POLEPOLE ATOA TAMKO HILI KUHUSU CYPRIAN MUSIBA/ NI FEKI

  Рет қаралды 216,215

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

MAHOJIANO YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDG HUMPHREY POLEPOLE - TIMES FM
1."Chama cha Mapinduzi ndicho Chama ndio chenye ilani inayotekelezwa na ni wajibu wetu kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani Hiyo nafasi hawana chama chochote isipokuwa Chama cha Mapinduzi" -Ndg. Polepole
2. "Zamani tukishashinda uchaguzi tunapotea hatufuatilii, Mara hii ilani imesema ni lazima tufuatilie utekelezaji wa Ilani wa CCM kuhakikisha yale yaliyoahidiwa yanatekelezwa"-Ndg.Polepole
3."Tutawapeleka Chuo cha uongozi wa Mwl Nyerere ,Viongozi wote ndani ya Serikali na Chama wafahamu nini maana ya utumishi wa umma , nini maana ya utu, nini maana ya haki, nini maana ya utii na unyenyekevu". -Ndg.Polepole
4."Niombe rai kwa viongozi wa Chama na Serikali, wasitoe kauli zinazoashiria uvunjifu wa sheria na Amani" -Ndg.Polepole
5."Kuomba msamaha si suala la maelekezo, ni suala la utashi , kama kuna mtu amehisi kukosea, ni hiari yake kuomba msamaha au kutokuomba msamaha"- Ndg Polepole
6."Chama chetu kinaongozwa na katiba, kanuni na taratibu zilizowekwa , sio dhambi kiongozi yoyote kufanya ziara ila utaratibu wa ndani ya Chama ufuatwe-Ndg Polepole
7. Cyprian Musiba hatumwi na Chama cha Mapinduzi, Kauli za CCM, zinatolewa na mimi katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi. Ila Musiba kama mtu yeyote ana uhuru wa kuweka hadharani maoni yake bila kuvunja sheria za Nchi - Ndg. Polepole
8. "Asilimia 70 ya wapiga kura ni CCM, ni vigumu kupata mtu ambaye hana unasaba na CCM kusimamia uchaguzi, umewekwa utaratibu wa kula kiapo wakati wa kusimamia uchaguzi kuachana na unasaba wa kisiasa"- Ndg. Polepole
9. "Chama cha Mapinduzi Tunakiri kusema kazi tumeipiga na tunaenda kueleza kwa wananchi kazi nzuri tumeifanya na hatuna hofu hata kidogo tutaibuka na ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019" - Ndg. Polepole
10. "Kuna watu walibeza tulipokamata mchanga wa dhahabu, naomba rai wajitokeze hadharani kumuomba radhi kwa Rais magufuli kwani sasa rasmi kampuni ya ACACIA imekufa duniani na Barrick Gold wamekubali kufanya kazi kwa sheria na kanuni za Tanzania" - Ndg #Polepole
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 310
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
MDOGO SAJENT Ft @DogopatternMusic_KISA SALIO OFFICIAL MUSIC VIDEO
4:39
Niliyoyasema kuhusu wagombea wa CCM
39:27
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 45 М.
Majibu ya Serikali Kuhusu Musiba, Diwani wa Zitto Aliyepotea!
7:07
Global TV Online
Рет қаралды 61 М.
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54