KIMEUMANAA: BILA UOGA MAKONDA AWAVAA MAAASKOFU WANAOTOA MATAMKO na KUANDIKA WARAKA,.🙌🙌

  Рет қаралды 14,583

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 129
@AllanLyombile
@AllanLyombile Сағат бұрын
Makonda uko vizuri unawakumbusha viongozi wa dini wamwombe Mungu awashughurikie watekaji,wauwaji na wanaowatuma ikiwezekana wafe kabisa watuachie nchi yetu salama.
@PeterMremi-y2p
@PeterMremi-y2p 2 күн бұрын
Kila kiongozi anayetesa watu namfuta kwa jina la Yesu
@OmarSaid-k2u
@OmarSaid-k2u 2 күн бұрын
Hahaha huyu Hajui ataanacho kisema
@StephanoNdaheze
@StephanoNdaheze 7 сағат бұрын
Mungu ikumbuke Tanzania, Wape viongozi wa vyama na serikali kutambua njia sahihi ya kutunza amani ya watanzania.
@justinemajariwa6656
@justinemajariwa6656 Күн бұрын
Mheshimiwa makonda nawewe umeamua kuungana nawanao ibia wanaichi hapo hakuna mungu wakweri kwa mwaposa
@lankoiolelarmoi-o3y
@lankoiolelarmoi-o3y 2 күн бұрын
Thanks, well noted.Glory be to God Almighty
@MarckyCholla
@MarckyCholla 2 күн бұрын
Kweli nimeamini siasa ni mchezo mchafu
@Wamisangi
@Wamisangi 2 күн бұрын
Hapo kwa Nebkadeza na Yusufu duuh!!!!. Mungu wa Mbinguni atusaidie. Neema yake na Fadhili/Rehema zake za milele zisitupungukie.
@emanueljoshua6228
@emanueljoshua6228 2 күн бұрын
Kasahau. Nebukadneza na Daniel Farao na yusuph
@francismulokozi3483
@francismulokozi3483 8 сағат бұрын
Blasphemy is not joke. Muda ni muda tu Mungu atajibu kuwatetea viongozi wake
@nicksonrwela8747
@nicksonrwela8747 12 сағат бұрын
Maneno mazoto sana sana ❤❤
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 2 күн бұрын
Makonda anajua kulitumia neno la mungu ktk utapeli sana na naamini akianzisha kanisa hawezi kosa wateja
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Күн бұрын
Watafurika wa kwanza mimi 😂😂😂❤❤
@GraceAbraham-l9h
@GraceAbraham-l9h 9 сағат бұрын
Hata Mimi nitakuwepo ni neno la Mungu awazavyo mtu nafsini ndivyo alivyo sijui ww unawaza nn
@justice607
@justice607 Күн бұрын
Nabii Elia, hacha kupindisha maandiko
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Күн бұрын
Tunahitaji huo mdaharo tujifunze itasadia jamii inshallah
@Mrauto12679
@Mrauto12679 2 күн бұрын
Maigizo bhana, yaani unajua jamaa katumia mkutano wa injili kueneza upumbavu, makonda nimekushusha vyeo😂
@maryyona8946
@maryyona8946 2 күн бұрын
Hawa ni walewale wako timu moja na mungu wao ni mmoja.
@PeterMremi-y2p
@PeterMremi-y2p 2 күн бұрын
Eliya alimkemea Ahabu, alipokuwa kichwa ngumu mvua iligoma miaka kadhaa. Hapo vipi??? Tusome maandiko vizuri jamini!!!
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 2 күн бұрын
Uliwahi kukaribishwa kwa gwajima kama hivi hivi umevyo karibishwa kwa mtume mwamposa lakini baadae ukamgeuka, masihi wa BWANA,,, Gwajima.. Tokea nyakati zile siwezi kukuamini tena.
@GeorginaAnatory-u1z
@GeorginaAnatory-u1z 2 күн бұрын
makonda unatukana maaskofu angalia sana hao wamepakwa mafuta waheshimu sana unaugusa moto kwa mikono yako
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 2 күн бұрын
Waliandikwa siyo wamuitao yesu wote wanatokana na Mungu
@moabugervas-ki8ro
@moabugervas-ki8ro 20 сағат бұрын
yakaisali mpe kaisali na yamungu mwachie mungu
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 2 күн бұрын
Ila makonda ni tapeli nyie😂😂😂😂 apo kabla ya mkutano katok kumpora mwandishi camera
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 2 күн бұрын
Wamama wakisikia mwamposa wanafurah sana yaan wamekubali kutapeliwa duh...
