No video

MNYUKANO MKALI; MPINA,MDEE WAMVURUGA MWIGULU BUNGENI SPIKA DKT. TULIA AINGILIA KATI

  Рет қаралды 27,954

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 93
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Mwigulu; 'taarifa siipokei kwa vile Mhe. Mpina anachanganya mambo' MAKOFI...KWA KWA KWA! Hata bila ya kuelezea amechanganya vipi. Kuna bunge hapo?
@ishmaelsimon6617
@ishmaelsimon6617 2 ай бұрын
Yes, its because everybody know kwamba anachanganya. So, makofi si ni sawa kwa kuwa alitakiwa aambiwe atofautishe the whole project na sub project
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Bunge la hovyo sanaa hili
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 2 ай бұрын
Mbarawa,mbarawa, mbarawa nimekuita mara tatu, kwann wewe unatuumiza hivyo kila mahali wewe ndio unatuharibia?
@raphaelmrisho1520
@raphaelmrisho1520 2 ай бұрын
Pamoja na michamgo yote na taarifa nyingi. Tulia anauwezo mkubwa sana tena uliojificha. Kwa kuangalia juujuu yawezakana watz tusijue ila tuna Spika Jembe sana jamani
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 2 ай бұрын
how huyu spikà huwa anaikingia kifua serikali hakuna spikà hapo, hii nnchi ilikuwa na spikà mmoja tu samweli sita Hawa wengine Hawa hamnaa kitu
@stevenmwasomola2417
@stevenmwasomola2417 2 ай бұрын
Big point📍
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 ай бұрын
Huyu mwigulu kila Wakati anajitahidi kuwapotosha wananchi haya mambo anayoyaita yapo technical ni ya kitapeli tu, amsikilize Mpina
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
Anakwambia ni Vitu Technical na Kuna Technically 🤣😂
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 2 ай бұрын
Mbarawa, Mbarawa, Mbarawa unampango gani na Tanganyika? Ni kipindi chako bandari ziliuzwa. Sasa naamini kila aliyetumbuliwa na Magufuli kweli hafai.
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Kwel kabisa magufuli alienda mbal
@The1979bornagain
@The1979bornagain 2 ай бұрын
Huyu spika ndiye problem na anayeilea serikali kiasi cha kufanya madudu na udanganyifu kwa wananchi. Ishu sensitive na muhimu kama hii, atumie busara kuwaacha wabunge wawe na muda wa kutosha na huru kujadili hadi kupata suluhu ya jambo.
@stevenmwasomola2417
@stevenmwasomola2417 2 ай бұрын
Wanaenda kisheria kamanda hawapo mnadani hapo
@AdamKaponda
@AdamKaponda 2 ай бұрын
Hongerenibunge la kupangamadili ya faidazeniu na koozenu,hakuna bunge mbunge ni mmojatu nae ni mpina
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 2 ай бұрын
Huyu mbalawa ni kilaza zaidi hata ya babu tale😂😂
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Mbarawa hakumbuki utekelezaji wa mikataba ni lini! Kuna mtu hapo? Wee wamwachia mkandarasi akakope mabilioni, yalipwe na walalahoi, hukumbuki hata lini inabidi ulipe. Na nadhani hukumbuki hata ni kiasi gani? Maana ushachukua chako umetia mfukoni. Logical conclusion! Na huyu Mwigu eti 'serikali inahakikisha hicho kilichokopwa (na mkandarasi) hakileti mzigo kwa raia'. Hii ni joke ya Aprili!
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei 2 ай бұрын
Inanipa wasiwasi km mtanzania uteuzi wa Mwiguru unakitu nyuma yake, kwanza ni mtu anajeuri ya waziwazi, pili anaujasiri uliopitiliza akijua wazi hakuna anaeweza kumtoa pale ndyo maana anajibu chchte bila kuangalia audience. Hii inanipa kujiuliza kwann mama SSH amekuwa akibadilisha baadhi ya viongoz kwenye wizara kadhaa lakin wizara ya fedha hathubutu hata kukemea wala kunyoshea kidole pamoja na makelele tunayopiga juu ya huyu waziri. Hakuna kilichojificha Mwiguru ni mpgaji wa kutupwa lakin amefumbiwa macho hadi kesho hakuna cha kumfanya.
