MUME WA DIVA AFICHUA MAPYA, KUOA MKE WA PILI, AMLIPUA MANGE KIMAMBI

  Рет қаралды 8,066

Mbengo Tv

Mbengo Tv

9 ай бұрын

Пікірлер: 54
@user-bt4yo3li3p
@user-bt4yo3li3p 9 ай бұрын
Napenda kufuatilia interview zako Natokea 🇧🇮🇧🇮 nimekuwa wa kwanza kuweka like na comment
@ummySheikh72
@ummySheikh72 9 ай бұрын
Mwaka wa nne ktk ndoa? Uwongo labda 2, juzi tu mmeoana acha Abdull
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 9 ай бұрын
Domo ss la huyu kenge majini,,,,
@sarabura8933
@sarabura8933 4 ай бұрын
Mm nawaombea MUNGU wanawake wote wanao sumbuliwa na uzao na omba MUNGU awakumbuke kila mwanamke azae ktk jina la YESU kirsto
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 9 ай бұрын
Here jamani nilikua sijui Kama yupo hivyo naona Leo comment duh Mungu asaidie
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 9 ай бұрын
Subhanallah mnajuwa nini maana ya shekh huyu si shekhe kabisa
@sabrasaid7739
@sabrasaid7739 9 ай бұрын
Hawajui Maana Ya shekh,,, Shekh kiarabu mzee mtu mkubwa,, Maana ya pili ni Alieshika aldini na amehifadhi Qur ani na hadithi na sunna na anamuogopa Allah,,,
@zabubamudy126
@zabubamudy126 9 ай бұрын
huyu kaka hana heshima kabisa niliwahi kuongea nae hana heshima
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 8 ай бұрын
Da mange_kimambi njoo huku mbavu zangu duuuui
@marymbuya4763
@marymbuya4763 9 ай бұрын
Tapeli wa mapenzi
@marthagodson4447
@marthagodson4447 9 ай бұрын
jamani jamaniiiiii😢😢😢😢😢 diva akubali kuigiza paka kusema unaingilia watu kinyume na maumbile maigizo gani hayo
@rayahamisi118
@rayahamisi118 9 ай бұрын
Kila vitu vipo viwili 😊😊😊😊 kupenda na kuchukia kuchukuwa na kuwacha nikawaida
@Xconxeo_399
@Xconxeo_399 7 ай бұрын
Jamani haituhusu ndowa zawatu tusikiye tu anavio sema Abduli munajuwa kuvunja ndowa za mtu nikama una vunja muskitii 😢😢 tuwache hayatuhusu ss lolote ss
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 9 ай бұрын
Kaka mzuri sema tabia tu mbaya
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 9 ай бұрын
Huyu kaka anajua kucheza na akili za watu. Wazungu wanasema You can fool people but not always.
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 9 ай бұрын
Mfilaji huyo😂😂😂
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 9 ай бұрын
Ila huyu kaka ni tapeli wa kitaifa..
@marthagodson4447
@marthagodson4447 9 ай бұрын
hahhahahahahhahahahhahaha ila sheikh ina maana zile voice note za binti hukuzisikia
@stelamwakatulile2455
@stelamwakatulile2455 9 ай бұрын
😅uyu kaka muongo ata miaka miwili bado mkavu anajibu mi nne da
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 9 ай бұрын
Sheikh naskia ww kitangi unawapa watu vimaji wanalewa unawabaka😂😂😂😂 acha izo mambo mzeee 😂😂
@fathimadaid3429
@fathimadaid3429 9 ай бұрын
Kaka nakumbuka kuna siku uulihojiwa na uliambiwa kama hivo na ukampigia?
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 8 ай бұрын
Huyu mshilikina ana mapenzi muhongo sana
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 8 ай бұрын
Wewe ndio huna heshima sio huyu kaka hasfuu wee
@Mummie_g
@Mummie_g 5 ай бұрын
Watoto anaozaa wote kafara ya mganga huyu ,mimi ni mkenya nimezaa watoto wawili na kazi ninayoifanya ni ngumu ya kufanya usafi kwenye mahofisi za watu mpka nikiwa mjamzito..bedrest has nothing to do with pregnancy..bedrest inapeleka na hali ya afya ya mama..kama afya yake sio nzuri basi atawekwa na doc kwa bedrest lakini kazi aliyoizoea haisuiani na ujauzito..jamani nyiee diva hana ndoa hapa..ana bahati mbaya sana kuangukia mganga huyu lugha zake za kiongo ongo ..nimepanic tu kwa ajili ya diva maana wueh😮😮😮
@ilhamjonas6986
@ilhamjonas6986 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂Kaka muongo uyu
@chitabenson2897
@chitabenson2897 9 ай бұрын
Aki Lynn I have missed you ❤❤❤❤❤so much
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 9 ай бұрын
Kama kadhia ni za uongo nenda mahakamani. Mangi news zote anazotoa huwa anazifayilia na evidence huwa anachukua. Kama una mambo ya ovyo uache. Ndoa yako inadumu kwa ulaghai tu
@dahirahaji176
@dahirahaji176 9 ай бұрын
He is lying 😢😢
@gracebrenda1199
@gracebrenda1199 9 ай бұрын
Dd you see his face😂 kha! Mens are evil
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 8 ай бұрын
Limekubuhu kwa uongo hili khaaa watoto watano khaa
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 7 ай бұрын
Inawezekana pia
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 8 ай бұрын
Alifira mama nin
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 9 ай бұрын
Nimemchoka huyu kaka
@marymbuya4763
@marymbuya4763 9 ай бұрын
Hujamaliza miaka 2 kwenye ndoa, huzo mimba 5 kazitoa wapi? Diva hazai na alishawahi kusema kwenye Interview yake moja
@saudangalleni388
@saudangalleni388 9 ай бұрын
We Ming mbaka una uhakika azai acha umbea wakijinga
@yanifaa560
@yanifaa560 9 ай бұрын
Huyu muongo sana lol
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 9 ай бұрын
Watu wanavyopenda kuingilia ndoa za watu? Wakigombana mnafurahia, wakipatana hampendi,,,,lol...pengine nyinyi wenyewe mahusiano yenu mabaya,
@dahirahaji176
@dahirahaji176 9 ай бұрын
This guy can lie
@noelajulius7726
@noelajulius7726 9 ай бұрын
tapeli
@Bikhafija
@Bikhafija 9 ай бұрын
Owa owa uyu
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 9 ай бұрын
Amekutapeli nini msiwe mnachukia mtu bila sababu
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 9 ай бұрын
Uongo uongo😅😅😅😅
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 9 ай бұрын
😂😂😂Kazi ya ziada ku act... Mpaka sasa anatafutiwa kazi😂😂😂sijasikiliza kadhia😂😂😂
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 9 ай бұрын
😏
@hyacinthe313
@hyacinthe313 9 ай бұрын
Na uso tu unaonekana muongo sana wew😂😂😂
@HajraMaryam516
@HajraMaryam516 9 ай бұрын
Chizi kweli huyu kaka hajui hata anaongea nini hahaha mara maigizo mara hasira kaka tapeli haswaa 😂😂 mara hajaskiliza hizo audio mara yamezungumzwa watoto wadogo hahahhahaha
@esterpaul5856
@esterpaul5856 9 ай бұрын
Mwaka wa nne kivipi we kaka ..nyie hata miaka miwil bado
@suleymanali431
@suleymanali431 9 ай бұрын
Hiyo ni Amri ya mwenyezi mungu kumpa mtoto amtakaye na akafnya mtu tasa kwa hivyo usishangaye na kuuliza huu ni miaka minne vipi tena, wewe shukuru mola wako kaa amekupa watoto aw mtoto.
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 9 ай бұрын
Nashangaa kachanganyikiwa
@esterpaul5856
@esterpaul5856 9 ай бұрын
@@suleymanali431 we ni kichaa nini?? Nani kaongelea uzaz hapa..Mm nimemshangaa kusema wanamiaka mi4 akat ndoa yao haina hata miaka miwili
@esterpaul5856
@esterpaul5856 9 ай бұрын
@@adijaniyonkuru9731 itakua cd4 zimemshuka
@Zawadi-1
@Zawadi-1 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@rukkynassor2279
@rukkynassor2279 9 ай бұрын
Mwaka n meizi minane hata miwili hajafikisha
@user-qn6kk4lp9v
@user-qn6kk4lp9v 9 ай бұрын
Mbona hujakata aliposema mkate nyie nao muwe waelewa mjali hisia za watu
Mume wa Diva Amtolea Avivu Diva/Nimefata Mali/Amwanga Siri Zake
20:12
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 54 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 83 МЛН
"MIMI KWELI NIMEMROGA DIVA" - MUME wa DIVA (ABDUL-RAZAK) AFUNGUKA
9:51
Mume wa Diva Afunguka | "Mwanamke Kuacha na Mimi ni Mjinga"
25:45
HUYU APA SHUJAA MAKONDA, AONGEA KWA UCHUNGU YALIYO TAKA KUMKUTA
11:03
MAPYA KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI, MCHUNGAJI IPM AWEKA WAZI
21:24
Mbengo Tv
Рет қаралды 3,3 М.