MTOTO DARASA la 4 ADAI KUBAKWA na BODABODA - AFIKA kwa MAKONDA - AANZA KULIA - ''NI MBAKAJI MZOEFU''

  Рет қаралды 44,081

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MTOTO DARASA la 4 ADAI KUBAKWA na BODABODA - AFIKA kwa MAKONDA - AANZA KULIA - ''NI MBAKAJI MZOEFU''
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 198
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Pole sana m Mama kwamtihani mzito mungu yupo nasi mkuu mpaka nakuhurumia kwa kesi nanyingi za wakinamama
@HusnahMaulid-wi8dl
@HusnahMaulid-wi8dl Ай бұрын
Tanzania ubakaji umekisiri dhidi ya watoto subhanallah 😢
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Hata mimi nashangaa mbona watu wazima wenziwao wapo huku london kuna mtu juzi nimesikia kazini amebaki amehukumiwa miaka 25 sijui huko kwa nini hukumu haitoki
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Kwani Malaya hawaoni wawafate
@Alvilisa
@Alvilisa Ай бұрын
😢😢😢
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz Ай бұрын
Wew mjinga uliesema mh makonda anadhalilisha mtumisha unaona yanayo fanyika huko bila makonda tungeyajuaje!? Mama mzima unatetea upumbavu SONGA MBELE MH MAKONDA MUNGU YUKO PAMOJA NA WENYE KUTETEA HAKI ZA WANYONGE
@hildamasonda6528
@hildamasonda6528 Ай бұрын
Baba makonda Mungu akupe hekima sana kwenye hizi kesi
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Huku kudharau kesi za ubakaji ndio sababu ya yule mama wa Dar kupoteza maisha roho iliniuma kama ndugu yangu kisa police hawajawajibika tamaa zao za rushwa Tanzania imeoza kwa rushwa
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
We Acha Tu iliniuma😢😢
@user-ss5wb3sj1i
@user-ss5wb3sj1i Ай бұрын
Amejitoa kwa ajiri ya wananchi, tuendelee kumwombea kwa Mungu, aendelee na kazi yake na watu wazidi kufunguka.
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue Ай бұрын
Uwe rais tu maana nchi imeoza
@braggadachu1723
@braggadachu1723 Ай бұрын
Nachelea tu kusema tu kwamba ipo siku makonda atakuja kuwa rais
@mayahkim4390
@mayahkim4390 Ай бұрын
Kilio cha uyo binti mdogo hakitamuacha salama uyo boda😢😭😭
@gloryshayo9966
@gloryshayo9966 Ай бұрын
Mungu utuhurumie mimi na dunia nzima.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Pole sana mama ama bibi inatiyq huruma sana mola atawasimamiya haki ya mtt ipatikane
@estameryngogo594
@estameryngogo594 Ай бұрын
Pole Makonda, Mungu asimame nawe ili haki ya mtoto huyo na wengine ipatikane.
@kibwetere1418
@kibwetere1418 Ай бұрын
Watoto wetu jamani Mungu wasaidie
@mohamedally4496
@mohamedally4496 Ай бұрын
Asante global tv kwa kujua kutunza profile za mtoto huyu. Asante sana
@user-uq1pf8px1e
@user-uq1pf8px1e Ай бұрын
Kabisa kabisa
@leomwashikumbulu7996
@leomwashikumbulu7996 Ай бұрын
Mkuu mungu akutie nguvu na iwe kinga kwenye maisha yako
@abdulgeuka3985
@abdulgeuka3985 Ай бұрын
Daah kuna watu wana roho mbaya sana
@sultanijuma3537
@sultanijuma3537 Ай бұрын
Huyo mtu aliefanya hichi kitendo ni wa kuwawa😭😭😭
@walterkisaro-9168
@walterkisaro-9168 Ай бұрын
Inauma Sana
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Yaa Allah tusaidie waja wako, okoa hawa watoto yaa Rabbi
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Ай бұрын
Nimelia wallah😢😢😢😢😢😢
@joycekalago532
@joycekalago532 Ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu jamani Mungu ambariki sana ana huruma mno
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Ай бұрын
Moyo wa huruma anao sana
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 Ай бұрын
Mungu akusaidie Tz😢😢
@thelalas9204
@thelalas9204 Ай бұрын
Eti kuna madawati ya kijinsia na haki za kibinaadamu.fyoko.Alafu utakuta nchi ina polisi viongoxi wote kila daraja.yani laxima tujiulize maswali mengi sana kama rai vijana wa nchii hii