@user-nb7ln1wz2s
@user-nb7ln1wz2s 2 ай бұрын
Hivi hii nchi imekosa kabisa mtu wa kuchukua nafasi ya waziri wa fedha tofauti na huyu Mwigulu?
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 2 ай бұрын
Wewe ndo unachanganya mambo sio,na wabunge mbona mnapiga makofi hivi mnaelewe kweli
@malcomx4067
@malcomx4067 2 ай бұрын
Namuona Job Ndugai kama nabii, hii nchi itapigwa mnada na serikali ya huyu mama. Mbona kipindi cha Uncle Magu hizi mikopo haikuwepo??? 😮
@geey7893
@geey7893 2 ай бұрын
Mbarawa ni Kilaza Promax. Anabebwa na uzanzibar tu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
Huyu mbarawa hana uchungu na nchi ,
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 2 ай бұрын
Seriously Mbalawa Professor hukumbukii mkatabaa ..Daaaaahhh!!!!!
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 2 ай бұрын
Ingekuwa enzi za Magu hao wangetangazwa kutumbulia hapo hapo ndani ya bunge. Wasingetoka leo.
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Oooh yarabi mola ulie mtukufu yupe twaha❤❤❤❤❤ ambayo yenye kuleta amani chini tujaze fanaka tuweze kusikizana
@Dominaevance
@Dominaevance 2 ай бұрын
Mpina😂😂😂 Mtu kapigwa taarifa kakimbilia Duniani kote, Jibu nchini kwetu ukoje Huo utaratibu
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 2 ай бұрын
Tatizo mnaiba pakubwa tamaa zitawaua shaurizenu ma ccm ya hovyo yote dawa yenu inachemka jikon
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Kwel kabisaa
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Mwiguru mungu anakuona.
@Anithawilielemi-uh3ww
@Anithawilielemi-uh3ww 2 ай бұрын
Pole sana Mbarawa,Tanzania imetoboka
@jdanny497
@jdanny497 2 ай бұрын
Pole ya nini wakati yeye ndio mpigaji
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Huyu mbarawa alitumuliwa na JPM sababu ya incompetence.Inasikitisha Eti kapewa uwaziri tena daaaah.Kuna umuhimu kuiga WA Afrika kusini kuweka pembeni chama tawala
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051 2 ай бұрын
Aisee Spika Kwann Unacheka Sana Wakati Wa Hoja Muhimu Kama Hizo
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 ай бұрын
Mwigulu anaigizaga hekima ya mchongo,huyu haaminiki hata kidogo,yaani anaonekana ni bure kabisa
@Dominaevance
@Dominaevance 2 ай бұрын
Sasa Spika kwenye agenda seriously kama hyo anacheka Tena nn hii
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 2 ай бұрын
Mawaziri hamko serious kusaidia nchi na watanzania na hizi hasara na upotevu na matrilioni ni kwa sababu hamtaki kutunga sheria zinazoeleweka za kubana wezi, majambazi, waporaji wezi na wanyanganyi kwa sababu mnafaidika wenyewe badala ya kuwakomboa wananchi mnatuongezea umaskini
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 2 ай бұрын
Mtu anaitwa Professor halafu ni kama hajielewi
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 2 ай бұрын
Kama walevi fulani hivi
@GodloveTyoe-fv8or
@GodloveTyoe-fv8or 2 ай бұрын
Sisiem wakitaka wajichangaye wampe mwinguli Mana kina kivumbi jamaangu Kyle lisu uku mwinguli wacha ncheke Yani nisa ya kwanza tuu paaa mambo yame isha
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 2 ай бұрын
Yaaniiiiii
@user-nb7ln1wz2s
@user-nb7ln1wz2s 2 ай бұрын
Halima Mdee asante sanaaaa
@user-jz1ur2ny5u
@user-jz1ur2ny5u 2 ай бұрын
Ccm itatumaliza kwakweli
@diegoshanga8184
@diegoshanga8184 2 ай бұрын
Du!!! Mambo mazito!! Haya!!
