MPINA KAMA MPELELEZI ANASA NYARAKA / ABAINI UOZO HUU

  Рет қаралды 13,817

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 91
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ай бұрын
JEHOVAH MUNGU Akulinde Mpina Kazi yako ni nzuri
@silasponeka1773
@silasponeka1773 3 ай бұрын
Unafaa kabisa kuwa Raisi wa nchi hii .Mungu akusaidie
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 3 ай бұрын
Dah pole sn Mh.Mpina 😢😢😢,najua tu baada ya taarf hii,watakuchkulia hatua ya kinidhamu,kisa kuvujisha taarf kwny vyombo vya habari
@FatumaHizza
@FatumaHizza 3 ай бұрын
Mafisad wanalindana mungu akulinda mpina tunajua wenzako hawapendi ukwel tunakuombea
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 3 ай бұрын
Bashe mwenyewe sio mtz ataanza vp kuwa mzalendo
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kwel kabisaa
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 3 ай бұрын
Hivi tangu Magufuli amefariki Takukuru imejifia wapi? 😔😢
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 ай бұрын
Soma dalilli za nyakati zama hz Ni za..........
@SamwelJohn-dh9kk
@SamwelJohn-dh9kk 3 ай бұрын
Mhe mpina. Nakupata vizuri sana. Wewe ndie mbuge pekee unaepambana kwamasirahi ya watanzania.
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 3 ай бұрын
Kwa madudu haya naamini kabisa kuungua kwa kiwanda cha sukari morogoro kuna kundi la mafisadi papa nyuma yake.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 3 ай бұрын
Mpina wewe mwamba upo vizuri
@EmanuelJophet-pp8qs
@EmanuelJophet-pp8qs 3 ай бұрын
Halafu kuna mibunge wakati huyo choko spika, anakanusha yanapoga makofi mamayo zenu....
@magnusnkomola5950
@magnusnkomola5950 3 ай бұрын
Hivi serikali mnafeli wapi? Mbona inaonyesha ni namna gani? Serikali inavyobariki wizi ,Hivi ni kwanini? Yaani mnatuona sisi watanzania ni Mafala kwa kiasi gani? Sasa kama serikalini hakuna wa kukemea hili ni nani? Awe mwokozo wetu. Basi niwaombe watanzania wenzangu njia ni moja tu Katiba na kuwapiga chini wabunge wote wanaobariki wizi ndani ya serikali. Hongera mpina ,naona una nia ya dhati kabisa na sisi wa Tanzania. Mungu akubariki.
@VASCoMgoli-to7ql
@VASCoMgoli-to7ql 3 ай бұрын
Tatzo la ccm mtu kama huyu wanamhalibu kwa kumpa uwazir yan akiwa wazili tuu amekua chwa hata usema ukweli tena
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 3 ай бұрын
Mupina Yuko vizuli anauzalendo na ichi yake,munataka mumupe azabu ya Nini tatizo wabunge wa muchongo,Tanganyika kwanza
@renatusgasembe3338
@renatusgasembe3338 3 ай бұрын
good and very informative with facts
@LucasKisioki
@LucasKisioki 3 ай бұрын
Toboa Siri Dr mpina na Mungu akutangulie mbele ya maadui wko
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 3 ай бұрын
😢huy Bashe mpigaji tu km wapigaji wengine
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 ай бұрын
hawa watu wakimbizi kama bashe na wengineo kwanini serikali ya Tanzania inawapa uongozi hawa tena uwaziri, bashe rudi somalia
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kabisa arudi Somalia huyu mwiz
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 3 ай бұрын
Ila nchi hii jamani tumepigwa na vitu vizito dah!!!
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 3 ай бұрын
Kwa hiyo MO anahusika kutuhujumu Wana Yanga na Simba mpaka kwenye Sukari.
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 3 ай бұрын
Mbona serikali imekaa kimya? Au ndio inaupiga mwingi😂😂😂
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 3 ай бұрын
Yap!
