SHEIKH MZIWANDA AWAJIA JUU SAKATA LA BANDARI "TATIZO NI WAARABU AU UISLAM? NCHI HAIUZWI INABORESHWA

  Рет қаралды 75,081

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Sheikh hakika leo umenifurahisha sana nimekuekea zawadi yako nakupenda kwa ajili ya allah
@IssaMsalama-xw4gv
@IssaMsalama-xw4gv Жыл бұрын
Ni kweli hapo ni dini ndio inayo wasumbua watu,hangekuwa mzungu hizi kelele tusinge zisikia,
@masoudsalum
@masoudsalum Жыл бұрын
Sheikhe naongea kwasababu ya mrengu wake hoja ni mkataba nilitegemea atatoa hoja za majibu
@paschalmasha4055
@paschalmasha4055 Жыл бұрын
Hili suala halihitaji vifungu vya vitabu vitakatifu tunahitaji mikataba na kampuni lolote hata wako sawa tatizo masharti sheikh pole9 fanya kazi yako ya kuongoa roho
@OthumaniIssa-g5e
@OthumaniIssa-g5e Жыл бұрын
Allah akuimarishe,akuhifadhi,akupe ziada ya elimu na fasaha ya kujibu hoja ziendazo ndivyo sivyo ktk dini yetu na nchi yetu kwa ujumla.Binadamu wabaya na majini wabaya Allah akuepushe nao umbali wa mbingu na ardhi.
@johnsosy3128
@johnsosy3128 Жыл бұрын
Huyu Mzee ndo MDINI Tena mdini hatari sana hakuna HOJA anayojibu zaidi yakuona UDINI ambao haipo yy ndo MDINI na akiliyake ndogo sema kajaliwa maneno ya kinafiki ndo anajifanya kukemea KITU ambacho hakipo, huyu anaeleta UDINI huku akijifanya kukemea mnafiki mkubwa. Alama za mtu mnafiki ni tatu tupitie tuziangalie, hv mikataba ya madini ilivyo pigwa vita enzi za Magufuli wale wazungu WALIKUA waarabu!!!? Sikweli, huyu alikuawapi kuongea kwamba ukristo unapingwa enzi zile ? Je ingekua ni waarabu huyu siangesema shida ni uarabu!? Huyu mchochezi Tena mdini kupitiliza
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Жыл бұрын
Nakuelewa saana sheikh maziwanda chid
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi mama samiha wa Tanzania 🇹🇿 wacheni roho za chuki nchiindelee mungu akulinde sheikh❤❤❤❤
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Amiin
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Жыл бұрын
Mmmmh
@LuphotoPesa-yz7ks
@LuphotoPesa-yz7ks Жыл бұрын
hongera sana shekhe kwakuaelimisha watania mana wengi elimu ndogo mpaka wapinzani hawajielewi kabisa wanapinga neema
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Maashaallah mw mungu akuzzidishie uwe mara zote unasimama kwenye haki,hili suala watu wamepandikizwa sanaa chuki.
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
Hakika
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Safi Sana sheikh. Nimeguswa Sana na maneno yako yaliyosheheni hekima kubwa. Mwenyezi Mungu akubariki pamoja na taasisi yako.
@bafaaabuu
@bafaaabuu Жыл бұрын
Fact shekh wng Allah akuhifadhi
@arafalawvu6401
@arafalawvu6401 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Shekhe Mziwanda. Elimu nzuri umetoa. Great job 👏
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Sheikh Mziwanda yupo sawa kabisa.
@muhamadomar6379
@muhamadomar6379 Жыл бұрын
Dah! Ndiyo umefungua Ufahamu wangu kuhusu hili jambo. Ahsante kiongozi.
@Yusufumakoo
@Yusufumakoo Жыл бұрын
ni kweli ustadh bandari ni kisingizio ila kuna dhana ya udini kwa asilimia kubwa
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Allah aqbaru mwenyezi mungu akujalie kila lakheli yaarabi ameen 🙏🙏🙏 Barak allahu fik. MamaSamia kazi iendeleee
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 Жыл бұрын
Kimsingi bandali yetu haifanyi vizuri inahitaji mabadiliko, watanzania wenzetu waliopewa dhamana ya kufanya kazi bandali wanatuangusha cha msingi huo mkataba uwe na time limit na kuwe na mda wa majaribio asante
@saidseiph8576
@saidseiph8576 Жыл бұрын
Shekhe Allah akuhifadhi
@everlightngowi1126
@everlightngowi1126 Жыл бұрын
Sio habari ya Imani ni mkataba acha kupotosha
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Hujui kitu, kalete mkataba wa ndege za magufuli, acha ujinga
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Hujui kitu kalete mkataba wa gas,au migodi
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w 4 ай бұрын
Wazungu wana mikataba ya zaidi ya miaka 50 tangu kipindi cha nyerere, mfano kampuni ya Barack ya nchini marekani, inamiliki migodi miaka mingi iliyopita ila ww huyajui ayo, unalijua sakata la bandari tu.
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 Жыл бұрын
Jazaak LLAHU khairan sheikh Allah akubaarik sana na akuhifadhi na kila shari pia maneno yako haya iwe sababu ya watu kubadilika bi idhin LLAHI (Allahuma amiin)
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 Жыл бұрын
Hasbunallahi wannemaliwakil mwenyezimungu anamtosheleza mama yetu❤❤❤
@rajabufarahani1418
@rajabufarahani1418 Жыл бұрын
Upo sawa sheikh Mziwanda
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Ni kweliiii kabsa, Kuna mambo yanaenda ni kana Kwamba wanadhan sisi hatujui vile,
@allyramadhan6241
@allyramadhan6241 Жыл бұрын
Mubarak alayka yaa sheikh,,,sheikh umechana sasa wanaumwa,,Ila jiandae Kwa kua wanajianda kukumaliza,,IPO haja na masheikh wengine kupaza sauti juu ya hili
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Jazakallahu lkheir Sheikh
@jamalnaheka1131
@jamalnaheka1131 Жыл бұрын
sheikh nimekuwelewa vzr Allah akuongoze ,ila inshu kubwa ni uwazi wa mikataba,coz mikataba mingi inakuwa Inatuumiza baada ya ukomo na kwa hili la mama kuweka wazi hayo makubaliano pia tumpongeze hvo B's mikataba iwe wazi mwisho wa siku ukiwa na manufaa kwetu itakuw vema na yule atakaeleta chokochoko tutajuw ni adui wa nchi ytu..Allah akuongoze sheikh..
@MuhsiniKasherenre-ts8ut
@MuhsiniKasherenre-ts8ut Жыл бұрын
Shekh Mzindawa unaturhalilishq waislam ,katika hili swala la Dp warld hakuna udini ,hapa kinachozungumziwa ni mkataba ,mkataba huo niwakudumu ,Hauna njia yoyote ya kujitoa ,hapa tuzungumze kitaifa tuacheni ukqsuku , yaani bora hao Dp ni waislam basi wapewe tu hapana ,shekh wewe ndie unaleta udini , Ushauri wangu kwako soma ule mkataba kwanza ,nadhani ukiusoma mkataba utabadilishq kauli ,mungu akuongoze
@nassormohamed2803
@nassormohamed2803 Жыл бұрын
Wewe ndio utakuwa hujasoma wala kuelewa huo mkataba mm nikuulize ww unaathirika nn?? Maana hupati chchte
@Yusufumakoo
@Yusufumakoo Жыл бұрын
ww ndio umeusoma huo mkataba kuliko wabunge wote walioupitisha! mbona kulikuwa na wachina walibinafsishiwa na raisi mkapa mpaka leo mbona wachungaji hawakuhoji vp leo wahoji? mbona wanataja kabisa wao ni wazanzibari ni kitu gani wanamaanisha! fuatiliaaa bandari ni sababu tu
@FikiriniFimofa
@FikiriniFimofa Жыл бұрын
Nyie munapo comments toeni za maana alaa
@FikiriniFimofa
@FikiriniFimofa Жыл бұрын
Muislam mzima hujui dini kama na siasa vinaendana mtume alikuw rais au hujui wa makka na madina
@erad-tv5001
@erad-tv5001 Жыл бұрын
Wewe ni Mtu wa haki ndugu umesema uwazi unajua waislamu wengi wanapenda maneno yakulishwa na kuchochewa hapa tayari wasio na elimu wamenza kuwaka
@Lolandmwantona
@Lolandmwantona Жыл бұрын
Hauna points ndugu
@eliyalazaro
@eliyalazaro Жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nitoe maoni nchi hii inapigwa sana tumuombe Mungu atusaidie ila tunapongeza sana tatizo somo la uzalendo limetoweshwa halifundishwi nchi hii ni ya vijana wazee wanaondoka leo na kesho vijana tuna nafasi kubwa ya kujitetea sisi wa kizazi hiki na cha watoto wetu Mungu atuokoe
@msellemseif3102
@msellemseif3102 Жыл бұрын
MAASHA ALLAHU. SHAYKHI UNASEMA UKWELI KWELI...
@ASH-mq3lh
@ASH-mq3lh Жыл бұрын
Points 1:Bandari yetu ya sasa inatia hasara 2:Imepoteza wateja 3:Malalamiko ya wafanya biashara ni mengi 4:Kampuni iliopo imedumu miaka 30,bila maendeleo 5:Tz imeamuakubadilisha kampuni ya usimamizi wa bandari 6: Imechagia kampuni bora kabisa inayojulikana duniani 7:Nchi nyingi zimeingia mkataba na kampuni hio (s/Africa,Djibout,etc 8:Nchi hizo hazina malalamiko juu ya utendaji wa kampuni hio Acheni chuki na ubaguzi!! 9:Kuna mikataba ya gesi,migodi….jee,mliwahi kuambiwa na kutangaziwa?? Jee mliwahi kuisoma na kujua kila kipengele?? Mara hii kwa kuwa mmeekewa wazi,ndio midomo juu! Acheni tuneemeke !!
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Nimependa sanaaa mpangilio wa point zako.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Asante kwa kukhitimisha mjadala. Anayepinga ama jaahil ama ana agenda yake.
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Mmmmmhh kazi tunayo Kama hawa waandishi wa easy wamefika na huku alaf wanajiona wametoa point kwishaaaa habali yetu 😢😢😢
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Hawa ndugu zetu wa Upande wa Kushoto wamejawa na Ubinafsi, Chuki, Husda, (Roho M'baya) tu. Ni mengi ya Waislamu hupiga Vita hata yenye Manufaa Kwa wote ! Ajabu hata yanayowahusu Waislamu (ya lbada) hupingwa! Mfano; Mahakama ya Kadhi, Kujiunga na Umoja wa Nchi Huru za Kiislamu nk. Nia yao wajitanue wao tu !
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 Жыл бұрын
Tuache kuongea sanaa!tuangalie vipengele vinavyotubana kutengua mkataba huo!!unakubali vp kuingia mkataba unao dumu?saiv tupo kwenye Dunia ya science na technology,vizaz vijavyo vinaweza kuwa Bora zaidi...tusiviwekee vikwazooo
@karimudy1283
@karimudy1283 Жыл бұрын
We support Dr Samia suluhu Hasan
@iliyasabakari
@iliyasabakari Жыл бұрын
Huyu sheikh alindwe kwanguvu zote, amekuwa mkweli sana kwenye kueleza jamii
@aliyyuhibu3561
@aliyyuhibu3561 Жыл бұрын
Shekh unajua kuzungumza unafaswaha nzuri
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
Sheikh chunga kauli zako na mwisho wako . Inchi yetu hatujawahi Kubaguana Kwa udini tunakula pamoja na kuoleana . Chunga Sana . Amani yetu. Chunga
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Huja sema kweli hata kidogo,
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
@lemonade soldier acha kumtishia maisha binadamu mwenzio.
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
@lemonade soldier mwisho wa Shekhe Mziwanda anaujua Allah alie muumba sio wewe mshirikina..
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Wewe unatisha nini,mtu ansema kweli,wewe unatisha.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Acha kutisha watu ww mbona askofu alipo ongea hujasema kama achunge sana ulimi wake
@salamajamal8280
@salamajamal8280 Жыл бұрын
Pamoja sana sheikh wa watu
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Wanaosema waarabu wametufanya watumwa wajue kuwa wazungu wamefanya hivyo pia na zaidi ya hapo. Watizame tu ndugu zetu black americans. Wazungu pia wametuletea ukoloni na mpaka leo wanatutawala. Pia wanataka sote tuwe mashoga.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Walitesa watu bongo karne nyingi
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Asante ni kweli kabisa
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Wametuletea ukoloni kuna hatari wazungu na kutuletea ushoga
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Kabisa bro hawa wazungu waletesa Waafrika miaka mingi na kuchukua mali,sasa wanautaka ushoga uingie bara la Africa
@musayusuph7212
@musayusuph7212 Жыл бұрын
Shekh usijihusishe kwenye SIASA kama hujui SIASA,, Mimi ni muislam Tena naijua DINI yangu vizuri INGAWEJE siitwi shekh,,, KAMA SIASA HAMJUI HEBU ACHENI WANASIASA WACHUANE ILI TAIFA LIPATE MUSTAKABALI WENYE TIJA,, MKATABA WENYEWE HUUJUI NA UNA NINI NDANI HUJUI,, HAKUNA UDINI KWENYE HILI HATA KIDOGO KWANI WASOMI WA KIISLAM NAO WAMEPINGA MKATABA HUU,,, TATIZO MASHEKH WETU MUNA UDINI SANA TENA MUMESHINDWA KUTATUA MAMBO YA NDANI YA UISLAM,, KILA JAMBO LINALO FANYWA SEREKALINI LAZIMA MUINGIZE UDINI,, BASI, NI DHAHIRI AKINA MBOWE WALIKOSEA, KUINGIZA UKABILA LAKINI SI KWA HATUA YA HOJA HII KUPITIA VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM,, MKATABA DP WORLD NA TANZANIA HAUPO WAZI , HAULEZI UKOMO, WIGO WA UWEKEZAJI, NA SERA YA AJIRA WAKATI WA UWEKEZAJI,, KWA WANAO JUA MKATABA HUU UNAHAJA YA KUZUNGUMZIKA TENA NA KUWEKWA WAZI,, KUHUSU VIONGOZI WA KIKISTO KUINGIA MIKATABA MIKUBWA KAMA MAGUFULI MFANO,, MBONA ALIKATAA MKATABA NA CHINA BAGAMOYO,, AMBAO MAMA ASAIVI ANAUFUFUA TENA,,, KWA GAKUNA UDINI,, UDINI UNALETWA NA NYINYI MUNAOTOA MAONI YENU BILA KUZINGATIA MKATABA UNASEMAJE,, PROFESSA ISSA SHIFJI ANAPINGA PIA MKATABA HUU JE YEYE NI MKRISTO, TENA MBONA ANA ASILI YA ZANZIBAR,, MASHEKH MUSILETE UDINI KAMA HAMJUI SIASA HEBU ACHENI WANASIASA WAPAMBANE TAIFA LIPATE MIKATABA YENYE MARIDHIANO KWA PANDE ZOTE WANANCHI NA SEREKALI,, NA WALA MUSIJIPEBDEKEZE KWA SABABU RAIS NI MUISLAM,, KAMA MBOWE KATELEZA BASI NA NYINYI HAMKUPASWA KUZUNGUMZA MAMBO HAYA TENA YANAYO ASHIRUA UDINI MWANZO MWISHO.
@mariamchuwa7916
@mariamchuwa7916 Жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu akupe maisha marefu shehe kuongea ukweli tatizo watanzania uwa wanapenda kusikiliza uongo kuliko ukweli nimefurahi sana kwa ukweli uliongea inaniuma sana
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
😄😂😂😂😄😄😄😄😂
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Жыл бұрын
Kumbe tumefahamu ukwwli Kama haya ndiyo mliyo nayo mioyoni mmeanza kujitamburisha tumeanzakujua ukwwli basi hatutaki upumbafu wako wewe unaejiita she
@charleskinyala3216
@charleskinyala3216 Жыл бұрын
Shekh kwani wewe unaeliongea hilo una taaluma ya sheria? Na kama una taaluma sioni taaluma yako katika ufafanuzi wako ila ninachokihisi huenda si utashi wako ila kuna msukumo fulani nyuma yako. Kwakuwa mimi siko upande wowote nakusihi usiwe kichocheo kwa hicho unachokisema kuwa kuna harufu ya udini.
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Жыл бұрын
Hakiya muñgu natamani hii sms yangu uisome nikushukuru kwanifungua macho imenishangaza kuona waisilamu mkili elezea hili kwaujinga huu mnao taka kutuletea mtaiingiza ichi kwenye shida namuomba rais wetu akemee kauli za voongozi wadinikama Hawa wanao onyesha udini nachuki zawazi
@charleskinyala3216
@charleskinyala3216 Жыл бұрын
Shekh nyamaza tafadhali wenye ufahamu wanakufahamu mwelekeo wako.
@MumusuSuley-iv5mi
@MumusuSuley-iv5mi Жыл бұрын
Allah akulinde Sheikh,
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Mash Allah Shekhe Mziwanda Allah akuweke unaongea ukweli.
@SultanSaid-kj4mn
@SultanSaid-kj4mn Жыл бұрын
Sema sheikh wenye nyongo iwatoke
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Жыл бұрын
Hayo shekhe sio kweli,Mimi nafanya kazi nyingi na waislam,,warabu na uislam ni vitu viwili tofauti,,
@nelsongodiwe1877
@nelsongodiwe1877 Жыл бұрын
Umetoa elimu vizuri Sana, hasa elimu kuhusu kwa nini tunabadilisha wawekezaji
@leandrymmassy9916
@leandrymmassy9916 Жыл бұрын
Tatizo siyo kampuni, Tatizo ni aina ya mkataba siyo kampuni.
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 Жыл бұрын
Maashaallah
@muhaproduction3325
@muhaproduction3325 Жыл бұрын
somo mashallah wameelewa
@zahororashid-tw3hz
@zahororashid-tw3hz Жыл бұрын
❤❤❤🌹🌹🌹Tuache chuki kila mtu anaipenda Tz yetu sio nyny tu wakistristo na cc waislam tunaipenda ,tunatoa mchango mkubwa na tutailinda kwa hali yeyote kwa sabab ni yetu sote.
@salumngakonda2182
@salumngakonda2182 Жыл бұрын
Shekh Tatizo sio waarabu au udini bali namna ya mkataba ulivyo ni makorokoro.
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 Жыл бұрын
Huyu shekhe nomchochezi. Anataka kubadilisha upepo kulifanya hili suala kuwa la kidini
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 Жыл бұрын
Kweli naona umuimu wa Shule au ndio kusema ujui kusoma Sheeee Wangu au kwako huu mkataba unausoma kwa miwani ya Kidini plz Acha Mambo ya hivyo Tafuta sehemu sahii ya kupeleka walaka wako kwa sasa tuongee juu ya Uzalendo Au kwako nisawa kwa mkataba huo me sipo kukupinga au kupiga uwekezaji swala je Kwa kusoma kwako au kwa kuambia na kusikia unaona nisawa huo mkataba niwakuboresha kama unavyo sema wewe Daaaaaa Kweli Haya Bwana Mziwanda😢😢😢😢
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Жыл бұрын
Shehe Anakosea wanaopinga wameweka hoja Zao wazi kuwa suala kubwa mkataba hauna ukomo je hii ni sawa kwa nchi yetu..!!
@ismailkombo2644
@ismailkombo2644 Жыл бұрын
Sayyid umetasawwaf vizuri sana Allah akuhifadhi
@mayumadwesse2711
@mayumadwesse2711 Жыл бұрын
Shekhe acha kupotosha hii Inshu haina udini wowote cjui unafeli wapi
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Wewe ndio uliofelishwa.
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 Жыл бұрын
Shukran sana shekh wetu
@saidiamiri-yk3lf
@saidiamiri-yk3lf Жыл бұрын
ALLAH AKUFANYIE WEPESI Na AKUJAZE HERI
@robertrehani1138
@robertrehani1138 Жыл бұрын
asante mzeee unakija kutuchafulia hali ya hewa na udini tanzania. baba wa taifa alitukataza udini na ukabila,mzeeeee tunaomba usije kututenga watanzani TENA.
