MUSUKUMA AIBUA MADUDU YA MKURUGENZI GEITA, AMWAMBIA WAZIRI - "VYETI VYAKE VIKAGULIWE HUYU"

  Рет қаралды 39,089

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MUSUKUMA AIBUA MADUDU YA MKURUGENZI GEITA, AMWAMBIA WAZIRI - "VYETI VYAKE VIKAGULIWE HUYU"
MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseh Kasheku 'King Musukuma' amemuomba waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa, kukagua vyeti vya mkurugenzi wa Geita, John Wonga, kwani ana mashaka na elimu yake na hii ni kutokana na utendaji kazi wake wa kusuasua.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 93
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 2 жыл бұрын
Msukuma ana visa na P wanga anawapanga wanainchi ,huku ilemela wanga kapiga kazi sana nzuri tunaiona kwa macho ilemela inapendeza
@mustafamandindi6434
@mustafamandindi6434 8 ай бұрын
Mungu akulinde msukuma mwamba wa geita natamani sana kukuona mkuu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Hongera sana Msukuma kwa kusimamia kwa usahihi kwa Utendaji wao..
@IssackMaingu-ng5lk
@IssackMaingu-ng5lk 11 ай бұрын
Msukuma kazi yako imesimama
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 2 жыл бұрын
Mheshimiwa asanteni mungu akubariki milele
@samweltv2064
@samweltv2064 2 жыл бұрын
Tunaposema mbunge namba moja Tanzania ni Musukuma ujue tumemaanisha kwakeel Geita vijijin mimi nawaonea wivu mlipata mtu.
@pilipilimanga2619
@pilipilimanga2619 2 жыл бұрын
Hujui lolote kuhusu huyu Mbunge. Nyuma ya pazia kuna mengi. Hana lolote and he isn't that smart.
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 жыл бұрын
Mama anakula fungu lake New York, muache mkurugenzi akomboleze masalia😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 2 жыл бұрын
Huyo Mkurugenzi ni mpiganaji kabisa Arubaini yake imefika kwa Msukuma amacho sema msukuma yupo sahihi kabisa Hongera sana kwa kufufua hayo.kamaburi alikuwa anauwa miladi hiyo na Takukulu lazima wafatilie hongera Global TV Online Tanzania ijue Wakurugenzi wa Tanzania wanavyo fanya wizi
@PenielLema
@PenielLema 2 жыл бұрын
Bwana Simon Alex Maduka nimemuelewa sana ushauri wake na angalizo lake kuhusu umbali wa vyoo na madarasa. Ni kweli kabisa kwa siku chache tu baada ya matumizi hali ya hewa itakuwa changamoto. Labda Maduka afahamishwe ikiwa kuna teknolojia ya ujenzi wa vyoo usioleta harufu. Muhimu mamlaka kutilia maanani ushauri huu wa mwananchi
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 2 жыл бұрын
Wee mheshimiwa musukuma rais samia Ana walinda wenye veti feki na wanajisifu eti wamerundishwa kazini
@janekapinga6793
@janekapinga6793 2 жыл бұрын
Duh!!!Kwani inakuwaje Jamani !!!Sikio la kufa
@saketnicholaus9962
@saketnicholaus9962 2 жыл бұрын
Ela za wananchi mnasema za Rais
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
We msukuma Acha masifa....
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 жыл бұрын
Msukuma amejaa wivu na chuki binafsi
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
King ana uchungu na maendeleo ya Watu wake... Maana mara nyingi, tunajichelewesha sisi wenyewe!
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 2 жыл бұрын
Msukuma hawapendi walurugenzi chapakazi hiyo bati ya elf 41 haziwezi kudumu kwa miaka mingi kama hizo za 71 msukuma achaga kutafuta sifa yaani unaboa sana na lugha zako za kutafuta kiki,ulimpiga vita kwa kusema kaagiza siment Tanga imechunguzwa si kweli sasa unamtafutia lingine.unaongea hovyo sana hufai kuwa kiongozi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
@@elizabethmassi7327 kwa akili yako bati ina uzwa elf 70 kaah haiwezekani hiyo bei kubwa sana
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Ww ww ni chuma 💪💪💪💪
@kulwasamwel4037
@kulwasamwel4037 2 жыл бұрын
Kwel nakutomba tunaomba taaa zabalabala
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Kweli kabsa Musukuma achunguzwe huyu
@sabatokirito6661
@sabatokirito6661 2 жыл бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Musukuma.
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 2 жыл бұрын
Yaan wewe Bora ungekuja uwe mbunge wa Musoma mijini tu mji wetu ungekuwa mbali sana
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 2 жыл бұрын
Msukuma mtani wangu nakukubali
@johnsonjohnson3365
@johnsonjohnson3365 2 жыл бұрын
Sema mzee unahaki na jimbo lako mzee
@aggreykwilabyanoni1581
@aggreykwilabyanoni1581 2 жыл бұрын
Dr,upo Sawa toa mapepo yote Geita my landmother.
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 2 жыл бұрын
Mbunge smart sana uyu
@benezethemily9610
@benezethemily9610 2 жыл бұрын
Tukipata wabunge Kama kama Hawa hata kumi atleast tunaweza tukayapunguza maumivu ya kumpoteza Rais wetu , maana hawawatendaji wengine nikama hawanahuruma na wananchi wa Tanzania
@pilipilimanga2619
@pilipilimanga2619 2 жыл бұрын
Hamna kitu. Wana bifu zao na wakubwa wanazijua sana. Huyu ukiona hivyo kanyimwa tenda kwenye vikampuni vyake. We know him from the core.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 2 жыл бұрын
@@pilipilimanga2619 bifu yao haituhusu tuangalie uhalisia Je alichokiongea Msukuma ni kweli au uongo?
@catherinekerobo2569
@catherinekerobo2569 2 жыл бұрын
Nakuona mbali king msukuma komaa
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Жыл бұрын
Upigaji kwa sisi Bongo ndo ujanja
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Waache wale urefu wa kamba zao mradi wasivimbiwe.
@emmanuelelam555
@emmanuelelam555 2 жыл бұрын
Majengo yanapogwa lipu hajapauliwa hapa kunahaja yakukaguliwa vyeti ogooeni Kula vya bule jamani mwishowake n mbaya
@musamwani4558
@musamwani4558 2 жыл бұрын
Kupiga lipu kabla ya kupaua kuna shida gani? Ni sawa na kuweka dirisha kabla ya mlango ni maamuzi tu wala hakuna shida yoyote
@fredmramba6612
@fredmramba6612 2 жыл бұрын
Siasa ni mbaya Sana kwenye taluma za watu
@bonifacejengela1883
@bonifacejengela1883 2 жыл бұрын
Jamaa yuko safi
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 Жыл бұрын
Kwani choo,kimeonekana leo kwamba kiko karibu na madarasa??? 😢 mlikuwa wapi wakati kinachimbwa ??
@FLukwaro
@FLukwaro 2 жыл бұрын
huyu musukuma yeye miaka yote ana ugomvi na wakurugenzi wa halmashauri yake. ni kweli siku zote yuko sahihi au na mwenyewe ana matatizo?
@simonwenceslaus9860
@simonwenceslaus9860 2 жыл бұрын
Ww fikilia unacho ongea ivi mfano ww upo kwene kitengo hicho afu unataka kupga ela afu mbuge anakubania utasalimiana nae au mtaelewana kweli hapo msema kweli cku zote anaonekana mkorofi
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Ununuzi wa bati kwa 71000 kweli aache kusema?
@benezethemily9610
@benezethemily9610 2 жыл бұрын
Wakurugenzi ndo wanachemsha ndugu yangu
@avitomasebu9532
@avitomasebu9532 2 жыл бұрын
Haka kajamaa ni kajinga huyu mkurungezi Wana bifu toka hakiwa mwanza kisa nyumba ya mama ake ilibomolewa na fidia alipewa kidogo ndo kinamuuma
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 2 жыл бұрын
Hawafanyi kazi hapo ndo anachosema msukuma.hawamalizi kazi kwa wakati
@c.e.omasasi5131
@c.e.omasasi5131 2 жыл бұрын
Olesawa ngosha
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 2 жыл бұрын
Mimi huwa najiulizaga hivi baadhi ya viongozi wetu wakifanya vitu vyongo kwanini tunapata kigugumizi kuwaadhibu kwa mujibu wa sheria????
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
TAMISEMI panalegalega. Waziri Bashungwa ni dhaifu, anawalea sana hawa Watu, sijui ni kwa woga au vipi, Jamaa hachukui hatua yoyote... Chief Hangaya alishamuonya hadharani! Tusubiri KALAMU itaongea muda sio mrefu! ✍️✍️✍️
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 2 жыл бұрын
Mama ummy kidogo walikuwa wanaanza kunyooka Ila uyu wa Sasa mtihani
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 жыл бұрын
Msukuma anaakili sana
@avitomasebu9532
@avitomasebu9532 2 жыл бұрын
Haka kajamaa tunajua wanabifu toka ilemela,kisa nyumba ya mama yake ilipigwa chini kana bifu za kisenge
@Chemba67
@Chemba67 2 жыл бұрын
INAWEZEKANA IKAWA MKURUGENZI ANA SHIDA KTK HILI LAKINI KIPENGERE KINACHOHUSU UKARIBU WA CHOO NA MADARASA AU OFISI HILO SI SUALA LA MKURUGENZI BALI NI LA MAAFISA AFYA AMBAO MARA NYINGI HUA HAWATIMIZI WAJIBU WAO .
@johnshauri3130
@johnshauri3130 2 жыл бұрын
Maafisa afya ndio wanaandaa site plan?au una mgogoro nao?
@Chemba67
@Chemba67 2 жыл бұрын
@@johnshauri3130 Swali lako ni zuri sana ndugu John na nitakujibu kama IFUATAVYO. Kama ilivyo jina la kada yao (Maafisa Afya), miongoni mwa kazi zao ni kushauri mambo yote yanayohusu afya ktk maeneo yaliyochini yao kikazi, hapa ktk kutoa ushauri kunaweza kua kwa mfano masuala ya lishe ktk jamii anapofanyia kazi kimamlaka, ukubwa na saizi ya madawati mashuleni, umbali wa eneo linaotakiwa choo kiwepo toka ktk makazi ya watu, ofisi au madarasa, wana wajibu pia wa kutoa ushauri juu ya ukubwa wa vyumba vya madarasa, ukubwa na idadi ya madirisha ktk kila darasa ili watoto wapate hewa safi na ushauri huu ndio utakaotumika na wajenzi wa hilo darasa na sio wajenzi wabuni wao. Kazi zingine ni kutoa elimu ya afya pale wanapoona uwepo wa dalili za milipuko ya magonjwa, mfano iwapo kama watagundua kuna uhalibifu au uchafuzi wa vyanzo vya maji hali ambayo inawezekana ikaleta madhara kwa afya basi watawajibika kutoa taarifa mara baada ya kufanya uchunguzi na kutoa ushauri kitaalamu...... Kazi za Maafisa afya ni nyingi mno mzee ila kwakua hazifanyiki ndio maana huyu Msukuma anadhani kua suala la choo kujengwa hapo kilipojengwa ni jukumu la Mkurugenzi si kweli. Natumai umeelimika na ufafanuzi huu...
@osumrope2096
@osumrope2096 2 жыл бұрын
Wangeenda kujifunza kupitia shule ya mfano ya masasi mkoani mtwara imepangwa vizuri sana na ina tundu 16 za vyoo na tundu za walimu na zimepauliwa bati la msouth
@pilipilimanga2619
@pilipilimanga2619 2 жыл бұрын
Inawezekana wanatimiza wajibu wao kwa kutoa ushauri ila usizingatiwe.
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Hilo gari la Nan?
@ainesndubula8361
@ainesndubula8361 2 жыл бұрын
Wez umesha rud msukuma tulia
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 2 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi sio mara ya kwanza. Jiulize boss wake hayaoni haya madudu?
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
Unashukru nini wakati hiyo ni tozo yetu
@sarahevarest1202
@sarahevarest1202 2 жыл бұрын
Hela za Uviko sio kodi
@bonifansimatias6951
@bonifansimatias6951 2 жыл бұрын
@@sarahevarest1202 wewe hata ungesema pesa za kudanga ni sawa tu
@sarahevarest1202
@sarahevarest1202 2 жыл бұрын
@@bonifansimatias6951 Ina maana hujui Kama Kuna fedha za Uviko ambazo zimetolewa kwa miradi ya maendeleo? Mimi ni Bibi wa 62 years sidangi, I was trying to inform you, kwamba sio Kodi Wala tozo, ni vema kuelewa kuliko kuripoka sijui una stress za Nina, unataji msaada wa uelewa sio kujibu ovyo .
@adammbuba7230
@adammbuba7230 2 жыл бұрын
Unafaa sana Mh
@yohananchibula5991
@yohananchibula5991 2 жыл бұрын
Lakini msukuma juzi ulimsema mpina wewe wakati alichozngmza nichakweli unaonyesha unaunafiki
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
yule jamaa anajihudumia mwenyewe tuu likuwe hili
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Kinukishe
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 жыл бұрын
Utajua mwenyewe ulimzodoa mpina sasa ,zam yako tena wakusbue
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 2 жыл бұрын
Jamani kunamambo unapoyasikia unajisikia hasira kichefuchetu au nimtoto wamkubwa furani mbona anaharibu kila mahali anapowekwa na anaachwa tu kwanini Ila kwa kipindi cha magufuli hakukuwa ujinga kama huo kwa sasa nishamba la bibi
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@japhecemilton1486
@japhecemilton1486 2 жыл бұрын
Saf San Msukumaaa
@eliasemmanuel3295
@eliasemmanuel3295 2 жыл бұрын
Awamu hii acha tuu wapige mh maana unayoyasema naamini yanaishia kumaliza bando letu tuu na yasifanyiwe kazi maana mhusika mwenyewe unaemweleza yuko America anashoot moview
@edwardleonard7402
@edwardleonard7402 2 жыл бұрын
Fukuza tu
@josephndaki8003
@josephndaki8003 2 жыл бұрын
Piga kazi Msukuma tunakuombea
@sirojingereza6495
@sirojingereza6495 2 жыл бұрын
Msukuma hekoo yaani unajua baba
@dagradaonlinetv
@dagradaonlinetv 2 жыл бұрын
Mkurugenzi hajitambui ni mpigaji huyo Mbunge Msukuma komaa
@traudkamugisha8051
@traudkamugisha8051 2 жыл бұрын
kwani wewe msukuma siunaingia kwenye vikao???? kwanini usizungumzie huko??? nakama imeshindikana kwanini unaenda kenye media walati mkuu wa wilaya yupo mkuu wa mkoa yupo kwanini haujaenda huko?????
@onesphoryo407
@onesphoryo407 2 жыл бұрын
mama yuko anawaingizia hela wazungu huko et anatangaza utalii sijui tunachukua %? mwache mkurugenzi ajiongozee kidogo bhn nchi ishaingiliwaa hii
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Piga kazi msukuma
@isakakidolile2708
@isakakidolile2708 2 жыл бұрын
Nakuaminia pga kz
@michaelmwangungulu7906
@michaelmwangungulu7906 2 жыл бұрын
Fukuza Huyo na alipe hasara
@iddikimia4951
@iddikimia4951 2 жыл бұрын
Sasa si wafukuze huyo kwani mshahara haumtoshi,fukuzeni
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 жыл бұрын
Mama anakula bata Marekani nyie pi
@abiolamwasa8941
@abiolamwasa8941 2 жыл бұрын
hiyo ni kazi ya waziri wa tamisemi mzee sio kila kitu anatakiwa afanye mama na ndo maana ya kuchaguliwa mawazili.
@scolasalim8244
@scolasalim8244 2 жыл бұрын
Msukuma wew ni jembe upendagi ujinga ujinga
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 жыл бұрын
Mama yupo America 🇺🇸 anakula bata nyie pigeni kelele 😂
@darkplatnum9006
@darkplatnum9006 2 жыл бұрын
Jamn tumpiganie huy jamaa awe rais wa nchi hiii hatuwez kwel wananch tukiamua maaan hana njaaa kam hela yak binafsi anayo na utendaj wak weng tunauona kwa macho kam vip 25 huy mama wa zanziba akalee wajukuu wak atuachie nchi yet sis tubak na weny uchungu na nchii huend akatusahalisha ya magufuri RIP bana ulio wakuza tunawaona
@christophernzige3913
@christophernzige3913 2 жыл бұрын
Waziri fukuza uyo mkurugenzi,
@edwardmalila5230
@edwardmalila5230 2 жыл бұрын
Msukuma wewe utapewa ubunge mpk uchoke ila wana ccm wengne wakae wakijua ubunge hawana
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
Eeeeh wewe ni kiboko mpaka nakuhofia watakuua
@zelozelo5202
@zelozelo5202 2 жыл бұрын
Hakuna mbunge kama wewe unasimamia kweli safi sana wote wangekuwa kama wewe nchi ningesogea
KING MSUKUMA Afunguka Mali Zake Kupigwa Mnada na NBC
8:08
Global TV Online
Рет қаралды 159 М.
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
MUSUKUMA MBELE YA WANAHABARI, ACHUKIZWA KUMDHIHAKI HAYATI MAGUFULI
14:50
SAKATA LA MUSUKUMA Vs MKURUGENZI KUHUSU V8 YA MIL. 400
4:43
Millard Ayo
Рет қаралды 217 М.
Кем был убитый в Москве Армен Саркисян
16:59
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 98 М.
Почему Катар богатый? #shorts
0:45
Послезавтра
Рет қаралды 2 МЛН