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
😂😂😂😂nacheka kwa uchunguu
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Eti mama anaupiga mwingi hahaha tumepigwa hatuna raisi nchi hii
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 3 ай бұрын
Nchi hii basi tu Mungu airehemu la sivyo anaweza kuiteketeza kama sodoma na Gomola.
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 3 ай бұрын
@humbimusisa-db1tg
@humbimusisa-db1tg 3 ай бұрын
Luhanga shija mpina......Hakuna Ngosha boya aisee 😅
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 3 ай бұрын
Huy Bashe mpigaji tu km wapigaji wengine
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kwel kabisaaa
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 ай бұрын
Huyu mbashe ni mtanzania kweli hanata uzalendo bona kwa maelezo haya
@hakiyangu
@hakiyangu 3 ай бұрын
Bashe ni msomali wazazi wake walikuja Tz bashe akiwa mtoto
@molenicharles9107
@molenicharles9107 3 ай бұрын
DUUU!...MWAMBA UNATIISHA!!!
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Mpina Mungu azidi kukulinda
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 3 ай бұрын
Kuna watu serikalini wanampa ushahidi huu huyu mbunge.Hatari tupu
@Didaskamili
@Didaskamili 3 ай бұрын
Hongera sana mpina tuko pamoja nawe
@EnockSamwel-c4h
@EnockSamwel-c4h 3 ай бұрын
Watanzania tumuombee mh Mpina ni jeshe la mtu Moja
@SaidiSheria
@SaidiSheria 3 ай бұрын
Ccm ni matatizo
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Ccm ni nguruwe kabisaa
@SalumChema
@SalumChema 3 ай бұрын
Duu.wamezulumiana.mambohazalanisasa.hashekaziunayohuchomokikwahilo
@johnngalya1524
@johnngalya1524 3 ай бұрын
Mungu akubariki mhe. Ukimsikiliza bashe utasema mtu ni huyu lakin kumbe ni chura kiziwi
@AndreaHango
@AndreaHango 3 ай бұрын
Hivi, nchi hii kweli haiwezi kuzalisha sukari ya kutosha nchi hii kweli! Mama yetu Samia piga marufuku kuagiza sukari nje ya nchi na mafuta ya kula. Baada ya miaka michache tu utaona jinsi watanzania watajiongeza na kuongeza ajira za kutosha nchini.
@siamollel6051
@siamollel6051 3 ай бұрын
Mungu akulinde na kukutunza,,,Mambo mengi ni magumu hapa Tunanyongwa kwenye kodi kuwanufaisha wageni 3:49
@ALEXMARISA-qw6em
@ALEXMARISA-qw6em 3 ай бұрын
Watu kama Hawa wapewe urais
@awadhally1052
@awadhally1052 3 ай бұрын
Kwel kabisa
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 3 ай бұрын
Mpina +Makonda
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 ай бұрын
Mpina + Makonda + Silaa + Aida Kenani
@salvatoryboniface1089
@salvatoryboniface1089 3 ай бұрын
Wakulima wamegomea kununua ufuta mikoa ya kusini kwa ajili ya mfumo uliowekwa wanunuzi wamegomea
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 ай бұрын
Bashe tumuangalie sana ni mpigaji yawezekana
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 3 ай бұрын
Bashe ni chizi tu mpina ww kiongozi bora
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 3 ай бұрын
Mie najua watakugonga tu wanaotetea serikali kwamba,umewasilisha vielelezo kwa spika kwa nn umeita press kabla ya spika hajalitolea ufafanuzi kwa maana hiyo watakuweeken.