@rastafare878
@rastafare878 Жыл бұрын
Munachafua wenyewe , Na siyo sheikh , ukweli muwambiwe tu
@binrashid8671
@binrashid8671 Жыл бұрын
​@@rastafare878 nyani haoni kundule...😅
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Huyo baba ako ndie alokua mdini mkubwa!
@zainabushaaban8185
@zainabushaaban8185 Жыл бұрын
Tatizo liliopo hapo ni uelewa wa hili jambo, na kunaupotoshaji mkubwa, kwenye uwekezaji huu, , , , tunPosema wamepewa miaka, , 100,mkataba ndivyo ulivyoandikwa,?watanzania wenzangu, tunapaswa kutumia akili zetu, alizotupa mungu, huwezi kutafuta uraisi kwakupotosha wa tu, na kutafuta majority wa wTu kwa kuwadanganya, , , (Bandari , )ya daresalam ni bandari kubwa sana, inayohudumia nchi, 8, kwahiyo inahitaji maboresho makubwa, nakwabahati mbaya kabisa wote wanaopinga uwekezaji huu hawajuwi taabu iliopo bandarini, , , umeisha ambiwa meli ni nyingi zinazokuja hapa TZ, kwahiyo inahitajika kampuni yenye uwezo, wa kuhudumia kwa ufanisi mkubwa, tunapinga, , sasa jambo hili lipo wazi , mama wa taifa hili la TZ, anataka kuiboresha bandari, ili mizigo itoke kwa haraka, sisi tunaona kafanya kosa, , na kwaustaarabu alionao huyu mama, kaleta jambo hili lijadiliwe kwa maslahi ya taifa letu, sisi tunaanza matusi , ,na kusema bandari yetu inauzwa, hivi ninani ameturoga?
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Mie nawashanga sn kuubeza huu uwekezaji kanaa kwamba nchi inauzwa
@victorphilipo
@victorphilipo Жыл бұрын
UnAongea usivyo vijuwa wawekeze kwao hatutaki
@franklechipya6828
@franklechipya6828 Жыл бұрын
Hakuna anayepinga ndugu tatizo mnajibu kitu ambacho ni tofauti tumeuliza juu ya makubariano tueleweshwe sio kufikewa tatizo lipo wapi? Maswali yaliyoulizwa hayajibiwi bali mnakimbilia udini mara uzanzibari na utanganyika huko sio nyie ndio mnataka kuleta shida. Bandarini kumekuwa na shida mda mrefu inaeleweka mbona wenye jukumu la kuboresha ni Serikali sasa tukihoji ndio shida?HAPANA!!!
@kamndemwakitosha1439
@kamndemwakitosha1439 Жыл бұрын
Wewe umeandika mamba mengi ila Sijaona hata sehemu Moja ukiquote kifungu chochote Cha Mkataba kama alivyofanya Nape. Yaani hata kile kifungu Cha " tukifakata kufanya maboresho Bandari yoyote tu waombe DP" au Hata kukiwa na Masuala ya kutoelewana nchi na nchi mkataba hawezi kuvunjwa. Badale yake umeishia kutetea tu.
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Yaani umetoa maelezo mengi nikajua kuna point yoyote hapo kwani ni nani anapinga uwekezaji?tuambie mkataba ni wa sh.ngapi na ukomo wake ni lini najua huwezi kujibu maana huelewi
@ramadhanihemed4144
@ramadhanihemed4144 Жыл бұрын
ALLAH AKULINDE SHEKH UMEONGEA UKWELI
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hapo ndipo mkataba huu utakapo feri 💯. Ukiingiza udini kwa Tanzania Bara utaferi Asubuhi mapema.
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Жыл бұрын
Weee kafiri usitutie hasira mmetufanyia mambo ya ovyo sana kwny nchi hii
@pascasmathew424
@pascasmathew424 Жыл бұрын
Huyu Naye kaleta la udini , hatari sana
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Kwa hiyo unataka kujadili dini ? Au
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Wakiristo ni Wabinafsi mno Haki lazima isemwe naamini Kama DP wangekuwa ni Wazungu Kimya kingetawala tuu
@johngerald4677
@johngerald4677 Жыл бұрын
​@@yusuphrashidi-dr1kbkafe mbwa wewe
@Muhamed_mo
@Muhamed_mo Жыл бұрын
Waznzbr haswa hatuutaki hasa huo muungano ,inshaallah Allah auvunje huu muungano coz wanatudharau sana, Ameen
@rastafare878
@rastafare878 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Zanzibar HATUTAKI MUUNGANO
@philipmomburi3759
@philipmomburi3759 Жыл бұрын
Take care...hili si suala la kidini. Suala hili ni masilahi la nchi
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Tatiso maaskofu wako walipo ongea hukuona? Na ulisema nini?
@rashidbuzubona6577
@rashidbuzubona6577 Жыл бұрын
@@aishathabit3732 hapo Sasa Mimi ndo naposhangaa
@Maalim_Samatta
@Maalim_Samatta Жыл бұрын
Kunya anye kuku akinya Bata kaharisha, wakiongea maaskof WENU huonekana wameongea kasuku ila wakiongea mashekh huonekana bundi.
@ramarmularr4677
@ramarmularr4677 Жыл бұрын
Swala ni vipengere vya mkataba wala sio dini... Punguza kujua sna Mziwanda unapenda kuzungumza na unajionaga unaakili nyingi
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Жыл бұрын
Ukwer kabisa shekh wang
@AbdulNurdini
@AbdulNurdini Жыл бұрын
Swadakta sheikh
@frankmalekela4613
@frankmalekela4613 Жыл бұрын
Ningekua na uwezo ningufutilia mbali hiz din zinaleta upumbav😢😢😢 tu. Chuki kubaguana bila sabab za msingi kisa DIN mm naona tujitafakali kama waafrika na sio utumwa wa kiiman. Angalia huyu shehe anachozungumza ni itikad za kiimani .watz wanataka kujua mkataba wa uwekezaji mwisho lini? na faida gani tutapata kama taifa na hasara gani tutapata kama taifa ila sio din kama unavyozungumza shehe hili suala sio dini ndugu
@saheedali7467
@saheedali7467 Жыл бұрын
Bila ya dini weee usingeweka ku Comment hapa Leo. Ila kama huna dini tafuta pahala ufie tu
@victorzimba3316
@victorzimba3316 Жыл бұрын
Ulivyo ufanani kabisaaaa unafiki tu she
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Жыл бұрын
Sio wewe tu, makafiri wengi wanasema kama wewe
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Kama huna dini tafuta dini usife mpweke
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Heee mhmm hutaweza yapo maisha yote
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Жыл бұрын
Sahihi kabisa sheikh wangu, Mara nyingi waislam wakitawala na kuwa maraisi, huwa chagadema inakuja juu sanaaa na inasaidiwa na makanisa , hata kama wao ndio hanufaika kwanza wa utawala huu, wao ndio wametolewa jela, wamepewa mapesa, wanafanya vikao ikulu kila siku, Kumbuka hata wakati wa uchaguzi wa 2010 Chagadema ilimsimamisha Padri Slaa dhidi ya Kikwete, na Kanisa katoliki lilitoa mpaka waraka kwa wafuasi waamini wao katika kila chama kumuunga Slaa kwa sababu ni Padri wa kanisa na mkatoliki mwenzao
@kelvinjelas3923
@kelvinjelas3923 Жыл бұрын
Tatizo ni kwamba ktk dini kuna wapumbavu wengi wanaopewa nafasi za uongozi huku wakiwa na uelewa duni mno. Mfano, Sheikh analazimisha udini ili Mh. Samia atetewe kidini. Ametaja ukabila ambao sio ajenda yetu kabisa na halihusiani na bandari. Anaisifia DP World kimkakati hajatafiti mapungufu yake na wala ya mkataba dhidi yetu.
@frankmugomba3484
@frankmugomba3484 Жыл бұрын
Tankx mkuu coz kuna watu wanasifia ujinga mpaka nashangaaaaa Boss anaongea ujinga Heti mkataba huu ni wakuboresha bandari na ndio walimu wetu wa Dini hawa sijui watu wanafundishwa nini uko kama vitu vya mikata ya hivyo kama huyu Sheeee anasema ni Udini????
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Kama una maswali basi wasilisha panapohusika. Serikali imetoa ufafanuzi wa kutosha.
@aboubacarysallidy5781
@aboubacarysallidy5781 Жыл бұрын
Pole Sana Kwa ukosefu WA mawazo
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Mbona wewe hujatueleza hata mapungufu unayoyafahamu wewe hata moja tu au ndio unaimbishwa kama nyimbo za Kanisani?!
@kelvinjelas3923
@kelvinjelas3923 Жыл бұрын
@@noorbazaar9063 Ndugu yangu jitahidi kufikiri kabla ya kujibu, jitambue... suala la kutoa maoni ni haki ya kikatiba. Using'ang'anie hoja potofu kwamba ufafanuzi unatosha kwa serikali ambayo ripoti za CAG mpaka leo hazijadiliwi. Unaambiwa mkataba wa bandari hauna ukomo... ni wa milele wewe unaaminishwa kwamba uislamu unashambuliwa... Hata Muhammad (s. a. w) hakuwapenda waumini wapumbavu... tafuta elimu.
@kamndemwakitosha1439
@kamndemwakitosha1439 Жыл бұрын
Ndo maana Feisal alisaini Mkataba kwa mshahara aliokubali halafu baadae analalamika mbona Azizi KII analipwa zaidi. Ni sawa na huyu Shekhe anataja Nchi ambazo DPW inafanya kazi
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Жыл бұрын
Leo nimeamini kuwa wewe ni jeshi la mtu mmoja
@RamadhaniAndambike-oq5on
@RamadhaniAndambike-oq5on Жыл бұрын
Udini ni umesema wewe maarim mbona lisu ni muisram maana nikwambie kitu watz walizike kwanza waone mkataba maana serikari ni mimi nawewe maarim awo wengine tumewapa dhamana two ya uwongozi tz❤❤
@suleimankindy6465
@suleimankindy6465 Жыл бұрын
Makafiri wana choyo sana... Rais wetu anaupiga mwingi lakini makafiri wamezoea kubweka
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Acha maneno yasio hekima Kutumia kaul baguz wakiongea watu mwajumuisha wote
@suleimankindy6465
@suleimankindy6465 Жыл бұрын
@@raulianraphael6853 HEKIMA ni kumrekebisha jamaa yenu... kisha ndiyo Tutaandika Hekima
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
SISI NI WATANZANIA KWA PAMOJA TUOMBE MIKATABA INAYOFANYIKA IWE YA KUTUSAIDIA SIYO KUTUNYONYA. TUWE NA MIKATABA YENYE UKOMO.
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Жыл бұрын
Mimi ni mwislam unapo jadiri au kusikiliza ama kuongea jambo lugha nyepesi sote Ni waja wa Allah , unaweza kuwa ni mwislam hata arfuu haijui 😢😢😢
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Hajakosea hata kidogo
@petermwashala9050
@petermwashala9050 Жыл бұрын
Maslahi ya Taifa hayana UDINI Ndugu yangu
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 Жыл бұрын
1:TICS waliendesha kwa miaka 30 sio 100" 2:hoja haikuwa uwekezaji kukataliwa bali hoja ilikuwa ni kutaka mkataba uwekwe wazi tujue masharti ya mkataba yapoje..hata hayati jpm alisisitiza kuhusu masharti ya mikataba yao..!! 3:sio kila kitu kitakachofanywa na mataifa mengine ni lazima na sisi tuige vinginevyo tukubali ushoga na kuruhusu bangi kama nchi nyingine." 4:bado hakuna ushahidi halali wa kusema kuwa udini umehusika..."kama amesema mtu mmoja wewe mtaje tu na umzungumzie yeye tu tena mtaje hadi jina ili tujue adui yetu ni nani na sio kujumuisha watu wote." 5:waraka wako unaonekana umeandaliwa na wala hukuandaa mwenyewe.." 6:mikataba kandamizi hata kwenye dini hairuhusiwi kwani ni sawa dhuluma..mfano mikataba ya wawekezaji waliowekeza kwenye maeneo ya taasisi za kiislamu haiendani na uhalisia wa kilichofanywa na wawekezaji hao.."angalia shule ya al-haramain na mkataba wa uwekezaji uliofanyika kama vinaendana na viongozi wanalijua hilo na wao ndio walioingia hiyo mikataba lakini hawazungumzi chochote...!! 7:hii ni nchi yetu sote kila mtu ana haki nayo na ni wajibu wetu kutunza na kulinda amani ya nchi yetu..!! 8:adui yetu namba moja ni yule atakayeonesha dalili za kutaka kutugawa na kuleta uvunjifu wa amani" 9:maneno yao matamu midomo yao inanuka.." 10:kizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora.."
@SaadHamdani-rh6om
@SaadHamdani-rh6om Жыл бұрын
Wewe ni nani uoneshwe mkataba?,mbona huo Tics hukuuona,jee mikataba yote mnadai kuiona,kuna mikataba ya kanisa na serikali wewe unaijua??,
@omaryhawam386
@omaryhawam386 Жыл бұрын
Hiyo miaka 30 faida ni kiasi gani? kama mnavyotaka kujuwa faida za DPW Barrick Gold kawekeza kwa miaka mingapi ? Ges imewrkezwa kwa miaka mingapi?
