No video

INATISHA! JIRANI ADAIWA KULAWITI na KUBAKA WATOTO WAWILI - BABA AMEPARALAIZI - MAMA ANA PRESHA...

  Рет қаралды 16,392

Global TV  Online

Global TV Online

3 ай бұрын

INATISHA! JIRANI ADAIWA KULAWITI na KUBAKA WATOTO WAWILI - BABA AMEPARALAIZI - MAMA ANA PRESHA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 112
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 3 ай бұрын
Subhanallah yaani msiba mzito dunia hii hadi nakosa chakuzungumza inauma sana 😭😭😭😭😭😭
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Pole mama Mungu ni mwema atakusaidia
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani dada yangu. 💔😭
@MariamMaleta
@MariamMaleta 3 ай бұрын
Inauma.., Kibaya zaid mma mzazi kafariki kwa ugonjwa wa moyo jamani … kabaki baba na nimgojwa. Dunia hii eeenh mola mpe adhab uyu ibilis😭😭😭😭😭😭🙌
@aminamahamudu6402
@aminamahamudu6402 3 күн бұрын
Mungu atamuadhibu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 ай бұрын
Mijitu mingene inatafuta matatizo makusudi akiwa ana mke na watt kwa nini asiwape watt wake na mkewe kunyonya mshenzi wa tabia huyu baba mwanga mkubwa
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 3 ай бұрын
Maumivu yamekusababishia kifo pumzika kwa amani Mama.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 ай бұрын
Subhanallah pole sana ALLAH amuadhibu huyo ibilisi.
@omytifa6403
@omytifa6403 3 ай бұрын
Ameen
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 3 ай бұрын
daaaa inauma sana selikar ichukuwe hatuwa
@marydominick920
@marydominick920 3 ай бұрын
Wanawake wenzangu kukaa na akina uncle, baba wadogo, ndo watu wanaofanyia vitendo vibaya watoto wetu😢😢😢😢😢
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 3 ай бұрын
Pole saana, tunajua ww ni mgonjwa ni mnyonge lakin Wazir mkuu na Mh Rais umeend mbali saan maana wana majukumu mazito saan# tag mkuu wa wilaya au wa mkoa atleast
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 3 ай бұрын
😂😂
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 3 ай бұрын
Huyu shetan anyongwe 2 jamn ivi vitendo vizibitiwe zimezidi kwakweli serikali itusaidie 😭
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 2 ай бұрын
Nakuunga mkono au akatwe huyo mdudu wake
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z 2 ай бұрын
@@fridagustaphmwenda6658 😂😂👍
@rosehillary8742
@rosehillary8742 3 ай бұрын
Police God is watching you Ustawi mnaumiza....Police wa Tanzania Y jamani 💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 ай бұрын
Watu kama hao munawavimnisha marungu yao mpaka ajichukie na asipate wanawake maisha lingevimba kuliko mbuyu
@Lynnalice217
@Lynnalice217 3 ай бұрын
Mungu wangu😢😢
@omytifa6403
@omytifa6403 3 ай бұрын
Maskin pole sana baba yangu polen watoto ALLAH atawasaidia 😢😢😢
@khairatndassiwa8613
@khairatndassiwa8613 3 ай бұрын
Ila mama yetu Samia tunamuomba sanaa aweke jicho la pili kwa vituo vya polisi,pameozaaa Yani haki Tena hakuna ,kutoka kwa dhamana MPAKA Hela Mh.Raisi asaidie kwanza huko
@musaalhaji0012
@musaalhaji0012 3 ай бұрын
Subhanallah yasikitisha allah amtia nguvu mzee yarabi
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 3 ай бұрын
Haki ya myonge katika Nchi hii iko kwa Mungu
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 2 ай бұрын
Nyie Polisi mliopokea hii kesi mnahusika kwenye hii kesi. Polisi wengine wanafanya kazi kwa mazoea sana hii lazima muhusike😢😢😢
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 3 ай бұрын
Huyu jamaa huyu mshenzi mkubwa daaaah 😭😭😭
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 2 ай бұрын
Daaa jamani dunia imefikia mwisho
@user-rf4yq9yj7u
@user-rf4yq9yj7u 3 ай бұрын
Duniya ni duara serikali msipovikomesha hivi vitendo kesho hivi vitendo vitazoeleka na watafanyiwa mpaka watoto wenu 😡😡😡😡😡
@aprilrosaliapanda4895
@aprilrosaliapanda4895 3 ай бұрын
Wangejua wasingeenda polis wanhe dili naye kinyumban
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 ай бұрын
Mke anaongelea watoto wake wa boarding wakati wa mwenzio wameharibiwa kabisaa.
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 3 ай бұрын
Uzembe ulifanywa na wamilikia wa nyumba,kumbe alishaanza kuchungulia wanawake wakioga bado wanaishinae,palepale alitakiwa afukuzwe
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 3 ай бұрын
😢😢😢
@MonikaFedrick-td8nv
@MonikaFedrick-td8nv 3 ай бұрын
jmn watoto wadogo ivowana fanyiwa ujinga mungu muadhibu uyokaka
@Lynnalice217
@Lynnalice217 3 ай бұрын
Huyu mke wa mbakaji fala sana watoto wa watu wameharibiwa ,yeye anatuambia habari za ada milion 2 mara marejesho alafu anaonekana muongo lazma anajua mume wake alipo
@jade75798
@jade75798 3 ай бұрын
Na huyo mpangaji alawitiwe mpaka afe .
@NeyNkwabi-ud3xc
@NeyNkwabi-ud3xc 3 ай бұрын
😭😭😭😭 hiki ktu naogopa mno me jaman 😮ata sijui watt wwtu tutawaleje!? Na hawa wanaume wasiona wanawake huko wanaojiuza
@annajohn3377
@annajohn3377 2 ай бұрын
Mama watu mpk amekufa kwa uchungu jmn dunia imeisha
@FlorianaMallya
@FlorianaMallya 3 ай бұрын
Pole mama wanakera sana hawa wanaume
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 ай бұрын
TZ kuna mapolisi kuna mwahanisi tu wao wenyewe wanaingiliana kinyume watajali watt wa wenzao Mungu awape laana mapolisi wote wa tz...mama nenda kamroge mpe jini moja tu asisimamishe waishani mwake awe hanisi mbwa mkubwa huyo na mahanisi wenziwe mapolisi mashoga siwapendi naeachukia
@TeamKRX
@TeamKRX 3 ай бұрын
Walahi police wa tz ni wahuni tu mashoga kama unavyosema
@user-sq1ol2fb3i
@user-sq1ol2fb3i 2 ай бұрын
Wanaume wote tazania yaani mashoga mnjini Tazania popote walipo wapikwe mawe mpaka kuva
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Huyumpangaji nimuuwaji Atafutwe apelekwe semuhusika
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 3 ай бұрын
Yaani mama hapo kwenye shida zenu za ada milioni mbili mwengine elfu 25 marejesho hatutaki kuskia sasa hivi tunataka kuskia mumeo yupo wapi achukuliwe hatua kwaukatili aloufanya kwa watoto hawa
@user-rf4yq9yj7u
@user-rf4yq9yj7u 3 ай бұрын
Huyu mtuhumiwa akamatwe na awe fundisho kwa wengine 😡😡😡😡😡😡😡
@Zainab_salat
@Zainab_salat 3 ай бұрын
Nimeshangaa wabakaji wanaachiliwa kwa dhamana na wezi mfano wa kuku wanakaa jela miaka bila hukumu.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Polisi wanapokea RUSHWA lazima mpaze sauti Mhalifu akamatwe afungwe miaka 30 jela.
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 3 ай бұрын
pole dada muna daaaa imeniumaaaa pole sana dadaaangu ila mungu mtenda haki ya kweli
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 3 ай бұрын
Allah akusaidie Kwa uwezo wake ameni
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 3 ай бұрын
Mumuuwe wananchi wenye hasila mpo wapi???
@ashaabdalla924
@ashaabdalla924 3 ай бұрын
Liingiliwe kwanza na yeye halafu liuliwe libwa hilo
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Sasa kama askar haoneshi ushirikiaono sisi wananchi tufanyeje sindamaana maranyingine tumemaliza wenyewe
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Vituo vya polisi vipobadilika wananchi watazidi kuwa na hasira nakujiamulia polic wenyewe mahakimu wenyewe watekeleza hiking wenyewe ikiwa hapo ni mbaya kuliko
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Maafande jamani msituache tufike huko nanyi mnawato mtaani fikiria ingekuwa ni mtoto wa afande simngebeba smg begani mapema?
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 3 ай бұрын
Huyo mwanaume inaonekana anawafanyia mpaka nawatoto wake,wachunguze Watoto wako kwa karibu wewe mwanamke
@user-fi7ky7ub6s
@user-fi7ky7ub6s 3 ай бұрын
Wanaume mnalambisha watoto mboro zenu mungu anawaona
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 2 ай бұрын
Huyo mwanamke abanwe anajua mumewe alipokwenda, ndugu wakamatwe wabanwe pamoja n marafiki watasema alipo tu
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 3 ай бұрын
Poleni sana inshaalah haki itapatikana 😢
@zayumar2955
@zayumar2955 3 ай бұрын
Jmniiiiiiiiii haya matukio kila siku yanazid ila naona ni kama serikal haitumii nguvu kubwa sana kuwakamata na kuwapa adhabu hawa watu ndio maana matukio haya hayaishi😢😢😢 yani nataman kama watu wangekuwa wanachukua sheria mkononi wawe wanawapiga kabisaa kama wez wafe tu mafirauni hawa 😢😢😭😭😭
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 3 ай бұрын
Dah mtihani watu kama hawa kunyongwa tu wanawake wote hao 😢😢😢😢
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 ай бұрын
Wanyongen jaman kupunguza uhalifu
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 3 ай бұрын
Kumbe police wa dar wana zarau hivyo hee 😢😢 huku mikoani ukienda tu na kesi kama hiyo ni chap kwa haraka
@halimaoman8726
@halimaoman8726 3 ай бұрын
Nimejikuta nalia kama mzazi😭😭 waalh inaumiza sana wwe baba niamke na watto ungefanyiwa watoto wako ungejisikiaje
@RabihuHussein
@RabihuHussein 2 ай бұрын
Dah!! yani mtu una mke mzuri hivi halafu unabaka watoto!!
@MeryJonh
@MeryJonh 3 ай бұрын
Hii nchi yangu Tanzania Askari mmmh apana kila siku wanalaumiwa tu awatendi haki jamani Kuna nini hili jesh la polisi 😭😭
@user-sq1ol2fb3i
@user-sq1ol2fb3i 2 ай бұрын
Niwakuuwawa huyo mwana hakatwe shingo huyo mwana sio wakvukwa njera niwakupikwa mawe mpaka kuva
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps 3 ай бұрын
Jamani angaliyeni watu walivyokuwa na roho mbaya hawa watu kama hawa ni kuwauwa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 3 ай бұрын
Kwsnini mnawahoji jmn watoto si mmeshamohoji mzazi mbona hamna adabu
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 ай бұрын
Lol lanatullah unawatilia mdomoni watt wa wenzio unataka kuwapa maradhi
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 2 ай бұрын
Watu kama hawa wakikamatwa ni kuua tu
@user-vk2qz9zo5r
@user-vk2qz9zo5r 3 ай бұрын
jamaani inaumiza sana😢😢😢
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Watoto wadogo jamani
@user-uq1vp2qf1r
@user-uq1vp2qf1r 3 ай бұрын
Polen sana jaman kwanini mnawafanyia unyama wa kikatiri
@AnnathNjohole
@AnnathNjohole 2 ай бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun
@user-fd8ce8ct2m
@user-fd8ce8ct2m 2 ай бұрын
Tenambona kakimbiya na hajafanya
@user-up2kg1wm9p
@user-up2kg1wm9p 3 ай бұрын
Huyo mpgangaji mwanamme anajua mumewealipo. Mpelekeni polc
@SophiaZakaria-hj8fq
@SophiaZakaria-hj8fq 3 ай бұрын
Mtoto wa mwenzio kaharibiwa wewe unaongelea ada za wanao!!!?wew mama wa ajbu sana
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 3 ай бұрын
jamani huyo baba hana roho mbaya jamani
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 ай бұрын
😢
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Pia tusiache kuwalaani askar makafiri wanaowapuuzia maskini wakiwa na matatizo makubwa kama haya lakini akienda polis mtu mwenye pesa tena kwakumwonea mtu wakipewa kitukidogo tu hubeba mabunduki na kuwasha gar haraka kwenda kusimamia dhuluma,ingawa sio wote askar wenye tabia hii
@hassansaid3833
@hassansaid3833 3 ай бұрын
Hapana hapana huyu mama kuna kitu anacho kuna siri kubwa hata maelezo yake yapo kinafiki kimaslahi jeshi la polisi lipo imara mno haswa ktk haya matukio ya ubakaji watoto na mtoto ni kama yupo ktk mafunzo ya kutoa hayo maelezo
@OliverMwaky
@OliverMwaky 3 ай бұрын
Wewe mwanaume mwenye vitendo hivyo haya mmke angempa Kila SAA huyo angefanya tu
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 ай бұрын
Wanangoja nini kumfunguliya kesi policie.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Usiwadanganye watoto kuwa huyu ni mjombaake ,pia hii ni mbaya
@Globalpeace123
@Globalpeace123 3 ай бұрын
Jamani kweli hii serikali yaani mtu kapeleka malalamiko polisi mpaka leo hawajachukua hatua yoyote dhidi ya huyo mshenzi Jamani yaani inasikitisa sana tena mno huyo mtu hafai kuishi kwenye jamaa ni muuaji kabisa.
@tuntufyemwasyete3834
@tuntufyemwasyete3834 3 ай бұрын
Wengine ni police wapo tu ila siyo wote
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 ай бұрын
Afungwe
@user-vj9oq4me6g
@user-vj9oq4me6g 3 ай бұрын
Sasa mbona mke wake ana hasira
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 3 ай бұрын
Hawa chombo cha dola kama vitendo hivyo wangefanyiwa ndugu zao au watoto wao wangelishughulikia kwa namna hiyo walivyofanya?
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 3 ай бұрын
Yan uwo tungegawana majengo ya serekali mbwa kabis
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Mbona mke wa mtuhumiwa anaongea kwa hasira.Huyu baba atafutwe sheria ifate mkondo wake
@MeryJonh
@MeryJonh 3 ай бұрын
Muuweni kwa mikono yenu wenyewe polisj sio
@saudaaddey7402
@saudaaddey7402 3 ай бұрын
Huyo karogwa
@OmanOman-fr5hl
@OmanOman-fr5hl 3 ай бұрын
Huyo mjomba vp😂 duh na huo msuko huyo mtuhumia mwenywe akimuona hamwachi
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 3 ай бұрын
Wekeni picha yake hadharani akamatwe haraka
@BlankaMsauta-kj5ef
@BlankaMsauta-kj5ef 3 ай бұрын
Ila polis
@leylam2121
@leylam2121 3 ай бұрын
Tumeni picha yake najina lake
@leylam2121
@leylam2121 3 ай бұрын
Tumeni picha yake ataonekana
@NeyNkwabi-ud3xc
@NeyNkwabi-ud3xc 3 ай бұрын
Na pia wanawake muwe mnawapa waume zenu unyumba kama ungempa asingiweza kufanyia hvvyo watot wadogo inaomekana we mwanamke unajeuli hua humpi kbs unyumba yaan me mme wangu nampa mda wote anaotaka ila kama atafanya umalaya n ujinga wake ila sio kuzidiwa mpkatamani mtot mdg hapana tuwe tunawahudumia.waume zetuu😂😂😂😂
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 ай бұрын
Nyoooooo!!!!unauhakika kama alikuwa ananyimwa unyumba!??hata mkipewa kila siku na mtabaki kuwa mafirauni tu!!!
@agnerapius7244
@agnerapius7244 3 ай бұрын
Ww nae mbakaji kama ananyimwa unyumba alikosa wanawake walivyojaa hadi aharibu watoto sasa jela inamuita
@pendoyese4452
@pendoyese4452 3 ай бұрын
Tabia haina dawa aisee
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 ай бұрын
​@@taturajabukhalfani7953ndio hata nyie wanawake mnazingua za kuwanyima waume zenu unyumba hizo kesi ziko nyingi kwenye dawati la jinsia mnawanyima waume zenu unyuma shenzi nyieeee
@marygregory7566
@marygregory7566 2 ай бұрын
Polisi em muda mwingine jaribuni kuwa serious kwenye mambo kama haya jaman
@valentinamjindo5374
@valentinamjindo5374 3 ай бұрын
Wamkamate wamvunje huo uume wake wamsokomeze hata chupa matakon
@dazuujuma778
@dazuujuma778 3 ай бұрын
Yaan naogopa sana Mungu tulindie vizazi vyetu vyote, Mungu ajaalie wote wenye dhamira ya kuharibu watoto nyuchi zao zilale kabisa😢
@fridagustaphmwenda6658
@fridagustaphmwenda6658 2 ай бұрын
Hivi Polisi mliopokea hii kesi kubwa kiasi hiki, mnatpa karatasi apewe Mtuhumiwa wa kesi kubwa hivi kweliii! Yaani natamani mkae gerezani moja kwa moja Polisi fanyeni kazi teteeni haki za wanyonge..
@zulfahaji91
@zulfahaji91 3 ай бұрын
Hamkupaswa kumpa habari mtuhumiwa ilikza muende polic moja kwa moja
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t 3 ай бұрын
Jamani pole sn mi nimeumia hawa watu kwa nn tusiweke sheria wauwawe kabisa hawa ni wauwaji wakubwa
@fridamwamposalivemakitele2583
@fridamwamposalivemakitele2583 3 ай бұрын
Huyo mwanaume anatakiwa kunyongwa,
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 58 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 34 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 102 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
Rammy:Sababu Ya kuachana Na POSH QUEEN/Aibu/Ananipigia Simu
12:54
Dizzim Online
Рет қаралды 65 М.
MAOMBI YA KIHEHE YALIYO LETA MATOKEO HAPO HAPO
2:45
Brown mhadisa
Рет қаралды 16 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 58 МЛН