Ginimbi alikuwa na joka kubwa linalotema hela? Rafiki yake afunguka, + alivyotaka mazishi yake yawe

  Рет қаралды 765,324

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

#Ginimbi

Пікірлер: 1 100
@fredrickhenry7519
@fredrickhenry7519 3 жыл бұрын
We Kama unamtegemea Mungu gonga like twende zetu
@bernadettewamunzira9693
@bernadettewamunzira9693 3 жыл бұрын
Kabisa nikumutegemea Mungu tu njo njia ya kila kitu tukitafutacho apa duniani
@amanikombe8439
@amanikombe8439 3 жыл бұрын
Mungu Ni kila kitu ktk maisha yetu
@severnymlowe6376
@severnymlowe6376 3 жыл бұрын
Mwamba VP nilipoteza namba yako sky
@milycentnekesa3603
@milycentnekesa3603 3 жыл бұрын
Wacha nikufe na umasikini
@fredrickhenry7519
@fredrickhenry7519 3 жыл бұрын
@@severnymlowe6376 sijakupata man
@bibianayona4348
@bibianayona4348 3 жыл бұрын
Rest Easy Ginimbiiii ....Every Soul Shall Test Death .....Uwe Maskin Au Tajir ...Hayo menginee Tumuachiee Allah...
@florencekabado8931
@florencekabado8931 3 жыл бұрын
Kuna watu wanajiona wao ni watakatifu Sana,utazani wao hawatendi maovu,Muacheni Mungu ndiye mtoa hukumu peke yake.
@nasertelecom154
@nasertelecom154 3 жыл бұрын
Yaani umeongea kama watu mia moja
@lindyodera7074
@lindyodera7074 3 жыл бұрын
Eee Mungu uliye mbinguni Mfalme wa wafalme naomba uniepushe na tamaa ya mali za dunia niweze kuridhika na kidogo nilichonacho nimeomba hayo kwa jina la Yesu Kristo AMINA 😭😭 🙏🙏🙏
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
So wewe hutaki utajiri?
@johnmwadime4590
@johnmwadime4590 3 жыл бұрын
Ameen
@lindyodera7074
@lindyodera7074 3 жыл бұрын
@@BigZhumbe sitaki utajiri unaopatikana kupitia nguvu za giza nimeridhika na kidogo ninacho nashukuru Mola 🙏
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
@@lindyodera7074 amen bora ugali nguruka una amani
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
@@lindyodera7074 Kila utajiri ni baraka kutoka kwa Mungu ila ukifa watu watasema tu.... kama walijua Ginimbi ni mchawi why hawakuongea akiwa hai?
@sylviah9666
@sylviah9666 3 жыл бұрын
Hta hivyo, mbona hamkumhoji Ginimbi alipokuwa yu ngali hai kuhusu utajiri wake??? Mungu nifundishe kunyamaza....hukumu ni yako
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Atajua yeye na mungu wake kifo ni siri kubwa
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 3 жыл бұрын
sasa hata huyo Mondi akiulizwa anakubali ? mbona haowi ?
@reubenfavour
@reubenfavour 3 жыл бұрын
Ukiwa Tajiri Watasema, Ukiwa Maskini Watasema.Amini Mungu, na Uishi Ur Own Life.
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 3 жыл бұрын
Tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni ngumu, ni rahisi ngamia kupenya kwny tundu la sindano. Matajiri wengi sana wanatumia nguvu za giza na wako chini ya masharti. Ila wapo matajiri waliofanikiwa kwa jitihada zao na ni wachache, sasa huyu jamaa hakuwa na mke wala watoto so sad..
@maryamfaraji2364
@maryamfaraji2364 3 жыл бұрын
Yaaani hawo watu wangejua anayo yapitiya sijui wangekuwa wanatazama mwili wake na jicho gani😭😭😭😭😭Alhamdulillah Uislam ni neema kubwa sana Alhamdulillah 😭😭😭😭😭Mungu amsameheee😭
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 3 жыл бұрын
Alhamdulilah mwenyezi mungu atuongoze atupe husni hatima ameen 🙏
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Hakika maryam kujaliwa kua muislam ni neema kubwa allah atudumishe kwenye dini yetu ya haki na atujalie khusnulkhatma
@munakhamis1979
@munakhamis1979 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa duniani mapito
@francolazaro8646
@francolazaro8646 3 жыл бұрын
Imani yako na matendo yako mazuri ndo ya neema sio dini flani ndo neema...
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
@@francolazaro8646 Mimi mafunzo yangu kua muislam ni neema kaka
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
Hizi pesa mbaya sana,dah Ya ALLAH tupe utajire wa halali, yaani gari wazinunua mwenywe alafu zakuuwa kweli Allah kareem
@zengomichael8238
@zengomichael8238 3 жыл бұрын
Pesa siyo mbaya issue kubwa unazipataje?
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
@@zengomichael8238 ni mbaya sana, mwanzo utaonewa wivu, hiyo ndo mwanzo wa chuki niga
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 3 жыл бұрын
Mwacheni Kaka wa watu apumzike kwa amani mungu ndio hakimu wa kila Jambo sisi binadamu tunatabia ya kuhukumu wenzetu jiulize wewe nani anakuhukumu ok Kuna Maisha na kufa tusijisahau sana tufanye ibada Sana🤲 yallab tupe mwisho mwema🙏
@adredandorero2911
@adredandorero2911 3 жыл бұрын
Sijui kama ni kweli au la but story ikitafsiriwa na Sky I have no doubt. Mungu atuepushe na tamaa za maisha ya wengine na tujifunze kushukuru kwa vya halali tulivyonavyo🙏🏾
@francineumurundi1916
@francineumurundi1916 3 жыл бұрын
Acha nibaki naumaskini wangu mungu akitaka njonitakuwa tajiri
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Bora ule ugali na tembele uishi miaka 100 ya amani.kuliko upate utajiri then unaishi miaka 10 tuu...kufuga mijoka ndani...shetani akupi pesa za bure
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
@@Mazoea ahsante kaijage tujifunze kutafuta kwa jasho sio shortkat Vijana tujitume
@saumhamza8958
@saumhamza8958 3 жыл бұрын
Na ukiwa tajiri tiyali utaitwa freemason
@munasuleyman3159
@munasuleyman3159 3 жыл бұрын
Kwa kweli sio kumuasi Mungu dah
@ottomanmwarabu6771
@ottomanmwarabu6771 3 жыл бұрын
Na Mungu akikujalia ukipata tutaikuita mchawi
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Mungu amrehemu mbele yake nyuma yetu
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 3 жыл бұрын
SubhanAllah part ya mtu kufariki HasbiyaAllah waneema'lwaqiyl 😭😭😭😭
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Sio kitu kigeni, manake kuna wengine wanafanya party mpaka za kuachwa
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 3 жыл бұрын
@@farhadhassansaid8830 tofautisha Sana kifo na vitu vya dunia
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
@@radhiaomary5591 manake Saudia kuna party kila aina, manake sio party harusini,mazishini kama mke kafiwa na mumewe ama mtoto kuzaliwa
@aminihaminih7846
@aminihaminih7846 3 жыл бұрын
Achane izo kesha kufa bac watasema kila linalo kuja midomoni mwao,ata km uchawi ni wakwake,😭😭😭😭muacheni apumzike kwa amani kawaachia dunia yenu
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 жыл бұрын
Hizo Gari zote ambazo umezitaja Bro.. Duuuhhhh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 жыл бұрын
Mzee acha kabsa nmeckia kam magar 21 hv daah
@lilianngedu1211
@lilianngedu1211 3 жыл бұрын
@Kelvin Novath mh umeona eee
@lilianngedu1211
@lilianngedu1211 3 жыл бұрын
Sanimo watu wana pesa jamani duuu nimejikuta nashangaa tu
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 3 жыл бұрын
Wazungu wakiwa matajiri sio shida.hats huyu angekuwa mzungu isingekuwa issue, lakini mwafrika akiwa na utajiri kidogo lazima ahusishwe na ushirikina,WAAFRIKA TUBADILIKE.KWA MTINDO HUU WACHA WAZUNGU WATUTAWALE MAANA TUMWUKUBALU ULOFA
@ummiissaabdulissaabdul8117
@ummiissaabdulissaabdul8117 3 жыл бұрын
Sasa ata fikiria magari yote haya ushawai kusikia tena jeneza ndani ya nyumba alafu mazishi yake nguo nyeupe alafu mapart apa ni upafikirie sana
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 3 жыл бұрын
Monica tatizo sio uafrica but tatizo ni chanzo, kwa mfano kwa wazungu huwezi sikia mtu kawa tajiri tu bila kuwa na sababu ya utajiri huo, either kwa kutumia akil yke kugundua kitu kwa manufaa ya jamii yaan ni lazma Kuna chanzo lkn sisi huku chanzo ni mtihani na eti mfanyabiasha huyu sijawahi kuona akizungumzia biashara zake zaid ya kuzungumzia sherehe zake
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 жыл бұрын
Kweli ahhhhh yan
@hamzahassan273
@hamzahassan273 3 жыл бұрын
Excellent mzungu akija africa anaitwa mtaliii waafrika wakienda ulaya tunaitwa wahamiaji ki ukweli tunahitaji sana kwanza tupate ukombozi wa kifikra
@rebekamsukwa4770
@rebekamsukwa4770 3 жыл бұрын
Kwann alijinunulia jeneza wik moja kabla ya ajali yake??
@lisangiadidja342
@lisangiadidja342 3 жыл бұрын
Mmmmmh fremason jaman. daaaah acha nipambane na hela za halalitu🙌
@lailachaka5334
@lailachaka5334 3 жыл бұрын
Kabisa
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Kabisa. Kula ugali tembele lakini una Amani..kuliko kufuga mijoka na kuishi miaka michache ya masharti
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Nikweli mana haina dada yeyote ufahari wadunia adhabu ya akhera
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 3 жыл бұрын
Akili za kimaskin hizo...you will die poor...