@danielkikoma5010
@danielkikoma5010 Жыл бұрын
Viongozi wa Dini tumeruhusiwa kuingilia sakata HILI? Je nani alie sema udini au wewe ndiye unaanzisha hoja ya Udini!? Utafiti wako au hiyo research Yako umefanya wapi lini na kwa asirimia ngapi imesheheni uhalisia. I mean iko balanced!? Udini unaleta wewe. Maana unapo ongea ajira pia umepiga kelele. Unatumia speech Yako kufikisha pia malalamiko Yako. BASI kama serikali imeruhusu viongozi wa dini tuseme kama wewe tuna uwezo wa kuongea na ku balance research kuliko wewe. Pole kwa mitazamo Yako ya Udini kuliko uhalisia wa suala lenyewe.
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
@@SaadHamdani-rh6om waambee hawa wasiojua, je huomkataba wa serekali na kanisa ni wa haki, na kikwete Alistair pale dom hawo wliomba nanyi ombeni, serekali ni ya wote waislam na wakristo , kwanini wapewe wawo tu mabilioni ya hela kila mwaka mbona waislam hawapewi? Je hiyo sio dhulma? Mbona wakina mboe, kina slaa, na wengine wengi wapo kimyaa? Na wala hawaongei! بالعدل قامت السموات والارض Kwa UADILIFU NDIO MBINGU NA NCHI ZIMESIMAMA, HAKIKA UDINI UNASUMBUA NA KUUWA MAENDELEO KATIKA NCHI YETU, SLAA ALIHAMA CHADEMA KWAAJILI YA UDINI, ANA MKOSOA RAIS KWAAJILI YA UDINI NA ATA HAMA CCM KWAAJILI YA UDINI, EEE MUNGU TUSAIDIE WAJA WAKO, NA UTULINDE NA SHARI ZA MAHAASIDI AAAMIIN
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
MUNGU ALIKUPA AKILI MZEE. NA MIMI NILIONA HUYU SHEKH NDIO ANALETA UDINI. MAANA KAMA NI MTU MMOJA AU WAWILI MBONA TUNAO WENGI MITAANI? SEMA SIO VIONGOZI WA DINI KAMA YEYE. SASA AMTAJE TU KAMA ANAWEZA
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Жыл бұрын
Jazaakumu Allahu khaira
@ebmmziwanda2288
@ebmmziwanda2288 Жыл бұрын
Shekh wangu ktk masualaa ya Dinii tuweke pembeni kabisa ktk suala la utaifa tunaomba tusimame pamoja kuangalia je inatufaa au laaa. Unajua saizi watanzania tulio wengi tumeshaingia mjini sasa kama serikali yetu itakaa kimya bila kutupa elimu ya jambo la Bandari bc kila siku wataona Watanzania wasumbufu kwa hilo
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Huu sio utaifa Bali ni Utanganyika!
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Mbona ufafanuzi umetolewa wa kutosha!
@MohamedOmar-gs2uw
@MohamedOmar-gs2uw Жыл бұрын
Wameona wazanzibari hasta wapemba hawatoasachiwa mizigo Yao ni mbwa wanapendanhao wakiwaona wapemba mikoba Yao ikinuswa na kutiwa najisi kubwa ni mbwa mungu awape nguvu viongozi wetu mama oyeee kazi iendelee
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Mama mtu wa haki hawezi kuchukia kelele za wataanzia kwa sababu Nia yake njema .Kama ana Nia mbovu basi atatuchukia sote.Sasa nyinyi vielehele ndiyo tatizo .Jambo liko bungeni maoni yetu ndiyo hayo .Kazi kwake mama kutushawishi kwa kielimu mbaka tuelewe.Kisha mambo yawe wazi ili itakapotokea haibu na sintofaamu tusimtafite wa kumlaumu.Huwo ni mkataba Magufuli alichukiwa Hadi nawatanzania wenzie.Kwa ajili tu ya kuvunja mikataba kandamizi.Maana yake mkataba ukisainiwa .Kuvunja ni kipengele .Sasa tusitafute Lana.Mtu kasakrifau maisha yake Leo hii .tuje kumsaliti wataanzia wote .Nidhambi itakayotutafuna Tena isiyo na mwisho.
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Ww hakuna vya udini. Wala vya siasa. Hatutaki kuboleshewa tutaibolesha wenyewe. utakuja kuolewa kama unapenda kilakitu uboleshewe. acheni kutegemea wazungu. Wazungu hawananiqnjema nqinchiyetu. waambieni watanzania hawa wataki. Hatutak viarabu viondoke
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de
@SaidimaulidiMaulidi-lf9de Жыл бұрын
@@akimu-gl7zp familia yako unashi ndwa kuibolesha,utaweza kuibolesha bandari mnafiki mkubwa wewe,ok watafute wazungu waje na ushoga wao mpumbavu wewe,unamchukia mtu kwa sababu muarabu
@mkude
@mkude Жыл бұрын
​@@akimu-gl7zpnyinyi mnachuki sanaaa mmepandikizwa chuki. MAMA anafanya kazi yake vizuri na hatishwi na maneno ya mitandaoni
@olivermarunda7226
@olivermarunda7226 Жыл бұрын
Usituchanganye kwani naninkasema udini walisema kuwa dini sisi wamoja bwana usitufanye tukuchukie bhana maana nchibyetu sote aah
@Yusufumakoo
@Yusufumakoo Жыл бұрын
kuandika tu shida nukta kila sehemu! halafu anazungumzia mikataba
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 Жыл бұрын
Sheikh umeeleweka sana ila mi bado sehemu Moja TU pale kwenye ukomo wa mkataba .
@karimwaziri-ci3yr
@karimwaziri-ci3yr Жыл бұрын
Boss hakuna mkataba uliosainiwa yaliopitishwa yote ni maazimio tu
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 Жыл бұрын
Migodi yote nchi wanaendesha wazungu na mkataba wake ni miaka 100 mbn hamuoji?
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Tatizo sio uislam shekhe tatizo vipengele vya mikataba!!!! Na mkataba haujasema unaisha lini? Tuambie wewe shekhe uliyetumwa mkataba unaisha lini? Simple question mkataba unaisha lini? Hatutaki ajenda zingine mie muislam lakini mitaba sio mizuri jinsi ilivyoandikwa hauna mwisho mkataba? Doesn't matter? Mwarabu ama mzungu tunachotaka unaisha kini? Mkataba hapo tusipigane kidini hapo watu hawagombei kuhusu dini!!! Kinachotakiwa mkataba watujulishe unaisha mwaka gani? Jibu swali hilo basi no story
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Жыл бұрын
Kwa hiyo wewe unapinga ukweli
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Tafsiri za kisheria zinahitaji uelewa Wa sheria sio kila mtu anaweza kutafsiri kwa kuwa anajua kusoma, ndio maana unaweza kushinda kesi yako Mahakama ya Wilaya kisha ukashindwa Mahakama kuu kisha ukaja kushinda tena mahakama ya Rufaa wakati wanasheria ni hao hao. Article 23 kuna watu wanapotosha tasfiri kwa makusudi mazima wanasema mkataba ni wa milele hata kama itatokea ukiukwaji, huu ni upotoshaji. Soma Sub Article 4 mbona mnakiruka hicho kipengele kwa makusudi ili mpotoshe watu.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanaweka pesa nyinginsana kwa hiyo kwenye kujihami na kulinda pesa zao wameweka kipengele kwamba mkataba haiwezi kuvunjwa na namna yoyote ile ila kwa kukaa mezani kwanza kwa kutumia kamati za pande zote mbili ikiahindikana itakwenda kwenye baraza la Usuluhisho na ikishindikana itakwenda kuamuliwa kwenye mahama South Africa, ukisoma Article 20 utayaona hayo.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Mnatafsiri Katiba kama magaidi wanavyotafsiri Quran, kwa makusudi mazima wanachukua aya moja wanatafsiri kisha wanaishia hapo wakati aya zinaendelea.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Жыл бұрын
Na uislamu sio suala suala ni uumini hivi ni vitu viwili tofauti
@nasibumohamed3096
@nasibumohamed3096 Жыл бұрын
Shekh umeongea realty uhalisia wa mambo ndo huo ila kuna watu wanajisahahu sana sana sana they.
@najmuddinkarama7360
@najmuddinkarama7360 Жыл бұрын
Sasa hii sijasikia hata Kimora Cha mkataba Anaongea nn huyu
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj Жыл бұрын
NGOJA TUKUACHE BWANA SHEHE UONGEE YA KWAKO UMALIZE, waislamu ni watu wa Amani! Acha kuleta upotofu Huna mvuto.AMEN
@samoramussa5336
@samoramussa5336 Жыл бұрын
Sijakuelewa haswa, mikataba ya bandari na udini hainiingii akilini, kwanza toka nazaliwa sijawahi kusikia serikali ikitaka maoni kwa watanzania juu yakuingia mikataba, hivi ndo uwekezaji wakwanza toka raisi wakwanza mpaka huyu wa sita? Shekhe minaona ungeomba watanzania msamaha kwani watanzania wanafikilia mali mapato yao yanayotaka kupotea, na bandari ya bagamoyo wewe unasema habari zingine ambazo hatufikilii kabisa, kwani hao warabu tanzania huo ndomradi wakwanza? Mpaka sasa wanamiliki vitu vingi, shekhe mpaka ajira mnataka usawa mnawaza udini tu, mimi naona sasa hata nshu ya bandari isimame tujalibu kuyatafakari maneno ya shekhe huyu, niajabu sana.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Sasa mbona alipo ongea askofu hujasema kwamba haiingii akilini museme nyie2
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Kwani Wewe Unaona ni Sahihi kuajiri KUNDI Moja watu Elfu 12 na KUNDI Jingine watu Elfu 3 ????
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Usawa unatakiwa sana ili nchi iwe na amani waislamu nchi hii zaidi ya asilimia zaidi ya 60
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Kwenye, Ajira hata wapagani mnawaesabu kwenye kundi la wa kristo. Shukuru Mungu kwamba Kuna waislamu wameajiriwa kumbuka waislamu wengi hawasomi shule haswa wasichana kwo jifunze kuchambua mambo kwa undani so kuongea kwa mihemuko.
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
Omukama, NITAKUJIBU Siku nyingine!.
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Shekhe ungenyamaza ingekuwa borasana unaleta swalaladini na maslahi yanchi unajishushia heshima Allah atupe mwisho mwema inshallah
@SaadHamdani-rh6om
@SaadHamdani-rh6om Жыл бұрын
Ungewazuia maaskofu kwanza
@mayumadwesse2711
@mayumadwesse2711 Жыл бұрын
Shekhe mi binafisi ni muislam lakini unapotosha
@africaonechannel1289
@africaonechannel1289 Жыл бұрын
KTK MAELEZO YA Sheikh ni Jambo gani kalisema hapo na Halina ukweli!?
@Werema3760
@Werema3760 Жыл бұрын
Kwa uwelewa huu mmmh! WaTanzania twazungumza uzalendo-Lengo la mkataba wew wazungumzia UDINI!😭
@abedishafii2054
@abedishafii2054 Жыл бұрын
Waambie ukweli
@arafalawvu6401
@arafalawvu6401 Жыл бұрын
Chuki na roho mbaya dhidi ya Rais Samia kisa dini yake. Waislamu mazuzu ndio hawajawastukia hawa viumbe. Na ataongoza vema kwa uwezo wa MwenyeziMungu InshaAllah.
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Жыл бұрын
Yaani nimesikiliza kwa makini sana lkn hamna kitu wewe unaongelea udini wakati cc tunaongelea kuhusu vipengele vilivyo wekwa kwenye mkataba, ila mkae mkijuwa cc wananchi siyo wajinga kiasi hicho, angalieni sana hivyo vipengele vya huu mkataba msikalie kutudanya cc wananchi, mimi nitaamini kiongozi atakae simama na wananchi na sio maslahi yake binafsi, ni mara ngapi tumekuwa tukimuunga mkono shehe Ponda ni kwa7bu alisimama kwenye haki, poleni sana kama mnafikili udini ndio chanzo cha haya yote.
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Жыл бұрын
Naomba majibu Ni nani mwanzilishi wa bandari ya Dar es salaam?
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
​@@omaryjumas6327mjerumani?
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
@@madetetv6576 Mjerumani kachukua eneo kwa nani ????
@khaliphagungayena223
@khaliphagungayena223 Жыл бұрын
Tumia akili ww
@RAJVII-fu7du
@RAJVII-fu7du Жыл бұрын
Sio udin udin umeanzia kanisan
@KigaziKibwe
@KigaziKibwe Жыл бұрын
👍🇹🇿
@francomkandawile8572
@francomkandawile8572 Жыл бұрын
Yani Shehee tumekushangaa sana, unajifanya kuwa unaongelea mkataba wa Bandari lkn lengo sio hilo bali ni kuleta uchochezi wa kidini, nadhani pengine ulikuwa unatafuta nafasi ya kuchomeka ukaamua uchomekee kwenye hili suala la mkataba wa bandari. Lkn nikuhakikishie shehee mtu yeyote anayejaribu kuleta suala la udini ndani basi ni dalili kuwa huyo ni mshamba na pengine hata elimu yake ichunguzwe. Tanzania tunakula ugali pamoja wakristo kwa waislamu full shangwe, udini wako peleka huko.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Duh akiongea shehe analeta uchochezi wa kidini. mbona walipo ongea askofu sisi hatujasema kwamba analeta uchochezi wa kidini mseme nyie2
@ngoni7944
@ngoni7944 Жыл бұрын
Huyu shehe ni mdini sana, wewe angalia mahubiri yake, yamejaa chuki sana juu ya wakristo. Moyo wake umejaa chuki sana.
