Mshuhudie Paul Makonda Uone Kitakachotokea Hapa!

  Рет қаралды 1,389,710

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amepiga marufuku watendaji wa serikali wa mkoa huo kutoka nje ya mkoa bila kutoa taarifa kwake. Makonda amepiga marufuku hiyo wakati wa kongamano la tathimini ya hali ya miundombinu ya barabara za mkoa huo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar.
Kauli hiyo ya Makonda imekuja baada kukosekana kwa watendaji ambao walitakiwa kuhudhuria kongamano hilo kwa madai kuwa wako nje ya mkoa kikazi huku waliobakia wakishindwa kueleza kuwa wapo kwa ajili ya kazi gani.
” Kuanzia sasa hakuna mtumishi wa mkoa huu kutoka nje bila kutoa taarifa hata kama ni kazi ya wizara gani lazima mtoe taarifa, kumekuwa na tabia ya watu kujitengenezea tu safari ambazo hazijulikani wakati hata rais wetu alishazikataza,” alisema Makonda.

Пікірлер: 501
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 7 жыл бұрын
Asante Sana makonda
@catylolo1365
@catylolo1365 7 жыл бұрын
very nice makonda, ha ha ha ha aaa arongwi mtu piga kazi kaka wenye chuki wapotezee tu.
@helsongressimo3166
@helsongressimo3166 7 жыл бұрын
Sasa ww makonda, hapo Mheshimiwa Ruge anakujaje!? Na kama katumwa we umechukua hatua gani!? Taja na hao wengine bac,,, mbona umemtaja tu Mheshimiwa Ruge,,? We upo tu kisiasa na Kiki za social media tumekuchoka huna jipya
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 3 ай бұрын
Makonda 2024
@georgegonda8891
@georgegonda8891 6 жыл бұрын
Hongera makonda ilitakiwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani ili uwatumikie watanzania wote hongera kwa misimamo isiyo yumba
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 6 жыл бұрын
hongera sana mkuu wa mkoa piga kazi hakuna kuangalia sura.
@allyfutto8763
@allyfutto8763 11 ай бұрын
Huyu ndiye makonda tunayemhitaji kuwateteawwanyonge tumbuwatumbuwa iendelee🇹🇿
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 7 ай бұрын
Tena ninauliza hivi huyu Makonda au Magufuli?Daah Kazi nzur japo ni muda mrefu sana lakin kwa sasa Ni Mwenezi wa CHAMA CHETU CCM HAHAHAAA NI HATAAARIIII OGOPAAAA??.
@ashatadei5639
@ashatadei5639 7 жыл бұрын
piga kazi mimi nakuelewa sana mkuu wa mkoa makonda mchana watasema usiku watalala walio soma wenyewe badala yakutusaidia wanataka mpaka tuwape rushwa kwanza ndio wafanye kazi inauma sana yani
@kataninyido401
@kataninyido401 2 жыл бұрын
Kazi yako nzur Sana jaman
@saidimeshack6315
@saidimeshack6315 7 жыл бұрын
nashukuru kwa kunitusi ndugu yangu mimi nimelelewa vyema na famili yangu wewe tu ndio umelelewa kishetani umezea mitusi kwa wakubwa hiyo ni moja ya laaana kwako
@graceenno4859
@graceenno4859 5 жыл бұрын
Nimekupenda bure makonda simamia kazi vzr watu wanaotesha vitambi hawawajibiki
@jeffkitory314
@jeffkitory314 6 жыл бұрын
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee watanzania ukiwafanyia kazi nzuri utaambiwa anamasifa ila ukiwafanyia kazi bibaya watasema hajuilolote/hana akili N:B kaa na akili kaa na maskini
@enockmulaki1001
@enockmulaki1001 7 жыл бұрын
Zima moto Style, maneno mengi ufuatiliaji wake ni F. Agenda na nia ni nzuri, utaratibu hakuna. Mabadiliko yatakujaje? Maneno yametujaa wabongo kuanzia viongozi mpaka wananchi.