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Hao polis ndio Mana hawaongezwi mshahara
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Hivii jmn mama Samia anasemeje kuhusu hili na ubakaji imekua kama fashion ya taifa watt wetu jmn hatuna amani SI shule SI majumbani jmn 😭😭basi SI wanyongwe wakufe tuu🙌
@user-iz1er8vg7u
@user-iz1er8vg7u Ай бұрын
Inna lillahi wanna ilyehi rajiuon
@amina3925
@amina3925 Ай бұрын
Pole san
@user-we7uq1qh7p
@user-we7uq1qh7p Ай бұрын
Ningempiga shoka mm nikimjuw ambae anaaribu watoto
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates Ай бұрын
Daaa😢😢😢
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i Ай бұрын
Mungu naomba uwalinde watoto wetu
@marykombe
@marykombe Ай бұрын
Jameni watanzania wahurumieni watoto wadogo
@victoriaandrew8013
@victoriaandrew8013 Ай бұрын
Yaani hata mm nimeumia na kushangaa wenye vyeo wanadhulumu hadi haki za watoto
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 Ай бұрын
Huu ujinga huu sijui utadhibitiwa lini maana kesi hizi zinaumma na zinachosha hasa zinakera hasa mijitu ya ovyo inaweza kucheza na sheria
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 Ай бұрын
Makonda Mungu akusimamie uwe Rais w Tanzania
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Ай бұрын
Yesu wangu
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Ай бұрын
Unajua kunawakati kwenda mahakamani nikupoteza mda nikumalizanatu mitaani Kila mtu apate hakiyake, aliye baka apumzishwe kwanza
@mercypeter162
@mercypeter162 Ай бұрын
Mmmh hii Dunia hakuna haki kabisaaa
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x Ай бұрын
Makonda Mungu akufiche wapi jamani
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Daaih mungu akulinde sana makonda mana ih nnchi kuna vitu vinaumiza sana
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe Ай бұрын
Hizi rushwa mhuuu kazi saana
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Nchi ihii imeoza. Taasisi karibu zote zimeoza. Hakuna haki.
@derickjuma4251
@derickjuma4251 Ай бұрын
Kabsa inawezekanaje daaah inakasirisha knoma
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Kila kona ubakaji upo kote duniani
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Ай бұрын
Ubakaji Tanzania umejidi kama unabaka mutoto ukanyogwe 😢 inauma saana 😢
@angelaminde1247
@angelaminde1247 Ай бұрын
Yesu wangu nisaidie😢😢😢
@maggyvan8992
@maggyvan8992 Ай бұрын
Masikini cc twende wapi😢 mungu akubariki Paul makonda.
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Nchi imeoza wallah raadhim makonda kazi unayo.
@yasinmoria5346
@yasinmoria5346 Ай бұрын
Namkumbuka sana magufuli amri zake
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Uyo Wa Kuuliwa Kabisa Kwanini Anaendelea Kuishi Uyo Jamani Kamateni Malizeni Aende Kusubili Ukumu Unabaka Mtoto Kama Uyo Uchunguzi Lakini Muhimu Mana Siku Izi Binadamu Vigeugeu
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n Ай бұрын
Mchungaji gani mbwa huyo
@user-ve7ig7qu1u
@user-ve7ig7qu1u Ай бұрын
Watoto wetu sijui tutawaficha wapi tu...Mungu tusaidie yaani vitu vinafanyika viongozi wa juu wametulia tu Mungu anawaona
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 Ай бұрын
😢😢
@sultanijuma3537
@sultanijuma3537 Ай бұрын
Hawa haki za binaadam huwaoni hapa kuongea chochote
@user-ve7ig7qu1u
@user-ve7ig7qu1u Ай бұрын
5:04
@huthhuthlih5858
@huthhuthlih5858 Ай бұрын
Mimi ni mtu nisie amini uwepo wa Mungu. Makonda pindi yupo Dar sikuwai kumwelewa kabisa ila kwa awamu hii makondo naweza kumuita ni Mungu. Makonda uishi sana uendelee kusaidia wenye uhitaji.
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 Ай бұрын
Hpn makonda sio Mungu ,Yuko Mungu najua uko Emotional nakuelewa
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Hao sheriya ya kunyongwa hao isipofanyq kazi hayo yatakuwa bure
@rahmarama5669
@rahmarama5669 Ай бұрын
Damu Ya Yesu jmn
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Wanao jiita haki za binadamu, mambo kama haya watuwaoni kuyasemea,
@kadejakk4127
@kadejakk4127 Ай бұрын
😢😢😢
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Ай бұрын
Makhakimu tz sikuzote mnateyea wanakaji siku mtako bakwa nyinyi na watoto wenu ndo mtajua malipo duniani
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Ee Mungu hivi huoni hayo mashetwani ya duniani,yalopindisha kesi yafukuxwe kaxi,li2mihiwa lichomwe moto,hilo lichungaji lililompa pesa xa rushwa,ni mchawi,maana baadhi ya wachungaji yanatumikia uchawi.Mch.hilo hi hatari,watoto wakibakwa ndo mashart ya waganga,nalo lichungaji lichomwe koto,mnapokea rushwa kupotexa haki mipaka yenu itavakwa mpaka kufa kwao mpate utamu wa huyu bibi.
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 Ай бұрын
Nlkua simkibali makonda lkn salute mkuu
@clarawilliam9959
@clarawilliam9959 Ай бұрын
Poleni sanaa,makonda amechoka,hajui aanzie wap aishie wap😢😢
@user-ke2gy6nx1i
@user-ke2gy6nx1i Ай бұрын
Jamani 😭😭😭😭😭😭
@josephevantus5965
@josephevantus5965 Ай бұрын
Feminist wakilaani hiki kitu mnishtue wadau nalala😢😢😢😢
@user-oh5iu6jx2j
@user-oh5iu6jx2j Ай бұрын
Najiuliza Tanzania imepatwa na nini wallah MUNGU wa mbingun kama kuna agano la kishetan Tanzania MUNGU SHUGHULIKA NALO MOYO UNAUMA NIN HIKI WATOTO WADOGO 😭😭😭
@e11said23
@e11said23 Ай бұрын
Mungu yupo na moto upo kwa nini mahakimu awajifunzi kama somalia tendo kama hilo ali muukumu kukatwa kwa babu naupanga na yeye ndio atamkata kaagiza panga maakamani kamkata.nakazi ikaendelea kama kawaida safi sana
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Ай бұрын
Watu wanahangaika sana kwenye dunia hii. Ubaya watu ambao wanafanya haya wanakua ndani ya madhehebu. Na wakikuhuri utadhani yule yesu wa kizungu anarudi
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 Ай бұрын
Duh hii Dunia
@Nadih-fn9oc
@Nadih-fn9oc Ай бұрын
Masikin ina wuma wallah na inasitikisha kwakweli
@hashymharun9337
@hashymharun9337 Ай бұрын
Aiseeeeee
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 Ай бұрын
😢😢😢😢
@RosemaryTillya
@RosemaryTillya Ай бұрын
Eee Mungu nakuomba Adui wa Makonda awe Adui wako Mungu
@queenpoulsen1812
@queenpoulsen1812 Ай бұрын
Melia😢😢😢
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 Ай бұрын
😢😢😢😢😢daaaah Allah tuhurumie
@Juke995
@Juke995 Ай бұрын
Haraf kuna wanawake wanasimama wima eti wamedhalilishwa na viongozi haya ya ubakaji hawayasemi kabisa 😢duh nyie hii dunia jaman Tanzania yetu imebadilika sana
@user-rz1bj1yj3z
@user-rz1bj1yj3z Ай бұрын
Unanibakia mtoto wangu hujue huta Maliza masaa 24
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 Ай бұрын
Mimi naua tu mtoto akifika home
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Nawazaga Sana Kwanza naomba mungu anusuru hili janga Ila simuachi salama hata Moto nachomo Moto anafia humo humo ndani abaki hata mifupa
@Everline398
@Everline398 Ай бұрын
Unasema tu kwasababu hayajakufika, muombee Mungu akuepushie. Hao ambao watoto wao wamefanyiwa ivyo mbona hawajaua. Omba lisikupate
@user-is4xo4pp8v
@user-is4xo4pp8v Ай бұрын
Wakuu wengine nao waige mfano
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Makonda Allah akujaalie kilalaheri . Maadui washindwe bihidhinillah
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Ай бұрын
Pole sana bibi haki ya mtu malipo duniani baba makonda tunamuaminia atafanyakazi
@mohddelo
@mohddelo Ай бұрын
Dhulma kama hiizi
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Ай бұрын
Dhulma hakika wapo wasomi na wanasheria ni laana laana laana
@sultanijuma3537
@sultanijuma3537 Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@theempire4058
@theempire4058 Ай бұрын
Ivi kile chama kilichomshtaki kiko wapi, kinaona kweli anachofanya makonda kupigania haki za wananchi, ivi wanaona kweli au saivi ni aibu zimewajaa tu chama cha ajabu kile
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 Ай бұрын
Mana chama ndo kimebaka
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 Ай бұрын
​@@martinamahenge4476Akili huna wewe
@user-lucas47
@user-lucas47 Ай бұрын
Kwelii binadamu hawana ayaa Kwa kwelii ???