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Mtajijua na ushirikina wenu iwe kweli au si kweli ndio kashafika mbele ya mfalme wa dunia na akhera atalipwa kwa mujibu wa matendo yake
@episawaki3240
@episawaki3240 3 жыл бұрын
Mmmmh ukiwa tajiri sana utasemwa siku ya kufa lkn ukiwa maskini utasemwa kila siku .....tuache roho yake ipumzike hukumu anatoa Mungu sisi wote ni wapitaji tu
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
True
@adelineinamahoro8964
@adelineinamahoro8964 3 жыл бұрын
Ààaàààààaà
@adelineinamahoro8964
@adelineinamahoro8964 3 жыл бұрын
À
@episawaki3240
@episawaki3240 3 жыл бұрын
@@chainbre275 thankx kama umeonaaa hiloo
@episawaki3240
@episawaki3240 3 жыл бұрын
@@adelineinamahoro8964 eeeeeeeeeh
@beera.g5302
@beera.g5302 3 жыл бұрын
Kupenda vya mtelezoo, bwerere, afaniiii kkkk🤣🤣🤣🤟
@katojunior7506
@katojunior7506 3 жыл бұрын
Daaahhh mamaeee inamana Magari yote hyo ya kifahari alikuwa akimilik yeye ?? Kweli huo utajiri wake co poa
@naslee1010
@naslee1010 3 жыл бұрын
Amini kwamba hata uwe nani siku yako ni moja tu tumuogopeni #mungu jamani dunia mapito😭
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 3 жыл бұрын
Utajiri sio chochote hapa duniani wengi wao ukifuatilia vzr utajiri wao sio wa kawaida.. G Ameacha kila kitu nini ataenda kusema alichokifanya duniani..Mungu atupe Mwisho mwema.
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Mungu atusamehe jamani alikua Luminat huenda
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
mmmmh ulichokichuma duniani ndo utakachokikuta uko kwa Allah #jitume upate cha halali sio kufuata mkumbo mwisho wake huwa mbaya na aende tuu dunia ipumuwe
@WASHATube
@WASHATube 3 жыл бұрын
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020🍑🍑👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/o3uYkHpml6tgq9k NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Naaaam
@akshaydavid159
@akshaydavid159 3 жыл бұрын
Warembo wako hao tuwaangalie ili watusaidie nini
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 3 жыл бұрын
Utajiri mwingine mh mungu ndo anaejua ukweli wake
@staceyoketch734
@staceyoketch734 3 жыл бұрын
The man is no more...no matter.what he did or not do...he is dead...may God.rest.his soul in eternal peace..who am I to judge anyway...that is God'''s work..
@jeremiahmassawe9042
@jeremiahmassawe9042 3 жыл бұрын
That is true ma bro.
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Kila kitu kitasema Allah (s.w) ndy ajuae wasikuhumu km utajir wake wa halal au vip ataenda sema na Mungu wake M/mng atupe mwisho mwema duh htr
@daimakiganjani
@daimakiganjani 3 жыл бұрын
Inamaana kila tajiri anamiliki uchawi😬😆😆😆😆
@nataemsuya
@nataemsuya 3 жыл бұрын
Mind set
@baswarimohamedi2766
@baswarimohamedi2766 3 жыл бұрын
Africa mtu akiwa tajiri mchawi ulaya MTU tajir anaakil na anajituma y Afrca
@Ashley_family123
@Ashley_family123 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 жыл бұрын
Good question
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 3 жыл бұрын
Asilimia 88 mm nahisi wanatumia uchawi,hata km sio kwakupata pesa ila hata kujilinda
@salimhemed3321
@salimhemed3321 3 жыл бұрын
Allah atupe khusnilkhatma tukifa tutajwe kwa yatakayomridh Allah
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 жыл бұрын
Ameen...
@user-lr2iv3gj1u
@user-lr2iv3gj1u 3 жыл бұрын
Amiin
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Aamyn
@azizaiddy1453
@azizaiddy1453 3 жыл бұрын
Ameen
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Aamiin thuma aamin
@victorialucas9094
@victorialucas9094 3 жыл бұрын
Mungu ndo anaejua ukwel hapo tutaongea meng ila ukwel anao ginimbi mwenyewe na mungu wke bx
@jovialke_update6940
@jovialke_update6940 3 жыл бұрын
Good,binadamu wivu tu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️eti nguo nyeupe jamani huyu alikuwa hatari kweli pesa siokitu
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Tutasikia mengi! Hiyo migari yote ya nn? Kweli utajiri wa joka!
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 3 жыл бұрын
Ha ha ha joka linakupa kila kitu kisha siku Moja linakuzoa mzobe mzobe. Baba yake Ginimbi, ni maskini wa kutupa mtu ukiwaza tu unaona something wrong somewhere.
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Haya mambo ata sielewi unakuwa tajiri halafu mzaz wako masikini duh.