@danielnyangasi8808
@danielnyangasi8808 3 ай бұрын
Kama ulijua ndugu yangu ulichoandika ndo kimetokea
@NeemaKishimbo
@NeemaKishimbo 3 ай бұрын
Miaka 5 kwa mpina
@remmymmewa307
@remmymmewa307 3 ай бұрын
Mpina, akili nyingi sana ilitakiwa uzaliwa Korea kaskazin ila huku kwetu daaa hapana
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 3 ай бұрын
Nafuu wamepopoana wenyewe huko
@SalumChema
@SalumChema 3 ай бұрын
Wataje.wote
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 ай бұрын
Rais amtumbue mbashe
@InnocentSanga-zh9ck
@InnocentSanga-zh9ck 3 ай бұрын
Hizii teuzi za mawaziri ziangaliwe saana huyu bashe sio mtanzania na hawezi kuwa na uchungu na watanzania sukari imeuzwa mpaka 7000 kilo kweli? Na alikuwa anatoka hadharani anasema sababu na vita,mafuliko yaani alikuwa simple kujieleza
@gabapentin8070
@gabapentin8070 3 ай бұрын
Bashe ndo mana kakonda wanangu
@aidankakulu398
@aidankakulu398 3 ай бұрын
Hatari sanaaa mwamba anachimba kinomaaa
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 3 ай бұрын
kanunuliwa na kagera sugar
@George-jz3jg
@George-jz3jg 3 ай бұрын
wewe ndo zobe
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 ай бұрын
inaonekana kuna watendaji wa serekali wanashirikiana ba mpina kumuhujumu waziri BASHE kwa akili ya kumuondoa ktkt wizara hizo kwa akili ya MASLAHI yao!!
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 3 ай бұрын
Bashe ni mtu makini sana,nae atapata muda wa kujibu tuhuma hizi.
@ibrahimNkunda
@ibrahimNkunda 3 ай бұрын
Mpina uko vizur kufichua wezi
@George-jz3jg
@George-jz3jg 3 ай бұрын
Bashe hana lolote pale yeye ni mpiga makelele tu anawafilisi tu wakulima wewe utakuwa ni mmojawapo wa wanufaika kwenye utapeli huu anaouweka wazi huyu mwamba mpina
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 3 ай бұрын
@@George-jz3jg Jenga hoja acha kutuhumu watu ili kukwepa hoja. Sie sote watanzania,usichukie maoni ya watu wengine.
@mbwanajumamohamedi1400
@mbwanajumamohamedi1400 3 ай бұрын
Taarifa imetakiwa kwa SPIKA. Kuisoma kwa waandishi habari ni ukiukaji wa maadili. Huu no mchezo
@ShinjeMackenzie
@ShinjeMackenzie 3 ай бұрын
Wew ni mpumbavu
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 3 ай бұрын
Km angeifkisha kwa spika,huend ingezimwa kmy kmy, that's why huend amefkiria kuwajuza kwnz wananchi
@ALEXMARISA-qw6em
@ALEXMARISA-qw6em 3 ай бұрын
Huyu Hana uchawa kabisaa
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 ай бұрын
Waziri ajiuzulu
@shafiilikoko6871
@shafiilikoko6871 3 ай бұрын
Bashe mtu wa maana sana
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 3 ай бұрын
Hata mm naona 😅😅😅
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 3 ай бұрын
Koko mwezio
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 3 ай бұрын
Mm nimuombe tu Rais samia asimsikiliza huyu jamaa inawezekana anatumwa siyo bure. Kuwa kama chura tu kama ulivyosema mwacheni Bashe alete maendeleo na mapinduzi ya kilimo sisi wakulima tunamuelewa.
@George-jz3jg
@George-jz3jg 3 ай бұрын
Kuna maendeleo gani anayoyaleta bashe zaidi ya kuwafilisi tu wakulima?
@shafiilikoko6871
@shafiilikoko6871 3 ай бұрын
Kama unampinga bashe ww sio mkulima
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 3 ай бұрын
Mimi ni mkulima Ila bashe sio
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Hakuna haja ya kumtetea Bashe iwapo wewe si sehemu ya serikali. Ajitetee mwenyewe na ukweli utajulikana. Kwani kashfa ya Escrow Richmond na Dowans ilikuwaje?
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 3 ай бұрын
Hujitambui ​@@shafiilikoko6871
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
TUNDU LISSU ACHAFUA HALI YA HEWA 'MSILALAMIKE CCM'
57:46
Uhondo TV
Рет қаралды 7 М.
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН