RADDI KWA MSHAMBA WA KIJADIDA ABU RUDUUD KUHUSU NENO HADHAYAAN || Muhammad Bachu

  Рет қаралды 12,336

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 516
@UmarSaid-c8k
@UmarSaid-c8k 2 ай бұрын
Yan hapa naona mambo yako wazi ...hapa anaeleza kisawa ya kwamba haya n mambo wawil kitendo na mtenda kwa lugha rahis mashaAllah Mohammed bachu
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 2 ай бұрын
Ya Allah Subhaanahu Wataala Mlinde mja wako Muhammad Bachoo na shari na hasadi zote za majini na watu. . Mjaalie afya njema..hikma..busara Na mfanyie wepesi rizk zake zote Mjaalie yeye na familia yake na wazee wake pepo ya darja ya juu kabisaa Amin amin amin amin amin
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 2 ай бұрын
mashaAllah m.bachu tuko nyuma yako kwa haki na dalili, pia hao majadida walete hoja za vitabu kama ww.
@cammackmarck
@cammackmarck 2 ай бұрын
Allah akubariki sheikh kila mtu anapokusikiliza anapata faida ya elm masha'allah
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
A.Aleikum Uzuri wa M.Bachu azungumzi tu bila ya evidence kutoka kwa wana wa zuoni ukipinga na kushindana basi unaeza jikuta ulikula nyama zenye sumu mbaya bila ya kujijua. Napenda nimpe jina la Kizungu tumuite MR EVIDENCE. M.Bachu AkA MR EVIDENCE.
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 2 ай бұрын
Hata mm binafsi nampenda kwa hilo,anenda deep,anajua kujenga na kupangua hoja kielimu
@SleumuAbdallah
@SleumuAbdallah 2 ай бұрын
Ila hapa shk wetu ametubwaga haya mambo madogo yanamshida Xmas wali haya y kuuliza
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akulipe kila la kheri InshaAllah
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 2 ай бұрын
Wallah najisikia Raha sana majadida wanavvyoumbuka Allah akuhifadhi Sheikh langu mtoto wa sheikh wangu kipenzi nassor bachu Allah Amrehemu na ampe Pepo ya firdaus Allahumma Amiin
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 2 ай бұрын
Huyu kijana mnamtanguliza lakini aliwatia aibu alivyo kutana na saidi Mpaka aka ....... Kwenye kiti
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
@@ramadhanmbwana5718 Huo ni mtizamo wako wala sisi hatuna shida na mtazamo wako InshaAllah.
@khalidabdallah9975
@khalidabdallah9975 2 ай бұрын
Wa LILLAAH Lhamdu nafuatilia kwa kariba sana hii mijadala ALLWAAH akuwafikishe kijana
@AminaAbdallahAminaAbdallah
@AminaAbdallahAminaAbdallah 2 ай бұрын
​@@iddimutua420hata sisi hatuna shida na mtazamo wako lkn mnapenda ushindani na kutenganisha umma
@SleumuAbdallah
@SleumuAbdallah 2 ай бұрын
We huoni shk bachu hapa amejikoroga
@AbuuKiweru
@AbuuKiweru 2 ай бұрын
Sheh bach mashallah kam hatokuelewa nawanafuzi wake nikumaaanish wako nakibri hao wato wanaojiita masalafi . Mm mpka sasa nimeelewa uqweli uko wapi
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 2 ай бұрын
POPO ULIPO SHEIKHE WANGU NAOMBA UKILUDI TENA KUMJIBU NAOMBA. UTUKUSANYIE RUDUDI ZAO ZAMATUSI TUONE KWELI WAO HAWATUKANI MAANA JAMAA KAKWEPA MASWALI KAKIMBILIA KWENYE MATUSI
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 2 ай бұрын
Shaykh Muhammad imetosha Achana na radd za aina hii .. Radd za kutaka kumtia adabu mtu kwa dhati yake,achana na kutaka intiswaar ya nafsi, pupia ktk kutafuta intiswaar ya haki, Hiv huoni kua unatoka kwenye mstari kwa kujibizana na mtu ktk masuala ya kutaka kuonekana tu yupi anajua zaid? Nadhani imetosha, acha hili jambo lipite , wala usijibu tena kuhusiana na hii kadhia , nae Abaa ruduud hafidhwahullah ausaidie ummah kwa kujibu masuala yanayo muhusu imaam suyyutwi hata kama sie yy aliefany niqash na ww mwanz. Kwa kua yy ni Mwanachuoni na yuko mlengo wa Abul Abbas ..basi na atusaidie sisi watu wa kawaida وما تواضع أحد لله إلا رفعه الله
@ibrahimsaid5538
@ibrahimsaid5538 2 ай бұрын
كلام يكتب بماء الذهب maneno ni mazur hataka kama mzungmzaji huenda hauko kwenye salafyyah lakn unabusara ambayo ukiutumia ktk kufuata haq kwa uadlifu nadhna allah atakufahamisha
@IssaNankalaga
@IssaNankalaga 2 ай бұрын
Laiti muhamadi bachu angekuwa anazisoma comety hizi nami naungana nawewe kwa kauli yko huyu hanalengo kufaidisha ummah yupo katka kujitambulisha kua yeye anaelimu kias gani sasa mwache apiteèe
@MASOUD-e3i
@MASOUD-e3i 2 ай бұрын
Maasha Allah safi sana Sheikh Bachu muelimishe Abuu ruduud ni Mshamba sana yule
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf 2 ай бұрын
Bacho yupo sahihi wallah.kwasababu kama ulisoma lugha kidogo unajua مترادفات mfano والسماحة والكرم
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Hem kuwa na Subra usiwe na pupa
@shaabanmanase6351
@shaabanmanase6351 2 ай бұрын
Maasha ALLAH faidisha ummah Sheikh
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 2 ай бұрын
Ustadh Bachu katika hili unawakomesha mahawabiy wanzako na in sha Allah Kila utakopozidi kusoma Bachu nakwambia hututhubutu kutukana wanachuoni
@RamadhanHamad-s3w
@RamadhanHamad-s3w 2 ай бұрын
Allah akuongoze bachu
@IbniMohdAli
@IbniMohdAli 2 ай бұрын
Enyi! Mnojiita mashehe ( Bachu na Rudud) pamoja na wafuas wenu Mcheni Allah! Kwani hicho mnachokifanya ss hakiko ktk dini ispokua mnafanya mzaha tu ktk dini! Na mkitaka kujua ilo zipimen kauli zenu ktk mazungumzo yenu na tizamen coment za wafuas wenu! Mtaliona ilo!! Allah atuongoze tuondokane na huu ujuaji ulopitliza! Amin
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 2 ай бұрын
Usiwe mshamba Kuburuzwa pasi na elimu Mche mola wako. Epuka kuburuzwa Kwamba liwalo na liwe
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 ай бұрын
kwakweli uneongea point
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب 2 ай бұрын
Akhy Muhammad unaweza kuchambua mambo Allah akufungulie zaidi
@MansourIssa-d1c
@MansourIssa-d1c 2 ай бұрын
Mm shekh bachu nakupenda sana sema jitahid rad ziwe kwaajili allah siyo kujionesha
@yussuftwaha2924
@yussuftwaha2924 2 ай бұрын
Dah kila nikifikiri Muhammad bachu natoa ushahidi kutoka kwa Shia Mkubwa Dr. Twaha Muhammad
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 2 ай бұрын
Elimu akisema ukweli hata kafir inachukuliwa
@AbuuSaad-e3i
@AbuuSaad-e3i 2 ай бұрын
Vp bachu (bichwa) nakuona hivi sasa unatumia neno hadhayan. vzr sana baada ya kuelimishwa sasa siusema allah amenidhalilisha
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 ай бұрын
Msibitishieni ilo jambo lake ili akiri kua m/mungu amemzalilisha
@Bamatraf-gn5js
@Bamatraf-gn5js 2 ай бұрын
Shk Muhammad Bachu, lugha za madaì ni za haiba , usikubali kumfuata shaytani kuiga usulubu wengime katika usulubu. Watu wa sunnah tunatakiwa kushikamana na kujadiliana kwa ubora wa hali ya juu sana, hilo ndilo litakalotutofautisha na wengine.
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy 2 ай бұрын
Sheikh Mohammed bachu na mm nakuweka sawa hapo ulivosoma Alhamdulillah. Hutakiwa kusoma Alhamdu-lillah . Yaan hapo kwenye ddal ukafanya kama unasimama kwenye ddal alafu ukaendelea hayo ni makoso. Hutakiw kusimama hapo kwasabab hilo ni neno moja t na sio mawili. Kwaio jirekebishe sheikh
@aliybecka5169
@aliybecka5169 2 ай бұрын
Eeeeeh asante msomi, Alhamdulillah ni neno moja!!!!!!!!!!!!(الحمد لله) Bwana msomi asante kwa elimu tunafaidika sana kwa elimu yko lakini Alhamdulillah sio neno moja na wala sio kiswahili hicho ni neno la kiarabu lilijengwa kwa maneno mawili الحمد na لله
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 2 ай бұрын
​@@aliybecka5169duh! Radd mpka kwenye comment sasa
@Tandalesse
@Tandalesse 2 ай бұрын
Jibu kwanza maswali ya Sheikh Muhammad Bachu(rahimahuLLAH).
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 2 ай бұрын
MAASHAA ALLAH sheikh ALLAH akuhifadhi majedida. Wameshikwa na muhaho saahi
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Shekhe Muhammad Maashaa Allaah, kuna kitu umebarikiwa na Allaah, na namuomba Allaah akuzidishie kitu hiki, na vyengine pia. Kuna kitu napenda mukielewe ndugu zangu, masalafi wote au masufi wote wakija hewani na kudai kumraddi Shekh Muhammad, wanayo yasema hayaeleweki, nawala hayawezi kaa juu ya yale anayo yajadili Shekh Muhammad, ivi mwalijua hili? Sbb yakua hivi, nimezingatia tangu mwanzo wa ruduud ziliko anzia, nikagundua Shekh Muhammad Allaah amuhifadhi bayana anazo zitoa kwenye mizozo hii zina kubalika kiakili na kihoja, na pale anapo teleza kama binadamu hua hajikusanyii makosa, ambayo ni miongoni mwa mambo yanayo wafanya watu wamjue mtu fulani kwenye hii mizozo anakusudia haqqi, na mwengine anatafuta kiki, na mwengine lengo lake ni kumuangusha Shekh Muhammad!!! Sasa hawa masalafia jadida ndugu zetu, kwanza wanakesi kubwa ya maswali sita, ambayo hakuna majibu yenye kueleweka na kutosheleza hadi sasa, na jambo hili limeleta muamko mwengine mpya kuhusu kuwafahamu majadida na tabia zao mbaya, na namna wanavyo zitumia kauli za maualamaa vibaya ktk kuwahukumu watu. Cha kushangaza Soloka anasema majibu yake kwa Shekh Muhammad Bachu yameleta tija😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!! Sasa kovu hii haija pona, kajitokeza abuu hadhayaan, nae kaja kivyake sana, sasa tukimuangalia alivyo anza, majigambo yake, ushamba wake anao udhihirisha mbele za watu, na namna anavyo tumia muda mrefu kujadili vitu ambavyo watu hawana shida na vitu hivyo, eti ufunguo keshapoteza....... Mbona tunaona kitu kinacho dhihiri, ni kuwatoa watu kwenye pwent za maswali 6, na kuwasahaulisha, kanakwamba hakuja tokea chochote. Kitu chapili, ni kutaka kumchafua na kumtia sura mbaya Shekh Muhammad Bachu, Allaah amhifadhi na amlinde na kila shari, za masufi, majadida............ Sasa swali moja ewe unae fatilia huu mzozo, baina ya Shekh Muhammad na Majadida, hiki anacho kifanya abuu hadhayaan, kina kufaidisha nini? Na jee yale maswali sita, yameenda wapi? Najee masalafi wame nasuka kwenye mtego wa yale maswali, au ndiokwanza wamejitia kwenye tope, na kuwafanya watu wazidi kuwajua kua ni waharibifu wa Da'wa, na hawana majibu toshelezi kwa maswali na hona za Shekh Muhammad Bachu?
@mohamedsaid1804
@mohamedsaid1804 2 ай бұрын
Hawaelewi watu kama ww . Waliopita darasani japo kidogo wanaelewa namna jamaa yenu anavyodhalilika
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
@@mohamedsaid1804 Ndio hivi tunamuona anadhalilika. Sasa mimi nawewe sijui nani hajapita darasani? Hahahahahahahahahaha. Majadida nafasi ya watu wa bidaa mumeichukua nyinyi siku hizi, mnaenda tu, hamjitambuwi. Hebu njooni mezani tujadili mambo yalio wafanya muonekane wabaya, na wachafuzi kwa mambo hayo. Khalafu tuone alie dhalilika ni nani, kati ya Shekh Muhammad Bachu na huyo alie na ubavu wa kukaa mezani na Shekh Muhammad kwa lengo la kujinasua na kuthibitisha usahihi wa manhaji munayo kwenda nayo. Tuone mkweli na muongo
@njchanpaknet4284
@njchanpaknet4284 2 ай бұрын
Fupisha kidogo comment!
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila 2 ай бұрын
akhy bachu hii lugha unayoitumia inakurud mwenyewe
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
Nakushauri sh Muhammad, hawa kina abuu rudud wapuuze tuu, wanatafuta umaarufu hao.
@UsseneChimbalambala-wp3sm
@UsseneChimbalambala-wp3sm 2 ай бұрын
Jovem Muhammad avança esta num caminho certo
@UsseneChimbalambala-wp3sm
@UsseneChimbalambala-wp3sm 2 ай бұрын
Mas força Jovem
@Haji-yt8hm
@Haji-yt8hm 2 ай бұрын
Mnapoteza muda mwingi kugombana maskini waislamu mashehe uchwara mashehe comedy bachu na wezako hamna kazi za kufanya
@AbuuatkaArshad
@AbuuatkaArshad 2 ай бұрын
Sheikh mche Allah usiwape sifa zao kama mjinga au mshamba au nyengine waite akhy tu maana funguo washautupa watafunja mlango tutakosa elimu
@Idri683
@Idri683 2 ай бұрын
Shehk Bachu nilikua nikifurahia wakat unaelezea Kuhusu Imam Suyutwi Rahimahullah alyhim ulikua unatoa hoja zakielmu lakin saa hii sipati kitu kabisa .
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 2 ай бұрын
إن كلام هذا لمن الهذيان. وهذا من شروطه أن من ينقل عن شخص كلام فلا بد أن ينقل كلام شاملا وهذا أصل جديد اخترعه هذا الحدادي إلى جانب اصول الحدادية
@tztanzania2262
@tztanzania2262 2 ай бұрын
Taaliyq no8 is loading😢 waislam tusomeshe mambo ya faida tusishndane ktk yasiyonafaida
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila 2 ай бұрын
haahaaaa ngoja ataumbuka tena na hiz sukun zake
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Tunasubiria taarabu zake huyo limbukeni fadhli Abdi
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila 2 ай бұрын
itafahamika muda si mrefu haaaahaa
@salumtakao9828
@salumtakao9828 2 ай бұрын
Mashallah . Ninyooshee mtu shekh muhammad. Hatoki mtu apaaa
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 ай бұрын
ila shekh Muhammad bachu ni mjanja sana MAASHALLAH, yaani kama anajadiliana na mtu anatanguliza silaha ndogo ndogo kwanza ili mtu aingie kichwa kichwa, alafu anamlipuwa kwa Bomu la nyuklia, huwa anamtega mtu kwanza amalize silaha zake alafu ndo yeye anakuja upyaa😂😂😂
@seydouside4081
@seydouside4081 2 ай бұрын
Bachu dj kahalalisha muziki ..na kudai hata qran ni nyimbo pia ..tunaomba shekh usimbomoe msukimize mtoni
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 2 ай бұрын
Muhammad bachu kuwa mwadilifu mara yakwanza ulisema hili neno halipo na wala hujatuambia kwamba wanawazuon wamekhitilafiana mbona unatuchanganya ss tunasoma kuptia mijadala ynu Mara yakwanza ulisema pasomeke Alhadhiyaan haya ulitakiwa uyaseme katika kile kikao chako chakwanza kabisa kuhusu neno hill mbona unajigonga mwalimu wangu
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 ай бұрын
Hujamfahamu sheikh mwanzoni alikosea kulitamka badala ya kueka fat'ha aliweka sukuni alivo rekebishwa akakiri kua amekosea ila kesi yake iko pale pale neno hadhayani sio mropokaji kwaio anataka kujibiwa
@FAROUKMOHAMEDI-v2i
@FAROUKMOHAMEDI-v2i 2 ай бұрын
@@jumamahmoud9271 ahaa sawa akhy baaraka llaah laka
@عثمانصديق-ظ4ظ
@عثمانصديق-ظ4ظ 2 ай бұрын
Bado unazidi kuaibika, kwasabb neno likiwa ktk masdwar yafaa iutagsiriwa kama ismu fail mfno vitabu vya jarhu na taadiil utakuta wanasema ,,: فلان عدْل fulani ni mwadilifu na hali ya kuwa neno عدَل ismu fail yqke ni عادل Vile vile : فلان عدل ثقة ثبت Mbona unavimbisha misuli na kutupotezea MB zetu
@Daawa-l8s
@Daawa-l8s 2 ай бұрын
Kashirikiane nae mjibu pamoja.
@IbraahJuma-dl2rd
@IbraahJuma-dl2rd Ай бұрын
😂😂😂😂..
@KilamiMussa
@KilamiMussa 2 ай бұрын
Jaman Muhammad Bachu mbona kuitana washamba tena jaman
@mijanoally3747
@mijanoally3747 2 ай бұрын
Mashallah ustadhi uko vizur
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 2 ай бұрын
Muhammad nasoro bachu wenimwalim waukweli
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 2 ай бұрын
Sheikh Bachu Achana Nae Huyo Jamaa Atakupotezea Mda
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Hapan nd utajifunza mengi ambayo ulikua huyajui ktk dini
@abdulkarimkheri8105
@abdulkarimkheri8105 2 ай бұрын
Assalamu alaykum mbona huyu anafanya mambo kinyume nyume si umeshathibitishiwa na ukakubali kuwa umekosea na ukaleta makosa ya abuu ruduud katika Quran sasa unakuja tena kwenye neno hahahaa subhanallah
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 2 ай бұрын
Wengine sisi ndio tulio wasimamia na kuwahimiza waende nje wakasome, na michango tukaisimamia sisi, ili ipatikane gharama ya nauli, na mahitaji yakule waendako, na nafasi tukawatengenezea, na wakafanikiwa kwenda nje kusoma, wengine hivi naandika comenti hii wakipita tulipo wanajiskia aibu kwa mema tulio wafanyia na kilipo wanacho tulipa.......
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 2 ай бұрын
Huruma kwa watuwasunna inahitajika husda tueke pembeni Allah atuongoze amin
@MuslimKilalo
@MuslimKilalo 2 ай бұрын
Mawahab wameshindwa na masuf sahz wao kwa wao wanatakulana kaz munayoo mawahab kaz kwenu
@ridhwanhamaad90
@ridhwanhamaad90 2 ай бұрын
Mashehe munapoteza watu zungumzeni mambo ya maana kama kulingania uslamu uhuku katika maisha yetu leo mwabishana kwenye mambo yaliokuwa hayana msingi wwte
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 2 ай бұрын
Kama halina maaan kwako kwa wengine ndugu yana maaan yanayozumziwa hapo ni mambo ya elimu ukitak mawaidha msikilize Sheikh Nurdin huku hakukufai
@bacteria5184
@bacteria5184 2 ай бұрын
Akarekebishe kile kijikitabu chake alaf shee bachu rudi kwa mwalimu wake humeid delele
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
Shaykh wachana na haya mambo bhaas, mpaka najisikia vibaya. Tufanye imetosha. 😢
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 2 ай бұрын
Elim imekutosha ?
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
@@ابومعاذاحمدناصر Si hivo, tizama mpaka anavoongea kwa hasira hali ya kuwa clips za nyuma hakuwa hivo sas km ni hivo si aendelee na mengine tu asifanye tena ushindani, anachoshwa na bado tunamhitajia kwa mengi Shaykh
@AbuFawzaanAlly
@AbuFawzaanAlly 2 ай бұрын
Siku hizi unalitamka vizuri baada ya kufundishwa na Sheikh Abuu Ruduud
@MerryMushi-c6w
@MerryMushi-c6w 2 ай бұрын
😂😂😂 hatar kweli ukizungumzia kitu ambacho huna fani nacho utazua maajabu bachu kuzua majab na kajidhalilisha
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex 2 ай бұрын
Vp? Abuu rudud kasharud kwa mwalimu wake wa qur an kusoma tena baada ya kusomeshwa na bachu
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex 2 ай бұрын
​@@MerryMushi-c6w yaan kihere here chenu utazani na nyinyi ni kina bachu na abuu rudud kwenye Elim kumbe watupuuuuuu lugha ya kiarabu humujui
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 2 ай бұрын
Bachu auliza tena swali ilihali ile radd alomkosoa Abuu Ruduud kuhusiana na kitabu chake alijibiwa kwamba hakuna makosa yoyote kwenye hicho kitabu 😁 na Bachu amepokea hilo jawabu na kulinyamazia. Bachu alomkosoa Abuu Ruduud kuhusiana na kisomo cha Qur'aan na kumwambia kwamba kukosea Qur'aan kimatamshi ni kumzulia Allaah uongo 😳. Abuu Ruduud akamjibu Bachu kwa njia ya swali kwamba Je kukosea Qur'aan kimatamshi ni kumzulia Allaah uongo ❓ Bachu amepokea swali hilo na kulinyamazia kimya
@abuumuhammad8714
@abuumuhammad8714 2 ай бұрын
​@@SugowFarah-up3dbwafuasi wa bachu hawayaoni hayo
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 2 ай бұрын
Mtu ana diploma halafu anasema lugha imelala , yaani hawa watu waliosoma fani za dini kwenye vyuo baadhi yao wanaona wasiosoma kwenye vyuo hawana elimu.
@aninanichasi422
@aninanichasi422 2 ай бұрын
قال عليه الصلاة والسلام سباب المسلم فسوق الحديث
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 2 ай бұрын
Haina haja ya ruddhud hizo, hazina faida
@abasishayo3232
@abasishayo3232 2 ай бұрын
🎉🎉Naaam hapo tumekupata vizuuri Sheikh na kila mwenye akili zake timam atakuelewa ispokua watu wa matamanio hawatakuelewa kwani akili zao wamewakabidhi watu wa matamanio....
@NuryaMusa
@NuryaMusa 2 ай бұрын
@@abasishayo3232 ndiyo maan nabakia. Kusema. Hizbu salafi na masufi. Ni. Ndugu. Ususani kwenye. Kuwapenda mashekh zao. Wamekaribia. Kuwaabudu siumeona wakishindwa. Hojja. Na shekh bachu. ALLAH mtukufu amuhifadh.wanavyodai. Ety. Alishindwa na masufi. Màsufi na majadidah maswaafiqah mahadadiyah ni NDuGu
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 2 ай бұрын
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 2 ай бұрын
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
@seifllahmahmoud2107
@seifllahmahmoud2107 2 ай бұрын
Mashallah Mungu akuzidishie
@AyoubYussuf
@AyoubYussuf 2 ай бұрын
Mashaallah allah akuhifadh
@AmaniKepa-b7s
@AmaniKepa-b7s 2 ай бұрын
Umenyooshwa alhamdulillah na utapotea inshallah maana hukusudii dini
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
Ww haujafahamu hapo?
@FatumaJuma-g7l
@FatumaJuma-g7l 2 ай бұрын
Muhammad bachu mche Allah
@ndikumanaali4597
@ndikumanaali4597 2 ай бұрын
Huyu bachu hafai kusikikizwa nimtovu wa adabu
@abouuwaysrajab8579
@abouuwaysrajab8579 2 ай бұрын
huyu dogo kwenye lugha sio mbaya kama mnavo zania taratibuni atawaumbua ...
@Tandalesse
@Tandalesse 2 ай бұрын
Dogo yupi huyo?.
@SleumuAbdallah
@SleumuAbdallah 2 ай бұрын
Alafu tuanza kupata shaka na elimu yako shk bachu. uyo kijana unae muuliza maswali inaonekana ni msomi zingatia kabla y kuulza
@amadeomarsaide5023
@amadeomarsaide5023 2 ай бұрын
MIMI KWA USHAURI WANGU,UBADILISHE LUGHA. PILI: RUDI KWENYE MADA ILI TUFAIDIKE,KWELI INAONEKANA WANAKA KUKUTOWA KWENYE LINE ILI WAPATE KUCHIMOKA.
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 2 ай бұрын
نسأل الله التوفيق والسداد ❤
@ibnkhalid-mh2rb
@ibnkhalid-mh2rb 2 ай бұрын
Allaah akuongoze...
@hudhaifahsadru-xr2gg
@hudhaifahsadru-xr2gg 2 ай бұрын
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH, NDUGU ZANGUNI POKEA MANENO YA MTUME YAMANISHAYO " VITU VIWILI VITAWAPELEKA SANA WATU MOTONI ULIMI NA UTUPU" Hivyo tuchunge kauli zetu kutoa koment bila kutafakar maneno, huenda baadhi wakasengenya, wakatukana, wakachupa mipaka, kingine tuipende zaidi dini kuliko mashekh, mf ikitokea wewe ni mshabiki wa shekh fulan, akikosea tena ametamka neno lisilofaa bado unampongeza, hapo ichunguze vizuri iman yako, DINI IPENDEZE ZAIDI KWETU KULIKO MASHEKH.
@ibrahimsaid5538
@ibrahimsaid5538 2 ай бұрын
baarakallah fiik..
@AbuusuhailSuhail
@AbuusuhailSuhail 2 ай бұрын
Jamaaa anahama mada mbona unajigonga gonga ewe Bachu
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p 2 ай бұрын
Mada kuu ni hadhayaani au ww unasikilizia wapi
@MauroZaratte-r4r
@MauroZaratte-r4r 2 ай бұрын
Kikojozi duu😮😮bdo hujakoma
@ismailmakame7183
@ismailmakame7183 2 ай бұрын
Asalamualaikum atazungumzishwa mtu kwamujibu walugha yake anayofahamu wala hadhulumiwi ajetena kujitetea namatusiyake Allah amuhifadhi
@SleumuAbdallah
@SleumuAbdallah 2 ай бұрын
Shk maswali mengine usiulize unajidogesha
@wisemanwise3115
@wisemanwise3115 2 ай бұрын
Ninacho mpenda abuu rud leo hiii tunaijibu hatulazi damu
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 ай бұрын
wewe ndo unaemba kichwa😅😅 avurungwe MWENZIO naona anarusha maweee abuuu rududi kama kachanganyikiwa😅
@ahmednnaina451
@ahmednnaina451 2 ай бұрын
Ukishindana na mtu anaesema damu rangi yake ni blue usitumie nguv kumuaminisha kuwa rangi ya damu ni nyekundu kwasababu wew ndo utaonekana chizi
@AbubakarMuqaddam-f2r
@AbubakarMuqaddam-f2r 2 ай бұрын
Huna jpya bachu huelewwki kbsaaa nlkua shbikiwako sana ila kwa sasa ww nmropokaji2
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 ай бұрын
Wala sheikh bachu hataki washabiki bali anatoa elimu kwa kutafuta radhi za Allah na wewe ukitaka fuata hutaki wacha hujalazimishwa na m/mungu anasema hakuna kulazimishana ktk dini kwaio akili kichwani mwako ima ufuate au uache.
@HassanMohammed-x4s
@HassanMohammed-x4s 2 ай бұрын
Hiyo mijadalaa haitusaidii cc maamuma tufundisheni mambo ya msingi
@HamkingCompanyLimited2023
@HamkingCompanyLimited2023 2 ай бұрын
Wallahi umefilisika' Wafuasi wako unawayumbisha' Wabak na lipi sasa?! Umetarajaa au bado unaendelea kutunisha mishipa kwenye neno hlo ambalo ulikiri umekosea' Mche Allah ndugu' Unadhidi kujidhalilisha
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 ай бұрын
tulia jadida mwambie kasimu atarajaaa na kiburi chake mdiko yulw
@jumannemwaye4060
@jumannemwaye4060 2 ай бұрын
Tatizo Abuu Ruduud hataki yaishe, yeye kila siku anatoa Epson au series, lakin pia Bachu alikili kukosea katika fat ha akaweka sukuun
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 ай бұрын
Kwan Kumcha Allah kwa bachu tu chi kweli wew
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 2 ай бұрын
Huyu mtoto wa bacho kweli ana wanafunzi anao wasomesha dini huyuu kwasababu yeye mwenyewe anatakiwa kwenda japo pongwe akaijifunze maana madina kashaitamani sana ila ipo mbali nayee
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 ай бұрын
ki ukweli shekh BACHU watu wanamuelewa na wanamfatilia, tazama video imetumwa masaa 9 tu mimi naangalia hapa, imesha tazamwa na kufuatikiwa na viewers zaidi ya 3000 MAASHALLAH.
@KilamiMussa
@KilamiMussa 2 ай бұрын
Haki haipimwi kwa uwingi wa watu. Mimi namsikiliza kisha nakuja kumsikiliza huyu ili nijue nan yupo Sawa kwahyo mambo hayapimwi hivyo
@maulidimuhani
@maulidimuhani 2 ай бұрын
hiki ni kipimo Cha kujua nani anapuuzwa na nani mwenye anaeongea VYA maana. kubali kataa ukweli ndo huo
@AllyMisimbo
@AllyMisimbo 2 ай бұрын
Nilichogundua Muhammad bachu hakuna kitu
@zaharanituwano6615
@zaharanituwano6615 2 ай бұрын
Wah! Bachu hapa kapaniki😂😂😂😂
@RajabuKwangaya-c7g
@RajabuKwangaya-c7g 2 ай бұрын
ungelijua ilo kama ikhtilafu ipo usinvekua wapga kelele na ww ungekaa kimya ungeheshimu misimamo Yao maana wamchukua kwa wanawazuoni
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 2 ай бұрын
يا أيهاالذين آمنوا لمتقولون مالا تفعلون كبر مقتا عند الله ما لا تفعلون
@MohamedSalim-cm9ih
@MohamedSalim-cm9ih 2 ай бұрын
Alafu sheikh ao wengine wananataka kutoa watu katika mada tu... Kada hao.. Muhammad maafuta bwana kada.. Hatujasahau pia..
@sadiki6576
@sadiki6576 2 ай бұрын
Kaka si ulishakubali umekosea , mbona hueleweki sasa sheikh
@JumaAbeid-y5p
@JumaAbeid-y5p 2 ай бұрын
Kakosea haraka Yani kaondosha fat'ha kaweka sukuni ila kesi ya maana IPO pale pale
@Abuuhuisma
@Abuuhuisma 2 ай бұрын
Mbona bachu unatoa hoja ya wazi lakini wao wao awatoi dalili ya jambo ? Hii inaashiria awana haqqi
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 ай бұрын
Mumewashambulia sana waislamu wenzenu munao waona kua sio masalafi, Sasahivi munatafunana nyinyi kwa nyinyi, Hii inaonesha kua nyinyi kweli si kundi la kufaulu kama munavyojiita kua فرقة الناجیة , Bali nyinyi ni kundi la FITNA NA FARAKA KTK UMMA, jichunguzeni vzr, musitumike vibaya sana ndugu zangu muojiita masalafi jadidi.
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg 2 ай бұрын
Usijifaraji kuona watu wasuna wanawekana sawa baadhi ya maeneo ...kama ww ni mpiga nai na kusoma hitma jua upo ktk upotevu badilika achana na hayo mambo
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 2 ай бұрын
@@MohammedBakari-pn9yg Yaan kwa staili yenu hii ya kujiona nyinyi ndio mupo ktk njia sahihi na wengine wapo ktk upotevu, huko teyari nikuferi ndugu, kwan allah anasema فلا تزقوا أنفسکم هو إعلم بمن اتقی , kibali cha kua nyinyi mumeongoka na wengine wamepotea kibali hiko kakupen nan ? jiangalien huo sio usulubi wa dini sahihi ya mtume ﷺ bali hilo ni genge maalumu, na tunawajua walio nyuma ya kikundi hiko, Sema nyinyi wengine munafuata mkumbo t hamuelew kinachoendelea poleni sana, ila wakubwa zenu hao wanaelewa sana t na mwisho wa mwezi bahasha wanavita kutoka nje huko kwa wafadhili wa hilo genge lao walilo liasisi.
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 2 ай бұрын
​@@MohammedBakari-pn9ygUsimtie mwenzako katika upotovu...Sheikh Ibnu Tammiya kasomewa khitma baada ya kifo chake vp na yeye mpotovu?
@KilamiMussa
@KilamiMussa 2 ай бұрын
Wewe huna ujualo chukua email hiyo nikufunze inshaallaah
@yaasirimuhudi1664
@yaasirimuhudi1664 2 ай бұрын
أنطقك الله الذي أنطق كل شيئ Hapo wewe mwenyewe unasema wanachuoni wa lugha baadhi wamepinga ikiwa na maana wapo waliokubali Sasa mbn unalazimisha wao wafuate msimamo wako kama hali iko hivyo au waliopinga ndio wakweli kuliko waliokubali maneno yako yana mgongano akhy mara useme aache ushamba asikulazimishe msimamo wewe unamashike kwani wao hawakuwa na mashiko ya kwako ndio mashiko ya kwao sio mashiko kitendo cha kusema أنكر بعضهم Kingefanya tu kufunga mdomo العهد الذهني Pia iko hivyo hivyoo Tunaona unavyotoka jasho mufti wa Zanzibar allahu akuongoze ktk haqqi
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 2 ай бұрын
Yani analazimisha maneno ya wanachuoni yamsapoti Kumbe yeye ndio mgonjwa وكم من عايب قولا صحيحا وآفته من الفهم السقيم
@adamomarchannel5101
@adamomarchannel5101 2 ай бұрын
إلا إذا كانا من لغتين مختلفتين Sasa si hadayan inaweza chukua maana ya mropokaji kwa sababu ziko kwa lugha tufauti
@ahmednnaina451
@ahmednnaina451 2 ай бұрын
Hata akijibu usimjibu tena tumeshachoshwa wallah
@fatmasalim7132
@fatmasalim7132 2 ай бұрын
Hakika Wallahi! Huu si uadilifu acheni haya mambo ya kusutana na kunyoosheana vidole! Tusomesheni yale ya muhimu kuliko huku kusutana haifai jamani! Kila binaadam ana makosa yake basi acheni tena!