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
@@laurentraphael5470 weee kumbe inamaana alikuwa hmjali mzazi wk saitakuwaje duh M/mng atupe mwisho mwema
@khadijaahmed7455
@khadijaahmed7455 3 жыл бұрын
@@hanifaally4694 Ameen maana wazazi ndo kila kitu
@pookiewookie1833
@pookiewookie1833 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Dah! Mwenyezi Mungu nijaalie hekima ya kuridhika na kile ulichonikadiria... AMYIIN
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 3 жыл бұрын
Ayo magari yote leo umehacha Allah atupe mwisho mwema
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 жыл бұрын
😂😂😂 uctmn maisha ya watu ynsiri kubwa Sana
@azizahsalimu153
@azizahsalimu153 3 жыл бұрын
Usione mtu na pesa zake ukazitaman ujui anazipataje utajiri ni siri ya tajiri😂😂😂😂😂
@wangariann6044
@wangariann6044 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 3 жыл бұрын
Kabisa my unaweza taman kumbe yy kanywa glass ya damu
@aminasaid7657
@aminasaid7657 3 жыл бұрын
True wallah
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Wanauza roho zao na kutoa kafara ndugu zao
@judithkatisha3927
@judithkatisha3927 3 жыл бұрын
Hii dunia tuko wapitaji tu.hata ukiwa na pesa siku ya kifo ikifika unaziwacha..Mungu ailaze roho yake
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
Wamuache kaka wa watu apumuzike kwa amani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢nakuombea kaka sote njia yetu ni moja 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@jesusmyeverything9179
@jesusmyeverything9179 3 жыл бұрын
Amin💪💪💪💪.
@emmi4319
@emmi4319 3 жыл бұрын
Gari zake ni zaidi ya billion 20 🙆‍♂️💁‍♂️
@hustlertv1683
@hustlertv1683 3 жыл бұрын
Utajiri wa Haraka usiojulikana unatokea wapi, alfu kifo cha ghafla. Illuminat tupuuuuu hakuna cha hardworking apo. Ishi maisha yako wacha tamaaa
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 жыл бұрын
Kabisa wengine tunapambana kweli kupata hela wao wanazipata haraka haraka tu
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mambo ya tunduma
@LK-cb6ih
@LK-cb6ih 3 жыл бұрын
Yea
@alfredtarjeu6632
@alfredtarjeu6632 3 жыл бұрын
You people you've not really worked hard..stop such stupid beliefs..
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
@@alfredtarjeu6632 we huna akili babake mwenyewe anaogopa ata izo mali za ginimbi we unasema nini. We unajua kuliko babake hard work ya wapi kua uyaone. Uliza wazee mtaani kwako. Wakupe nasaha za maisha hii dunia wacha kuamini kila unacho kiona kwa macho yako
@onuleonard6160
@onuleonard6160 3 жыл бұрын
Sky wewe ni presenter bora kabisa kwa kizazi hiki mungu akujalie zaid
@beatricemapembe2595
@beatricemapembe2595 3 жыл бұрын
Ila maisha ya kufuru Mungu huwa apendi. Gari 24! Hata kama umebarikiwa kipato kikubwa Haya siyo maisha mazuri. Mwemyezi Mungu amrehamu. Amina
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 2 ай бұрын
🤣🤣🤣::#point🤙
@salidalnymukoya6141
@salidalnymukoya6141 3 жыл бұрын
Nkawaida mtu anapoo friki wtu huongeya mambo mengi ilakwayote wacha mungu alaze roho yake mahali pema wilove bt God love more 😭😭
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 жыл бұрын
Duuuuh !!Dunia ina mengi sana ukifata dunia itakudhuru wewe!!Tutafute hela hata kama pesa tunasema zinapita basi zipite kwako!!!!
@ezekielkullaya8361
@ezekielkullaya8361 3 жыл бұрын
Duuuh😩😜
@wambugu3752
@wambugu3752 3 жыл бұрын
Rest well legend.....tutafute pesa tuache porojo bila maana.
@flodianniclaus5205
@flodianniclaus5205 3 жыл бұрын
Jaribu kutafta ukifikisha umri wa miaka hyo tuone km utakuwa nazo
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 3 жыл бұрын
@@flodianniclaus5205 🤣🤣🤣, apo sasa 😏
@onyangomelly5367
@onyangomelly5367 3 жыл бұрын
Mali yote itabaki huku duniani haitaingia Binguni kwa Mungu mpe Yesu maisha yako
@nancymbogo8125
@nancymbogo8125 3 жыл бұрын
You have a good voice can listen to you all day
@junkie92
@junkie92 2 жыл бұрын
Very true... Very unique voice.
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Izo tabia zipo sana Mozambique Zimbabwe africa kusini sisi kuna mmoja yeye anandege uyo ndege anakunya damu mzibabwe na kila mtu anamjua ni mfanya biashara anishi chipinge na mmoja anaishi Mozambique sehemu mmoja inaitwa dombe yeye anaishi na jeneza ndani na anapesa ile mbaya jina lake nyambende na mmoja yeye anamke na mkewe mzuri kinoma na anapenda kushobokea watu wenyepesa ila nae anapesa kinoma ukitembea nae anakwenda na maji na mwengine anaitwa mtisi jama anaishi Mozambique kuna sehemu inaitwa mosorizi huyu yeye akitembea na demu wowote yule na kufanya ngono ndo anaingiza mkwanja kwa iyo mambo ayo yapo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Utajiri wanamna hiyo hupo tangu siku nyingi naukiuwitaji utaupata tu km asili yako itakuwa sambamba na mambo ya mtindo huwo
@mickdaddy-lk9sb
@mickdaddy-lk9sb 11 ай бұрын
Naomba namba yake huyo jamaa
@fatmasaid3536
@fatmasaid3536 3 жыл бұрын
Acha akayakute aloyachuma. Wanaofanya haya mambo wanasahau marejeo ni kwa Mola wetu Allah swt. Simuonei huruma Allah atafanya kazi yake. Ila wasia kwa ndugu zangu wote, tusiwe mashetani ya kuipenda mali tukasahau ya kesho akhera. Tule kulingana na uwezo wetu kuliko kutaka yatakayo tu cost maisha yetu yote. Saa hz ana raha gani na mali zake???
@evasaimon6764
@evasaimon6764 3 жыл бұрын
Usihukumu usije ukaukumiwa..acha kumsema marehemu Mungu ndie akimu wa haki
@fatmasaid3536
@fatmasaid3536 3 жыл бұрын
@@evasaimon6764 ntamsema leo hadi kesho.
@fatmasaid3536
@fatmasaid3536 3 жыл бұрын
Tumepewa akili timam kufata kulia ama kushoto. So kanionesha kushoto kama firauni we magari yote mtu moja ya kazi gani ama sijui manguo meupe sijui mashart ya kimaajabu ya kazi gani sasa?
@violettemitchel6772
@violettemitchel6772 3 жыл бұрын
@@evasaimon6764 Asante mwaya!! Asiyetenda dhambi kati yetu awe wa kwanza kupiga jiwe. Sote ni wenye dhambi. Na kwa Mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa. Hebu tujililie sisi na nafsi zetu. Ginimbi safari yake kamaliza.
@cadabra7402
@cadabra7402 3 жыл бұрын
Unamsahau Allah unaikimbilia dunia? Na hapa ndo ujue kama uislamu ndio dini ya haki, angekua muislamu wa kweli mali zake asingetumia hivo hata siku moja.
@nonniedejosef8083
@nonniedejosef8083 3 жыл бұрын
Nimesikia watakula nyama, mm asante
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Jamani joka tena😱 ila Mungu ndio anajua yote tumwachie yeye
@zamzamabdi5279
@zamzamabdi5279 3 жыл бұрын
Ni uwongo tupu.nyoka hamna ya kutapika pesa.mungu ndiyo ajuwaye saidi
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
@@zamzamabdi5279 kabisa
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqiykqdjmL-iq7s
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqiykqdjmL-iq7s
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Upo wewe
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 3 жыл бұрын
Kifo chaki kama Paul walker wa furious movie😢😢💔💔
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 жыл бұрын
Doooh..!! Thanks #SnS 4 the updates
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Hapo ndo naukumbuka wimbo wa Remy Ongara " kifo hakina uruma"
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Mtu akishakuwa n pesa nyingi lazma waseme n uchawi jmn na mtu akishakufa ndo inaanza akiwa hai hawasemi🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 3 жыл бұрын
Lilian Duniani hakuna pesa inayotolewa na nyoka mamaangu tujiongeze na tujifunze kupitia wenzetu ivi hata dini yako ishaawahi kukufundsha kuwa upo uwezekano wa utajili wako ukawa mkubwa mpaka nyoka anakumwagia pesa ndani kwako kweli?????
@mustaphagairo1936
@mustaphagairo1936 3 жыл бұрын
Tunaojua ugumu wa maisha na changamoto zke ndio tutakao amin kuw uchaw upo, ila kw watot wa geti kali mboga 7 hawawez kuamin.
@pookiewookie1833
@pookiewookie1833 3 жыл бұрын
huyo nyoka ako bado namtaka 😂😂🤣🤣
@KavamiMiusik
@KavamiMiusik 3 жыл бұрын
Tugawiwe vipande vipande
@pookiewookie1833
@pookiewookie1833 3 жыл бұрын
@@KavamiMiusik aki mimi nataka mkia 🤣🤣😂😂😂
@allyfatma7359
@allyfatma7359 3 жыл бұрын
Thx SnS
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 3 жыл бұрын
Mmmh sio kwa magar hayo alaf ya pesa chafuuuu huyu kweli anajoka ndani 🙆🙆
@teresiamutua4487
@teresiamutua4487 3 жыл бұрын
Kila mtu akifa ataacha kila kitu hapa duniani,rest in peace
@user-un3df1sl2h
@user-un3df1sl2h 3 жыл бұрын
Daaah,maisha aya inamana vitu vyote kaviacha,afadhali angekuwa na mtoto angelisi
@lindahmrutu271
@lindahmrutu271 3 жыл бұрын
Na wao wauze roho zao ,pia wawe na joka LA kuwatemea hela,maana binadamu bwana
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Wageni waalikwa? Mmh imekuwa harusi? Utajiri unafikia mwisho pale kifo kinapotokea. Mola amsamehe makosa yake huko aliko. Ameen
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Hivi unaamini kuna kusamehewa dhambi tukiisha kufa? Nauliza tu swali naomba mawazo yako
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 Inavyosemekana madhambi au thawabu zimeshaandikwa na Malaika inangojewa siku ya hisabu kufanyiwa hukumu kwa uliotenda ikiwa ni vizuri au ni vibaya, hakuna msamaha wowote kwanza. Basi ni misemo tu au dua( mungu ampe kauli thaabit amsamehe makosa yake) mfano uliuwa utasemehewa sababu leo imefika siku yako ? Utakula kichapo cha mungu na wewe huko uendako.