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 2 ай бұрын
Wezi wa taifa na bunge la mchongo
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
Anakwambia hivi vitu ni Technical na kuna Technically 🤣🤣! Huyu mwamba sijawahi kumwelewaga..
@dominickkachallahnsumbanta7560
@dominickkachallahnsumbanta7560 2 ай бұрын
mnaichukulia nchi kama nyumbani kwenu mjue mnaumiza vizazi na vizazi
@johniejohnas4690
@johniejohnas4690 2 ай бұрын
Ukiwa na viongozi wanaoamini katika dharau,ujuaji na Ubinafsi,haya ndio matokeo yake
@Dominaevance
@Dominaevance 2 ай бұрын
Nafikili ifike mahali Mawaziri wawekwe kwa uwezo WA mtu, Nchemba hakustahili kuwa kwenye hyo nafasi at all, Hakuna Waziri hapo
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 2 ай бұрын
Mbona Kyela ulikuja kusaini mkataba wa Bara Bara umeshindwa kujenga mbalawa acha kujikanyaga wewe sitafu kazi
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 2 ай бұрын
Sawa endeleeni sana ila uchaguzi s bado kidogo yani sjui
@arthurkasiba751
@arthurkasiba751 2 ай бұрын
Jifunzeni Toka kwa Falme ya kiaraabu.. Dubai..imeendelea kwa miaka 50 tu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Na allah ajaalie kila mwenye uwezo aweze kutoa msaada kwa wale wasio jiweza na tupate fazila kwa mola wetu mtukufu
@ishmaelsimon6617
@ishmaelsimon6617 2 ай бұрын
Shida, taarifa nyingi hata hatuelewi kitu! Mtu hamalizi tayari taarifa.
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Weakness alot of.
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 ай бұрын
Shd ya spika ni kubwa sana,hivi ni kwa nini hawa watu wanacheza na akili zetu wananchi wa tanganyika!!!!!
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Huwa hamsomi? Wabunge mnalalamika nini? Mlitakiwa kuhakikisha yote hayo.
@omarybakari2532
@omarybakari2532 2 ай бұрын
Mbalawa hasitahili hata chembe
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 ай бұрын
Mbarawa hukumbuki yaliyokwenye mkataba,unchokumbuka nini? Hufai Mbarawa,mnaiba mpaka mnapata kigugumizi kueleza watanzania kilichofanyika.
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 2 ай бұрын
Mwigulu wewe nikilaza
@stevenmwasomola2417
@stevenmwasomola2417 2 ай бұрын
Mwigulu hakika sijawahi kukupenda
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 2 ай бұрын
YAANI,SIJUI....KWA NINI MH .MBARAWA....SINAGA IMANI NAYE KABISA....ANISAMEHE SANA KWA UJUMBE ..HUU ..HAELEWEKI
@geey7893
@geey7893 2 ай бұрын
Ni kilaza mkubwa
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 2 ай бұрын
Woonsocket wapumzike wapiahe vijana wamejaa mtaani hawana kazi kisa wameacha hayo mazee yanakula hii serikali pesa za Wananchi za kosi tu. Majizi makubwa haya . Sorry to Sai that
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 2 ай бұрын
Wamechoka wapishe vijana
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 2 ай бұрын
Wamezeeka wanawaza ya Enzi za Tanu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
MASLAHI YA NCHI YANACHEZEWA SANA
@Nedjadist
@Nedjadist 2 ай бұрын
Tuambieni wazi tu: Tanzania imefilisika! Mme-mismanage uchumi na sasa mwakopa kila kona. Sisi tunaosoma ripoti za nje hamtudanganyi. Ukiwa na Waziri wa Fedha incompetent kama Mwigulu, watarajia nini? Huyu hawezi ku manage hata his personal finances. Mtu yeyote mwenye kazi, halafu akaona ni muhimu kuiba au kukopa, huyo hana weledi wa kusimamia uchumi wake mwenyewe.
