Hapa kanisani au sehemu ya kuonyesha wasanii na vipaji vyao, maana Kila siku wasanii wanakuja kuonyesha sanaaa
@esthermwau43153 күн бұрын
Sijahukumu lakini nilitamani niskie salamu za MSALABANI ama Bwana asifiwe,uhuru waYesu...Tukumbuke kwamba pamoja na utajili na pesa nyingi Yesu pekeake ndiye njia ya uzima wa milele.Amen
@EnockSimioni4 күн бұрын
Mtumikie Mungu acheni upuuzi
@BayambazeAdelin3 күн бұрын
Muna tufurahisha❤
@EllyMarua-ge8rf14 күн бұрын
Eee Yesu naomba nipe macho ya rohoni
@MmMm-tt1wi8 күн бұрын
Amen
@UAMUSHOTV-g7e2 күн бұрын
Amen
@EmmanuelMizambwa-lx8sz17 күн бұрын
Sadaka mnasema wachungaji wanakula na familia zao wanakuwa matajiri G devi kaamua kugawana na waumini wake bado mnaona G Devi anakosea watanzania mnataka uyu baba afanyaje au mbaka siku akikupa wewe ndio utaamini ni mtumishi wa Mungu kuweni na imani Watanzania imani yako ndio itakayo kuponya mm naamini G devi ni mtumishi wa Mungu kwasababu anapokea na anatoa ndio maana anaongezewa mara dufu
@gabapentin807017 күн бұрын
😂😂😂 now say it without crying
@dennissiriwa223316 күн бұрын
Kipofu
@Hezron-z9c16 күн бұрын
Follish
@enizetv519616 күн бұрын
Katika hapo M 6
@zaidiissa371416 күн бұрын
Sadaka nimuhimu kutoa ilasiokumpelekea pasta wala mchungaji pelekea wajane mayatima namaskini kwani hamuwajui ??!!??Mpaka mpeleke kwa hawaviongozi au mnataka ziombwe kwanza kwani nyinyi hamuwezi kuomba wenyewe??!!!
@silassaitoti768913 күн бұрын
Geodavie amesuport watu wengi mno
@ThomasMmary-r7w14 күн бұрын
MUNGU ni mmoja tu wa mbinguni 🌹🙏
@MmMm-tt1wi8 күн бұрын
Amen 😊
@IsaacNzai-e7s11 күн бұрын
Wamepewa milioni milioni Daaaaah !!
@motinanutheactor392316 күн бұрын
Pongezi sana kutoka Kenya,sisi pia ni waigizaji na tunaona support vipaji sana Pastor, tafathali tuite Tanzania ata siku moja🎉🎉🎉
@suleimanismail841414 күн бұрын
Hizi Bangi sijui wataacha lini hawa vijana, Huyu kurusha ngumi mbili tu anataka kuwa tajiri No. 1 Africa
@monicaelias38016 күн бұрын
Halafu mbayazaidi kadai ameamua kupigana ili awe tajiri mkuu wa africa nzima wakati kupigana ni dhambi Neno laMUNGU LINAPINGA SOMA WAGARATIA5:19-22 LKN PIA UKIMCHA MUNGU KWA KICHO BARAKA ZA KILA NAMNA MUNGU WAMBINGUNI ATAKUJAZA
@RashidiAdamu-b3q15 күн бұрын
🎉hiiinjaa mbaya sana
@Bongovillagex16 күн бұрын
Hivi ndivyo tunapaswa kuishi NABII MKUU mungu akupe afya zaidi tuendelee kula neno lako huku tukiamini Yupo mungu ❤
@monicaelias38016 күн бұрын
Tengua kauli huwezi kumuita G D kwa jina la herufi kubwa eti NABII MKUU HALAFU MUNGU ALIYEMUUMBA HUYO nabii wako ukamita mungu kwaherufi ndogo
@TALLUBOY16 күн бұрын
Elder geodavi nakukubari Kinoma fathe your hamble sana
@MerveilBalume-p8z6 күн бұрын
Ndo hivyo sasa !
@DeusMagere16 күн бұрын
Yanga bingwaa
@ImeldaMyinga17 күн бұрын
Ngoja ninyamaze mie
@emanuelymungure436117 күн бұрын
Bora unyamaze tu maana haya ni magumu mno ukitayafakari
@MmMm-tt1wi8 күн бұрын
Nani mahari patakatifu kabisa jmn 😢
@denisJoel-v7i14 күн бұрын
Baba,nakupenda san namna unavyopend watu wako
@AngelAfric14 күн бұрын
Mkali wenu kumbe your so humble 😅 safi
@salmampinga499515 күн бұрын
🥳🥳Vivaaah Maono ya Nabii Mkuuu 🎉❤❤
@MfiriFulgensi16 күн бұрын
Vueni hizo herini sio jukwaa la ccm hilo Yesu aheshimiwe jamani
@dailantz407317 күн бұрын
Nabii mkuu mungu akupe maisha malefu na guvu nabaraka ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@astambaby771916 күн бұрын
Uo unabiii kapewa na Nani?
