Jamani huyu mtoto mumtunze katika kumjua Mungu na mumpe kipaumbele pi muwe mnamshonea sare na hao wadogo muwe mnawapanga mbele maana kunamuda mnamficha haonekan Mungu awabariki mno huduma yenu iende mbele zaidi Ameen
@DaybreakStarsAfricaLimited3 ай бұрын
God bless you 🙏🙏🙏 type Amen 👏 that is my villagers Good work hii 🤚🤚to my girl
@Lucy-t7n3 ай бұрын
Amina mwenyezi mungu aende nawe katika kipaji chako mamaa🙏🙏🙏🎉🎉🎉 upo vizur
@EvelineBidadi4 ай бұрын
Waoo, mtoto wa mungu 🎉🎉
@Rose-vo8xd3 ай бұрын
Unaweza Mwanangu ❤
@ElizabethMashili3 ай бұрын
huyo mtoto ni mwimbaji mzuri sanaa
@EnockNanyaro-lk1zi3 ай бұрын
Mungu amtunze huyu mtoto jamn
@RAHELLOLLO3 ай бұрын
Mungu amtiee nguvu aakue katika iman
@mkondomkondo47213 ай бұрын
Afya njema Umjalie mtoto huyu Ewe muumba wetu..Ameen
@JustineNasambu-y5k2 ай бұрын
Mungu shikilia huyo mtoto Kwa hiyo talendi yake🙏🙏🙏
@EdsonManga-f2q3 ай бұрын
Amin mungu awatie nguvu
@EsterAlberti4 ай бұрын
Amen na Mungu awabariki
@EsterAlberti4 ай бұрын
Amina na Mungu awabriki
@beatricembunda61683 ай бұрын
Barikiwa mtoto
@GdggjgfDghjkv3 ай бұрын
Mtunzen mtoto katka madili ya mungu
@Lovenesseliasmasaba3 ай бұрын
Moto jamn🎉🎉🎉🎉
@EggyLuoga-kv9xx3 ай бұрын
😂😂😂😂kamenichekesha na sket yake
@MadinaAhmed-u9z3 ай бұрын
Amina mbarikwe
@ZainabuMathias-x6p3 ай бұрын
Amina ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Izonnyrash4 ай бұрын
🎉
@MadinaAhmed-u9z3 ай бұрын
Amina
@SalmaMono-p6h3 ай бұрын
❤❤❤
@AdsaiMshong3 ай бұрын
Hongera San
@FaustaKessa3 ай бұрын
Ndio useme manyonyo
@christianaomoleyemudasiru59822 ай бұрын
E se , eku eto. Kikelomo ye ko gba imoran egbon re okunrin
@EthanThiago3 ай бұрын
Kunamtu toka azaliwe ajawai imba kwanya alafu ni mkirosto