Nyimbo ni nzuri sana naipenda mbalikiwe sana na kila mwenye pumzi na amsifu bwana amen
@marrymazengo10024 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana vijana kwanyimbo nzuli hongereni sana
@hellenamwangungulu13325 жыл бұрын
Hongereni Sana kazi nzuri...Yesu awabariki na awatumie apendavyo
@betsonmlokozifesto85465 жыл бұрын
dah,hao Dada wawili Mungu awabariki ni kama chumvi inayoleta ladha kwenye mboga
@pieremchome52024 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi
@happykazogolo98696 жыл бұрын
kwaya masta unatakiwa ujiamini wanaume wote mlijiamini mbarikiwe
@givenieliasy99565 жыл бұрын
Nyimbo hii ni nzuri sana naipenda inanifikisha mbali sana kila mwenye pmzi na amsifu bwaña
@jeremynaypa81834 жыл бұрын
Wow!nice song, with nice tune,God bless your work
@mhinajerome5964 Жыл бұрын
Mbarikiwe mno watu Wa Mungu kiukweli hii ndio album yenu bora kutokea sijui kwanini mmebadirisha style yenu mmechanganya sana mfumo ila huyu huyo solo wenu mweusi nifundi sana