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 ай бұрын
Kinacho leta mtifuano bungeni ni maswala ya kutokua na uaminifu mbona amujichanganyi kwenye miladi yenu mala uyu Esta bus uko shwali
@mussaananiasmyonga727
@mussaananiasmyonga727 2 ай бұрын
Kabisa. Yaani wanatuona watanzania ni vilaza. Incompetent leaders of Tz
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 2 ай бұрын
Mwizi ni mwizi tu, angalia hata hajumbuki mkataba unasemaje Kuna siku, utatia saini ya kuuza family yako, alafu usikumbuke
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
YAANI MNASAINI MIKATABA MIBOVU KAMA HII BILA KUIPITIA? 😢 EEE MUNGU TUSAIDIE
@user-jz1ur2ny5u
@user-jz1ur2ny5u 2 ай бұрын
Kwani jenesta muhagama kazi yake nani,tumbueni Hao Jamani
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 ай бұрын
Kabla jambi kuwika _____,mjiangalie wabunge,mawaziri.
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 ай бұрын
Shd nyingine kubwa ni ccm kuwa na watu wanaopachiwa vyeo hata elimu yao ni ya kuungaunga,mara unasikia docter,prophesa, enginer,kumbe ni vyeti vya kununua
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Huyu Mbarawa yuko kufanya hii Inchi masikini kabisa. Ameletwa na raisi wa hii Inchi ili wapate kufanya ufisadi. Kwa nini Harbours uwalibifu ni wewe uliyeuza bandari zetu.
@luluchisanga1764
@luluchisanga1764 2 ай бұрын
Mwigulu acha kujifanya kila kitu unajua sana wewe na sisi wanachi hatuwezi elewa ni Technical sana! Hivi unatuonaje lakini??!! Cha
@Manyanyatv8551
@Manyanyatv8551 2 ай бұрын
Napataga uvivu kuwasikiliza hawa wabunge maana napataga hasira.
@dominickkachallahnsumbanta7560
@dominickkachallahnsumbanta7560 2 ай бұрын
ovyoooo tu
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
HAWA WABUNGE KWELI WALICHAGULIWA KWELI NA WANANCHI ?
@jdanny497
@jdanny497 2 ай бұрын
Time frame Acha ujinga
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 ай бұрын
Spika mwenyewe ni ovyoooooooo
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 2 ай бұрын
Baba wa Taifa aliwahi kusema ccm ni kama dodoki au kokolo ndiyo maana tunapata watu kama mbarawa.Hajui kulia wala kushoto.Hana kosa,lkn hayo ni matokeo ya uzanzibar.Acha tubaguane tu tumewachoka na udhaifu wao hovyo.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Huyu Mbarawa simuelewi yeye mama yake anamuweka ili apige za kutosha ili Tanganyika inapokuwa inarudi kwetu iwe imekufa kabisa Mbarawa atakuwa amebeba kila kitu
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 ай бұрын
Tuna tatizo apa tz mwiguru na mbarawa ni waongo sana ni watu wa mipango ikiwa mwongo jitaidi usiwe msaaurifu na mwiguru ni mtu wa kujiona msomi kuliko wote kumbe ni kanjanja
@ernestkaji9640
@ernestkaji9640 2 ай бұрын
Waongo na wezi kabisa
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
Huyu mbarawa alianza na bandari sasa na huku tena ?
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 2 ай бұрын
Ivi uyu mwigulu ameingiaje kwenye uwaziri
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 ай бұрын
Mbarawa sijawahi kumwelewa hata kdg katika nafasi yake tangu aanze kuhudumu kama waziri
@dassustephen731
@dassustephen731 2 ай бұрын
Hivi hili bunge au?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Wewe Mwigulu wewe uko kwa kusaidia mafisadi. Wewe hutapata shida na watoto wako. Umeisha iba vya kutosha umeweka miradi ya kutosha wewe na kwa familia wako. Ujuwe kuna siku tutandika KATIBA yenye kupigania wanainchi tutawapeleka mahakamani na mtazitapika.
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q 2 ай бұрын
Ili bunge makofi for nonses
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Oooh yarabi na utujaalie wale wenye mikopo tuweze kulipa na tuepukane na riba tena
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 2 ай бұрын
Tatizo ni bunge letu haliko huru na hawataki kuwa huru kwasababu zao. Wanapitisha Mambo mengi ambayo hayana faida kwa watanzania. Mfano tozo, Bei ya umeme, maji, afya na elimu.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 70 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 10 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,9 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 70 МЛН