MWANDISH WA AYO TV AVAMIWA NA WALINZI WA MAKONDA NA KUNYANG'ANYWA CARD YA CAMERA

  Рет қаралды 37,092

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 275
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 22 сағат бұрын
Mwandishai wa habari Hana shida!!yoyote!
@AllyMasterKitali
@AllyMasterKitali 22 сағат бұрын
Daa pole sana kakaa yangu kipenzi cha watanzania
@novatusabond9253
@novatusabond9253 23 сағат бұрын
Huyu jamaa haha hajawahi kutoa habari feki wala za uchochezi hata siku moja,yuko making sana na kazi yake
@chihoma-m4f
@chihoma-m4f 23 сағат бұрын
kweli ndugu hana ujinga huyu jamaaa yupo vzr sn
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 21 сағат бұрын
AYOTV wapo vizuri
@mchinatz9335
@mchinatz9335 21 сағат бұрын
Tatizo unaripoti ukweli sanaa 😂😂
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 18 сағат бұрын
😂😂🙌
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq 16 сағат бұрын
Wameshazoea kunyanyasa..Pole godfrey.. Na nawakumbusha tuu Jana Ma ustadhi Tanga Wameshapiga dua Wamemshtakia Mwenyezi Mungu
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 22 сағат бұрын
Kwenye HAKI ni juu yetu sote tuisimamie, kuilinda.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 21 сағат бұрын
Pole Sana mwandishi wa Habari. Kiukweli Mh Makonda awe makini na wasaidizi wake. Watakuchafua jina
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 20 сағат бұрын
Kwaunavyofikiria walinzi wanawaza kufanya KAZI bila maagizo ,,,,,hukuonaga video CCTV camera ya clous makonda alivyoingiaga na silaha akawa anawapiga biti kina sudi
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 15 сағат бұрын
Mmeona mtu hawezi kufanya hivyo bila idhini ya mkubwa.
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 15 сағат бұрын
@@shuwehaharuna6309 Mm sijawai Ona kipindi hicho inawezekana nilikuwa naishi milimani huko
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 14 сағат бұрын
@@AlHamra-k4u ruge alikuwa BDO hai
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 10 сағат бұрын
Huyo mwenyewe ni kibaka check ile video anavamia claus
@mwanas2
@mwanas2 23 сағат бұрын
This guy hanaga uongo kabis wala hanaga makubwa maskin. he's just a reporter who was doing he's job maskin.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 19 сағат бұрын
Mungu akutunze kaka❤ hakuna baya litakalo kupata kwa jina la Mungu
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo 20 сағат бұрын
Pole sana wajina.. habari zako hua nafatiria sana maana hua nizakweli na uhakika hua haubahatishi 💪
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 22 сағат бұрын
Mungu tunaomba ulinzi wako tz hii sio ya watu wema
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Күн бұрын
Suhbuhanallah. Mtihani jamani hi Tz yetu Munguatuokolee nchi yetu hatunajinsi
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 17 сағат бұрын
Endeleeni kunyamza kama hamta amka mtazidi kugandamizwa😢
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 18 сағат бұрын
Kama kuna media ambayo hutoa taarifa za ukweli na uhakika,basi ni Ayo Tv,nashangaa kwa hayo yalojitokeza,msikatishwe tamaa,endeleeni kupambana,sisi wananchi tunawakubali na tunawaamini❤❤❤❤❤.
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 5 сағат бұрын
Ni kweli maana kama taarifa ikitokea katika jamii huwa natamani nije Kwa Ayo TV ili nijiridhishe ,maana taarifa za habari za Ayo Ni za kweli Na hakika.
@Malaikahomedecoretion
@Malaikahomedecoretion 6 сағат бұрын
Ukitaja waandishi wa ayo TV huyu mwamba ni fire yuko vizuri sana katika kutoa habari mtaaani na kuwalisha watu vitu vya uhakika
@EwaldAntony-n3e
@EwaldAntony-n3e 22 сағат бұрын
Kaka tuna kupenda sana ila kuwa makin kaka
@AminaElly-w2x
@AminaElly-w2x 17 сағат бұрын
Kwani yeye amefanya nini
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 23 сағат бұрын
Hii kitu ya simu ya mkuu fulani haikupatikana ni kitu ya Aina gani na kwa nini? Hawa hawana tofauti na wahalifu!!
@joycehaule9717
@joycehaule9717 22 сағат бұрын
Pole sana brother....
@albertkamala6843
@albertkamala6843 11 сағат бұрын
Pole sana Godfrey! Claude Gwandu...taarifa imetoka tyr..toka kwa mwandishi kuhusu kuingiliwa ktk kutekeleza wajibu wa majukumu yake hakuna cha ziada!
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 21 сағат бұрын
Huyu makonda huu uhuni wake hawezi kuacha anajifanya kutaja jina la Mungu kutwa lakini huyy mtu ni mbaya sana sana.
@OmarAme-hd3fd
@OmarAme-hd3fd 17 сағат бұрын
Hawa watu wanaomtaja Mungu Kila dakika ndio wabaya Victoria
@AminaElly-w2x
@AminaElly-w2x 17 сағат бұрын
Tena sanaa
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 16 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu ainusuru Tanzania
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 8 сағат бұрын
Ukibeba makaburu wa South Africa wanatoa bonus ili waonekane ni wazuri. Msimwamini mtu kirahisi bila kujua dhamira ya moyo
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 8 сағат бұрын
Ukibeba makaburu wa South Africa wanatoa bonus ili waonekane ni wazuri. Msimwamini mtu kirahisi bila kujua dhamira ya moyo
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 23 сағат бұрын
Makonda Aka Bashiteeh na Clouds !!
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 21 сағат бұрын
Daah...hata mimi imenigusa..!! Habari niliiona Jana,akiwa anaripoti. -Tunakoelekea sivyo
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 21 сағат бұрын
Wanaogopa Maandamano kuliko ukoma. Wanajua waandishi wa kimataifa wako hapa tayari kwa ajili ya Maandamano ya tarehe 23. Wanajua wanakosea lakini hawajali ili mradi walazimishe wao kuendelea kutawala
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 12 сағат бұрын
Makonda yupo kwa ajili ya kuua na kuteka ndo maana Samia amemrudisha ila yatamkuta kama Sabaya au Mungu atafanya yake
@happymrema7487
@happymrema7487 21 сағат бұрын
Na huyu anatoa habar za kwel
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 23 сағат бұрын
Kumekucha, sasa ni rasmi tumerejeshwa tulipotoka.✌️
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 14 сағат бұрын
Akii hapa ndio pia Kenya yetu imefika watu wanatekwa nyara ukiongea inazimwa ,magufuli Baba zidi kupumzika Kwa amani
@reginas1832
@reginas1832 Күн бұрын
Mungu akulinde
@pascoumbu5097
@pascoumbu5097 21 сағат бұрын
Pole sana Mzee ndomana Jana najiuliza mpaka saa 11 sijaona ukiirusha Ile habari
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 21 сағат бұрын
Kumekucha kumekucha rais mimi ni ccm ila ckutegemea mtu kama makonda angerdishwa kuwa kiongoz kwenye jamii inayopenda haki
@artemislaurence840
@artemislaurence840 18 сағат бұрын
Our country is bleeding!! WHY 😭
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 21 сағат бұрын
Pole sana. Haya yanafikia ukingoni karibuni
@glorymungure7740
@glorymungure7740 23 сағат бұрын
Pole sana rafiki angu Mungu akulinde
@BelthonBakinikana
@BelthonBakinikana 20 сағат бұрын
Yaani ukikaa vibaya kifo
@happymoleli4282
@happymoleli4282 22 сағат бұрын
Pole kaka
@zainab8251
@zainab8251 21 сағат бұрын
Pole sana kaka
@HarunaKonyy
@HarunaKonyy 22 сағат бұрын
Kwakweli hii nchi sijui walio viongoz sijui wao wao wanajiona niwatu wanamnagan kwanin mnashindwa kuwaeshimu kazi zawatu
@jeffmap4038
@jeffmap4038 21 сағат бұрын
Kuwa makini Bro...
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 14 сағат бұрын
Kwa lipi kwajiya hao majambazi
@ndimizarohomtakatifurichar9802
@ndimizarohomtakatifurichar9802 22 сағат бұрын
Bashite kasha Anza uchafu wake apigweee
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 15 сағат бұрын
Tunamjua sana bashite
@sele2507
@sele2507 13 сағат бұрын
Mi nilikuwepo hapo barabar ilifungwa masaa matatu kulikua na vurugu makonda ndo amesaidia tukatoka hapo,,Wala makonda hakua na kosa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 12 сағат бұрын
@@sele2507 sasa nani alikuwa hataki kurekodiwa?
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 16 минут бұрын
Makonda ana kosa gan hapo kwenye hayo maelezo
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 16 сағат бұрын
Huyu mwandishi mzuri sana kabisa inakuwaje kufanyiwa hivi jamani nyieeee
@RoseMrio
@RoseMrio 21 сағат бұрын
wananipa maumiv xan wampe vifaa vyak kwnn wachukue vfaa vyak vya kaz
@ireneshao7950
@ireneshao7950 19 сағат бұрын
Ili taarifa zisitoke Kwa mahesabu yao na Bado taarifa zimetoka
@justice607
@justice607 22 сағат бұрын
Huu ni udhaifu mkubwa😢
@misomisomisoji7722
@misomisomisoji7722 8 сағат бұрын
Hii nchi inaendeswa kidikteta, wananchi tuungane pamoja na tuandamane na hii serkari ya kihuni.
@AsiaHamis-b4o
@AsiaHamis-b4o 16 сағат бұрын
Watanzania tuweni wavumilivu na subira kila kwenye gumu kuna wepesi tunayo pitia yatapita ni swala la muda inshallah
@FrolianMtega
@FrolianMtega 21 сағат бұрын
Nashindwa kujua ila nimeona
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 8 сағат бұрын
Pole san mwamba wetu unatuleteaga habari za ukweli na uhakika mungu akujalie inshallah
@issaomary7718
@issaomary7718 18 сағат бұрын
Mradi wa maji umesombwa na maji...pole brother ng'omba
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 18 сағат бұрын
Fafanua
@khamisswalehe
@khamisswalehe 21 сағат бұрын
tutakupa ukuu wa mkoa ww mana wewe ndio unaweza kutatua kero za wananchi
@akramissa3393
@akramissa3393 16 сағат бұрын
Wewe Millard ulikua ukinyamaziaga haya mambo na ukitetea upande wa pili sasa yanakukuta, nilishasemaga kila mtu atafikiwa
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 сағат бұрын
Naaam naona sasa yamewafika watatia akili yule jamaa hana karma ya uongozi ni mtu anayependa habari nzuri nzuri ziwafikie watu apate sifa ila no muovu yeye anapenda kudhalilisha wenzake mnoo soon utasikia kibweka kingine zero bashite
@AstalikoMulishi-gu3sp
@AstalikoMulishi-gu3sp Күн бұрын
Makonda amesha badirika zile zilikuwa ni mbwembwe tu one day watu watamchoka na watamshitukia tu
@ChireGriffin
@ChireGriffin 23 сағат бұрын
Ile siku alizo potea alienda kupewa mafunzo ya ukatili...
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 23 сағат бұрын
Wewe unaliamini jambazi bashite??watanzania hivi zimo kichwani nyie?
@colombanipaulo8953
@colombanipaulo8953 21 сағат бұрын
Sure
@upendogreutert199
@upendogreutert199 19 сағат бұрын
@@luganomwaisumo1938😂😂😂
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 15 сағат бұрын
​@@luganomwaisumo1938Eti Jambazi😂😂😂😂😂😂😂
@mwalitv4555
@mwalitv4555 7 сағат бұрын
Makonda...anaside AMBAYO hatuijui...Hovyo sana huyoo jamaaa
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 22 сағат бұрын
DUUUH!😢😢😢😢😢
@afroscantz2324
@afroscantz2324 19 сағат бұрын
He is a fighter,,,acha atupe taarifa za ukweli ,kila taarifa inabidi atoe ili wa tz tuelew nn kinaendelea kwenye taifa letu,,,waache kuwachujia habari waandishi wa habari kama this guy,,he is a true reporter🇹🇿
@ireneshao7950
@ireneshao7950 19 сағат бұрын
Bado wakimzuia zitatoka tuu
@jonnygabriel9648
@jonnygabriel9648 22 сағат бұрын
My poor country
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 18 сағат бұрын
Makonda ni mtu wa DIKTETA magufuli wanaendeleza mambo waliyokuwa wakifanya wakati wa magufuli.
@subsasherkafulama722
@subsasherkafulama722 18 сағат бұрын
Kuna watu wanasemage watu wanajiteka na wanaisingizia serikali sasa mpk aje kutekwa au kuwaa baba ako ndo utaelewa
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 14 сағат бұрын
Ambao hatuna baba maana wengine ss ndoo mababa mwazomwisho apovipiii kikubwa acha nasiasa❤❤❤❤
@helencyprian8745
@helencyprian8745 23 сағат бұрын
Anarudia tena yale ya clouds? Eeh
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Күн бұрын
Makonda ni mkuu wa koa mzuri sana ila anako pelekwa sio pazuri
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 23 сағат бұрын
Shetani tu huyo bashite
@SaudaShabani-b6c
@SaudaShabani-b6c 19 сағат бұрын
uyo makonda muhalifu tuu ilawatanzani tunatabia ya kusahau mapema mnoo njoja tuone
@AminaElly-w2x
@AminaElly-w2x 17 сағат бұрын
​@@SaudaShabani-b6cmakond NI Haina ya viongozi wauwaji
@AmusedForestBridge-zo6ox
@AmusedForestBridge-zo6ox 22 сағат бұрын
Wale ndio wana matatizo!!!
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 12 сағат бұрын
Pole Godfrey pole jamani, hujawahi kutoa taarifa mbaya
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 19 сағат бұрын
Tumesharudishwa nyuma tulipotoka daah 😢
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 20 сағат бұрын
Bashite ni Jambazi ..
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 20 сағат бұрын
Walinzi wa Makonda wanafanya kitu kama hicho kwani mwandishi hana haki wanamharibia kazi Makonda kweli Makonda anajua hiyo hali
@AmissiBitariho
@AmissiBitariho 20 сағат бұрын
Siyo wanamuharibiya makonda ana asili yakudanganya kujipendekeza kwa rahisi ndokwamaba yeye uwa anapenda Aliko aonyeshe nimwema n'a awataki ukweli wende azarani wanamuongopeya rais alafu unasubiri Amani uku unaficha upanga
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 15 сағат бұрын
Mungu ndiye mtangulizi wenu nawao watajibiwa kutoka kwa muumba.