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Subuhxnallah😢
@HellenJulius-ky7sx
@HellenJulius-ky7sx Ай бұрын
Eeeeh Mungu samehe kizaz chetu😥😭😭
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Ай бұрын
Jamani nasikia uchungu saana wababa muwaache watoto Hawa WA kiume Ni mbegu njema Mungu ametupa jamani.waacheni watoto mbona ninyi mmeishi Salama utotoni ahhaaa
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj Ай бұрын
Tobaaa,🙆🙆
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Ай бұрын
Mhh mpaka mkuu anakosa akiongea maskini
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y Ай бұрын
ao wanao baka ndo wanatakiwa kufungwa jela miaka 30
@MouhammedSeif
@MouhammedSeif Ай бұрын
Makunda upo sahihi sana but mm naona unatakiwa uipe nafas dunia kumuachia mung mana hii dunia inamambo meng ndomana tumewekeawa mwishi wa kuishi
@HollandWife1
@HollandWife1 Ай бұрын
Sad
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando Ай бұрын
Pole makonda maana unakazi ngum sana ya kutatua migogolo
@jovinathasavoie8018
@jovinathasavoie8018 Ай бұрын
Hivi vitendo vimekuwa too much in Tanzania serikali do something,this is a shame.Mpk watoto wa myaka 2
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Hii nadhani kabla hajaongea na kumuweka mtoto Mbele kuongea Wasaidizi wa Mkuu walitakiwa wamuulize Mama na wamuite Mtoto Pembeni...waongee naye Pembeni mtoto hatakiwi kuongea Hadharani...😭😭😭😭
@narfatkarama5743
@narfatkarama5743 Ай бұрын
Nimelia mimi 😢😢
@derickjuma4251
@derickjuma4251 Ай бұрын
Daaah daaah aseee uyo mbwa anatakiwa anyongwe kabsaa
@mohamseyf6243
@mohamseyf6243 Ай бұрын
Au akatwe ngururu jomba au vip?
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
​@@mohamseyf6243 😂😂😂😂 itapendeza zaidi maana hiyo ngururu ndio inayompa shida inachungulia kwa zipu
@user-rz1bj1yj3z
@user-rz1bj1yj3z Ай бұрын
Hii inchi rushwa ndio tatizo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Ай бұрын
Inaumiza hadi naliya
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
nalia mpaka makamasi yananitoka mahakimu sijuh hawanaga vizazi au watoto Mimi sielew kabisa
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u Ай бұрын
HII NI KUBWA KULIKO.!!
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g Ай бұрын
Wananchi iliyobaki mambo mengine tuwetunamaliza wenyewe! Tusipeleke mbele,nikumalizana tu!
@BakarM-es1zd
@BakarM-es1zd Ай бұрын
Uyo mtuhumiwa atafutwe kwa uvumba na ubani akikamatwa anyongwe adi kufa
@user-hq5qx1hu2x
@user-hq5qx1hu2x Ай бұрын
Makonda waonyeshe hao wanaobaki maofisini badara ya kusikiliza matatizo ya watu.
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk Ай бұрын
DAH BODABODA AKILI ZAO BANA
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Ай бұрын
Nafsi ya binadamu ni huru... anauwezo kumzidi daraja ata malaika na pia anauwezo kujishushia hadhi kuliko mnyama...
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 72 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 6 МЛН
Wilders maakt ruzie met Jetten over Kaag
20:15
Maarten van Rossem - De Podcast
Рет қаралды 55 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 72 МЛН