Asante bwana Mpoto kuna baadhi yetu vijana hatuna mashamba wala viwanja na tunaitaj kuwa miongoni mwa wakulima. Na kama tunavojua ukisha lima. Kuna dawa za kuua wadudu gharama ya kumwagilizia kwa sisi vijana inakua changamoto na kilimo kinaitaj pesa kwa hali ya kawaida ni kama ml 2 nakuendelea tunaweza kuchukua hatua gani hapo bwana Mpoto
@zuenandauka23938 ай бұрын
Asante kwa Siri hii. Mungu akubariki sana
@RAMADHANIAMIRI-i5y Жыл бұрын
Safi sana na hongereni, tutakuja kujifunza kwenu
@rehemaothuman37645 ай бұрын
Napenda sana kilimo
@mahmoudsaidy2677 Жыл бұрын
umenigusa sana
@Angela-uj1nm Жыл бұрын
Asante sana
@shabanally69735 ай бұрын
Comment hazifiki50 ingalikuwa ni mambo yetu Yale bas hapa pasengetosha
@ireneushaule771111 ай бұрын
more inspiring Kaka @ Mpoto
@mwitadavid5531 Жыл бұрын
NIMEKUELEWA KAKA MRISHO.
@alexsimiyu85822 ай бұрын
Tenga ni nini?
@alexmabena5995 Жыл бұрын
Asante Sana mjomba ,elimu yako ni mzuri ❤
@Neema-wy4mh Жыл бұрын
Asante ❤ plz nahitaji maeasiliano. Niko inje ya tz nami ninadoto za kulima
@DottokMasangwa Жыл бұрын
Kwel ni mbegu ya ukweli hats mimi imeanza kuuweka maua