@kavulatikivurunzi
@kavulatikivurunzi 11 ай бұрын
@karimuhassan2716
@karimuhassan2716 2 жыл бұрын
Huyo ni rc makonda,
@dastansimpanzye5558
@dastansimpanzye5558 5 жыл бұрын
kazi yako ni njema mkuu wa mkoa
@josephinedavid3072
@josephinedavid3072 6 жыл бұрын
kauli ya huna kazi inamstahili kabisa, ulitaka apewe kazi wakati anatuchezea
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 7 жыл бұрын
Nabii ni nabii hata kama hakubaliki kwao Jamaa hajasoma na hana vyeti ilankazi anazo fanya nikama kasoma Ahhh kumbe nibora mtu asiye soma tu
@stevenntira1835
@stevenntira1835 7 жыл бұрын
kaz nzur mueshimiwa makonda
@disozluoga1267
@disozluoga1267 7 жыл бұрын
Haswaaaa makonda. Yukosawaaa haijalishi kma wabaya wake wanadai ishu ya vyeti at I vyeti vinaongozwaaa
@siwemanjame6793
@siwemanjame6793 7 жыл бұрын
2ngepata mkuu wa mkoa kama we we morogoro bac ingekua vzr zaidi piga kaz kaka wewe ni rais wa 2020
@kadaskarim5081
@kadaskarim5081 7 жыл бұрын
chapa.kaz p makonda wew ni jembe tu tupo pamoja Dar ni yet ukimalza hapa nenda mikoa mingne nais mweshimiwa atakupeleka tu
@georgefaustini5679
@georgefaustini5679 7 жыл бұрын
ng'a ng'ania vyet tuu.makonda piga Kaz nataman uje Kilimanjaro MUNGU akutunze
@alijuma6502
@alijuma6502 5 жыл бұрын
Muheshimiwa njo nahuku mbagala kata yachamazi magengeni Kuna uozo wana nchi tunataabika sana
@cecyliamapunda411
@cecyliamapunda411 6 жыл бұрын
Chapa kazi tuu mkoa upendeze uzembe ulizidi. Huu ni mkoa wako hakuna kuhama DAR tunakusapoti
@jumatranka3255
@jumatranka3255 4 жыл бұрын
hongelasana
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Mhhh kazi ipo
@gibsonyshadrack4543
@gibsonyshadrack4543 6 жыл бұрын
Hii,ndio Tanzania,nzuri,baada ya magufuri, huyu ndio rais wangu,sijali kutukanwa,
@barnabamalawi7267
@barnabamalawi7267 7 жыл бұрын
taratibu hizi ni nzur xana piga kazi mwenyezi atakupigania dhidi wanaopinga sababu aliyekuteua anajua nini unachowafanyia wananchi wako wanaopinga ni sawa na shetani hawezi kuwa rafiki na Mungu au polisi hawezi kuwa rafiki na muarifu nasema piga kazi waliozoea kuishi shotcut wataelewa tu.
@emmanuelrupaki7000
@emmanuelrupaki7000 2 жыл бұрын
Makonda ukumbuke wakati wa utawala hapo soko la Ilala mwezi September 2020 ulikarabati kwa kiwango Cha chini sana urefu wa chini mita 300. Sasa hivi kipande hicho kimeharibika Sana na hakifai kutumika tena. Je hukuchota Cha juu kwenda kugombea ubunge huko Kigamboni?
@franksanga2115
@franksanga2115 7 жыл бұрын
Mko poa sana
@razakmaliki4450
@razakmaliki4450 7 жыл бұрын
Tanzania ni nchi ya maajabu sana wapo watu walio kuwa wachapakaz sana sana tu tena sio wana siasa (wapiga domo)kama huyu mnae msifia wamefukuzwa kazi kisa vyeti sasa huyu yeye ana baki kwa vigezo vipi? Au ana nn cha ziada kuwazidi hao manesi na walim nk walio fukuzwa kazi??? Huu ushabiki unatokana na baadhi ya watu humu kujali zaid matumbo yao..kwakua ana kamshahara na ka nafasi sehem basi lazima awe kibaraka wa kusifia ujinga..Mungu awalaani.
@charlesased
@charlesased 7 жыл бұрын
Razak Maliki Umenena vyema.
@masoudysaid1040
@masoudysaid1040 7 жыл бұрын
Razak Maliki ukaguzi wa vyeti feki hukuwagusa wakuu wa mikoa thats y yupo mpaka sasa
@razakmaliki4450
@razakmaliki4450 7 жыл бұрын
Masoudy Said haukuwagusa kwa sababu maalum....
@innocentphilip1715
@innocentphilip1715 7 жыл бұрын
Mungu akulinde endelea kufanya kazi yako mtumishi
@sibomanaandrew8204
@sibomanaandrew8204 7 жыл бұрын
Razak Maliki upon xahh
@oswardkonanga6029
@oswardkonanga6029 6 жыл бұрын
It takes those who nows how to understand things to solve the problem. By Osward
@emmanueljohn5345
@emmanueljohn5345 6 жыл бұрын
Uko mbele wasio Penda maendeleo ndio watakao piga kelele
@afropanorama4730
@afropanorama4730 6 жыл бұрын
tatizo watz walishazoea kubembelezana na kuoneana muhali pamoja na kuogopana na kulindana.sasa ametokea mtu anawatumbua watu wanalalama sababu tulishazowea kufichana
@kenylemedy2852
@kenylemedy2852 5 жыл бұрын
atar
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 7 ай бұрын
Tumpende nani Nchi hiii?
@sylivestermaganga6288
@sylivestermaganga6288 7 жыл бұрын
very
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 2 жыл бұрын
HANA ELIMU KIBARAKA WA MAGUFULI 🧐🧐🧐🧐
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 жыл бұрын
💯💯💯💯💯✅😍😍😍
@petermabula1456
@petermabula1456 7 жыл бұрын
chapa kazi Paul makonda
@thomassenga2526
@thomassenga2526 2 жыл бұрын
Na wewe leo ni raia tu uongozi ni koti
@seifkoyo5722
@seifkoyo5722 6 жыл бұрын
duuh mimi nakaa kimya kwanza
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 6 жыл бұрын
Dogo we noma
@lenatusnestorykilalika7514
@lenatusnestorykilalika7514 5 жыл бұрын
Natamani wakuu wamikoa wangekua Kama makonda
@rebeccampeta6650
@rebeccampeta6650 6 жыл бұрын
tuondoleeni na wachina 😀
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 7 жыл бұрын
uyu jamaa anapiga kazi ase ao wapumbavu wanaoitaji vyeti wapeleke vyao bas
@stellahfulgence8803
@stellahfulgence8803 7 жыл бұрын
makonda nakukubali sn unachofnya hua wa5anzania wengi hawan huo ujri play ure part makondà
@hadijamdege7651
@hadijamdege7651 2 жыл бұрын
du 🤔🤔🤔kweli makonda kazi ulifanya kwa weredi na pesa umepiga sana unazo mpaka leo, ila kwenye maamuzi yako kwa wafanyakazi wenzio ulijifanya mungu mtu mwisho wa siku ukavuna ulichokipanda na kurudi mtaani ulikowapereka wenzio, pole sana kwa hilo japo unapesa ila nazani imekuwa fundisho🏌️🏌️🏌️🏌️🛌🛌🛌🛌
@mwandumazaoidrossa1702
@mwandumazaoidrossa1702 7 жыл бұрын
tuache kufcha hili limakonda liko vizuri lina travailler bien vraiment
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
Kweli punda haendi bila fimbo.... Tunajiangusha wenyewe baadae utasikia serikali... Serikali... Ipo kazi hebu kuweni wazalendo jengeni nchi yetu kwa nafasi mlizo nazo acheni kujiumauma kwa kukosa majibu... Yaibu hii
@ndagijimanakibibi7381
@ndagijimanakibibi7381 3 ай бұрын
Hongera baba makonde mungu aendelee kukulinsa nakumbuka babawetu magufuli mungu amulazepahalipema
@levisonedward2180
@levisonedward2180 7 жыл бұрын
I hate this man because anafanya kazi kwa kunyanyasa watu na akisifiwa na wenye akili kama yake ila hakuna busara hajui kuwa hakuna MTU alie perfect na asiejua alitendalo
@hemedmbarouck5668
@hemedmbarouck5668 7 жыл бұрын
inapendeza muheshimiwa Makonda.Endelea utazidi kufanikiwa.Ziba masikio.
@stanslausbereghe3819
@stanslausbereghe3819 2 жыл бұрын
Kuna baadhi ya makandarasi wanakula pamoja na wakurugenzi na madiwani. Mnawaonea wakandarasi bure, kikulacho. Hata ukiwapata makandarasi kupitia wodi C bado makanjanja wapo tuuuu! Makonda kaenda wapi? Arudishwe ukuuu wa mkoa afanye kazi.