@BarnabasYamseo
@BarnabasYamseo 2 күн бұрын
Hapo Kwa Elia hakua nabiii umetupiga
@pendobruno111
@pendobruno111 2 күн бұрын
Viongozi wa dini wapo kuleta amani zaidi wasipo hubiri hayo wahubiri nini?
@NathanielSutuchi-hf8sp
@NathanielSutuchi-hf8sp Күн бұрын
Yakasali muachie kaisal ya mungu muachie mungu
@GraceAbraham-l9h
@GraceAbraham-l9h 9 сағат бұрын
Viongozi wanaomjua Mungu ni baraka katika ardhi ya Tanzania eeeeeh Mungu muumba wa ardhi na mbingu tuongezee viongozi km huyu ardhi yetu ipone
@MkulimaTarimo
@MkulimaTarimo 2 күн бұрын
Makonda kaupoteza urais.nyota kaizima mwenyewe kwa kuwatukana maskofu
@NestoryMnyama
@NestoryMnyama 22 сағат бұрын
Amina sana
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 2 күн бұрын
Uko sahihi hasa wanaojifanya kuandika andika viwaraka, badala ya kuunganisha taifa, Ahsante sana Makonda
@careenpatrick2759
@careenpatrick2759 2 күн бұрын
Huyu kiumbe tumuachie mungu apambane nae maana kilichopo moyon mwake na anachoaminisha watu mungu mwenyewe atatuonyesha soon
@anjelinamwinga
@anjelinamwinga Күн бұрын
Pole makonda ,
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 makonda anajua kukanyaga vibaya amemkanyaga aposto vibaya😂😂😂😂😂
@shadrackwilfred2606
@shadrackwilfred2606 2 күн бұрын
mwamposa amefutwakwa jina la YESU
@ombendaud5938
@ombendaud5938 2 күн бұрын
Makonda na wewe uko kwa Mwaposa simama na Mungu aliekusaidia kwa hapo siko na wewe
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Күн бұрын
umechelewa sisi tuko na mwamposa sako to bako 😂
@ombendaud5938
@ombendaud5938 Күн бұрын
@@Leeeeeeee-96 Hongereni naona mitungi ya gas inajaa,miamala ya simu inasoma.Kwenye kukomboa unadongo mnatafuta nini? Jitahidi mkomboe akili zenu n mawazo yenu
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 Күн бұрын
Makonda kasome kwanza biblia eti nebukadreza Na yusufu tena anakazia kabisa alitokea gerezani acha uongo hicho ni Kisa cha Daniel Na mwamposa hakushtui anakuchora tu
@glorymiko6830
@glorymiko6830 2 күн бұрын
Wewe ni muhuni mtu kama wahuni wengine. Mzee warioba amekuachia laana wewe. Lissu bado yuko hai.
@mpjackson9543
@mpjackson9543 2 күн бұрын
Uko vizuru sir Makonda god bless
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Күн бұрын
Truth
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 2 күн бұрын
Unatumia madhabahu ya mungu kuongelea siasa acha kujilaani na kujikweza maisha yanapita
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 2 күн бұрын
Bila ya Mungu utaishaje ukweli upo wazi tunahitaji watu wa Mungu watujuze yanayo endelea siyo kelele
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile Күн бұрын
@@zepinashatibu5149 dini na siasa ni laana tupu
@wilsonletiet7852
@wilsonletiet7852 2 күн бұрын
Eti Eliya hakuwahi kuwa Nabiii duh🥱
@modestamakoye9319
@modestamakoye9319 Күн бұрын
Hujui tu umejikaanga Kwa mafuta yako yaani unatukana maaskofu kutoka walaka wa bandali ukumbuke hao wanawafuasi wao wanaowaamini Kama wewe unavyomwamini Mwamposa na Wala njaa hawana umejifuta mwenyewe wakati watu tulikuamini sana
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 Күн бұрын
Kimeumana!!!
@OmarSaid-k2u
@OmarSaid-k2u 2 күн бұрын
Yote Apo analinda kula yake tu usije ukaona kam Kuna kweli
@tomkweka
@tomkweka 2 күн бұрын
Nebukadneza na Yusufu wapi na wapi haya ni siasa oook
@robertigohe7477
@robertigohe7477 Күн бұрын
Makonda,funguliwa ufahamu huyo unayedhani kuwa ni mtumishi wa Mungu aliye hai kumbe siyo. Miujiza ya majibu na sabuni nk siyo miujiza ya Yesu aliye hai
@glorymiko6830
@glorymiko6830 2 күн бұрын
Wewe makonda kaa kimya. Wewe kanyaga. Afuta tuu. Sponsor wa kwanza yuko kaburini. Subiri na huu siku zake sio nyingi. Njaa bwana.