@josephvenus3259
@josephvenus3259 19 сағат бұрын
MAKONDA HAO WASAIDIZI WAKO WANATAKA KUKUCHAFULIA UTENDAJI WAKO ULIO TUKUKA KWA SASA. WAONYE KABISA
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 9 сағат бұрын
Wanamchafuliaje wakati alikuwa karibu?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 21 сағат бұрын
Makonda watu walianza kukuamini, halafu ndo nn hiki ss
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 21 сағат бұрын
Mimi ni ccm pili nina akili timam cjawai kumuamn makonda kwanza ckutegemea kama rais wangu angeweza kumludisha kwenye mifumo
@alisalim2725
@alisalim2725 18 сағат бұрын
Makonda ni mtu mnoma sana hawezi kosa kila serikali na ni kwasababu ya kazi moja tu kuuwa na kutishia watu
@alisalim2725
@alisalim2725 18 сағат бұрын
Ogopa mtu anaejionyesha mwema mbele za watu bro kando hao watu wana kazi chafu sana
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 16 сағат бұрын
Maji hayajawahi kusahau baridi... Ni Mwenyezi Mungu pekee wa kumtumaini na kumshtakia sasa maana hakuna namna tena
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 14 сағат бұрын
Walio muamini bashite hawamfahamu. Na mimi nilidhangaa watanzania kujitoa ufahamu kwa muda mfupi tu? Wanamkaribisha nyoka kwa shangwe?
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 8 сағат бұрын
Mwenye'Enzi'Mungu'Mlezi AtuSimamie 💔😢
@Kabi_47
@Kabi_47 8 сағат бұрын
BADO HAMJASEMA ENDELEENI KUSIFIA🕺🏿🕺🏿🕺🏿
@JPO2R69
@JPO2R69 3 сағат бұрын
Vfikiri kwa Mkuu wa Ulinzi na Usalama Alikuwa jirani na tatizo
@theoriginals3240
@theoriginals3240 19 сағат бұрын
makonda hajaacha ukuma wake tu? hivi mnamsifiaga nini? Marehemu mzee alisha mkataaga kitambo mjue
@AbdulMaeda
@AbdulMaeda 4 сағат бұрын
Uyu mtanagazaji namkubali sana anajua sanaa hanaga baya
@redemtamkemwa6067
@redemtamkemwa6067 15 сағат бұрын
Duuuh mpaka uhuru WA vyombo vya habari hakunaa
@EmanueliLeonsi
@EmanueliLeonsi 12 сағат бұрын
pole kaka ukiwa mkweli lazima upigwe na hao wakuu wetu maan wana mamlaka kwenye hii ichi
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 9 сағат бұрын
Makonda anafanya ujinga kama huyu kumpe si mtu mzuri Mungu amuathibu sana makonda acheni watu wafanye habari zao polen ndugu mwanabari nyie polisi nyie polic ipo siku moja yenu Mungu atakuja kuwahukumu hata wandishi mmewaingilia kweli kweli basi tu ipo siku.
@nataemsuya
@nataemsuya 16 сағат бұрын
Nasisitiza, watanzania tupunguze ubabe, haya maisha ni ya muda mfupi tu, tusijisahau. Ubabe uko kuanzia ngazi zooote. Kuanzia ngazi za chini kabisa.
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 20 сағат бұрын
Nyie mnajipendekeza ccm
@LucyMichael-s4u
@LucyMichael-s4u 11 сағат бұрын
Pole sana!mungu Akupe nguvu nauendelee kupambana.
@edithminja4282
@edithminja4282 8 сағат бұрын
Makonda alitaka kuficha kinachoendelea. Na mumjue sasa huyo ni mtu wa namna gani Pole mwandishi
@ibrahim_427
@ibrahim_427 20 сағат бұрын
Inapo elekea tutasikia Ametekwa
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 11 сағат бұрын
Uko sawa kwasasa ni ubabe tusinyanyaswe nawanainchi tuwalinde waandishi wa habari hawa ndio wanafikisha kero zetu panapohusika
@hamdincatalonia3272
@hamdincatalonia3272 20 сағат бұрын
Tatizo letu wa Tanzania tunasikiliza upande mmoja tu
@ireneshao7950
@ireneshao7950 19 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 sio akili zako siamini Mungu amekuumba na hiyo akili
@OleLucas
@OleLucas 15 сағат бұрын
Pole sana na usiogope maana unawasaidia wananchi na wakupee kadi yako maana sisi kama wamasai umekuwa wa maana kama wanakuzuia watupe mtt wetu maana wanajua sehemu ako
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 13 сағат бұрын
Kiufupi Ayo TV hawajawahi kuripoti upumbavu au masuala ya uchochezi. Hiki ni kituo bora sana cha habari hapa Tanzanua. Lakini pia huyu mwandishi ni maarufu na mbobevu.
@JoshuaMwanilwa
@JoshuaMwanilwa 5 сағат бұрын
Makonda kiongoz ninaye mwamin kumbe naye hafai hafai kabisa
@nerryabel7512
@nerryabel7512 18 сағат бұрын
Pole sana mwandishi wetu,Mungu atawapigania na kuwatetea siku zote,msikubali kuwa waandishi machawa kabisa✌️✌️Kusaga na Tesha nawakubali sanaa na Mungu awakumbatie kwa mbawa zake🙏🙏
@petergervas9928
@petergervas9928 19 сағат бұрын
Kwajinsi navyojua huyu jamaa Hana kazi coz boss wake ni......
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le Күн бұрын
Heee...tena!
@shufwaaofficialtv1306
@shufwaaofficialtv1306 21 сағат бұрын
Mange alisema
@HarunaLotha
@HarunaLotha 12 сағат бұрын
Pole sana rafiki yangu
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey 16 сағат бұрын
polesana mwandishi
@EmanuelApollo-th1tp
@EmanuelApollo-th1tp 20 сағат бұрын
Hao ndo polisi.
@munikojulius6667
@munikojulius6667 14 сағат бұрын
Serikali acheni watu waseme ili uchungu wao uishe! Mkiwazuia watasema kwa vitendo
@bonifacemollel87
@bonifacemollel87 17 сағат бұрын
Makonda amekuaje tena mtetezi wetu amegeuka kua hata ukweli ujulikane kwa serikali
@johnbernad3990
@johnbernad3990 18 сағат бұрын
Kaka kuwa makini sana wasije wakakupoteza maana bado tunakuhitaji sana kwenye tasinia hii ya habari
@AndreaDaud-k2c
@AndreaDaud-k2c 14 сағат бұрын
Muulizeni wakati anarekodi kulikua na waabdishi wa habari wengine na je walikua wanarekodi kuna MDA mwingine unakuta MTU analeta Kero yake asikilizwe lakini anakuja KATIKA mazingira ya kuomba ulinzi alindwe hapo lazima kamera zizimwr aisee haiwezekani MTU atoe taarifa ambazo anatakiwa afichiwe siri Ww unataka urekodi hapana
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 сағат бұрын
Unaandika nn we fara
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 19 сағат бұрын
Uandishi uwe na mipaka msidanganywe na mashirika ya ULAYA .
@DativaRevelian
@DativaRevelian 2 сағат бұрын
Hii habari Ayo Tv wenyewe hawajairipoti
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 8 сағат бұрын
Uhuru wa waandishi wa habari,vyombo vya habari na democrasia ni sifuri na hao ndio watekaji na wauwaji wakubwa sana
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 19 сағат бұрын
Maccm yamechanganyikiwa.....yana hofu ...yamevurunda ..hayana pa kushika!?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 12 сағат бұрын
Hii ndio serikali ya fisiemu hahiitaji ukweli ujulikane
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 19 сағат бұрын
Wewe utakuwa umekosea maana kuna mipaka ya kuchukua matukio kumbuken kila kitu kikiwa kinaripotiwa katu hatuweze endesha nchi hii cool down
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 11 сағат бұрын
Huyo zake fujo tangia kwa magufuli ni wababe
@SINADATITO
@SINADATITO 19 сағат бұрын
Pole Sana. Makonda Nini hiki Sasa jamani😭
GB 64 AIBUKIA SAKATA LA ELIE MPANZU BAADA YA KUTUA BONGO
14:31
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 16 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 1,8 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН
KIBOKO YA WACHAWI KUANDALIWA TANZANIA
29:29
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 274
MWANZO HABARI LIVE: MBOWE:TUKO TAYARI KUFA KWA MAANDAMANO
24:04
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 6 М.