@saidjumanne5024
@saidjumanne5024 Жыл бұрын
Tulia Leta hoja na si porojo
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
@@ngoni7944mapdre na maaskofu ni wadini,Tanzania basi tena kuamuliwa mambo yake na maaskofu
@hamisinalinga5201
@hamisinalinga5201 Жыл бұрын
Hapa chuki ni uislamu tu hakuna jambo lingine kwenye bandari wanajificha marekani taifa la kikafiri na pamoja ulaya kwenye makafiri Zaid wamejimilikisha rasilimali nyingi mbona hawasemi kwa vile makafiri wenzao Hawa akna mbowe na kundi lake wanatumwa na Amerika
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Sheikh Mziwanda Allahubarik
@dominopius3892
@dominopius3892 Жыл бұрын
MBONA WAKO WAISLAM PIA WANAPINGA !! ZITO , LIPUMBA , FATMA KARUME NK..... HAKUNA UDINI NDUGU YANGU TUSIGOMBANISHWE WATU WA DINI
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 Жыл бұрын
Shekh nimekuelewa vizuri uko sahihi
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Huyu sheikh inawezekana ni mTanganyika lkn yeye yupo tyr kizaz chake kiiishi kwenye Tanganyika ya hovyo kwa kujipendekeza kwa waarabu na wazanzbr
@emmanuelmasatu
@emmanuelmasatu Жыл бұрын
Sisi watu weusi tulisha laaniwa toka zamani kuwa tutakuwa watumwa wa watumwa. Haya yanajirudia tu. Hivikama si laana Unawezaje kumpa jilaniyako nduka lako akuuzie halafu wewe usubirie faida tu. Yaani inasikitisha sana watu wakisema eti ooh kwasababu ni uisilamu. Kwani waarabu hawawezi kutudhurumu.? Mbona walitufanya watumwa kwa miaka chunguzima tena wakatuuza kama kuku na kutuua kama mbwa au kipindi hicho hawakuwa Waislamu.? UISILAMU UNATUMIKA KUFICHA MAMBO YANAYO LALAMIKIWA NDANI YA MKATABA.😢😢😢😢😢
@muhamedali3902
@muhamedali3902 Жыл бұрын
Tatzo ni uislam na uzanzbar Wamesha mtukana sana rais namaneno ya kashfa lkn mwishowe wataona aibu wenyewe mana anachokfanya samia ni kwamaslah ya watanganyika na sio wazanzbar,
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Kuna nini hapa mbona sielewi. Mwenye uwelewa zaidi ktk jambo hili naomba anafahamishe mimi. Nimejitahidi kufaatilia sana na kusikiiza upande wa walalamikaji na mimi nilivutiwa na kama nilifumbuliwa macho na hao na ktk hoja zao. Wanahitaji sana kujua kipengele kimoja kimoja kuhusiana na huu mkataba iwekwe wazi. 1)Je sisi km watanzania tumeshwindwa kuongoza bandari zetu? 2)kwa nini iwe bandari za tanganyika tu za zanzibar sio mali za Tanzania? 3)Je mkata huo tunaongia utachukua mda gani? 4)Je mkataba huo utatufaidisha nini watanzania. 5)Je tumeweza changanua faida na hasara zake? 6)Je tumechanganua salama na hatari zake? Na kaza wa kaza. ##Nachojiuliza kwa nn nakosa maana ya kujibiwa hoja za wanazotoa wapingaji. Hatima yake sijawahi pata maana hasa hata maneno ya shekhe juu ya hili nimeyasikia lakini hayajagusa kiu yangu ya kutaka kulijua hili limekaaje . Wengi huwa majibu yao ya hivyohivyo tu wengine hutumia nguvu,kutisha,kuzibisha midomo wenzao. Tunaumia mioyo. Wengine inafikia hatua wanakosea hekima ya maneno sahihi ktk kuzungumzia hilo mpaka inafikia hatua inaonekana wanaingiza ukabila na udini sio matakwa yao wanakosa amani ya akili zao. Muungwana akivuliwa nguo uchutama naomba mulipie tena hilo kama mutakili mumekosea sio vibaya kujilekebisha na kulekebisha hilo. Kama mutaliona sahihi basi muanzishe kampeni ya kuteelewesha kipengele kwa kipengele ili mutushibishe nafsi zetu Tanzania kwa ujumla. Mungu Ibaraki Tanzania Dumisha hekima,upendo na amani.
@AdamArabi-lo9yo
@AdamArabi-lo9yo Жыл бұрын
vzr sana shekhee umewapa ukweli wao waache udini mbona mkapa alibinafsisha kila kitu awakupiga kelele
@mwinyihajikumbao1705
@mwinyihajikumbao1705 Жыл бұрын
Live pasuka mzee🌹🌹🌹
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
Tatizo ni Waarabu na Uislamu...!!!
@abdulhussein7774
@abdulhussein7774 Жыл бұрын
Shekh utachafua hali ya hewa.swala hili.unapoingiza.udini watanzania sisi ni wamoja huo mkataba upo kwa.maslahi ya watu wachache sio kwa watanzania milion 60
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 Жыл бұрын
@@abdulhussein7774 Unaweza kufafanua kauli yako?
@piusmalley1484
@piusmalley1484 Жыл бұрын
Shehe, kwa hiyo unawatetea Dp world kwa sababu ni waislamu? Uwezo!!!!!!!!!pole
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Жыл бұрын
Fatma karume .., Ibrahim Lipumba ,Zito kabwr je wote wanapinga Uislam..Suala sio Dini hoja ya Msingi zijibiwe mkataba una miaka mingapi.. Mkataba una faida Gani kwetu?
@a.856
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@zainabushaaban8185
@zainabushaaban8185 Жыл бұрын
Shekhe mziwanda upo sahihi sana, , , tarehe 14 mpaka tarehe 21 mwezi wa 5 2023, maaskofu wa majimbo yote tz wameitwa VATCAN italia, lakini wanasema ni ziara ya kutume, , mwezi huu wa 6, mwenyekiti mbowe, lisu, na katibu, wote walikuwepo itali, , sasa ukitazama kwa macho ya mbali, , utaona kunakitu, 25
@GreysonMheni-ln9rm
@GreysonMheni-ln9rm Жыл бұрын
Yaan wanahabari mmekaa mnamsikiliza huyu jamaa 🤣🤣🤣🤣
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Pamoja na wewe umekaa ukimsikiliza huku ikikuchoma Kwa maneno ya ukweli😂
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
USHAURI BINAFSI WA KARDINALI PENGO KUHUSU UWEKEZAJI BANDARINI..
4:53
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 36 М.