Dkt. GeorDavie atoa Gari na zawadi za washindi wa Miss Tanzanite Manyara - GeorDavie TV

  Рет қаралды 85,903

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa

Пікірлер: 403
@VisionVibes8
@VisionVibes8 Жыл бұрын
Geordavie ni mtumishi WA mungu WA mbinguni Alie hai
@MatildeBjelland
@MatildeBjelland Жыл бұрын
Hakuna uwepo wa Mungu labda km ana Mungu mwingine
@dailantz4073
@dailantz4073 3 ай бұрын
Kama hauna chakukometi acha fanya mambo yako viongozi wakiwa na upendo na kusaidia watu muna umia na nyinyi njowene gurumo ya hupako 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay Жыл бұрын
Jamam Mungu mwema tupe macho ya kuona, kwa jina la Yesu aminaaa
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏Kyande aliimba vizuri kuwa,kama ni kuimba na shetani anaimba wala kuimba sio njia ya wokovu
@ntezimanapatrick5600
@ntezimanapatrick5600 14 күн бұрын
Asante sana naomba uniombee nipate mtaji niendeshe familia vizuri maana njaa inauma nitoke kwenye nyumba zakupanga
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 12 күн бұрын
Bwege ww
@ElizaMolle
@ElizaMolle 9 ай бұрын
baba mungu akubariki nawomba namimi unisaidiye nitoke kwenye umasikini
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Nyie waumini wote,someni 1Korintho 10:31. Nyie watu mnachangamoto sana. Yaani mambo ya Dunia yameingizwa kanisani. Mnafurahia kupewa gari na vijipesa lakini mwisho wake ni kilio na kusaga meno.
@elijahsandeh5324
@elijahsandeh5324 Жыл бұрын
Shida li wapi kuzaidia
@jamesndirangu2425
@jamesndirangu2425 Жыл бұрын
Eehh shida i wapi wewe ukisaidiwa utakataaaa
@Masweko.org4357
@Masweko.org4357 Жыл бұрын
Point and fact 🎉
@PrscusVenance
@PrscusVenance Жыл бұрын
Yesu anasema angalieni msifanye wemawenu machoni pawatu kusudi mtazamwe na watu .pili jiulize wapo waumini wangapi hapo hawajui hata Wana kulanini mbona asiwasaidie wapo watumishi wake wangapi hawana magari mbona asiwape.tatu fuatilia watuwote maarufu aliowasaidia kama Wana vuma tena mna ibiwa nyota fungukeni macho muda simrefu mta juwa Mungu hadhihakiwi
@GracePatrick-zc2eb
@GracePatrick-zc2eb Ай бұрын
Mna wivu watu nyie?
@dailantz4073
@dailantz4073 3 ай бұрын
Mungu yupo. ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Excel-Elevation-School
@Excel-Elevation-School Жыл бұрын
8:09 Nabii Mkuu kaimba goma Kalii Sanaa Rudi Rich Mavoko ft Patoranking
@luicensigabriel104
@luicensigabriel104 Жыл бұрын
Duuuuuu tukeshe tukiomba no comment
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 Жыл бұрын
Aliesikia mchungaji anamsifia mdada ana meno like zangu😆😆
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kuna kupigana miti
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 Жыл бұрын
YESU anarudi kumbukeni hilo
@jamesndirangu2425
@jamesndirangu2425 Жыл бұрын
Twajua sana anarudi
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 Жыл бұрын
Dah Acha niililie roho yangu, na roho za watu wangu!
@GodfridMbele-sb1ks
@GodfridMbele-sb1ks Жыл бұрын
Hapa Yesu hayupo kabisa, kabisa, poleni mliopotea
@FatumaMsuya-j5u
@FatumaMsuya-j5u 12 күн бұрын
Kwanini ayupo
@gozdannyisaya6641
@gozdannyisaya6641 Жыл бұрын
Be blessed by gozdanny Daniel GOSPER WA INJILI
@gideonelishadai100
@gideonelishadai100 Жыл бұрын
Isaiah 9:16 Kwa maana wawaongozao watu hawa ndio wawakoseshao, na hao walioongozwa na watu hao wameangamia. [16]For the leaders of this people cause them to err; and they that are led of them are destroyed.
@beatricekagali1048
@beatricekagali1048 11 күн бұрын
Mnapenda sana vya bule mtapata Faida yake .
@KushahaLaban-co1un
@KushahaLaban-co1un Жыл бұрын
Dunia inakalibia jioni kweli kweli
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 Жыл бұрын
Acha ndg yang mm naogopa
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 Жыл бұрын
Aiseee jmn ww acha tyu nataman kulia sijui kinini hiki😢😢😢😢😢
@johnmnyawi5718
@johnmnyawi5718 Жыл бұрын
Ushabiki utapoteza nafsi zenu ,bado mnayo nafasi ya kubadilisha njia zenu. Mungu awarehemu
@elishamwakapugi7751
@elishamwakapugi7751 Жыл бұрын
Acha kuhukumu wewe vp wewe maisha yako ya rohoni
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
@@elishamwakapugi7751 sio KUHUKUMU Bblia ihv DHAMBI ZA WATU WENGNE NI DHAHIRI NAZO ZAWATANGULIA HUKUMUNI ILA WENGNE DHAMB ZAO ZA WAFUATA kwhy km n mmoja wao ,unayonafas ya KUJIPONYA roho yko na jehenam ukiwekwa mateka km ASEMavyo Yer42:22 bc tena
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
Watu wamepotea juu wamekosa ufahamu
@mimimimi-pg5uk
@mimimimi-pg5uk Жыл бұрын
Elisha sema huyu amehukumu nini? kilicho cha MUNGU ni cha MUNGU. kama huyu jamaa ni kichekesho ni hivyo. hakuna Mungu hapa wewe. kama umetumwa nae ni wewe lakini ukweli ni kwamba huyu sio wa MUNGU. na kama huna akili ni huna akili hakuna kukupamba. ELISHA HAKIKISHA unakuwa na akili usiwe mpumbavu usieweza kujua mengi,,, ila hata huyu bado hujua sio wa kutoka kwa MUNGU?. ETI HUKUMU.. UNAJUA HUKUMU WEWE?@@elishamwakapugi7751
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 Жыл бұрын
wachugaji apomnaonawivu rakini. watuwakiubirikweri. amtaki iyondosawa mwakipesire. arisema mkasema hanaeki mavipiapo
@BobgIsmail
@BobgIsmail 5 ай бұрын
Allhmdllah nashukuru kuzaliwa ktk uislam hakika dini ya haki mbele ya mwenyezimungu ni uisilam.
@BajouNizeye
@BajouNizeye Жыл бұрын
Siku zamwisho tutasikiya Vingi na tutaona Vingi, Neno LA Mungu hamuna😭
@elishamwakapugi7751
@elishamwakapugi7751 Жыл бұрын
Tengeneza mambo yako Acha kuhukumu
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
​@@elishamwakapugi7751kwani weweni usher wa KZbin wakujibu watu??
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
,😭😭😭😭😭😭my God give us spiritual eyes we're perishing
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
​@@elishamwakapugi7751Nobody has judged anyone bt the pple states
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Жыл бұрын
Woh ❤Maisha marefu kwako Baba
@JoyceChacha-i3w
@JoyceChacha-i3w 7 ай бұрын
Mungu akuongezee palipo pungua
@MariamJonasi-m2m
@MariamJonasi-m2m 2 ай бұрын
Nifundishe kunyamanza yesu. Yesu alisema zijaribuni hizo roho kama zinatokana na mungu
@mkaliwao9537
@mkaliwao9537 Ай бұрын
Nyakati za mwisho na shetani ame jiziilisha nguvu yake Kwa watu wa mungu walio kosa maarifa na kutambuwa wako kwenye wakati gani 😢😢😢😢
@samwelimollel
@samwelimollel Жыл бұрын
Kweli mungu akae minguni maana ujumbe wake ikishaa kwa mtumishi wake kizimuu inamtumiaa poleni sana
@MariaKisinda-o5v
@MariaKisinda-o5v 11 күн бұрын
Mungu wangu ninae mtumikia awajibu juu ya haya mnayoyafanya kwenye nyumba ya mungu humo
@DavidSibwa
@DavidSibwa Жыл бұрын
Mungu tusaidie ss tulio wadogo wa imani utupe iman iliyo timilifu kiroho utuongoze ututie nguvu uturinde na manabii hawa wauongo kama ulivyo tuahidi kuwa walio wako unawajua miongoni mwaoo na mm unijue bwana yesu wangu ntie nguvu ktk roho yangu Amina
@Apostlegmkumbwa
@Apostlegmkumbwa Жыл бұрын
Imeandikwa nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala lakini nyinyi mmeifanya pango la wanyang,anyi
@JedidaNdutuu-ys3lx
@JedidaNdutuu-ys3lx 10 ай бұрын
Wangejua kilicho nyuma yao ata hawawez shiriki .ila mungu awafungue macho y kiroho,
@GracePatrick-zc2eb
@GracePatrick-zc2eb 4 күн бұрын
We mwenyewe huna macho ya kiroho mbwa Koko ww
@GgSaw-vi4mo
@GgSaw-vi4mo Жыл бұрын
Chukizo la uharibifu limesimama patakatifu jamani
@sashalemmoh3264
@sashalemmoh3264 Жыл бұрын
Embu shindweni kwajina la YESU
@dorsandollah3384
@dorsandollah3384 3 ай бұрын
Mungu kakubariki ila unaamua kufanya vitu vya ajabu
@AhaziAlexander
@AhaziAlexander Жыл бұрын
Hakika mwenyezi Mungu anawaona mnacho kifanya.sijaona hata siku moja ukihubili.ila kutoa na kujionyesha.mlagowe
@MwanaNgurumo
@MwanaNgurumo Жыл бұрын
Baba nabii nimekupenda sana mungu akubariki
@catherinemhule6519
@catherinemhule6519 Жыл бұрын
Nawe mwanangurumo upon ee
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 Жыл бұрын
kwa huo uchafu
@mariammbwaga8463
@mariammbwaga8463 Жыл бұрын
Eeh!Mungu tusaidie
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Baba mungu akuinue in naye akuongezee siku moja kwetu
@samiramawby1257
@samiramawby1257 Жыл бұрын
Yaaa Mukuruuuuu Ngaii Salama Manat wa Manase Mudhambiii???Khaii my people are so good and trully mean it🙏Dear Jodave thank you my,,My small letter from Sultan Rasurul daughter am among you
@nicocoba1741
@nicocoba1741 Жыл бұрын
E Mungu wangu e Kwa naamuna hii shetani yupo kazi it
@AbedKirway-tr5wx
@AbedKirway-tr5wx Жыл бұрын
Asante baba nabii wa kisasa
@JohnMasudi-v5u
@JohnMasudi-v5u Жыл бұрын
Muz nabimuku unanibariki sana mimi nimucongomani
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
MZEE GEODAV NAKUKUBALI KINOMA DUH UNATUMIA PESA SANA MZEE GEODAV
@raynawilliam4719
@raynawilliam4719 Жыл бұрын
E Mungu tupe macho ya rohoni
@jamesndirangu2425
@jamesndirangu2425 Жыл бұрын
Omba upewe
@StephenMmanywa
@StephenMmanywa Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@RebeccaMesso
@RebeccaMesso 7 күн бұрын
Wateule ,kaeni macho,hii ndiyo subira yetu,maandiko yalinena ,myaonapo hayo tambueni ule mwisho unakaribia.