@alexsimon5576
@alexsimon5576 2 күн бұрын
Hahahaha jamaa katupa jiwe,kama huna D2 huelewi!naona mchungaji fake yupo kwa pembeni anasikikizia
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 2 күн бұрын
Ujumbe kwa wote hata huyo unaye muona yupo pembeni unamuhusu
@mudywaya328
@mudywaya328 Күн бұрын
safi makonda😂👏👏👏👏👏👏💥
@edosmithrichardigogo-xm9ve
@edosmithrichardigogo-xm9ve 2 күн бұрын
Shida ni elimu ya bongo mbovu .....yan kabla ya interview mtu anafundishwa akalili vitu gan na mifamo yake kisha anaenda kuwasilisha kwa ushupavu ilihali hajui chchte kwa undan😄....halafu mijitu ya hovyo inakupigia makofi ikisema ww una akili nying hahaha
@RaphaelHhan
@RaphaelHhan 29 минут бұрын
Duhhh huyu jamaa amefika huko sasa wakati alipotoweka watu tulikuwa tunamuulizia Yuko wapi jamani mkombozi wa wanyonge sasa haya ndiyo katokea nalo.ahse Kuna hajakubwa ya Kila mtu kujitafakari au alikuwa akifayanya ni maigizo jamani
@AmosKayega
@AmosKayega 2 күн бұрын
Makonda unaheshimika sana usichokoze maaskofu wetu we dogo acha kabisa unapo ongeaa nao au kujibu wasemacho uwe makini sana Tena sana ukipigiwa makofi Leo jiandae kuzomewa cheza na wote siyo maskofu Tena wakatoliki na wote watakuangusha
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Күн бұрын
wakatoliki awa awa ninao waona 😂
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 2 күн бұрын
Hongera makonda wewe ni mwanamme wa kweli mwenyezimungu akuoneshe njia zaidi uwe muombezi wa wote
@MkudeSimba-p3f
@MkudeSimba-p3f 2 күн бұрын
Well done Cristian Poul Makonda upo sawa !na wakizingua fasta wapelekwe jela bila huruma !
@RobertGwelela-m3l
@RobertGwelela-m3l 2 күн бұрын
Well done kwa wasiosoma biblia.yaani bendera fuata upepo.
@jonaskweyamba9747
@jonaskweyamba9747 2 күн бұрын
Kila akanyagae hapo kwa mwa mposa daima namuona kama Adui wa nafsi na maisha yangu
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Күн бұрын
jifukie usiwaone tena ndugu 😂
@Michaelmwasese-m7y
@Michaelmwasese-m7y Күн бұрын
Mako nda kwahiyo Filip😮 kwanini unasafisha mtu huyo makam alikosea?
@jamalsalym8244
@jamalsalym8244 Күн бұрын
Now days kanisa 🙌🙌🙌🙌
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 2 күн бұрын
Huyu makonda amechanganyikiwa vyeo vya kupeana tu uwezo na ufahamu mdogo sana,unatumia nguvu ya rais kupitisha mambo yako ipo siku nyeupe itakuwa nyeupe na nyekundu itakuwa nyekundu
@AwadhiMaturela
@AwadhiMaturela Күн бұрын
Hakua farao jamani mm sijaelewa hapo
@hamidmussa838
@hamidmussa838 2 күн бұрын
Kipindi hicho mlikuwa hamna Kanisa Masinagogi.
@piuskanyampala4540
@piuskanyampala4540 Күн бұрын
Ila Paoloo
@Bonifaskagoma
@Bonifaskagoma 2 күн бұрын
Tuliwambia nyie hamjui makonda sasa ndo mtaanza kumjua baada ya kutoka likizo ameiva
@tomkweka
@tomkweka 2 күн бұрын
Kwa hiyo unasema mwamposa kuwa hajui ya mbele
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 2 күн бұрын
Uwiii Mimi hapo napita tu ila Mungu atajibu maombi yetu
@PeterMremi-y2p
@PeterMremi-y2p 2 күн бұрын
Majibu ni haki tu
@saidally5763
@saidally5763 Күн бұрын
Shida machawa kwenje nchi wamekua wengi eti nahuyu pia nikiongozi shida tupu
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y Күн бұрын
Makonda unajuwa maana ya ufalme wa MUNGU kuwepo tuniani?
@eatlawe
@eatlawe 2 күн бұрын
50/50!
@ObediiLaizar
@ObediiLaizar Күн бұрын
Bashite umekula nini? Ulaaniwe kwa jina laYESU
@AVITHAKAMUGISHA
@AVITHAKAMUGISHA 22 сағат бұрын
safali ya mjumbe
@kuryatvfilm1161
@kuryatvfilm1161 Күн бұрын
Hujasoma biblia kwani biblia ndio imemtaja eliya ni nabii 1wafalme 18 : 36
@paulmwananjela834
@paulmwananjela834 22 сағат бұрын
Sis Kwan hatuj,tunaelewa kwamba apo akuna Mungu,msitufanye wajinga tunajuwa huyu wa Mungu huyu sio wa Mungu
@paull8659
@paull8659 2 күн бұрын
Huyu pumbav muuaji ana uhalali gani ya kuzungumzia ukweli. Huyu muhuni aliyetakiwa awe jela🤔
@paull8659
@paull8659 2 күн бұрын
Bashite amepotosha sana ameongea vitu ambavyo havijui. 1. Amemtaja Petro karne ya 1 siyo ya pili. Eti aliuwawa na Wakristo walioomba tu bila kuandika waraka🤔. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu. Kaisari Mroma Nero ndiye aliyekuwa anawaua na kuwatesa Wakristo wa kwanza, akiwemo Petro 68- 70AD. Petro na wenzake walipandikiziwa kesi kuwa walisababisha moto pale Roma 64AD. Kipindi hicho kanisa halikuwa taasisi maalum na Wakristo walikuwa wachache sana, hivyo haingeweza kuandika waraka wowote kwa watawala. Bashite hajui lolote amamsahau Yohana wa Ufunuo aliyefungwa kisiwani Patmo kwa kutokukubaliana na Kaisari. 2. Bashite kamtaja Eliya kuwa siyo nabii. Ni uwongo wa kutupwa chooni. Eliya aliishi karne ya 9 KK na anatambulika kama muhimu sana kati ya manabii wa Agano la Kale. Anakubalika na Wayahudi, Wakristo na Waislamu.Bashite ni mwana wa Ibilisi kwa vitendo vyake huko nyuma vya utekaji na uuaji, hata sasa shetani anatumia kinywa chake kupotosha neno la Mungu.
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 Күн бұрын
Kikalio ww
@EliasMoleley
@EliasMoleley Күн бұрын
Kw| baba toboa tupone
@IsdoryNoel
@IsdoryNoel 2 күн бұрын
Umelewa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 күн бұрын
Makonda hapo ndiyo anguko lako. Mambo ya kiroho siyo ya kukurupukia.
@GeorginaAnatory-u1z
@GeorginaAnatory-u1z 2 күн бұрын
soma kitabu cha Ester sura ya 8-6 adi 10 utaelewa watawala wa nyakati izo waliwFanyaje watu
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 күн бұрын
Hawa wapingakiristo hwajaanza leo walianza zama zakalesana kabla yakiristo baada yamkuuwao lusifa kufukuzwa naMungu Mbinguni hivyosasa wafuasiwake wajiitao manabii pasipo sababu wakifanya maajabu yasiyo namiujiza kwakuwa hata watu waMungu zikiwemoserikali hawatambui kati ya maajabu namiujiza hebu huyo ajiita anatenfa miujiza aamurumaji ya.Mtowowote yapandemilima.badala yakufuata mabonde kamavileMungu alivyotengeza asili yake au wa amulu kupanuka kwabichizote zilizo ufukweni kamahicho hawakiwezi hao ni wakata vichwa tu.
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 2 күн бұрын
Kwenye kumuombea mtu hapo hapn kila mtu ataenda kwanda wakat wake na kila mtu ataukumwiwa kwa makosa yake
@godwineliya4686
@godwineliya4686 2 күн бұрын
Hata hivyo Mwamposa kakubeba Huna Jeuri ya kukusanya. Ukuta wote huwo
@pendobruno111
@pendobruno111 2 күн бұрын
Yusuph hawakuwa waziri mkuu?
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 2 күн бұрын
Viongozi wa dini wakikosoa kuuliwa watu hovyo na kutekwa mnawaita feki du hata kiongozi asiye na huruma na taifa lake nawalaaniwe
@GeorginaAnatory-u1z
@GeorginaAnatory-u1z 2 күн бұрын
yesu aliwaambia wafalisayo wanafiki nyie ata yesu aliwajua wanafiki
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 2 күн бұрын
Daaah niwe mkweli sijawahi ona akili ndogo duniani tangia nizaliwe kama hii daah Rc umenihuzunisha
@BahatiRamadhani-i8f
@BahatiRamadhani-i8f 2 күн бұрын
Hyo wa pemben vp,
@elishagregory1595
@elishagregory1595 2 күн бұрын
Jamaa mbona kama anampiga Mwamposa
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 2 күн бұрын
Kwa hiyo wewe unadhani sisi tunafurahi unavyo endeshwa kwenye v8 ilio nunuliwa kwa Kodi zetu sio?
@OmarKombo-h2j
@OmarKombo-h2j 2 күн бұрын
Jembe nakukubali sana endelea kulima mpaka shamba liwe safi kwasababu watu wa dini wengi hawajui majukumu yao mbele ya mwenyezi mungu
@edosmithrichardigogo-xm9ve
@edosmithrichardigogo-xm9ve 2 күн бұрын
Hujiekew
@GabrielOmassawe
@GabrielOmassawe Күн бұрын
Awataje wote ambao wamejiita kwa jina lao, yaani hao ambao hawatokani na Mungu awataje kwa majina yao na athibitishie uma. Pia naomba asome Samweli wa Kwanza (1) 17, 36
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 2 сағат бұрын
tangu lini kuilitaja jina la Yesu ata kama ukilitaja kila sekunde ikawa ndio kipimo cha kuwapima watumishi wa mungu? hakika hapa umekaanga yai alafu ukaweka magadi
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 2 сағат бұрын
tangu lini kuilitaja jina la Yesu ata kama ukilitaja kila sekunde ikawa ndio kipimo cha kuwapima watumishi wa mungu? hakika hapa umekaanga yai alafu ukaweka magadi
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 2 сағат бұрын
tangu lini kuilitaja jina la Yesu ata kama ukilitaja kila sekunde ikawa ndio kipimo cha kuwapima watumishi wa mungu? hakika hapa umekaanga yai alafu ukaweka magadi
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 2 сағат бұрын
tangu lini kuilitaja jina la Yesu ata kama ukilitaja kila sekunde ikawa ndio kipimo cha kuwapima watumishi wa mungu? hakika hapa umekaanga yai alafu ukaweka magadi
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 2 сағат бұрын
tangu lini kuilitaja jina la Yesu ata kama ukilitaja kila sekunde ikawa ndio kipimo cha kuwapima watumishi wa mungu? hakika hapa umekaanga yai alafu ukaweka magadi
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf 2 күн бұрын
Makonda yupo vizuri sana
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 2 күн бұрын
Umechemka acha ujinga wewe
@edosmithrichardigogo-xm9ve
@edosmithrichardigogo-xm9ve 2 күн бұрын
Viongoz wa tz wanajua kucheza na akili za watanzanyoko.....uongo,maigizo na kuwapumbaza.utasikia ety makonda jembe.akili za watanzanyoko ni ndogo sana
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 2 күн бұрын
Huo ni wivu ww huna akili kumshinda makonda😢
@edosmithrichardigogo-xm9ve
@edosmithrichardigogo-xm9ve 2 күн бұрын
@@AliAhmed-m1o2u hujielew ....mm si Kama ww unaejar kitu kuliko utu....unaweza niambia ni wap unaona anastahiri pongez ...acha uchawa
@oscarkallinga8343
@oscarkallinga8343 2 күн бұрын
Huyu anakokwenda sasa siyo.
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 күн бұрын
Huku kugumu...apaache
@mikbete
@mikbete 2 күн бұрын
Umemfuta uliyesisimama nae.
@Mrauto12679
@Mrauto12679 2 күн бұрын
Subiri mkafe tena nyie wachaga kanyageni mafuta muone
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 күн бұрын
MWAMBA HUA NAMUKUBALI SANA SIO MUNAFIKI ISHI MAISHA MAREFU MH: P MAKONDA
@coolsinare8824
@coolsinare8824 2 күн бұрын
hata siku moja madhabahu ya Mwamposa haijatumika kushambulia wengine kwa nini wewe Makonda unatumia madhabahu kwa style hiyo???
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 2 күн бұрын
Ila makonda ni tapeli nyie😂😂😂😂 apo kabla ya mkutano katok kumpora mwandishi camera
@barakanatus5676
@barakanatus5676 2 күн бұрын
Shida wewe
@PeterMremi-y2p
@PeterMremi-y2p 2 күн бұрын
Kila kiongozi anayetesa watu namfuta kwa jina la Yesu
Johnson Sakaja - Mimi Ndio Gavana Nairobi, Sio Gachagua!!
16:28
Radio Maisha
Рет қаралды 14 М.
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
WAKILI AELEZA HATMA YA MBOWE NA WENZAKE BAADA YA KUKAMATWA
7:07
WAKILI WA TUNDU LISSU AELEZA SABABU ZA KUKAMATWA TUNDU LISSU
4:24
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52