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 2 ай бұрын
Mche Allah ewe bachu mbona matusi na kashfa tena huyo sio usulubu wa salaf alafu kuna watu wengi wanakufutilia sasa chunga lugha unayoitumia ww bado kijana mdogo sana
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo 2 ай бұрын
Tusiitane majina mabaya Abuu Ruddud Bachu. Tuache huu mzozo
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 2 ай бұрын
Bacho unachokisema ni kama hukielewi Na unanukuu maneno ya wanachuoni bila kuelewa Hao wanachuoni wanapinga kama maneno hayo yakija kwenye sentensi moja ? Hayawezi kuwa na maana moja lakini likiwa neno moja laweza kukubalika kutumika kwa maana ya ismul faailu
@abulfuluss8739
@abulfuluss8739 2 ай бұрын
Daah huyu jamaa yuwajitesa kweliii
@pablooo4197
@pablooo4197 2 ай бұрын
Naamini wengi wetu tunataka kuskia hoja watakazokuja nazo upande wa pili kuhusu imam suyuuth na imam sakhawiy, hii mizozo ya lugha haina maana yeyote kw sisi wafuatiliaji
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 ай бұрын
Sh Muhammad bacho na ww hawa wengine kina abuu rudud a.k.a abuu hadhayani, wapuuze.
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 ай бұрын
Huyu hana tofauti na wale ma comedian
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 ай бұрын
Ata kassm ivo ivo vituk tu hapa anasema haram hapa sunna hapa dharuraa😅😅😅😅😅
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 2 ай бұрын
ndo umekuja baada ya kikao na walimu na wanafunzi wako wakuuubwa😂😂
@shababishababa-db5fs
@shababishababa-db5fs 2 ай бұрын
Duh! Yani unasoma vitabu afu wala huelewi unachokisoma inasikitisha sana
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Tuia we jdida sindano ikuingie mmechafuwa sana na vurugu katika waislamu
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Tuia we jdida sindano ikuingie mmechafuwa sana na vurugu katika waislamu
@shababishababa-db5fs
@shababishababa-db5fs 2 ай бұрын
Mimi ni sufi sufi asili sojadida wala so nani ni sufi ila nafuatilia hiki kinachojadiliwa ndo nasikitika kuona kwamba mambo hya jinsi yanavyo mtoa makamasi ndugu Bacho kila anapo jibu ni madudu tu
@dulividuli5237
@dulividuli5237 2 ай бұрын
Basi tutafsirie ww unaejua km yey hajui
@shababishababa-db5fs
@shababishababa-db5fs 2 ай бұрын
@@dulividuli5237 tatizo sio tafsiri tatizo ni kuelewa kinachoelezwa hapo kutafsiri anaweza akatafsiri yeyote lakini je hicho unachokitafsiri unakielewa? So ni kweli anatafsiri lakini sicho anachokieleza
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 2 ай бұрын
يا أيها الذين آمنوا لمتقولون مالا يفعلون
@Imruu_graphics
@Imruu_graphics 2 ай бұрын
يا أيها الذين آمنوا لم تقولون ما لا تفعلون
@MuslimKilalo
@MuslimKilalo 2 ай бұрын
Jaman munawaona mawahab hao kaz ipo
@BilalRamadhani-v4d
@BilalRamadhani-v4d 2 ай бұрын
Nyinyi mnapaswa kufundisha siyo kushindana ilkupata anaejua zaidi tunahtaji muongozo ili kujua hakh na baatwil sio malumbano
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 2 ай бұрын
shekh bachu fikisha elimu epuka maneno yasiyo na afya .kma mshamba na mengineyo
#MAJADIDA KWANINI MUSIULIZE KAMA MLIKUWA HAMUJUI || Muhammad Bachu.
1:07:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 24 М.
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 90 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 11 МЛН
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 27 МЛН
MAKOSA YA ABU HASHIM NA ABDALLAH HUMEID KWENYE LUGHA || Muhammad Bachu.
1:03:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 73 М.
WACHENI MATUSI NJOONI MUJIBU HOJA $JE TAUHID TATU NI BIDAA$ || Muhammad Bachu
27:47
Exclusive:Huyu ndio Sheikh Walid Alhad Kipenzi cha wengi
26:00
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 48 М.
Muhammad Bachu||MANENO MABAYA YA QASSIM MAFUTA NA ABDALLAH HUMEID
52:59
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 99 М.