@AngelRupia-od2gu
@AngelRupia-od2gu Жыл бұрын
Yaani mtumishi wa MUNGU wahitaji tupi wengi mno ubarikiwe sana ❤❤❤
@Masweko.org4357
@Masweko.org4357 Жыл бұрын
Muombe MUNGU akupe macho uone yaliyo nje ya fahamu na uono wa macho ya kibinadamu
@mimimimi-pg5uk
@mimimimi-pg5uk Жыл бұрын
aMINA dANIEL mungu ATUFUNGUE MACHO@@Masweko.org4357
@LuciaMwambingu
@LuciaMwambingu 10 күн бұрын
Looo hatari kubwa Yesu wetu hakika yuko karibu. Shika sana ulicho nacho. Usije ukarubuniwa na zawadiii
@klauskilamla1957
@klauskilamla1957 Жыл бұрын
Mchungaji geordavie is the best.hongera Santa geordavie
@isaacomayio7768
@isaacomayio7768 Жыл бұрын
Vitu za dunia hizo apeane neno na kuelekeza watu kwa njia ya ukweli
@praiseludutu4053
@praiseludutu4053 Жыл бұрын
Yesu tusaidie na uturehemu kwa haya yanayo endelea
@ElizaMakaranga
@ElizaMakaranga 5 ай бұрын
Mmmmh Mungu anakuona kama hukujiumba Mungu atakufunyagafiga
@BisimwaMusagalusa
@BisimwaMusagalusa Жыл бұрын
Voici l'homme qu'il faut tuonane Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@NathaliceMushi
@NathaliceMushi 3 ай бұрын
Baba ubarikiwe baba
@amanikivuyo8141
@amanikivuyo8141 Жыл бұрын
Mungu akubariki Nabii
@PeterMayunga-v8d
@PeterMayunga-v8d Жыл бұрын
Sku mungu akilud Dunian atashangaa kwan aliiacha ikiwa nzuri sana ila sasa imechafuka chafuka sana kana nichakula hakistahih kabsa kuluwa mungu atuhulumie jaman moto unatusubili
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Kanisa hili limejaza Yezebeli kibao
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs Жыл бұрын
Yaani mimi nawashangaa watu wa coment kila mtu amepewa eneo lake
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 11 ай бұрын
Baba uinuliwe sana❤
@DianaShayo-io1pz
@DianaShayo-io1pz Жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba, iendelee kuwa na moyo huo huo wakuwasaidia wanyonge kama sisi
@ManuelLucastoto-m5h
@ManuelLucastoto-m5h 2 ай бұрын
Baba naomba unisaidie pessa ya kunja uko tanzania nikuwone nipokee upako kwako baba.mimi ni mzaliwa wa mozambiki wilaiya ya palma sede
@lidyagadyaaminasana576
@lidyagadyaaminasana576 Жыл бұрын
Huu ni uchafu mbele za mungu
@jamesndirangu2425
@jamesndirangu2425 Жыл бұрын
Kivipisasa explain wewe msafi
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay Жыл бұрын
Huo ni uchafuuuuu...ambaye hujaelewa basiiiii
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay Жыл бұрын
Mungu asipoingilia Kati mmmmmh
@niyonsabaemmanuel2671
@niyonsabaemmanuel2671 3 ай бұрын
Sasa izi hela zoto zinatoka wapi ❤
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
Hii ndo inaitwa mtawatambua kwa matunda yao yaani mkono mmja unakemea uovu mkono mwingine unauunga mkono Mungu atusaidie tujue kwamba shetani huja kwa njia nyingi
@elizabethabdon2890
@elizabethabdon2890 Жыл бұрын
Halima
@elizabethabdon2890
@elizabethabdon2890 Жыл бұрын
Mama kadija umeamsha kweri kwer uko vizur
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Huyu ni mfanyabiashara sio nabii kajificha kwenye neno la Mungu
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
Kabisa😢😢
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Sasa hili ni kanisaa au vipi?
