Msigwa Juu ya Miezi 5 ya DP-World Bandarini, 'Meli Sasa Ni siku Saba Tu Bandarini'

  Рет қаралды 2,179

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 11 күн бұрын
Hongeleni sana serikali kwa kazi nzuri
@akaumbo9433
@akaumbo9433 7 күн бұрын
Ni kweli sasa hv mzigo kutoka ni fasta ila kodi tu imeongezeka kidogo 💪💪💪
@akonaayako7185
@akonaayako7185 10 күн бұрын
Haya ni mafanikio makubwa sana. Hongera Serikali ya Awamu ya Samia. Tunatarajia Ufanisi wa Rais Samia Awamu ya Sita 2025/30
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 11 күн бұрын
mlisema itafika siku moja na nusu tunaimani na serikali ya mama mpendwa ifike wastan wa siku moja na mapato yaongezeke .
@MauBonde
@MauBonde 10 күн бұрын
Kwa mujibu wa maneno yenu viongozi wa serikali sitegemei mwakani deni la taifa limeongezeka na mzidi kuwaongezea kodi walipa kodi pamoja na rasilimali zote za taifa na sitegemei kupandishiwa kodi raia maskini kwa maslahi ya kulipa mikopo.
@safeniubwa3588
@safeniubwa3588 11 күн бұрын
Nice
@donking-d4t
@donking-d4t 10 күн бұрын
Ongezeni magati yafike 20, bandari inazidiwa ubora hadi bandari ya Djibouti, upuuzi huo
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 11 күн бұрын
Hatuna shida na hao DP WORLD
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 11 күн бұрын
mimi sioni sababu hata chembe kumuita muwekezaji aweke izo billion 775 iyo kwa serikali inayokusanya Kody Nipesa ndogo mno magufuli aliweka pale trion moja sijaona mchina wala mzungu wala muarabu ila kila mtu Namawazo yake ila mm sikuona sababu
@T_Darius
@T_Darius 10 күн бұрын
Mimi mwenyewe nashangaa, hiyo sio hela yakuita muwekezaji na kumpa bandari
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 10 күн бұрын
MIRIJA IMEZIBWA 😢😢😢😢😢
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 күн бұрын
​@@OmmyJames-xn7jiVIBAKA WANALALAMA 😂😂😂
@EnockMwanyonga
@EnockMwanyonga 11 күн бұрын
Yaani hakina marefu yasiyo na cha, iko siku wa Tanganyika tutaokolewa
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 10 күн бұрын
Sasa tundu lisu yuko wapi
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 10 күн бұрын
BWANA MSIGWA WATANZANIA WANATAKA KUJUA PIA HAO DP WORLD WAMEVUNA TRILIONI NGAPI MPAKA SASA!
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 11 күн бұрын
Hamuna kilakitu hapo kadanganye mazwa zwa
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 10 күн бұрын
HAPANA... HAPANA...DP WORLD HAWAJAWEKEZA DOLA BILIONI 214....MWANDISHI CHUNGA SANA HESABU ZAKO ZA DOLA NA SHILINGI ZA TANZANIA!
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 күн бұрын
WEWE NDIYO SERIKALI?!
@HajiMakame-m8l
@HajiMakame-m8l 11 күн бұрын
Makufuli alikua hataki kuwapa watu bandari
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 10 күн бұрын
Sawa Joni Saimoni
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 7 күн бұрын
Eti matunda matamu
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Европа вспоминает Джимми Картера
1:12
Euronews по-русски
Рет қаралды 1 М.
UWEKEZAJI DP WORLD WAVUNJA REKODI,  BIL. 214 ZAN=VUNWA NDANI YA MIEZI 5
12:13
MKURUGENZI WA MATI SUPER BRANDS APELEKA WAFANYAKAZI WAKE CHINA
6:56
MATI SUPER BRANDS LTD CHANNEL
Рет қаралды 9 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН