FAIDA ZA KUFUNGA KULA MLO MMOJA AU MIWILI SEHE YA 3 na Prof Mohamed Janabi INSULIN RESISTANCE

  Рет қаралды 106,190

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

8 ай бұрын

VIDEO HII INAMILIKIWA NA MUHIMBILI TV

Пікірлер: 121
@OliverOden-eb6ko
@OliverOden-eb6ko 4 ай бұрын
Nimefanya fasting diet kwa mda wa 2 month nilikuwa na kilo 93 now nina 77Kg. JANABI🙌🏾❤️ God bless you
@numbibonzo4238
@numbibonzo4238 4 ай бұрын
Bila mazoezi?
@OliverOden-eb6ko
@OliverOden-eb6ko 4 ай бұрын
@@numbibonzo4238 sifanyi zoezi serious yan naruka kamba mara chache saana
@sophierkhatib1862
@sophierkhatib1862 4 ай бұрын
Umefanya diet gani ndug yangu maana na mm nipo na izo kilo
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 4 ай бұрын
​@@sophierkhatib1862Acha kula vyakula visivyo na lishe pia usiendekeze shughuli za kukufanya ukae tu.tembea,fanya kazi ya kushughulisha mwili
@ZulfaMazani-lb9oe
@ZulfaMazani-lb9oe 4 ай бұрын
​@@sophierkhatib1862 Ukiweza unacha kula Milo miwili kwa siku , mfano unakula mara moja tu mchana ,,,,ukishindwa iyo unacha kula usiku
@sihabaaly287
@sihabaaly287 6 ай бұрын
MashaAllah yaan nakufatilia nakuelewa nakupenda mpaka naumwa yaani nimekua mfungaji sitaki kuelewa habari ya kuonanjaa ✌👍
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 4 ай бұрын
Huyu mzee janab mchawi hatari ,zamani nilikuwa napenda sana kula kula na kunywa mi soda siku hizi kila nikitaka kununua soda inasukea sura ya janabi naghair nachakula hivohivo anatokea hadi nakula usiku tu kwa kujificha😅
@leahatupele-rr1jk
@leahatupele-rr1jk 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@jacobnduya798
@jacobnduya798 5 ай бұрын
Asante Dr kwa lecture nzuri kabisa! kwakweli nimeenjoy sana kipindi hiki nilitamani iendelee masaa hata matano. This is realy educated man
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Mungu akutunze Dr ss tunakuelewa❤
@pushyd1
@pushyd1 4 ай бұрын
Hii kitu ni nzuri mno,halafu nilichogundua mwili unazoea kabisa,mimi na kama almost week sasa,naamka asubuhi sisikii tena njaa mpaka ufike ule muda niliojipangia kula mlo wa kwanza saa sita mchana
@emilianadismasmbulwa5233
@emilianadismasmbulwa5233 4 ай бұрын
Asante Prof. Janabi Tunayafanyia kazi uliyofundisha
@dominiquemushy895
@dominiquemushy895 4 ай бұрын
Asante Sana Doctor
@purity134
@purity134 7 ай бұрын
Thanks doctor Janab
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 7 ай бұрын
Asantee dctr Janab.❤❤❤❤
@JackieMijinga-cs5tc
@JackieMijinga-cs5tc 6 ай бұрын
Mwenye masikio na Asikie
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 ай бұрын
Respect. We are lucky to have you Dr Janabi.Remain blessed day
@MussaHassan-me2cc
@MussaHassan-me2cc 2 ай бұрын
Asante profesa hongera sana kwa elimu nzuri
@JackieMijinga-cs5tc
@JackieMijinga-cs5tc 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana Prof Janabi kwa kuvunja ukimia na kuamua kuiokoa Jamie, mwenye malicious na Asikie.
@agathamathew8185
@agathamathew8185 4 ай бұрын
Doctor ukila chakula Cha mchana tu nakuacha Cha jion Ni vibaya? Na unatakiwa kula saa ngapi Ni mda sahihi?
@eestermos9933
@eestermos9933 4 ай бұрын
Dah hongera na m naitaka hiyo
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 ай бұрын
Thank you doctor blessed 😊
@emmanuelmunanka6137
@emmanuelmunanka6137 6 ай бұрын
This is among the best content ever, Prof kamaliza kila kitu.
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 7 ай бұрын
Asante kiongozi kwa elimu hii umenipeleka dalaja jingine asante
@nigananurunjema
@nigananurunjema 4 ай бұрын
Thanks for education Dr Janabi.
@vayaulashedrack5994
@vayaulashedrack5994 7 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa doctor nimepata jambo jipya hapo.
@UserUser-gq1ir
@UserUser-gq1ir 7 ай бұрын
Asante doctor kwa kutelimisha
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 7 ай бұрын
Thanks Doc
@zaynaothman6505
@zaynaothman6505 4 ай бұрын
Asante Dr, Mungu ni mwema kwa upande wa waislam tunafunga mwezi mzima ili tu tupunguze sumu ,Alhamdulillah.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 4 ай бұрын
Waislam wakifuturu wanakula Sana bado dakui . .. .
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 4 ай бұрын
Thanks Prof ushauri wako nna ufuwata toka mwaka jana nikiwa na kilo 98 naku vimba miguu ganzi mkono wa kulia ku stuka sana usiku ni ak amka na uchovu mkubwa asubuhi saivi nna kilo 66 niko vizuri saaaaaana God bless you Prof
@amanimakame6902
@amanimakame6902 4 ай бұрын
Elimu nzuri kabasa .safi sana
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 2 ай бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦nashukuru sana
@KudraJuma-rf3km
@KudraJuma-rf3km 20 күн бұрын
Asante, mwenyezi mungu akulinde uzidi kutoa elimu
@erickymecky9639
@erickymecky9639 4 ай бұрын
Huyu mzee abarikiwe sana nmemfatilia vzur nmemuelewa sana nmeacha bia mwezi wa pili huu
@nusalim3389
@nusalim3389 4 ай бұрын
Kaweza kumuachisha Pierre liquid itakuwa kuwa wewe😂 mana Pierre ana ugonjwa wa moyo kwsbb ya ulevi
@user-hq8wn9tz2l
@user-hq8wn9tz2l 8 ай бұрын
Amina
@hodaviahnkoswe5069
@hodaviahnkoswe5069 4 ай бұрын
Thank you doctor
@user-oe1vw1hk8x
@user-oe1vw1hk8x 4 ай бұрын
Thank u professor
@MaryBrayn
@MaryBrayn 5 ай бұрын
Asante sana
@christinekirigini5963
@christinekirigini5963 Ай бұрын
Barikiwa sana Dr unatuokoa wenye shida hii kwa kweli
@MbarakaTamimu
@MbarakaTamimu 4 ай бұрын
....ahsante dr ALLAH AKULIPE YALIYOMEMA
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 4 ай бұрын
Allahuma Amin
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Mungu akutunze doctor kuanzia leo napunguza wine 🍷🍷
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 4 ай бұрын
Shukran
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 4 ай бұрын
Ahsantee Dr.Nikimaliza mfungo nitazingatia huu hii kanuni.sipendi kuwa na kilo nyingi.Pia InshaaAllah itanisaidia kuepuka baadhi ya maradhi.
@wilsonnzowa3620
@wilsonnzowa3620 4 ай бұрын
Serikali ingefanya mkakati wa kuboresha afya ya wananchi kwa kupeleka madaktari kama Hawa Kila wilaya kutoa elimu, kuwakumbusha watu kula chakula cha asili na kukitunza
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 6 ай бұрын
SHULE HII DUUH AHSANTE SANA DR JANABI
@user-bj2xs3tc7h
@user-bj2xs3tc7h 4 ай бұрын
MM akubariki leeo na kila siku kwa lecture safi
@waterforlife9356
@waterforlife9356 3 ай бұрын
Mashallah Allah akulinde mm nilikua na 102kg kwa sasa niko 95kg naendelea llnshallwah niwe 85kg Allwah batik
@upendombise8113
@upendombise8113 12 күн бұрын
Jamni Mimi nimepima juzi Nina 107 uuuuuwiiiiiiii
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 5 ай бұрын
Prof Janabi,Na kupongeza San a Kwa Elimu,Utapunguza hasara nyingi
@BaigonMacha
@BaigonMacha 4 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki na kukupatia afya njema uzidi kutuelimisha
@MohamedMohamed-md3jd
@MohamedMohamed-md3jd 6 ай бұрын
MashaAllah good advice naomba maana ya arosto Dr?
@user-rf3zz1lb6l
@user-rf3zz1lb6l 7 ай бұрын
Asante sana doctor be blessed
@godwinezra876
@godwinezra876 4 ай бұрын
Safi sana kwa kutupa elimu.
@mlangiralameck9158
@mlangiralameck9158 4 ай бұрын
Asantee sana Prof Dr. Janabi kwa SoMo zuri, I real enjoyed. God bless u always.
@jacklinemassawe1306
@jacklinemassawe1306 4 ай бұрын
Yuko vizuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 7 ай бұрын
👊✌️👍.
@willynyambok1568
@willynyambok1568 7 ай бұрын
Asante daktari kwa somo ila dunia haina zaidi ya miaka elfu sita. hata shetani mwenyewe Hana miaka zaidi elfu 3 na ndiye mwenye janzo cha magonjwa.
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 ай бұрын
Lete ushahidi
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 4 ай бұрын
Janabi ahsante sana
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 3 ай бұрын
Asalam alaykum Dr samahani mimi ni mhanga wa uzito mkubwa na kitambi naomba Kuja kuonana na wewe kwa ushauli nateseka na uzito mkubwa naomba msaada wako dr
@Rahmashabani-tx5yz
@Rahmashabani-tx5yz Ай бұрын
Uzito wko ngapi
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 2 ай бұрын
Good
@patrinraura1397
@patrinraura1397 4 ай бұрын
Dr.Tunashukuru sana Utafiti wako ni halisi kabisa kwenye ulaji wa vyakula vya asili Mababu zetu waliishi miaka mingi sana tofauti na sasa TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUMIA ELIMU YAKO KWA MANUFAA YA JAMII "UBARIKIWE"
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 4 ай бұрын
Mimi.nakula asubuhi tu mpaka jioni asubuhi nakula matunda na conflex na plain yoghurt hapo ndo mpaka jioni na ninakula kidogo sana jioni halafu nafanya na mazoezi nilikuwa na tumbo kubwa saivi naanza kuwa modal na uzito umepungua
@rerisamba
@rerisamba 4 ай бұрын
Wow❤❤❤
@victoriaandrew8013
@victoriaandrew8013 4 ай бұрын
Dr Asante kwa somo. Mm sili mchana mara kwa mara nilikuwa na kg 86 sasa nina 81 zinapungua taratibu
@eestermos9933
@eestermos9933 4 ай бұрын
Hizi ndo kilo zangu jmn siztaki kabisa😂
@ChristinaTongori
@ChristinaTongori 19 күн бұрын
Kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo tunaomba msaada wa eliminate.
@awamkhalid5361
@awamkhalid5361 4 ай бұрын
Nimekuelewa processed siyo nzur
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 21 күн бұрын
Ikiwezekana ungetuwekea namba ya simu ili tupate msaada zaidi au weka jukwaa ambalo tunaweza kuuliza maswali na tukajibiwa
@user-hf4yn1qm7y
@user-hf4yn1qm7y 4 ай бұрын
Janab friend of Jpm
@user-di6jz9bm4v
@user-di6jz9bm4v 2 ай бұрын
Ila pia doctor dawa za hospital zinaongeza mwili ee sababu mm nilipata ajar nikalazwa hospital mda mrefu ajabu nimetoka mnene ili hali ata kula ilikua shida
@GloryMzava-sy4bk
@GloryMzava-sy4bk 3 ай бұрын
Mimi nina kisukari ninatumia sindano za insulini ila uzito wangu n ni mkunwa sana
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 4 ай бұрын
Ha miaka milioni 2watoremba ngosha
@user-hc5dd8sj6s
@user-hc5dd8sj6s 4 ай бұрын
Mze wangu apo tuelimishe nn tufanye now na sio unatuludisha miaka io itakua sio kwer kwaio ilikutusaidia tufundishe maisha yte aya
@MatildeBjelland
@MatildeBjelland 4 ай бұрын
Jifunze Kwanza kuandik ndo ukosoe
@ummumohd18
@ummumohd18 4 ай бұрын
​@@MatildeBjellandhahaha kwa kwel maana ata hajaskiza na kuelewa alichokiongelea docta.
@user-mk7qi6ti3s
@user-mk7qi6ti3s 4 ай бұрын
Doctor nmekuelewa .vp kw yule ambae mazingra aliopo mchele kipaombele .ila kw saa24 x1 nini Adhar yke......?
@user-pw2dv9fr6r
@user-pw2dv9fr6r 4 ай бұрын
Lakin dr.mi nauliza hii intermediate fast unaweza kuwa unakunywa maji bila tatizo yaani maji ni shida
@zakayoyohana1736
@zakayoyohana1736 5 ай бұрын
kwamjibu wa maandiko matakatifu waliokua wanafunga hawakuwa namaana hio ila kwasababu upo kimwili wafundishe walio Katika mwili ila kaa ukijua hakuna duunia yenye miaka milion mbili
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 ай бұрын
Kosoa kwa ushahidi Ina miaka mingapi
@dunstangeorge3263
@dunstangeorge3263 4 ай бұрын
Tunaambiwa Yesu aliishi miaka elfu 2 ilopita, miaka inazidi bado elfua 2 haibadiliki😅 sasa miaka milioni ni habari za urongo tuu
@NeiHerman
@NeiHerman 3 күн бұрын
Tunaonyonyeshq tufanyaje
@user-rw6dp3yt5h
@user-rw6dp3yt5h 4 ай бұрын
Usipokula kwa mda mlefu SI utapata vidonda vya tumbo
@MwanaishaKomboHaji-hg8xp
@MwanaishaKomboHaji-hg8xp 11 күн бұрын
Baishara zitakufa
@user-io1dm2kc3e
@user-io1dm2kc3e 4 ай бұрын
Shida mnatuambia tusile wanga na sukari lakini hamtuambii mbadala wake tule chakula gani yaani kama vipi maana wengine ukituambia tu protein hatunui ndio vyakula gani
@ZulfaMazani-lb9oe
@ZulfaMazani-lb9oe 4 ай бұрын
Ykimsikiliza vizur utaelewa alicho maanisha ajakataza kula wanga moja kwa moja ...rudia kusikiliza tena my dia utaelewa
@janethkawishe9368
@janethkawishe9368 4 ай бұрын
Unaruhusiwa kula chochote dear ila Kwa kiasi na usile Kila saa kama umeamua Milo miwili Kwa siku ufanye hivyo ...
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 6 ай бұрын
Nini Dalili ya insulin kuwa kubwa mwilini
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 ай бұрын
Wakati anafundisha ulikua unasinzia
@jacobemanueljoseph663
@jacobemanueljoseph663 7 ай бұрын
Somo zuri ila habari za miaka milioni mbili sio kweli. Dunia Haina hata miaka 10,000. Haya mambo ya million ya miaka ni nadharia za uibukaji za kina Charles Darwin.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 7 ай бұрын
Hapo chukua kinachokufaa tu maana kwenye imani tuna tofautiana !!
@jacobemanueljoseph663
@jacobemanueljoseph663 7 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga ni kweli ndo mana nimeikataa hiyo mika milioni. Ila ni muhimu kwa wataalam wa kanisa la Mungu kujikita pia kufundisha mambo kama haya na mengine, italeta radha tofauti na msimamo wa tofauti. Mfano ninafanya kazi katika nchi ya kiislamu na shughulika na hali ya hewa, kwa msaada wa Mungu nilifanikiwa kutengeneza ratiba zetu za kazi pamoja nao kuanza Jumapili. Walipo uliza nilimwambia Jpili ni siku ya kwanza ya Juma. Walijaribu kuleta upinzani lakn kwa miaka miwili sasa ratiba inaendelea kuanzia Jumapili. Maana yake Nini? Wataalam wa kanisa la Mungu wakipata nafasi kufundisha mambo kama haya wanaweza fundisha na kweli nyingine za muhimu kama uumbaji n.k.
@SamuelamirKihwelo
@SamuelamirKihwelo 7 ай бұрын
Kwel ,kwa mjibu wa bibilia mpaka sasa tupo kwenye miaka 7000 na kias mpaka sasa
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 7 ай бұрын
Dr Janabi anamaanisha mabadiliko ya binamu from Zinjanthropus to now.
@jiwekichwa2857
@jiwekichwa2857 7 ай бұрын
Binadamu not binamu😂😂
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t 3 ай бұрын
Sorry professor. Hiyo kula mara moja kwa siku kwa wenye vidonda vya tumbo tunafanyaje? Naomba ufanye kipindi utusaidie maana wengi tuna hilo tatizo ukiwaza kula mara moja unavyopata hivyo vichomi ni hatari.
@user-us6io8qt8p
@user-us6io8qt8p 4 ай бұрын
Nikinywa chai saa sita sitaugua vidonda vya tumbo?
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 4 ай бұрын
Hutakiwi hata kunywa chai. Kula mayai na matunda. Na jioni Kula supu ya Nyama au samaki, mboga za majani na matunda. Achana na wali, ugali vyakula vya ngano. Kula ndizi mbichi INA resistance stach.
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 6 ай бұрын
Dkt kwanini binadamu anakufa kwanini Kuna kufa kama sisi tumeumbwa na Mungu?
@jabiriramadhani3692
@jabiriramadhani3692 4 ай бұрын
Huyo sio nabii ni Dr
@jumaabakari3440
@jumaabakari3440 4 ай бұрын
Tunakufa coz sell za mwili zinatisha,zinakufa
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 4 ай бұрын
​@@jabiriramadhani3692akamuulize mwamposa😅
@golebenson4597
@golebenson4597 3 ай бұрын
Aulizwe yesu sio janabi
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 6 ай бұрын
Upo vizur Kwa elimu hiyo Bali sayans imewaponza Miaka hy unayosema unataka kutupeleka . Kwenye Zamadamu. . Adamu na Hawa ndio mwanzo wetu hayo mengine niyahao wayahudi.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 74 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,8 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
Je wajua kufunga masaa 18 au 16 kunaimarisha afya yako
10:39
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
DAKIKA 24 ZITAKUTOA KWENYE SHIMO-PR DAVID MMBAGA
24:16
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3,4 М.
Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Bajeti Yako
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 258 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 74 МЛН