwe junior , Shomari kapombe na wengine walicheza mchezo bora sana, jana kikosi kilikuwa bora sana , umaliziaji maelewano bado , kocha tunakuomba wawapige kwata forward wetu ,ili wawe na maelewano vizuri .
@mathahosea6783
@mathahosea6783 2 күн бұрын
Daah poleni Sanaa wachezaji wetu..
@allymaimuna8688
@allymaimuna8688 2 күн бұрын
Mungu ibariki simba yangu jmn
@HawaMkomwele
@HawaMkomwele 2 күн бұрын
Poleni sana kwa kilichotokea lakini wakija nyumbani kwetu nasi tutalipa kisasi hata maji ya betri tutawamwagia tu
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 2 күн бұрын
Kweli Simba Kwa mechi hii well done
@alexsikab6433
@alexsikab6433 2 күн бұрын
Nimehangalia mechi hii kweli Simba yetu tujivunie
@EmanuelMboy-t7x
@EmanuelMboy-t7x 2 күн бұрын
Naitwa emanuel mboi kweli waarabu wamenikera sauna simba biq up sana
@cosmasluwanja7394
@cosmasluwanja7394 2 күн бұрын
Maneno mengine ni ya uchochezi Sana ndiyo maana uzalendo huwa unapotea hapo tuu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
KAPIME MALARIA UKIAMBIWA HUNA UJUWE KURUJUWANI IMESHA KUPIGA WEWE 😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE OYEEEEEE
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 күн бұрын
Lini mlikuwa wazalendo Utoopolo
@karimjuma4019
@karimjuma4019 2 күн бұрын
​@@salimmalaka256Kurujuan kweli imempitia huyu
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 күн бұрын
Matokeo mabaya kwa anaejuwa football, droo ya magoli yoyote Mandunduka nje. Sasa nyinyi mmedroo vipi wale walioshinda moja wao wachinje nini?
@mahirmauly3664
@mahirmauly3664 2 күн бұрын
Anywe supu ya kibudu
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 күн бұрын
@@mahirmauly3664 Mandunduka bhanaa! hawajielewi, wanaishi kwa matumaini, unauhakika gani kuwafunga warabu, wkt wao wanatafuta droo ya magoli, droo ya zero mikwaju ya penalt vipi utasema hayo ni matokeo mazuri?
@ErastoRukoka-ie9hg
@ErastoRukoka-ie9hg 2 күн бұрын
Ashamed mm natamani uungwe kwa simba app sio pesa sema Ahamed unajua sana mm niko kijijini kabsa niko radhi niichangie team kabsa
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 910 М.
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 15 МЛН
SALIM KIKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 29 М.
MPOKI KALETA MC BUBU KIKAO CHA HARUSI
9:03
CHEKESHA TV
Рет қаралды 85 М.
GB 64 MABULULU AMEWEKWA MFUKONI NA CHE MALON
16:04
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 35 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 910 М.