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 nimtihan sana
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 kama alitubu dakika za mwisho yes amesamehewa..umeshaambiwa baada ya kifo ni ukumu....
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Nawashukuru wote kwa majibu yenu mazuri. Kwakweli ni vizuri kufahamu na kujiandaa kwa kila sekunde tuliyopewa na Muumba wetu maana hatujui siku wala saa
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Mimi nilijua tuu uyu atakuwa alikua anatumia nguvu za giza...ata zari uwa anavaa snake print mara kwa mara...kina Diamond wote hawa wameingia kwenye emu freemanson.msitamani watu wakiwa na pesa maana hamjui pesa wanapata wapi....wakikosea mashart tu twende kazini..wengine ndio ivyo kuishi ni miaka 10 tuu
@annwambui8596
@annwambui8596 3 жыл бұрын
Kweli ..ata wao siku yao itafika tu..hawa watu hutudanganya aty niwanabiashara kumbe wafanya kinyume
@marcyjemutai1750
@marcyjemutai1750 3 жыл бұрын
Do you even hear yourself talking?do you have evidence that they are in Freemason?ukiwa na pesa utaongelewa tu
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
@@marcyjemutai1750 izo pesa wamezipata wapi basi na wazee wao wote ni malofa?
@julianacharles6014
@julianacharles6014 3 жыл бұрын
Wote watakufa vifo vya aibu 😏
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Kwakweli usitaman utajir wa mtu hujui duh
@aliymajala5678
@aliymajala5678 3 жыл бұрын
Kwa mungu hakuna tajiri wala masikini
@mwahijaseleman7354
@mwahijaseleman7354 3 жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
@MercyMazmida
@MercyMazmida 3 жыл бұрын
Ila mimi nyoka naogopa mambo ya nyoka sitaki kuyasikia, it give me nightmares... Sasa hizo magari zote ni za nini, ziko mingi jameni, walai binadamu na vitu za dunia
@lakasid3860
@lakasid3860 3 жыл бұрын
Hutak utajir wew 😀😀
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@lakasid3860 🤣🤣🤣🤣
@MercyMazmida
@MercyMazmida 3 жыл бұрын
@@lakasid3860 taka pesa ambayo nimeyafanyia kazi ila najua itakuja pole pole as long as siteseki lakini sitaki kupewa pesa na nyoka, hiyo ni hasara tupuu
@zainashikuku7334
@zainashikuku7334 3 жыл бұрын
Nashangaa kwani hajakuwa na mke na watoto ama
@lakasid3860
@lakasid3860 3 жыл бұрын
@@MercyMazmida okky that's good ✌
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 3 жыл бұрын
Kaka kaniuma huyu Kama namjua vile😭😭😭R.I.P bro
@jackiephyll1250
@jackiephyll1250 3 жыл бұрын
😢😢
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 3 жыл бұрын
@@jackiephyll1250 😩😩😭😭
@maryamfaraji2364
@maryamfaraji2364 3 жыл бұрын
Alikuwa na magari zaidi ya 24🤔Subhanallah 😭
@wangariann6044
@wangariann6044 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔Namoja ni 600 millions
@munakhamis1979
@munakhamis1979 3 жыл бұрын
Lakini gari ya mwisho ni jeneza
@francolazaro8646
@francolazaro8646 3 жыл бұрын
Na Bado Kuna watot yatima na Kuna watu mafukara wa kuptliza kijijini kwao... 😂 😂 😂 Dunia Ina mambo
@fatmas7338
@fatmas7338 3 жыл бұрын
@@munakhamis1979 na yy alijua kama gari yake ya mwisho ni jeneza ndio akalinunua kabisa na kuliweka ndani
@salehalmujaini7633
@salehalmujaini7633 3 жыл бұрын
@@munakhamis1979 kabisa
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Waaaah mbn magari mengi mpka yanisusumuwa mwili khaaa
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Ili uwe TAJIRI lazima ufanye jambo moja kati ya haya mawili; (1) Uwe MDHULUMAJI, hapa naomba niseme kidogo; Dhuluma ni pamoja na yafuatayo:- (a) Kukwepa Kulipa KODI halali (b) Kutoa na kupokea RUSHWA (c) Kulipa wafanyakazi wako MALIPO kidogo ukilinganisha na kazi (d) KUTOLIPA kabisa wafanyakazi wako (e) Kupokonya MALI za watu wengine, mfano kwenye Urithi, Biashara, Magari, Nyumba,Viwanja, Mashamba,Migodi n.k (f) Kufanya kazi au Biashara HARAMU kama vile Mauaji, Madawa ya Kulevya, Wahamiaji haramu, kusimamia Biashara ya Ngono, Wizi, Ujambazi, Utapeli, Kutumia CHEO kwa manufaa yako bnafsi, Uhujumu Uchumi n.k (2) Kutumia NGUVU ZA GIZA Nguvu za Giza ni za aina moja tu, ila zinatofautiana katika utekelezaji;, ni kama vile: Uchawi, Utoaji wa Kafara, Hirizi, Kutumia dawa za mganga, mazindiko mbalimbali n.k Na ndio maana wanasema kuwa; kama NGAMIA atapenya katika tundu la Sindano basi TAJIRI ataingia mbinguni. Sa7bu kuu ni hizo Mbili tuu..! Ila msinielewe VIBAYA kuwa nawavunja watu MOYO wa kufanya kazi HAPANA Kwani kuna utofauti mkubwa kati ya UTAJIRI na Maisha BORA, sio kila MAISHA BORA ni UTAJIRI. Mfano kama mtu katia bidii na kufanikiwa kujenga Nyumba Mbili tatu na magari ya kawaida mawili matatu watoto wanaenda Shule Vizuri, Huyo SIO TAJIRI. Japo hata huyo aweza kuwa amepata kwa halali ama Haramu.
