Mr Shua ft Roma & One six - GOD

  Рет қаралды 138,798

VIVAROMA

VIVAROMA

Күн бұрын

Пікірлер: 283
@seedtech7554
@seedtech7554 Жыл бұрын
Kuna mwana anaitwa one six vs roma hili combination huwa nalipa attention sana. 🔥
@sadymwangondafreetalk2435
@sadymwangondafreetalk2435 Жыл бұрын
Wimbo mzuri, mashairi mazuri. Huu wimbo utaishi kizazi na kizazi. Big up Mr. Shua, Roma & One six.
@Bakame0701
@Bakame0701 Жыл бұрын
One Six is a chorus killer!! Wa Tz ivi uyu mwamba hamumuoni?? Acheni roho mbaya, support him 🔥🔥🙏
@Ym_classic_tz
@Ym_classic_tz Жыл бұрын
😢😢😢😢
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Huyo mchiz ni noma kichwa timamu kina vitu adimu🙌🏾🇹🇿
@halunimnenwa5224
@halunimnenwa5224 Жыл бұрын
Nampendaga sana hasa kwa nyimbo ile walo muimbia magufuli nampenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍
@G3toBoiz
@G3toBoiz Жыл бұрын
Kaka nakuamiania naimani ipo siku colab la me naww litahusika
@TeddyKatana-pm1ut
@TeddyKatana-pm1ut Жыл бұрын
Sikupingi one six kwenye chorus balaa
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 11 ай бұрын
Dah dah dah dah nyie jamaa noma sana nyote mmeitendea haki hii nyimbo mungu awabariki sana in god we trust
@em_vee_josh
@em_vee_josh Жыл бұрын
Roma is that one hiphop artist I really respect from Tanzania ❤
@dfixmoblab
@dfixmoblab Жыл бұрын
Kama umerudia hii ngoma baada ya kuisikiliza gonga like #hakuna mkubwa kwa MUNGU
@mwerrymsabatto254
@mwerrymsabatto254 Жыл бұрын
Naomba support yako kaka Roma,,nakubali sana kazi yako
@mtc.shikamoohmoney
@mtc.shikamoohmoney Жыл бұрын
One six mpeni maua yakeeeee. Uyu baba anaujua mziki. Chorus killer uyo one six big up bro
@masheyn
@masheyn Жыл бұрын
Mtu tatu Mme umiza sana humubdah🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 Жыл бұрын
Likes 200 kwa Roma mkatolikiii..... Twende sawa
@timothymikola2317
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Nyimbo inaishi kaka mashairi yametulia big up sana inaonekana ulijipanga sana
@laxmajor
@laxmajor Жыл бұрын
Uñyma mwingi 💯 Roma's😍🇹🇿
@GidionSylivester
@GidionSylivester Жыл бұрын
Mungu ni mwema na akubariki sana mr roma
@dhgraphix_
@dhgraphix_ Жыл бұрын
Nani wakumzibit roma nakubali bro 🎉🎉
@kevokarani9959
@kevokarani9959 Жыл бұрын
Papa Jones
@kevinyaah4279
@kevinyaah4279 Жыл бұрын
​@@kevokarani9959😂 🫣
@advanjrsmbwana4699
@advanjrsmbwana4699 Жыл бұрын
Nakubali ngoma karii sana❤
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 Жыл бұрын
Walio tuzaa walizini ndo maana tunakuwa malaya 🔥🔥🔥🔥
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
Mim nikionaga mtu anamtukuza na kumshukuru mwenyezi Mungu baba sinaga pingamizi thanks Sir God
@kijanamdogoalexoakakma541
@kijanamdogoalexoakakma541 Жыл бұрын
Mie tokea Kenya 🇰🇪. Huu wimbo imetulia. Naipenda unakosha moyo kweli.🙏
@mrshua_
@mrshua_ Жыл бұрын
Asante sana
@sirryhmes5277
@sirryhmes5277 Жыл бұрын
Leo hakuna kutekwa roma,umewafurahisha watekaji pia...mwamba nakubali ❤❤❤toka KISAUNI Kenya
@mrshua_
@mrshua_ Жыл бұрын
Hatari
@chumkhamis8924
@chumkhamis8924 Жыл бұрын
Wale tulio rudia zaidi ya mara mbili nipeni likes zangu. From Zurich Switzerland 🇨🇭
@timothymikola2317
@timothymikola2317 Жыл бұрын
Mr.mshua hip hop real nakukubali kaka yani we bonge la star amin endelea kukaza nyimbo imenitouch sana😢😢
@rajabuchallel4483
@rajabuchallel4483 Жыл бұрын
Yan hiz ngoma ukimsikiliza kwenye ngoma ya chid anakuambia ukiambiwa ndevu bila hela ni nyasi wambie tako bila sura ni uvimbe 😅😅😅🎉❤❤❤❤waliotuzaa nao walizinii big up master roma
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Dah! goma qali sana salute kwako one six the chorus killer 👊👊
@Gerardirankunda2885
@Gerardirankunda2885 Жыл бұрын
Roma we nimwot kweli💥💥
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 Жыл бұрын
Nyimbo yenye utulivu na tafakari kubwa pongezi sana kwenu
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 Жыл бұрын
Kiukweli hii ngoma ni Kali kinoma ila sijui like watu Huwa wanazipaje gusa tuone like Kwa Roma
@felixmoindi3290
@felixmoindi3290 Жыл бұрын
One Six hakosei. Best singer ever and Roma is the only one who has discovered this. Listen to the chorus again
@J.A.CALCUTTAKILUWA
@J.A.CALCUTTAKILUWA Жыл бұрын
Hiphop ina vinasaba vya imani. 🤝🤝
@futureboysteam8396
@futureboysteam8396 Жыл бұрын
Mathematics Rap killer Nakubali sana mkuu wa wilaya katika hii game chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@amosgodfrey2870
@amosgodfrey2870 Жыл бұрын
tambaraaaaa la manaaaaa that melody oooh
@idrsaramadhani-9745
@idrsaramadhani-9745 Жыл бұрын
Mwamb anajua sana jaman tumpen mauwa yake❤🎉
@Rbtzoff
@Rbtzoff Жыл бұрын
Nakubal mkatoliki Apewe mau take😍😍😍😍😍
@Andrew_Kibasa
@Andrew_Kibasa Жыл бұрын
One 6 a real chorus killer,You nailed it man 🔥🫡
@beavaneomwenga1987
@beavaneomwenga1987 Жыл бұрын
Roma wee ni fire 💥🔥🔥... Mathematics ndio ringtone kwa simu yangu.. #Rudi.. Much love from kenya🫡🫡
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 Жыл бұрын
Six anajua sana huyun mwamba ila support kwakee imekuwa ndogo sijui hawamuonii😢wadau
@makaseif
@makaseif Жыл бұрын
Dah ngoma kali. Beat hatar laden, vocal zimeenda shule
@bonfacechibungu379
@bonfacechibungu379 Жыл бұрын
Gold. Hizi ni nyimbo ambazo zinagusa hisia za ndani.
@mrshua_
@mrshua_ Жыл бұрын
Asante
@mkwelitv3407
@mkwelitv3407 Жыл бұрын
Alikuwepo kabla y Ado domino,,, one six sauti inalia kwa hisia🎉❤
@mrshua_
@mrshua_ Жыл бұрын
Yah
@lilchampion1960
@lilchampion1960 Жыл бұрын
One six jamanii 🔥🔥🔥
@kazimilyvoice
@kazimilyvoice Жыл бұрын
Ngoma Kali kuliko maelezo 🔥💫
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 Жыл бұрын
Alomfata roma hapa nipe like
@youngjay3952
@youngjay3952 Жыл бұрын
One six nimmojatu kwenye gem ya bongo fleva yaan nicoras killer mmoja hatar Sanaaaaa like nying kwake
@FIDIMASHAMWABESO-ph8pe
@FIDIMASHAMWABESO-ph8pe Жыл бұрын
Hii imeenda mzee, cool and calm melody
@piryjacob314
@piryjacob314 Жыл бұрын
#vivaroma ft one six & mr.shua mko vizuri sana,chukueni 💐💐💐yenu.
@chriscampizi2476
@chriscampizi2476 Жыл бұрын
Hujamsikia Mr. Shua kwenye verse ya kwanza?? 🔥🔥🔥🔥
@EnockMwankenja
@EnockMwankenja Жыл бұрын
❤ Ngoma safi sanaaaaa🎉
@greenenergybriquettemachin694
@greenenergybriquettemachin694 Жыл бұрын
Much love from Kenya area code 126
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Yesu you hai nakuamini daima tumuamini yesu jamani ndie Mungu wa kweli
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Acha ujinga yesu sio mungu
@paulwilliam6053
@paulwilliam6053 Жыл бұрын
Wa kwanza mimi Leo nipeni like moja🎉🎉🎉
@mg_panther
@mg_panther Жыл бұрын
Kwa faida gani ?😊
@JercanLubricants
@JercanLubricants Жыл бұрын
One hiyo korasi yamoto sana sana inamtunguza Mungu ambaye bila yeye we are nothing boy
@indexchitanda4477
@indexchitanda4477 Жыл бұрын
on trending 15 safi sana roma ❤❤❤
@glorymanunited3550
@glorymanunited3550 Жыл бұрын
Bonge la ngomaa mistari flani ivii laini inaeleweka .... Bonge la ngoma
@dullaboy6
@dullaboy6 Жыл бұрын
Roma dio rapa tz tunamkubali na sitamina hawa noma
@antonyalmeida2362
@antonyalmeida2362 Жыл бұрын
Huyu One Six kwani entertainment ya Bongo hawamuoni kama anaweza kweli!!!
@barakarobert9516
@barakarobert9516 Жыл бұрын
Ivi huyu One Six 😢😢 kwa nn jamn hawi star mbna ni muuaji sana kwny chorus
@johnrichard5482
@johnrichard5482 Жыл бұрын
KAZI NI NZURI... 🙌🙌🙌
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Ngoma Kali Sanaaa 👊
@mugocomedy
@mugocomedy Жыл бұрын
Unataka kujua kwann Roma apost ngoma hii like
@malamafyisamkanda5362
@malamafyisamkanda5362 Жыл бұрын
Ili Ngoma ni 🔥 🔥🔥 watoto watasubirii Naombeni like zenu
@rashidimohamedi5188
@rashidimohamedi5188 Жыл бұрын
RomA King of Hip hop class 🔥🔥🔥
@patrickkarisa6087
@patrickkarisa6087 Жыл бұрын
Nipeni maua yangu, Roma mkatoliki baba lao
@bkptatastashtamz-nl7jw
@bkptatastashtamz-nl7jw Жыл бұрын
Roma amewakilsha marasta waislam wakristo na wapagan 😢😢😢
@Enemy_19
@Enemy_19 Жыл бұрын
Emoj za 🔥🔥🔥🔥 ziwe nyingi hapo tafadhali
@MahirAnuary
@MahirAnuary Жыл бұрын
Ngoma kali sana
@Malima29_10
@Malima29_10 Жыл бұрын
Roma always Hutendea haki Ngoma Yeyote Ile Awe Ameshirikishwa Au Ameshirikisha...🔥 One Six BIG UP!!🤞
@wanzokiwanene7931
@wanzokiwanene7931 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sna nimeusikiliza zaidi ya mara 10
@RAMADHANIMNYOMBE-ti4vx
@RAMADHANIMNYOMBE-ti4vx Жыл бұрын
Nakubaliii kitamboo
@pascalmbilinyi4240
@pascalmbilinyi4240 Жыл бұрын
Noma saaaa❤❤❤❤
@carl-donald
@carl-donald Жыл бұрын
Hii track naiskiza from 1st day till tomorrow....afu namuona sana PROFESSOR JAY.....Naomba mumpee verse coz hii nyimbo inamhusu sana.
@carl-donald
@carl-donald Жыл бұрын
Mara ya kwanza nililia😢😢😢 inagusa real life.