@AlexGDarema
@AlexGDarema 28 күн бұрын
Nakkubl xn nibiii 🎉🎉🎉🎉🎉
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu na mungu akulinde daima
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 Жыл бұрын
We nae unasema ubarikiwe kwa kazi ipi ya Mungu??
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Жыл бұрын
@@mazulacelestine3038 ametenda kazi ya kitume na huo ndiyo utumishi
@mosesndimgwanko1079
@mosesndimgwanko1079 Жыл бұрын
Kanisa limegeuzwa kuwa sehemu ya mamiss,andiko gani linaonesha?Yanatoka wap hayo?
@JambojipyaWakubarikiwa
@JambojipyaWakubarikiwa Жыл бұрын
Mmmmh kwakweli kabisa ni aibu kwa nyumba ya ibaaada hiyo looooh
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h 3 ай бұрын
Kiboko ya wachawi mwingine oyeee pesa ngumu kuzipata ila hatuzikwi nazo,kuna maandiko hapo au kuna mafunzo ya kujua mafundisho ya mungu.zaidi ya usanii na sadaka ..africa badilikeni ........
@gwantwamwaipungu9652
@gwantwamwaipungu9652 Жыл бұрын
Mwenye macho ambiwi tazamaMungu anakasirika watu wanafurahia mshiko ok itajulikana
@JambojipyaWakubarikiwa
@JambojipyaWakubarikiwa Жыл бұрын
Mmmmh injili imevamiwa
@huseynmaitaya9002
@huseynmaitaya9002 11 ай бұрын
Kwanini wasema hivi
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Yaani jamani Mungu atupe macho ya rohoni
@jamesndirangu2425
@jamesndirangu2425 Жыл бұрын
Asha tupa
@judithminja770
@judithminja770 2 ай бұрын
Nini hii Yesu😢😢😢
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o 3 ай бұрын
Hizi ninyakati za mwisho kila mtu amutafute mungu wake kwa nafasi yake mungu wa mbiguni tuhurumia watoto wako tutubuni amaana siku za mwisho zimekaribia nakila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe
@bettywambui5871
@bettywambui5871 Жыл бұрын
Children of God perish due to lack of knowledge,I don blv in this at all,jihadhalini sana.
@Masweko.org4357
@Masweko.org4357 Жыл бұрын
Muombe MUNGU akupe macho uone yaliyo nje ya fahamu na uono wa macho ya kibinadamu
@FiveFunny
@FiveFunny Жыл бұрын
Amina nabii
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 3 ай бұрын
Hili ni kanisa au?
@ElizabethUbobo
@ElizabethUbobo Жыл бұрын
Tunaenda na wanao kwenda🎉
@francislekula-fs1cj
@francislekula-fs1cj Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@ElinazaMlimbila-o1o
@ElinazaMlimbila-o1o Жыл бұрын
Maandi ili ya time lazima wawepo watimiza maandiko ninawahurumia maana jehamu nimahari pabaya
@mpesastatements2265
@mpesastatements2265 Жыл бұрын
Huyu si mtu wa mungu pepo
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Жыл бұрын
Anachaguliwa walembo wakula vichocholoni😢😢😢😢
@praiseludutu4053
@praiseludutu4053 Жыл бұрын
Majira sasa yapo jioni na ndege wote kwenye viota vyao Mwokozi yupo karibu na ujira wake
@MponjoliBerdons
@MponjoliBerdons Жыл бұрын
Daaah kweli tumefikia huku?
@BishopEyanae
@BishopEyanae 5 ай бұрын
Ongera
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Kcheko cha geordevie duh
@clevermgedzi4708
@clevermgedzi4708 Жыл бұрын
Mzee upo Sawa Kwa kazi unayofanya!! Mungu Sana na nabii mkuu
@AbuuAbdillah-hb8li
@AbuuAbdillah-hb8li Жыл бұрын
Huyu ni nabii wa ibilisi kupoteza watu huyu ni mtu muovu sana
@rev.pasteuraimablebaobabt.v.