@neemayusuphu1591
@neemayusuphu1591 2 жыл бұрын
Wewe makonda ulikuwa Zaidi RAIS gadafi subili mnyororo Wa sabaya
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 10 ай бұрын
Mheshimiwa mkuu wa mkeo barabara ya ukonga naelekea mombasa sehemu unataka kwa diwani naelekea kibble majohe.tulishaita waandishi habari lakini sijui kama kuna mbege nani? Naomba usione msg mkuu wa mkoa
@muhimamichel8569
@muhimamichel8569 4 жыл бұрын
naomba namba ya makonda.mimi ni munyarwanda namupenda sana.yangu +250788572570
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 8 ай бұрын
ANGEFUNGULIWA MASHTAKA MAANA WATAKUWA WANAIBA WAKIJUAHATA WAKIFUKUZWA WATAENDA KUFUNGUA BIASHARA ZAO..KWAFUKUZA HAISAIDII
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 10 ай бұрын
Kipinfi cha uchaguzi ndio wanatengeza barabar .Naomba ukonga kuna mbowe au wamesauhau jamani maana hakuna barabarani kabisa
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Heti inatia kinyaaa, kauri gani ya kiongozi, kweli ulifanya jeuri, hapo ndo mnakosea kukosa ustarabu ziro .
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 7 жыл бұрын
Wasomi wanapigwa maswali na mtu asiye soma na msomi hanamajibu Hiv hapo nani kilaza sasa
@woissopaschal6391
@woissopaschal6391 7 жыл бұрын
piga kazi kijana. wanaokusumbua ni kama wanakupunguza mwendo. ulishaendesha gari, kama likishamaliza mlima kwenye tambarare linafanyaje?
@alexanderkapinga6060
@alexanderkapinga6060 7 жыл бұрын
Mi makonda, sijawahi kuona ubaya wake. For me hata kama angekuwa mkulima hana hata darasa la saba kama anafanya kitu kinachohitajiwa na jamii na tunaendelea is better kuliko profesa mwizi mwizi tu na hakuna maendeleo yoyote anayoleta.
@marysengo3098
@marysengo3098 2 жыл бұрын
Ni kweli Mh. Makonda ni mchapakazi.. Hana Baya..ni mfumo tu
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 7 ай бұрын
Wewe ni Rais ajae Ndugu yangu aisee kwa sasa naweka bando baada ya Mzee wangu Magu aisee Kwa sasa wewe ni Mwenezi na Kazi unaupiga mwingi sana
@andrew29468
@andrew29468 2 жыл бұрын
Makonda alikuwa sahihi hata ni ujinga watu kutuumiza kujenga batlrabara mbovu
@aleyslaim4935
@aleyslaim4935 7 жыл бұрын
piga kazi Broo cheti akifanyi kazi alafu wewe unaedai Cheti kwani wewe ndio. baba yake Paul ulie msomesha mpaka unataka Cheti
@humphreybilly3258
@humphreybilly3258 2 жыл бұрын
Sasa yako wapi??hizo zilikuwa ni kiki. So kila Jambo tunabidi tuliamini maana Hawa watu Wana familia zao ndo maana Sala zao zilikufikia.
@allymliloh1760
@allymliloh1760 7 жыл бұрын
wanaomponda Mkuu wa mkoa mh Paul Makonda ni Lofa tena ni Mpumbavu tunapambana na kuboresha miundombinu harafu mijinga isiyokuwa na haya inazungumzia Vyeti Naichukia sana mipuuzi haya
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 7 жыл бұрын
Duh kuajiliwa nayo kazi apo unachambwa kam mtoto mdogo mbele za watu duh Tanzania nzima inaona si angewaita Tu pembeni duh yani mtu ukijifunza kujiajili mwenyewe raha sana Sio kusemana hivi isee😂😂
@benadethamartin1168
@benadethamartin1168 7 жыл бұрын
unataka barabara nzuri au unataka vyeti?wwe unataka vyeti utatembea juu ya vyeti?🙌piga kazi makonda wangu👏
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 11 ай бұрын
Najua kipindi chenu wachapa kazi kinakuja huu ukatibu sio nafasi Yako unapita
@georgefaustini5679
@georgefaustini5679 7 жыл бұрын
hao wanaosema huna vyet ndio waliotufikisha huku na vyet vyao.mafisad wakubwa hao piga Kaz makonda
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 2 жыл бұрын
Jamaa alikuwa kama Rais mdogo nchi ilikua yao hatari sana mkoa wake, mbabe asee kamadin tuudan hii ndio ddunia
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Wakati wa Magu kuna watu walijiona ni kama waungu wadogo. Sasa wamekuwa wawindwa kama ngurue pori.
@gdhn9137
@gdhn9137 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa sasa afanye mkutano kama huu kwa wilaya mpya y KIGAMBONI
@masnondofundi5637
@masnondofundi5637 7 жыл бұрын
Pambania hali zetu tuna pata shida sn wakazi Wa airpot Barbara zate mashimo mashimo had kero usiombe mvua inyeshe
@salimab1206
@salimab1206 5 жыл бұрын
pemba
@cutebabyyslimdaddy4110
@cutebabyyslimdaddy4110 7 жыл бұрын
Kwenye hili la barabara hapo nakusifu ..barabara inajengwa miezi miwili tuh ,mashimo mashimo imeshachimbika yoooote ..kwa kweli wamezidi jamani
@sabatoongara8763
@sabatoongara8763 5 жыл бұрын
Acheni makonda apige kazi, tatizo siyo vyeti MTU akiwa na kipaji muacheni afanye kazi kwanza nyie mnaolilia vyeti ndo MNA vyeti feki tena vya kugushi. Kwan amujawahi kuona MTU anarudia Shule hata Mara 7 enzi izo? Acheni unafki.
@eugenmgaya6623
@eugenmgaya6623 7 жыл бұрын
hongera sana makonda....!!!! chapa kazi. nataman wakuu wote wa mikoa wangekuwa wachapakaz wa aina yako.......!!!!!
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 2 жыл бұрын
Haya yako wapi
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Makonda magufuli alikuwa kama babaake mzazi"sasa imekula kwake
@MauwaSalehe-cq3if
@MauwaSalehe-cq3if 10 ай бұрын
makonda bola mungu alivokuteua ww maana Wana zinguwa
@husseinshabani3306
@husseinshabani3306 2 жыл бұрын
Safi sana makonda mama akurudishe tena uwe wazirii mkuu 2025. Ila ungemsikiliza huyo muheshimiwa ndyo umuhukumu hata kama alijaribu kukurubuni mpe nafasi ajieleze. Ila upo vzri next prime minister.👏👏🙏🙏
@hamiskumwalu7091
@hamiskumwalu7091 6 жыл бұрын
hana jambo huyo mfugaju
@calvinmorgan66
@calvinmorgan66 7 жыл бұрын
Mi ni ukawa lakin utendaji wa mamb kama haya kwa mh makonda namsapot bila kujali mapunguf mengine cz asiposemwa kwa mabaya mtu atasemwa kwa mema
@jyonanodi5890
@jyonanodi5890 6 жыл бұрын
god Simba mwenzangu
@felesiakalemo1410
@felesiakalemo1410 6 жыл бұрын
Calvin Morgan Safi kakaangu maendeleo hayana Chama.
@barakamaye6192
@barakamaye6192 5 жыл бұрын
Big up sn kiongozi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
Ni vita tu ya madawa ya kulevya lakini kijana kapiga kazi sana.
@JJ-bw5jw
@JJ-bw5jw 7 жыл бұрын
Dah, piga kazi mkuu wa mkoa wangu mimi nakukubali sana kutokana na upigaji kazi wako, hill zoezi liwe endelevu lisiishie hapo tuu.
@muradiseifhumoud7880
@muradiseifhumoud7880 2 жыл бұрын
Dogo alikuwa na mafuta ananata anajiita Makonda au Madereva
@kitimethegreat52
@kitimethegreat52 7 жыл бұрын
achana Na waliofilisika akili, maana wafikiri kuptia matumbo, piga kazi sisi RAIA wako tunaimani Na wewe.
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Unataka vyeti badala ya barabara nzuri DSM,barabara utatumia,je vyeti vyake utatumiaje
@saidimeshack6315
@saidimeshack6315 7 жыл бұрын
nyinyi mnae dai vyeti mmelaaniwa na washilikina kwani ofisini kwake hamajui wehu nyinyi
@charlesased
@charlesased 7 жыл бұрын
Saidi Meshack Fuck you
@nazarnicholas8865
@nazarnicholas8865 7 жыл бұрын
Charles Ased ,hii nimeifuta isiingie kwenye hansard ya social media
@disozluoga1267
@disozluoga1267 7 жыл бұрын
Fuck u too and toooooo
@nuhukihegulo141
@nuhukihegulo141 6 жыл бұрын
bila shaka huna hata cha kipaimara
@stanslausbukulu7198
@stanslausbukulu7198 6 жыл бұрын
Saidi Meshack ok pow
@SimonKiondo-q3v
@SimonKiondo-q3v 7 ай бұрын
Kaka Mungu akutangulie upo vzr sana
@reginerasenger260
@reginerasenger260 7 жыл бұрын
Kunawengine maboy 2 wanachonga ujinga mtu anatetea ufanyaji wa kazi uwe mluli alafu maboya wanachonga
@evaristmkumbo8246
@evaristmkumbo8246 7 жыл бұрын
makonda wewe ni kijana shupavu mpga kazi wanaodai vyeti ni wapumbavu tu kwani vyeti ndiyo vinafanya kazi mungu akuongize kwa kila jambo chapa kazi KK makonda
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 2 жыл бұрын
Atakama watasema wewe ni mbaya yapo mazuri yako.
@leaheddy3533
@leaheddy3533 7 жыл бұрын
piga Kazi kaka mkubwa ufi Wale ulogwi. Mungu yu upande wako
@thomaskipkirui6920
@thomaskipkirui6920 5 жыл бұрын
Munizi
@issackkizeze6039
@issackkizeze6039 5 жыл бұрын
Pao
@bahatiamaly7558
@bahatiamaly7558 5 жыл бұрын
Leah Eddy kaka Fanya kaz
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 2 жыл бұрын
Halafu watu wanasema akamatwe mhh inashangaxa sana
@modestersalmon7764
@modestersalmon7764 2 жыл бұрын
Ulikuwa vizur baba k tunakukumbuka ati wengine ufe ndo wakusifie jaman mungu akuongeze baraka na family yako
@rizzyramadhan1156
@rizzyramadhan1156 7 жыл бұрын
piga kazi mh...... hao wanao dai vyet ivo vyeti ndo vingekuja kufanya yote ayooo......... tetea haki baba
@abmerckmatungwa3424
@abmerckmatungwa3424 6 жыл бұрын
Piga kazi baba
@veronicamsando9276
@veronicamsando9276 5 жыл бұрын
Rizzy Ramadhan piga kaka kaka
@sambojaomarhadija6803
@sambojaomarhadija6803 2 жыл бұрын
hello 👋 watanzania by the paulo maconda a kinondoni home 🏡 dar es salaamu a happy christmas 🎄 🎄 day 25 december 2021 and a frist 1, new 2022 ✨ 🎆 🎇 year by tanzania 🇹🇿 world 🌎 and 🏡 swirtzenland 🇨🇭 conutiry international world 🌎 😄 😀 🙏🏽 ❤
@adnanramadhanjunuzage1629
@adnanramadhanjunuzage1629 7 жыл бұрын
mwenye elim yake,,,anafukuzwa na kilaza kaz ,,,,hii ndo tanzania
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Mie mpaka saivi sijaelewa kosa la makonda
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR
@ARMANIDIORFILMDIRECTOR 7 жыл бұрын
kwani hawa watu mnawatoa wapi mpaka mnawapa kazi?....tanzania mbona inakua nchi ya mambumbumbu tu..dah kweli inaskitisha,inaonekana hawa watu wanapeana kazi bila ufanisi
@mwakasegeshukuru3720
@mwakasegeshukuru3720 7 жыл бұрын
Piga kazi Makonda tunakukubali
@ahmedadan1915
@ahmedadan1915 2 жыл бұрын
Wakati wake na leo hamjui nani makonda
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 7 жыл бұрын
Makonda ni jembe sana,watu tu waTanzania hawana shuklani ya kile wanachokitaka.huyu ndugu ni mtenda kazi mzuri sana,anatenda vyema
@msaniimpyaBMW
@msaniimpyaBMW 7 жыл бұрын
Inaonekana hivyo.
@hassanmatete4245
@hassanmatete4245 7 жыл бұрын
Japo swala LA vyeti limebaki gizani,pia nimeskia kwenye daladala eti unajituma ili awamu ijayo uteuliwe uwaziri mkuu,nasema Kazi njema.
@wincheslausmunguazilazemaa3385
@wincheslausmunguazilazemaa3385 7 жыл бұрын
wakalishe kt moto
@leilaachimpota4329
@leilaachimpota4329 7 жыл бұрын
Co kama co mchapa kaz wachapa kaz wako weng zaid yake na wametolewa
@khalfanialiy4229
@khalfanialiy4229 7 жыл бұрын
wanafunzi wachaf
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 17 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 67 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Funny superhero siblings
Рет қаралды 4,2 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 17 МЛН