No video

MSHENGA WA DADA WA FUMANIZI LA OMAN AFUNGUKA YOTE KUHUSU FRANK NA MKE WAKE

  Рет қаралды 9,994

WILDERNESS SURVIVAL

WILDERNESS SURVIVAL

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@retcharetcha1009
@retcharetcha1009 Ай бұрын
Dada waaa Omani chukua vitu vyako frank hana maisha ya kuwapa chakula wanawake 2 na watoto na kama hataki muachie alafu mpeee mwaka moja tu mungu atakuapa jibu
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed Ай бұрын
Tutaona mengi Kupitia kwa dada waomani🤣🤣🤣🤣
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj Ай бұрын
Mdada wa Oman chukua Kila kilicho Chako Kwa frank
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv Ай бұрын
Wake watano heee ndo mn unamkuadia mwenzio na yy awe na 10 😂😂😂
@ZuhuraAbubakari-v5v
@ZuhuraAbubakari-v5v Ай бұрын
Yani huyo frenk na mshenga wake wote zahita zahia
@khadijarashid5533
@khadijarashid5533 Ай бұрын
Pole Sana Dada wa Oman chukuwa kila kilicho chako maisha mengine yatafuata
@SheySharifahamady
@SheySharifahamady Ай бұрын
Hata hiyo m2 na nusu inawezekana ni ya mdada wa oman 😅 kamtumia mchmbaake kaenda kuiolea😂😂
@NeemaChuwa-bm1ke
@NeemaChuwa-bm1ke Ай бұрын
Waislam ni wake wanne uyo anamzihak mungu Wala hafai kuwa mshenga Hana ushaur wowote dada wa Oman chukuwa vyako vyote mama kaanze maisha yako
@NoraQamunga-c6l
@NoraQamunga-c6l Ай бұрын
Jamani ana ushupavu Gani anajua anamwanamke anaowajeh
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Tujifunze kazi za huku ngumu kumtumia mwanaume ela kilahisi hapana
@surayammanga8190
@surayammanga8190 Ай бұрын
Mshenga wake watano duu
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Ela ya mahali ya huyo dada wa omani
@fatmamasoud1398
@fatmamasoud1398 Ай бұрын
We baba muisilamu mwi sho wake wanne kwa dini inavyosema
@user-pp9hp9nj1z
@user-pp9hp9nj1z Ай бұрын
uyo mshenga bwege nini dada wa Omani chukuwa vyako usimuachue hata mboni
@hemedjuma8339
@hemedjuma8339 Ай бұрын
Wewe dada wa Oman tafuta suruhu Ila tambua pesa yako ndio itamlea mke mwenzio, jitambue wewe kwani huna ndugu wakusaidia unahonga pesa kwa mwanaume halafu Ana mke mwengine tulia pambana utapata mwanaume mwengine
@SheySharifahamady
@SheySharifahamady Ай бұрын
Hata hiyo m2 na nusu inawezekana ni ya mdada wa oman 😅 kamtumia mchmbaake kaenda kuiolea😂😂 6:16
@OnesmusCharo-dd2si
@OnesmusCharo-dd2si Ай бұрын
Ww musheng unaongeya ovyo kwani frenk alikuwa hajuwi mdada wa oman anaenda dadangu nakuomba chukuwa kilicho chako uanze upya
@hemedjuma8339
@hemedjuma8339 Ай бұрын
Akimbilie nje nauli atapata wapi,mwanaume mzima unajitapa mjini kumbe mali za demu jichange tafuta vyakwako
@user-lt4ry6iy5h
@user-lt4ry6iy5h Ай бұрын
Mtoto wa nyoka ni nyoka tu kumbe muchenga mwenyew ana akili kama za frank, ila nyie wanaume mungu yupo kazin na nyie.
@jacklinehatungimana1730
@jacklinehatungimana1730 Ай бұрын
Mwaname shuja hawuna hakili unajuwa njisizinatafutwa diomana huunana ushahuli mwenyewe wanawake tanu matakataka jalala wala huu na wushauliwekipofu 😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@user-og3sx6th9w
@user-og3sx6th9w Ай бұрын
Kajifunze kuandika hata hujui sjui umeandika utumbo gan
@salmasalam3268
@salmasalam3268 Ай бұрын
​@@user-og3sx6th9w😅😅😅hata mm nimesoma na sijaelewa ata kimoja kha
@MusokeDios
@MusokeDios Ай бұрын
Kumbeeeeee,mshenga na Frank ni walewale,show me your friend l will tell you who you are
@MamaIthne
@MamaIthne Ай бұрын
Umekiroga dda ww.
@MamaIthne
@MamaIthne Ай бұрын
achana naye uyo kaka
@Atb300
@Atb300 Ай бұрын
Shame on u girl unahudumia dudu in this life😂😂😂😂foolish mm mwanaume akiniomba tu pesa tunaachana
@sayyahkhaan2741
@sayyahkhaan2741 Ай бұрын
Mi sijamuelew mshenga😂😂😂😂anajua pesa inavyouma😂😂
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty Ай бұрын
Ww mshenga na Frank mungu anawaona hamna ata haya jamani mtazilipia hapahapa duniani 😢
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 Ай бұрын
Natamani huyu Mshenga na Frank wake Mboo zao zikatike Madudu kabisaa kwa Maana hiyo yote ni Jasho ya Dada wa Omani pole sana
@user-qz2if6nc9j
@user-qz2if6nc9j Ай бұрын
Huyu msenge kweli anaongaea pumba tu
@FajmaHilali
@FajmaHilali Ай бұрын
Itakua kalipwa huyu mpumbavu kweli
@user-er5ld7ft6k
@user-er5ld7ft6k Ай бұрын
😂😂😂 mshenga muongo duuh
@ShamsaOnesha
@ShamsaOnesha Ай бұрын
Mil mbil na laki tano Mmmmh hiyo ni pesa ya madam Sasha hiyo ndiyo man hakuionea uchungu😊
@ZuhuraHamadi-py4cu
@ZuhuraHamadi-py4cu Ай бұрын
😂😂😂😂😂kumbe nafasi zipo ,bas Sina haraka
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Ай бұрын
Nawewe mshenga mjinga sana
@user-tp7bz9ep2l
@user-tp7bz9ep2l Ай бұрын
Ww mshenga bwege
@user-sj4jh2rd6h
@user-sj4jh2rd6h Ай бұрын
Frenk kafleli wala sio shupavu wala shujaa ni mwanaume muongo katumia njia ya kumdanganya Ms omani
@KhadijaAli-zd8jq
@KhadijaAli-zd8jq Ай бұрын
Wake watano😂😂😂😂umejiongeza
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv Ай бұрын
😂😂😂
@AminaMtui
@AminaMtui Ай бұрын
Mshenga gan huyo mala huyo Frank arudixhe vit vya watuuuuuuuuuuuu
@OmanOk-lx9td
@OmanOk-lx9td Ай бұрын
Mm siwez kumpa mwanaume ela yangu bora wale wazazi wangu kuliko mwanaume
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 Ай бұрын
Hebu ungemkwangua na huyu mshenga mwenyewe kishenzi
@brehimakeita7597
@brehimakeita7597 Ай бұрын
Uyo franck arudishe pesa ya mdada wa oman
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
MSHENGAAAA MTU WA MAANA KABISA
@user-zi1gp6dc2q
@user-zi1gp6dc2q Ай бұрын
Jaman kumpa mwanaume hela sio shida make walipanga mengi yabadae ila janaume ndo senge lingekuwa linagonga tu lisimuweke ndan uyo mwingine. Ila nawe mshenga unaongea mkundu tu kwedazako kumamako
@NeemaKizulege
@NeemaKizulege Ай бұрын
Unaongea pumba wew mtu mzima umeona wp mtu anakuwa na wanawke watano
@user-vx8gk9so2c
@user-vx8gk9so2c Ай бұрын
We baba Bure kweli wew?Loh?muhuni tu wew
@aljabriadamu5356
@aljabriadamu5356 Ай бұрын
Daah chukua kilicho chako
@munaomar9532
@munaomar9532 Ай бұрын
Uongo huuu wanatafuta content tuu😊
@aliceshija3123
@aliceshija3123 Ай бұрын
Mwanaume shupavu wap umalaya tuu
@nurusofia-od4kj
@nurusofia-od4kj Ай бұрын
Mwanaume ukimpatia pesa anakuona wewe kama shuga mami wake halafu anatafuta mke WA kumuoa awe anamsubua kichwa na pesa
@suhaylaabdullah4261
@suhaylaabdullah4261 Ай бұрын
Huyu mshenga ni mjinga saana hana akili
@sofiagao6396
@sofiagao6396 Ай бұрын
Lakini.simdadawa.omani.kachukuwafunhuo.zapikipiki.zadukani.
@brehimakeita7597
@brehimakeita7597 Ай бұрын
Funguo siyo tija taweza kwenda kuvunja mlango wa dukani Akahamisha vitu
@ZenaZena-vx2ee
@ZenaZena-vx2ee Ай бұрын
Huyo mushenga sio omani kunamambo mengi tunapambana nayo watuonee huruma bas
@OsamAhm-gb3yw
@OsamAhm-gb3yw Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t Ай бұрын
Helaya omani inavyouma siwezi kumpa mtoto wamtu
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs Ай бұрын
❤❤❤
@methodpeter1323
@methodpeter1323 Ай бұрын
mi nataka huyo mdada Wa omani si mnipe no zake?
@zainabumaulidi1030
@zainabumaulidi1030 Ай бұрын
Sijmuelewa
@janethmush3158
@janethmush3158 Ай бұрын
😂😂
@user-vx8gk9so2c
@user-vx8gk9so2c Ай бұрын
Unakaa namke wako Kila ck mmaonana ila nje una michepuko 4,umbali syo sababujinga wew
@OmanOman-gu1wy
@OmanOman-gu1wy Ай бұрын
Wapumbavu nyie waomani tujuwan
@user-sw2fi1gu4j
@user-sw2fi1gu4j Ай бұрын
Wa omani❤
@ShamsaOnesha
@ShamsaOnesha Ай бұрын
Huyo mdada wa Oman naye mpumbavu tu kwakweli, binafsi siwezi Yan ushapigwa tukio na bado wataka ukae mbembelezane
@user-hv8di2gu8m
@user-hv8di2gu8m Ай бұрын
Mshenga nayeye chenga mwanaume ndomwenyemakosa
@SheySharifahamady
@SheySharifahamady Ай бұрын
Hata hiyo m2 na nusu inawezekana ni ya mdada wa oman 😅 kamtumia mchmbaake kaenda kuiolea😂😂
@MonaEd-o4z
@MonaEd-o4z Ай бұрын
Ivi uyo anae jiita mshenga anajua maana ya utafutaji au anaona raha kuojiwa au anawafundisha nini wanaume waliy owa na kuwaruhusu wake zako kwenda Oman kutafuta acheni upuuzi jamani mbona kama ivi cc piy tuna moyo wa nyama tunasikiy maumivu
@SheySharifahamady
@SheySharifahamady Ай бұрын
Hata hiyo m2 na nusu inawezekana ni ya mdada wa oman 😅 kamtumia mchmbaake kaenda kuiolea😂😂
NDARO NA STEVE MWEUSI WAGOMBANISHWA NA MWANAMKE UTACHEKA
15:47
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,1 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 76 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
KIREDIO AVUNJA PENZI LA MEET US
3:02
KIREDIO
Рет қаралды 72 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 2,1 МЛН