@rev.pasteuraimablebaobabt.v. Жыл бұрын
Yyyyyyyyyy 💜💜💜💜📖📖 ubarikiwe mtumishi
@zimanigervas7281
@zimanigervas7281 Жыл бұрын
Woooow
@Asha-s9u8p
@Asha-s9u8p 12 күн бұрын
Aliyepita hapa baada ya Good luck kuchoma gari tujuane maana nimeamini kweli hakuna Mungu hapa
@mwesi527
@mwesi527 Жыл бұрын
End of the time,aminini kwamba
@twahaismail9440
@twahaismail9440 Жыл бұрын
Yani binadamu tumekua hatuna hofu ya mungu sasa dini gani inakubali ujinga huu
@ClospaBanza
@ClospaBanza 5 ай бұрын
Nabii mkuu tuna mjuwa ni yesu christo unagawanya gari feza kenye kanisani umurudiye mungu wakweli mzee kwamaana majira tuko nayo ni mubaya jesu anakuja
@JescaMwakipesile
@JescaMwakipesile Жыл бұрын
Bwana Yesu hakuwa na upendeleo hata sasa bado anatupenda jinsi tulivyo. TUOMBEANE TUCHUKULIANE MIZIGO. NI HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA. MUNGU AWABARIKI WATUMISHI WOTE WAAMINIFU WANAOWAKUMBUKA WAHITAJI.
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 Жыл бұрын
Shindwa KwA damu ya yesu kanisa gani ii laana tupu
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 Жыл бұрын
yesu unamjua we tafuta pesa
@akutiboysolomon9418
@akutiboysolomon9418 Жыл бұрын
Wow! Great
@cosmassisa5256
@cosmassisa5256 Жыл бұрын
Unahitajika ukumbozi wa kifkra aisee. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@mwesi527
@mwesi527 Жыл бұрын
Kabisaaa
@agnessima5032
@agnessima5032 Жыл бұрын
Ukombozi wa kifikra ni moja ya utajiri mkubwa sana.❤
@lidyagadyaaminasana576
@lidyagadyaaminasana576 Жыл бұрын
Kweli nabii hii ni Ibada au kufuru
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Oo Glory to God!!!
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 Жыл бұрын
Nabii mkuu una tabia mbaya!
@PeterMgani-v7c
@PeterMgani-v7c 7 ай бұрын
Izo pesa anazitoa wapi?.
@NeyNkwabi-p3b
@NeyNkwabi-p3b 4 ай бұрын
Apo wapo uchi kweli mbona sijaona kosa lolote apo kwanza mungu alivyotuumba hakuweka nguo ila pale tulivyomkosea mungu ndio tukaajua nguo na hao wamevaa nguo na hawako uchi nyie mnaotoa maneno machafu mungu anawaona ila me naona baba yako tu vzr! Kwanza mungu haangalii walichovaa apo ila anaangalia moyo
@benedictsenya
@benedictsenya Жыл бұрын
Angalieni sana Zawadi na Watoa ZAWZDI wake !""
@agnessima5032
@agnessima5032 Жыл бұрын
Watu hawana macho....😢
SANAA YA UBUNIFU YAFIKIA HATUA HII! 😳 - GeorDavie TV
5:38
GeorDavie TV
Рет қаралды 47 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
GOODLUCK GOZBERT-SABABU ZA GARI KUCHOMWA MOTO,FIESTA-PART 2 Exclusive Interview
1:21:14
MAKUFURU YA CHRISTINA SHUSHO NA ERIC OMONDI/ MUNGU AZIAKIWI/WANAMZIAKI MUNGU?
3:14
KANISA TAKATIFU NA UKWELI WA YESU KRISTO
Рет қаралды 21 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН