MTEGO: MWIZI ALIYETAJWA KWA MAKONDA AKAMATWA ARUSHA MLIMANI "ANAIBA KUKU, MBUZI"

  Рет қаралды 46,996

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 220
@RashidRamadhani-b5o
@RashidRamadhani-b5o 2 ай бұрын
😂😂😂 Kuna mashabiki wameamua wapozee machungu huku sasa kama hamujui hao mbuzi na hizo kuku ndo tunakunywaga supu after UBINGWA 🤣🤣🤣 Sema Mwananchi umezingua 💚🖤💛
@SamweliKivuyo-b7s
@SamweliKivuyo-b7s 2 ай бұрын
Mashabiki wayanga waache wizi
@majidimussa8678
@majidimussa8678 2 ай бұрын
haswah😂😂😂
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@user-princs
@user-princs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 jamani Mimi ni yanga ila dahhhh sisi sio wezi huwezi jua ni mtani wetu kavaa hiyo tisheti ili atudhalilishe Watani dah...kaka acha wizi na MUNGU akusimamie
@husseinremmy5762
@husseinremmy5762 2 ай бұрын
Huyu ndo atakuwa anawapa utopolo supu za wizi 😂😂
@user-princs
@user-princs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 2 ай бұрын
Wananchiiiiiii tumfanye Nini huyu wananchii wenzangu 😂😂😂
@ckcollections255
@ckcollections255 2 ай бұрын
Aloooo uyu jamaa kaaibisha timu asee.... Aloooooo
@user-princs
@user-princs 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 2 ай бұрын
Alafu ni Mwanayanga😅😅😅😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Simba ndo wanaongoza kua na wezi wengi Tena wengi ni wezi wa fatuma
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 ай бұрын
Naombeni tafadhali huyo mkuu wa wilaya nae atuambie Mkuu wa mkoa alienda wapi😢
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 ай бұрын
Yaani wapo kimya, aisee inasikitisha kwakweli
@AwaziRajab
@AwaziRajab 2 ай бұрын
Kosa Kubwa Amjali Maombi Aombewe Uyo Ndani Yake Yuko Pepo
@edwinamos9734
@edwinamos9734 2 ай бұрын
Yangaaaa kweli tuzo zenu nyingi ni za wizi.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 2 ай бұрын
Utoporo wezi uwanjani paka mtaaani😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@stellahebenezer6729
@stellahebenezer6729 2 ай бұрын
Anahitaji maombi ya kufunguliwa. Deliverance. Hiyo roho ikitoka ataacha kuiba.
@SaidLikando-ny4fu
@SaidLikando-ny4fu 2 ай бұрын
Mlete mbeya atibiwe
@VenanceMasimba
@VenanceMasimba 2 ай бұрын
wananchiiiiiiiiiiii kumbe nyie niweziiiii😅😅😅
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 2 ай бұрын
Mmetuibia PENATI, hivi hamuachi WIZI? Bado MANARA 😂😂😂😂😂
@user-princs
@user-princs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@godlistenobed9299
@godlistenobed9299 2 ай бұрын
Kwani sasa hamjamvua hyo jezi kwanza Ndio mengine yaendelee
@livinuskamugisha5296
@livinuskamugisha5296 2 ай бұрын
Au hizo nyama ndo wanawapikia yanga supu😂😂
@samattahpopa7930
@samattahpopa7930 2 ай бұрын
Hizo kuku wakati Ana iba huwa hazipigi kelele😂
@PhillipShoki
@PhillipShoki 2 ай бұрын
Sema kanyooka maelezo
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 2 ай бұрын
Team supu oyeee
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 2 ай бұрын
Hiyo jezi ni ya msimu gani?
@starjay3052
@starjay3052 2 ай бұрын
mashabiki wa yanga mna nini 😂😂
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 2 ай бұрын
Nzige mwiziiii huyuuuu 🐸
@hamasomasanja6538
@hamasomasanja6538 2 ай бұрын
Wanayanga wezi sana
@fredgonga
@fredgonga 2 ай бұрын
😂😂Hiyo jezi atakuwa kaiba
@LovenessMbwambo-t8h
@LovenessMbwambo-t8h 2 ай бұрын
Mwananchiiii usiwaze twaja kukuwekea zamana kolo ndio kaiba bana mwananchi hachomi mtu kisu anachukua mboga tu
@abasmwika3432
@abasmwika3432 2 ай бұрын
Huyu ana ndugu viongozi la sivyo angeshateketea mwizi gani mnamhoji kama msanii
@Magdalene-er2ur
@Magdalene-er2ur 2 ай бұрын
Huyu kaka Mungu bado anampenda. ..anatakiwa kuokoka aache wizi,hajanguswa ! naamini si yeye ila Ni roho iliyoko ndani yake
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 2 ай бұрын
Mtani kaiba😂😂😂😂
@godfreybeatus8396
@godfreybeatus8396 2 ай бұрын
Utopolo wezi kabisaaaaa
@barackmoses7003
@barackmoses7003 2 ай бұрын
Afu ni shabiki wa utoplo😂😂😂
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 ай бұрын
Mbona hata hamujamupiga kidogo..?
@IddHussein-m6e
@IddHussein-m6e 2 ай бұрын
Ukiangalia tu alivo vaa unajua kabisa huyu ni mwizi ten wamiaka ming😅😅😅
@tynashao9200
@tynashao9200 2 ай бұрын
Daaaa wananchi hatunywi Tena supu mwamba kakamatwa
@felixsolomon6293
@felixsolomon6293 2 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza naona mwizi anahojiwa na waandishi wa habar 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@raymond5175
@raymond5175 2 ай бұрын
Wezi wa yanga ni waungwana sana na haki kwa sababu hiyo
@felixsolomon6293
@felixsolomon6293 2 ай бұрын
@@raymond5175 😁🙌🤣🤣kwakwel
@hekimaluvanda5337
@hekimaluvanda5337 2 ай бұрын
Umeona eee
@fatmacharles369
@fatmacharles369 2 ай бұрын
Alafu Hana hata nundu 😂😂😂
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 2 ай бұрын
Nyie yanga mna nni
@mwangasonimwanga5850
@mwangasonimwanga5850 2 ай бұрын
Hali ya maisha ni shida
@YunisJerald
@YunisJerald 2 ай бұрын
😂😂😂inampa hasara 😂😂😂
@husseinomary-dg1wx
@husseinomary-dg1wx 2 ай бұрын
Heee sasa huyo sikibaka 2 wanini sasa watu wanaiba mabilioni yahela mnawaogopa Hahaha
@reganuisso1256
@reganuisso1256 2 ай бұрын
Yanga niwezi jamaniii....😅😅 Uwanjan mpaka kitaa duh
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 2 ай бұрын
Kumbe mnapewaga supu ya wizi wana yanga😂😂😂
@irenemlay9104
@irenemlay9104 2 ай бұрын
Atakuwa ni mtani kumbe anaiba nguo basi amemwibia mwananchi mwenzetu huyu.Na mwenyekiti anadai kila akikamatwa wananchi /yanga wanafahamu.
@festohaule9716
@festohaule9716 2 ай бұрын
Chomeni chap chap.. hakuna Taifa la kesho hakuna hapo..mpotezeni!!!!
@sishamusic
@sishamusic 2 ай бұрын
Tunamtaka makonda yuko wapi jamani
@ErickCharles-m5x
@ErickCharles-m5x 2 ай бұрын
Makonda baba ako au
@sishamusic
@sishamusic 2 ай бұрын
@@ErickCharles-m5x hapana ni uchi wako
@stellasheba842
@stellasheba842 2 ай бұрын
Hiyo jezi y mabingwa kaiba pia😂😂😂😂😂😂😂
@mtukufusafari5535
@mtukufusafari5535 2 ай бұрын
Kwa nn msimchome moto huyo?
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 ай бұрын
Arusha ni macharii wezi,, mnafuga wez arusha kwa kisingizio wapo nchi nyingine wao sio watz
@ReginaldAplonary
@ReginaldAplonary 2 ай бұрын
Kuku FC hoyeeeeee
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 2 ай бұрын
Unazalilisha uzi wa YANGA babuuu😂😂😂
@emtonboyofficial1134
@emtonboyofficial1134 2 ай бұрын
Kumbe wanachi ndomaana wanapenda supu za bure kumbe ndo wezi wawa nyama wetu😂😂
@AbdullyRamadhani
@AbdullyRamadhani 2 ай бұрын
Mashabik wa yanga mna nn lakin
@manchalijob9600
@manchalijob9600 2 ай бұрын
Mashabiki wa yanga ni wengi masikini kira mwaka funguria mbwa yanga day
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Halafu kavaa Jez ya jamaa zake😊😊
@paschaljoh5729
@paschaljoh5729 2 ай бұрын
Wizi siyo mzur lakn je Mbona majambaz yanayo tajea kwenye uhujum uchum hawafaniwi hiz Tanzania tumerogwa na nan
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 2 ай бұрын
Mpira ni ajira kubwa duniani...utani msiulete huku kwenye ukweli
@oscarmartinavito3167
@oscarmartinavito3167 2 ай бұрын
Duuuuuh kamanda ameaga mashindano kwenye nusu fainali😂😂😂😂
@nuhumaalim4976
@nuhumaalim4976 2 ай бұрын
Daah yanga asaa munatia aibu acheni wizi
@CecyGeorge-vx9uc
@CecyGeorge-vx9uc 2 ай бұрын
Sasa huyu chizi ndio mnamuweka. Akilini kuwa ni shabiki huyu ni maandazi shabiki
@siscoministry8400
@siscoministry8400 2 ай бұрын
Akina baraka kwanini😢
@esterhezron6143
@esterhezron6143 2 ай бұрын
Aliiba kuku akanunua jezi😅😅
@EmergencyNjombe
@EmergencyNjombe 2 ай бұрын
Hiyo JEZI😅😅😅😅
@lovelynecharles6718
@lovelynecharles6718 2 ай бұрын
Sasa kwanini na yeye awe shabiki wa Yanga😂 daah
@MartinMwombeki-kr5iz
@MartinMwombeki-kr5iz 2 ай бұрын
Yanga wanausika na uyu kijana 😂
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 2 ай бұрын
Kama Yanga wanaingia viwanjani Kwa kupitia mlango husio lasimi kwanini Mwanachama wao asiwe mwizi
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 2 ай бұрын
Anahitaji maombi huyu kijana Mungu anamakusudi naye unapata kazi unaacha unaenda kuiba kuku huyu ni wamaombi tu
@OscarAsukenie
@OscarAsukenie 2 ай бұрын
Hii ndo Tanzania, Waizi Wakubwa wapo wanapiga hela serikalini. Ila hawakamatwi😂😂😂😂 ila hawa vibaka wanapata taabu sana. Sijui hawawaoni hao waizi wakubwa? Au mbwembwe!!!
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 ай бұрын
Yanga 😂😂😂😂😂ndio kaziii yenu😢😢😢😢😮
@pendo8082
@pendo8082 2 ай бұрын
😂😂😂😂yanga jezi😂😂
@stephanlukumai6585
@stephanlukumai6585 2 ай бұрын
Wanayanga ni wezi sana
@osiahstimah
@osiahstimah 2 ай бұрын
Jaman wezi siwapendi na yanga pia siipendi😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Timu Yako ya Simba wengi ni tatu mzuka
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 2 ай бұрын
​@@robertphilip385ujalazimishwa kuipenda shobo tu😅😅😅😅
@warlyryungmalice2486
@warlyryungmalice2486 2 ай бұрын
Kwa izo tabia nilijua tu lazima atakuwa yanga😅
@VanShayokviewshoursago
@VanShayokviewshoursago 2 ай бұрын
Yanga wezi sana
@mkombozsanga
@mkombozsanga 2 ай бұрын
Dah inauma sana amevaa najezi yetu yayanga
@RamadhanMsuba
@RamadhanMsuba 2 ай бұрын
Kapiga bao la nyavu ndogo.upande wa kushoto
@johpixel4108
@johpixel4108 2 ай бұрын
Anakula shada mbaya
@lawrence-xk1km
@lawrence-xk1km 2 ай бұрын
Kwa hiyo mkuu wa wilaya mwizi wa kuku lazima muite waandishi wa habari murekodiwe? Ila mafisadi na wanaouwa wamewashinda
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 2 ай бұрын
Yanga kweli hawafai wazi kweli kweli.
@ShikopaTz
@ShikopaTz 2 ай бұрын
Uyu baraka simjomba wangu nakasi pia nimjomba
@janeyjohnson9274
@janeyjohnson9274 2 ай бұрын
Mimi yenyewe nilihama kwangu ukouko kisongo kwa ajili ya kuibiwa na taarifa ziko polisi hapo kisongo na balozi wanajua
@EvagloryMonyo
@EvagloryMonyo 2 ай бұрын
Alafu linavaa na jezi ya yanga kabisa , wamuue tyu kama ni shabiki wa yanga😅😅😅😅
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 ай бұрын
Dah Bora ungekamatwa umevaa nguo nyingne kuliko ku2abixha wananchi umekosea xana
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 2 ай бұрын
Kuna wengine sasa hivi kijiji cha saitabau wanaiba ware kwenye nyumba yaani ukifanya warering ukiondoka wanaingia wanazitoa.zote
@victoravelin575
@victoravelin575 2 ай бұрын
Ata leo Hamna ushaid
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye 2 ай бұрын
ila nyuma mwiko bana kumbe Tena na kuku zetu mnatuibia jaman
@antonjohn134
@antonjohn134 2 ай бұрын
Kama nikuku karogwa huyo
@blackothman7332
@blackothman7332 2 ай бұрын
Utopolo sio watu wazuri wallah
@CornelJoseph-xs1mc
@CornelJoseph-xs1mc 2 ай бұрын
Hata huku mto wa mbu kigongoni uwizi wa kuku upo jamani wanabeba mpaka vifaranga jamani kwangu walibeba jogoo 15
@aineaelias8430
@aineaelias8430 2 ай бұрын
Ila bongo had mwizi anahojiwa
@delapitoresavage3746
@delapitoresavage3746 2 ай бұрын
Dirisha dogo la usajili yanga wamechukua baba jambaz 😂😂😂
@AnthonyShirima-z6v
@AnthonyShirima-z6v 2 ай бұрын
Timu haihusiki hapo ila nyinyi mnaoijadili tofauti ndo mnaikosea hapo inatakiwa ijadiliwe tabia yake na c jezi
@jafethpeter5706
@jafethpeter5706 2 ай бұрын
😂😂😂Uto bwana
@elizabethmhapa3658
@elizabethmhapa3658 2 ай бұрын
Majina ya kina Baraka yananini lakini
@MohamedMkota
@MohamedMkota 2 ай бұрын
😅😅 mwananga. Mwiziiii😅😢
@vardanmsigwa8595
@vardanmsigwa8595 2 ай бұрын
Wameiba Chama dube saizi kuku na mbuzi
@frankchuwa4962
@frankchuwa4962 2 ай бұрын
Mnachojaribu kuongea ni historia tu,je sasa hivi mmemkamata na kitu gani alichoiba ili kiwe kithibiti?mwenyewe kajitetea kasema kweli alikuwa anaiba lakini alishaacha.
@pascofp145
@pascofp145 2 ай бұрын
Sasa mtu anasema anachukua kuku na unamtete Yani yanga bhana
@ZUWENADELLOW
@ZUWENADELLOW 2 ай бұрын
​@pasc😂😂😂ofp145
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi 2 ай бұрын
Sasa kama kesi ni nyingi kinachofanya aendelee kuishi mtaani ni nini? Amekamatwa mara nyingi, tena na vithibitisho, yeye mwenyewe anakiri kinachoshindikana kumweka ndani ni nini?
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 2 ай бұрын
Kila akiwekwa ndani " HERSI" anamtolea Dhamani😅😅
@badymedia9648
@badymedia9648 2 ай бұрын
Halafu ni mwananch😮
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 2 ай бұрын
Hiyo jezi kaiba
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 ай бұрын
Yanga ni wezi hata ubingwa ni wa wizi
@nellykira7812
@nellykira7812 2 ай бұрын
Mwizi asikilizwagi
@SharifuAhamad-e1y
@SharifuAhamad-e1y 2 ай бұрын
Hafu Kila anaekamatwa anakuwa amevaa jezi ya naniliu. Inaonekana naniliu ni mwizi sana🤭🤭🤭🤭😂😂
@user-princs
@user-princs 2 ай бұрын
😂😂😂
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 2 ай бұрын
Ilo jezi ndio kazingua
@majidimussa8678
@majidimussa8678 2 ай бұрын
hizi jez ni shinda kwa wizi jaman
@kingmicky1002
@kingmicky1002 2 ай бұрын
Kaisha Acha wizi muachieni tu
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,4 МЛН
Самая добрая мать на свете❤️😁
0:20
FilmBytes
Рет қаралды 3,5 МЛН
Name of the animals 🐄 #fnawy
0:35
(Fnawy)فارس برناوي
Рет қаралды 51 МЛН
they liked my dance
0:13
Artem Ivashin
Рет қаралды 13 МЛН