Hey iko iv Congo imegawanyik sehemu mbili tofauti 1. Sehemu inayosema french n'a lingala 2. Sehemu inayosema kiswahili Sas tanzania music inapigwa sana sehemu ya mashariki maan ndo sehemu inayosema swahili n'a sehemu ya mashariki hamna ma star wa muziki maan ma staa wa muziki wapo sehemu ya inayosema french ndo kwa maan ukion msaani wa Tz akiend Congo kuipiga show ua anaitwa maeneo ya mashariki maan ndo sehemu muziki wa Tz unaposikilizwa sana .. Sas ukiend kwa Wale wa Kinshasa ni ngumu wa kuwalinganisha na ao wa tz kwa chochote kile(shows) maan ukiangalia kwenye kujaza ma ukumbi ulaya na Africa n'a ata Congo wapo Juu sana kuliko nyie tz sas nyie msitak kuona ao wasani wakutok mashariki wakij apo waliwai wana njaa msitak kuona et ndo Congo ipo chini👊
@KeslieAtanasАй бұрын
Kk uyu nikali ina onekana ata chukuwa na fasi ya 5 kwa young jeneration
@antoukey9759Ай бұрын
Ok me nasiyetukonakuya
@henrymungungu7731Ай бұрын
Uko chizi saaana,mziki wa tanzania unasikilika wapi Congo?
@BahatiPascal-t6iАй бұрын
😂😂😂😂akuna
@SmithAfandeАй бұрын
Unasikika acheni ufala , kama uvira, bukavu, Goma...misisi, Baraka
@DekelvaSoujaboy-mb8ps3 күн бұрын
Lubumbashi Kolwezi likasi Maniema kalemie goma Bukavu Uvira Kisangani pweto kipushi Acha ufala mziki wa Tz unasikilizwa Sana huku kwetu Drc Congo 🎉🎉🎉
@fistonsafari1202 ай бұрын
mina kuitikaka sana bargoss parce que unaji tumaka...lakni sijue juanini Ku media sisikie kiswahili ya kwetu sois pas timide mon frère
@MutabilwamesheChristopheАй бұрын
Hu loasha habari ni mshamba sana. Anaingea vitu ambavyo havijuwi, nani kakuambia Fally Ipupa 🇨🇩 ama koffi Olomide 🇨🇩 hawa skiki.
@JuniorLepadri-u2yАй бұрын
Uyu jama nimatako sn kweli 😡 iko nazarahulisha Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@CubakaEspoir-v7oАй бұрын
Mutoto we tu
@reagenasumani8667Ай бұрын
Toi vraiment t’as un problème très sérieux mziki wa Tanzania inakusumbuwa ni weyepeke ma intérêt zako unata généralise batu yote