@MmMm-tt1wi8 күн бұрын
@@astambaby7719ety kateka akili xa wana wa Mungu hiv mahali patatakatifu mtabigana mabondia jmn ila anaishi
@melomusictz107915 күн бұрын
Mambo mazuri inapendeza mno haya ndiyo yanayotakiwa .sasa ww kaka na chogo lako oooh ni uwongo oooh kiko hvi , acha ss twende kwa nabii wetu geordavie baba nipo njiani
@emanuelymungure436117 күн бұрын
May God help us....
@SamwelMollel-br9md17 күн бұрын
Amina nimebarikiwa sana huyu ndiyo nabii wakweli,,❤❤❤
@reganmallya653817 күн бұрын
Duh aseee
@sonnyr189916 күн бұрын
@@reganmallya6538 Pôle
@InnocentBamboo-my7lr14 күн бұрын
BOSS BOSS BOSS IZO NOT NOT NOT....Naomba ela yanguuuu....😅😅😅
@SHUKURUMGANYIZI2 күн бұрын
saf, nami kumbuka kunisubscribe
@محمدالقايد-د6ب16 күн бұрын
Yes sir
@FrereJospin-ln5xw2 күн бұрын
Like
@JoaquimdriveMicher16 күн бұрын
Mathayo 24:24. Im from Moçambique
@RestutaLucas-p7e10 күн бұрын
Watu huangamia kwa kukosa maarifa
@silassaitoti768913 күн бұрын
Hivi ndivyo inatakiwa h
@sixberttindwa962217 күн бұрын
Kujipendekeza kwengine
@Joppa55515 күн бұрын
😬😬kujipendekeza kubaya...wote hawa walokuja hapo hawajielewi
@MmMm-tt1wi8 күн бұрын
@@Joppa555kweli kbs
@stephenmoshi199315 күн бұрын
Uhuni TU
@MarleenClymans17 күн бұрын
⚓️♥️🙌♥️⚓️ik prijs u jezus ❤en ik dank u heer❤zegen uit belgie❤en jezus raak mensen aan in belgie❤en mijn broer ronny ❤voor u glorie ❤god❤in jezusnaam ❤amen
@abidandastanmaliyatabu137317 күн бұрын
Na huyo ndugu yako aokoke kwa jina la Yesu
@HASSANBAKARI-q9c16 күн бұрын
BABA,,KILA NIKIJITAHIDI WAPII😊😊
@DivaMsukuma13 күн бұрын
Uy nimtumishi waker wengine wanajinufaisha wenyewe san
@abidandastanmaliyatabu137317 күн бұрын
Saivi na wachungaji wanataka machawa
@SamwelMollel-br9md17 күн бұрын
Kwani ww utaki
@saleemadhiyabalkhatri780017 күн бұрын
Katika dini haipendezi hata mungu hapendi hii nidini hili nikanisa inapaswa liheshimiwe sio kumbi ya starehe kilaanaejisikia basi afanye apendavyo ziko sehemu zakufanya matani sio kanisani wala msikitini jamani tumuogope mungu ndio mitihani inatukuta tunabaki kujilaumu hatujuininini kumbe kumdhihaki mungu haifai tuogopeni mungu
@MaombiEsperancemaombi12 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@deokessy659615 күн бұрын
Mmmh duuuu yatosha
@ZekaniS16 күн бұрын
Njaa mbaya
@Joppa55515 күн бұрын
Na sio njaa tuu..ni njaa na ufahamu mdogo maskini ni wakuonewa huruma..they are lamme
@EmanuelJoseph-w8r13 күн бұрын
MUNGU wasaindie
@osimbojoseph2177Күн бұрын
Hii kweli ni kanisa?
@habibakusaga-tf4uu8 күн бұрын
njaa hizi zinaaibisha sana dah lizika na ulicho nacho waenda kuigiza hadi kanisan
@ShimbaMayunga2 күн бұрын
Nampataje huyu Mzee namba zake
@johnlightmkose472316 күн бұрын
NABII MKUU ANAJUA KULA NA WATU SIYO MBINAFSI JAPO KUNA MAMBO MENGI NAPISHANA NAE ILA ANAJUA KUWAKAMATA WATU KISAIKOLOJIA
@aloycekiwia861316 күн бұрын
Hivi ni kwa nini kila mtu anataka watu waishi maisha wanayofiri wao.!?Eti mnachukia kuona hivi.! Wivu tu.!
@dennissiriwa223316 күн бұрын
Tatizo huko nje jina la Mungu linatukanwa kwa sababu heshima imeondoka kanisani. Kanisa linawezaje kugeuka uwanja wa dansi, ngumi, u-miss, mitindo, miziki ya kidunia inaimbwa madhabahuni. Hivi hauoni? Hausikii? Ni kipofu ww?
@OptimisticMusicalInstrum-mv8mw16 күн бұрын
Zaida issa umejaribu kuwafumbuwa watu lakini wengi ni sikio la kufa hawajuwi wanatoka wapi wara wanaenda wapi
@djobama472316 күн бұрын
Njaa itawauwa
@tinamahega984816 күн бұрын
😂😂😂
@dennissiriwa223317 күн бұрын
Jamaa aliposema alipata mtoto tar 12/12/2023 na kumwita jina lake Nick, nikakumbuka Nick davie alivyofariki tar 12/12/23. Sina neno, ni kumbukumbu tu.
@SamwelMollel-br9md17 күн бұрын
Endeleya kukumbuka ukimalisa ulale
@dennissiriwa223317 күн бұрын
@SamwelMollel-br9md sawa mh apostle
@MfiriFulgensi16 күн бұрын
Namna hii mhhh
@mropeamadeus5417 күн бұрын
Safi Mtumishi wa MUNGU
@hakizimanatony135514 күн бұрын
Ajabu saana kanisani wanazichapa kama kawa
@IsaacNzai-e7s11 күн бұрын
Baraka zatoka kwa MUNGU sio kwa mtumishi😂😂😂
@zaidiissa371416 күн бұрын
Jamni nimeona watu hapa kwenye comment wakizungumzia sadaka yes sadaka nimuhimu kutoa lakini je unampa nani namungu kaamlisha nani apewe hizo sadaka mungu anasema katika maandiko matakatifu katika koroan na bibilia sio maandiko ya wataka vitu mungu anasema sadaka hupewa watu hawa maskini wajane na mayatima vilema nawenye kuhitaji wanahiyo kiufupi wasio jiweza na hakuna maandiko yoyo katika koroan au bibilia yanyosema sadaka wapewe wachungaji wala mapasta au masheikh au maaskofu sasa nyinyi mnao wapa sada hawa mapasta na wachungaji na masheikh mnawapa kupitia maandiko Gani?!??!Naje?!hao masikini wajane mayatima nawasio jiweza na matazo mbalimbali wameisha ??!??? Nakama batakazuombewe kwani nyinyi wenyewe hamuwezi kiziombea???!?! Au nikutojua sheria za mungu kukosa maalifa au kupotezwa ujinga nakiburi ?!?!?!
@BalinabaSinkonde12 күн бұрын
Kweri wewe nabii umemutabili hamonaizi
@EmmanuelMizambwa-lx8sz17 күн бұрын
Wakitoa sadaka mnasema lalamika wakipewa wao mnalalamika mbona amueleweki binadamu mnataka nn
@danielmwakimi241615 күн бұрын
Hivi mnajua Yesu ndio Nabii Mkuu
@pastorb.alaurent100617 күн бұрын
I connect
@stephenlokiyor675812 күн бұрын
Eti baba
@jacksonwilson577217 күн бұрын
Acha mi nisubiri comment ambayo nataka niikoment mim, mim nimeshindwa kuiandika.😂
@eliaichraymond121513 күн бұрын
😳😳😳
@nozesybafikege841711 күн бұрын
Marifa yataongezeka tena hesabu ya mnyama huyo ni hesabu ya kibinadam
@SamwelMollel-br9md10 күн бұрын
Vp bado ujaasha umalaya nawifu
@kenpoul860115 күн бұрын
Pepo chafu
@JoshuaMasai-jr4xd13 күн бұрын
Acha mchezo were kama umwamini kama kimya gods natamani nkutane nawe so kwa so nyie msio penda utajiri tulieni baba atupeleke binguni tukiwa mabilionea jamani
@JohnSwain-s1r15 күн бұрын
Biblia inasema usihukimu usije ukahukumiwa yule unaye muona sahihi kwako kuna wengine nao wanamuona hayuko sahihi. So msiamini kila roho bali zijaribuni 1YOHAN 4-1kama zinatokana na MUNGU hapo penye kujaribu sasa ndo mnafeli kwa ssb panahitaji mtu wa rohoni haswa. Kwa iyo kama huna uhakikina na unacho sema nyamaza.kwa ssb bibilia inasem ktk wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu. Bali yeye auzuiae ulimi wake hufanya akili. Mengine tumuachiye MUNGU.
@BangmwaboSam7 күн бұрын
Jesus is very neat repante and turn away fromsins do not bring evil deeds on the altar od the lo d church is for Christ who told u that church is for intamaint
@talentedboys-tv150717 күн бұрын
😂😂😂aiseee..roho zinawauma watu utadhan...sjui nn,,,,kwa GD kafany nn👀..mtu katulia zake mnapambana nae..hya bht mbaya unayepamban nae huna lolote la kumzidii🤌🏽binadamuuu✋🏽✋🏽🤣
@YustaMfugale16 күн бұрын
Duuuu
@mhandoonthebeats858116 күн бұрын
Mathayo 24:24
@elia547516 күн бұрын
Hakika🙏
@elizabethndimbwa547017 күн бұрын
Duuuh hizo ngumi sasa?
@CalliamKayechikwindi15 күн бұрын
Hhhh Ringo siku izi kafanana na jux
@MriceeTZA16 күн бұрын
DUUUH! NGUMI KIDOGO TUU! UNAONGEA UNAHEMA HIVYO😂😂😂😂😂😂