@famkavavatu6993
@famkavavatu6993 Жыл бұрын
Nmekuelewa sana
@francolazaro8646
@francolazaro8646 3 жыл бұрын
Me nkajua ukiwa na Gari ya gharama kubwa sana ikipata ajali haiungui au watu walioko humo ndani hawakufi😎😎.. Sasa raha yake Nini
@zeronine9566
@zeronine9566 3 жыл бұрын
Fanyeni kazi wacheni wivu RIP Ginimbi
@mamboomary8490
@mamboomary8490 3 жыл бұрын
Polen sana jaman
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
Sio Freemason,Kweli?Joka!
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 3 жыл бұрын
SNS hana ata mtoto? Kwa pesa zote izo Mungu wangu
@rosearivitsa6187
@rosearivitsa6187 3 жыл бұрын
Utajiri wamasha ulizeni Rose muhando atawapa ukweli tajiri anashika mimba inatoka lakini masikini ahiwezi katoka hiyo ni kafara watu wamrundie mungu
@muhimuziahadi7779
@muhimuziahadi7779 3 жыл бұрын
Hayo magari yoooote niya kazi gani dunia kuna mambo😯 rest in peace Ginimbi
@missmannydxb
@missmannydxb 3 жыл бұрын
The way he said that Rolls Royce 🤦🏽‍♀️😩
@margiefuraha9801
@margiefuraha9801 3 жыл бұрын
Rose rose raff😂😂😂😂😂
@noelamadadi5731
@noelamadadi5731 3 жыл бұрын
This guy was just hardworking period
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
But not to that extent in that age, may be cocaine
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
And even if.
@joharijj2164
@joharijj2164 3 жыл бұрын
@Noel Amadadi hakuna kitu kama icho tumeona watu hardworking, angalia Sana page zake na fatilia Sana life yankimimbi labda tu uwe umemjua Sasa, lipo wazi ginimbi halikua na mambo ya cult, na ndio sababu ya whiteparty na champagne na pia Gari yake Ya kwanza haliandika caption kabisa, halafu walikua wengi wanakufa mmoja moja wanajiita the rich gung. Yaani mambo yapo mengi yeye binafsi haliokua anapost, na hao marafiki zake wote pia na wao niwa Chama icho, uwezi elewa ikiwa umemjua juzi, halitoka kwao akiwa mdogo Sana..... Na haliojiwa Sana akiwa ai ginimbi halikua yaingia live Sana kwanza mda wa Corona na halikua akisema mengi tu.... Tu muache tu alalae salama, lakini msiwe mnajifanya nikama hamuoni mambo, ongeeni na vijana wajue madhara ya mambo
@joharijj2164
@joharijj2164 3 жыл бұрын
@security expert hakuna jambo kama ilo, watu wanao uza cocaine wanajificha Sana maendeleo Yao, sababu ya serikali, kushikwa na mambo kama ayo, ginimbi halikua hafichi chochote,,, watu wanajifanya kama illuminati na freemason hakuna na mambo ambayo yapo, na tu atakiwa kuwaelezea vijana wetu madhara ya mambo, wanachukua bila kujielewa baadae wanajuta na is too late,,
@TheNdaki
@TheNdaki 3 жыл бұрын
OKAY...KEEP HARD WORKING!!!
@ndundetommasz9158
@ndundetommasz9158 3 жыл бұрын
Sijaona mtu akiuliza chanzo cha umaskini wangu lakini ntakapo pata pesa mtaanza kuandika habari kuhusu utajiri wangu....wafrica tuwache ufala
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 3 жыл бұрын
Kweli Makubwa!