@azaboicomedy
@azaboicomedy Жыл бұрын
Let's call him "ROMA MR TRENDING 📈"
@Hk_boy636
@Hk_boy636 Жыл бұрын
Unyama sana one six nimekubali
@sifatiiman
@sifatiiman Жыл бұрын
tabora home 🎉🎉🎉🎉
@DavideMutupeke-ui1tw
@DavideMutupeke-ui1tw Жыл бұрын
Nimependa kila kituh kwe wimbo huu😢😮🎉
@ibrahimguga-wr1ze
@ibrahimguga-wr1ze Жыл бұрын
Daaah mkatoliki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 huna baya brood
@amriseleman9395
@amriseleman9395 Жыл бұрын
Verse ya 1 ni kali sana kwakweli. Beat ni kali sana kwakweli
@simonjuma2912
@simonjuma2912 Жыл бұрын
Team viva Roma viva Roma..mauwa yetu 😁
@johmarleyofficial8460
@johmarleyofficial8460 Жыл бұрын
Stay blessed 🙌🏾 roma I like you brozzzz long live
@Soleboy009
@Soleboy009 Жыл бұрын
Stil waiting for an album daddy❤❤
@LeoAsenga-pt9dr
@LeoAsenga-pt9dr Жыл бұрын
Anzeewni like apa waku mahala #roma yupo apaaribikikitu..
@edgarmagogozwa9175
@edgarmagogozwa9175 Жыл бұрын
One six kaua sanaa🔥🔥🔥🔥🔥
@elsanane8721
@elsanane8721 Жыл бұрын
Voce é bom meu irmão, boa musica❤❤❤
@fredrickmichael9192
@fredrickmichael9192 Жыл бұрын
Nakemea mapepo na namkanyaga shetani
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
One six may God bless you
@yusufu-w7s
@yusufu-w7s Жыл бұрын
One six hv sisi nani katuloga jama mbn tuna miacha Sana huyu jamaa mpk machozi yana nitoka kwa hii korasi ya jamaa
@ibrahimguga-wr1ze
@ibrahimguga-wr1ze Жыл бұрын
Maisha marefuuu sana kwenu da😢😢😢 hisia kali sanaaaa 🎉🎉🎉🎉
@Ndayizeye-i2y
@Ndayizeye-i2y Жыл бұрын
❤❤❤❤🎉
@samwelkinemo8763
@samwelkinemo8763 Жыл бұрын
Hakuna mkubwa kwako wew baba
@AthumaniChenjelo
@AthumaniChenjelo 9 ай бұрын
Wabishi tu na wenye imani ndoo tunasikiliza ngoma nzito kama,
@darprprime3492
@darprprime3492 Жыл бұрын
Waliotuzaa nao walizini ndio maana tunakua Malaya daaaaah 😭😭😢
@Kinoi-ru3er
@Kinoi-ru3er Жыл бұрын
One six umetisa kaka alafu roma kauwa kwamtindoflan I ila sio kivileeee
@darkrhymes2927
@darkrhymes2927 Жыл бұрын
The living song! Praaaaaaa!
@salvatorykivike3102
@salvatorykivike3102 Жыл бұрын
Noma noma Only GOD
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 Жыл бұрын
One six anatalenti lakini hazungumziwi ,tunamsikia tu kwenye viitikio .
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Жыл бұрын
Walete kati vivaroma 👍
@isaka_omary
@isaka_omary Жыл бұрын
WALIOTUZAA NAO WALIZINI NDOMANA TUNAKUA MALAYAAA #roma
@real_dandy
@real_dandy Жыл бұрын
Full love from kenya..
@mrshua_
@mrshua_ Жыл бұрын
Kenya stand up
@wezeshaentertainment
@wezeshaentertainment Жыл бұрын
Kalii Sanaa 🔥💯
@nabiihiphop851
@nabiihiphop851 Жыл бұрын
Ongera sana❤
@gratusmichael6343
@gratusmichael6343 Жыл бұрын
Good song🔥🔥
@beckyreigns5375
@beckyreigns5375 Жыл бұрын
One six is best🇰🇪💗
@kayandaelisha8014
@kayandaelisha8014 6 ай бұрын
Kaka huku lin tumekukumbuka sana
@LukasWella
@LukasWella Жыл бұрын
Nakukubali sana
@ishengomarugemarila908
@ishengomarugemarila908 Жыл бұрын
Nimeukubari,roma ngoma zakonazisapoti saruti
Anaitwa Roma (feat. One Six)
5:43
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 27 М.
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 2,2 МЛН
ROMA: Nilitabiri Mh Rais MAGUFULI atakuja kuwa.......
14:31
LilOmmyTV
Рет қаралды 534 М.
Viva Roma Viva
5:12
Roma Mkatoliki - Topic
Рет қаралды 142 М.
Qugu Ft One six  - Beautiful {official video}
3:32
Qugu
Рет қаралды 7 М.