@HansBwoi
@HansBwoi 3 жыл бұрын
Mbona mimi nina joka lina tema watoto mbona utangazi🤣
@fatumamatano8216
@fatumamatano8216 3 жыл бұрын
Ukiwa hai atutajua 😂😂😂😂😂
@Happizo
@Happizo 3 жыл бұрын
Hujajulikana! Ukijulikana tutajua
@fadhililitupa7512
@fadhililitupa7512 3 жыл бұрын
Ngoja ufe tutayatangaza ya kwako
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mksm115
@mksm115 3 жыл бұрын
Hahahaaaa hilo halijadiliwi wengi wanalo tunataka linalotema hera🤣🤣🤣🤣🤣
@nancymsiburu1754
@nancymsiburu1754 3 жыл бұрын
Nimeamini Mali haiwezi fungua mbingu waaaaa heri nife maskini
@morato1170
@morato1170 3 жыл бұрын
Kwani wangapi wamefariki kwa ajari?tajil kwa masikini so tusidhungumze vitu vibaya kwa mtu alietangulia wote njia ni moja 2 RIP Ginimbi my role model utakumbukwa kwa vingi
@giovannygracious3434
@giovannygracious3434 3 жыл бұрын
Wakat mim nahangaika kununua walau fancago watu wanamiliki magar ya matirion ya pesa duh
@truthmedia2525
@truthmedia2525 3 жыл бұрын
africa bn .. Eti kauza soul , si ukauze naww tuone 🤣🤣
@kamatakatalambula8644
@kamatakatalambula8644 3 жыл бұрын
Ulitaka uambiwe kauza mihogo?😅
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Zote ameacha mungu ndo friend mzazi wakweli 2
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 3 жыл бұрын
Doooh...noma sana
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 3 жыл бұрын
Nina hakika hata tajiri namba Moja duniani (official) Hana utitiri wa magari ya kifahari Kama ya marehemu Ginimbi! Halafu kwa Africa Kama umetokea familia ya kimasikini Ni ngumu kwa umri huo wa miaka 36 kuwa na utajiri wa kumiliki Mali hizo za kufuru! Ni ngumu mnoooooooo! Lakini pia kwa uzoefu wangu mdogo matajiri wote wanaopata pesa kutokana na biashara na kwa njia za halali sio wafujaji wa pesa! Ni watu wenye nidhamu Sana na pesa! Mi nakuombea tu kwa Mungu akulaze mahali pema peponi Amina!
@maryamsalim1303
@maryamsalim1303 3 жыл бұрын
Huyo ni kijana lazma matanuz yawe makubwa
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 жыл бұрын
Jamani tusiwe tuna ona watu wakiwa matajiri nyuma ya paziya hatujuwi siri mmmmm huyu jama inaonekana hakuwa bure ila mm nakuwaga nashaa sana .unakuwa tajiri kupitiliza ila kuowa unashindwa kuowa. Vitu vyote sasa unabiachiya nani ??
@shanawilliam1050
@shanawilliam1050 3 жыл бұрын
Hivi ni kwamba Mungu hawezi kutupa utajiri ila shetani tu?????umackini wa fikra ni mbaya kuliko umasikini wenyewe
@greklauryn6277
@greklauryn6277 3 жыл бұрын
Kabsaa Mungu ndo anautajiri tena mkubwa zaidi maana Fedha na dhahabu ni mali yake
@joshuaelibariki2909
@joshuaelibariki2909 3 жыл бұрын
Htr sana rest in peace
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Hahaaaa ata mm nitatafta siafu kwasababu ikiwa nyoka moja inatema hela kias ii.na je siaf?👀👿👿
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 3 жыл бұрын
😆😆
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
@@fainajaffary4070 😆😆😆😆😆😆
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
@anna John kabsaaa na kuregret mob.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 3 жыл бұрын
Nawaza sasa hizo gari zote na Mali zote atazikwa nazo 😭😭
@fadhilaally1826
@fadhilaally1826 3 жыл бұрын
Ataend na jenez tu 🙌🏻🙌🏻
@judithsidi1087
@judithsidi1087 3 жыл бұрын
Ndio nashangaa mpaka mtu ukatafute nguvu za giza kwa sababu wataka pesa, malipo ndo hayo amekufa yeye na akawatoa kafara wenzake pia
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 3 жыл бұрын
@@judithsidi1087 kwanza Party yenyewe umeiona, ile cake uliiona jamani😭😭😭,acha jamani yaani Mungu anavumilia mengi,ila kwa lile uvumilivu ulimshinda,,hata kama tumejawa viburi sababu ya mali zetu,yatupasa tuwe na hofu ya Mungu walau kiduchu.
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
Hizo magari zake ndo Zari alikua akipiga nazo picha akisema amenunua kama hoyo ya red na Bentley na zingine . Wote ni hali moja wanaabudu giza pamoja na marehemu Ivan.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
Kigari chenyewe kilichowagonga cha m 7 ndo Kwanza kitanyooshwa Kwa Sharma na kinarudi road na Ile ya bei gali imebaki majivu can you imagine kuwa na gari kifahari inasaidia nini m 700 ndo iwake na mshindwe hata kujiokoa Ni sadaka hiyo mazee imepokelewa kiulaini
@juliusmwinga4051
@juliusmwinga4051 3 жыл бұрын
Ikiwa alikuwa aki deal na Petroleum.Huenda aalitsjirik kihalali. Waafrika ndivyo tulivyo teseka usemwe pata ununiwe. #Mungu ndo ajuae zaidi.
@maryjohn1436
@maryjohn1436 3 жыл бұрын
Na ku follow
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 3 жыл бұрын
Duuuuuh!!!!! Tomorrow is indeed a mystery. May their souls rest in eternal peace 🙏🏾
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
They don't have souls!
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 3 жыл бұрын
@@burundishallsmile1day109 🤐🤐🤐
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
@@burundishallsmile1day109 🤣🤣🤣they sold dem 2 da devil
@jayvanilla6195
@jayvanilla6195 3 жыл бұрын
Huuuum jamani
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hqiykqdjmL-iq7s
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 59 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 527 М.
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 85 МЛН
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 204 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 59 МЛН