Makonda Kaka yangu... yaani wewe ni Kiongozi unaetufaa sana kwa nyakati tulizonazo kwa kweli.❤
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Ee Bwana utete nao watakaoteta na watetezi wetu uliowateua watutetee wanyonge, upigane nao watakaopigana nao, ushike ngao na kigao usimame uwasaidie...zab 35 ikawasimamie wote, kwa jina la Yesu... Kazi wanayoifanya ni ngumu na inayohitaji ujasiri na kujiamini na inahitaji ulinzi wa Mungu.
@emmymsangi87838 ай бұрын
❤❤ Makonda yani nikiona utendaji wako wa kazi namkumbuka Magufuli ,piga kazi baba tetesi wanyonge
@jacktonmakau33978 ай бұрын
Wakili makini sana.Ahsante makonda kwa kushirikiana na mawakili wasomi.
@skeetergodwins25768 ай бұрын
Yaani jamani, kweli Makonda ni mtetezi wa wanyonge. Hakika Kwa kufanya hivyo unaugusa moyo wa Mungu. Mungu akulinde.
@constantinekanyasa40748 ай бұрын
Ngoja nicheke Huu uwekezaji wa kwenye cm kdg na me niweke hela kwenye Vanila walivyokuwa wanashawishi huyu jamaa na vimiwani vyake vya mchongo ukute ni mwizi wakimataifa.
@AlHamra-k4u8 ай бұрын
Saimoni umeingia mikononi mwa Mh Makonda hapo hufulukuti. Makonda ni jeshi la mtu mmoja hakuna anaemuweza huyu jamaa moto otea mbali 🔥🔥. Na Hao wadudu ukiwapa ajira usipowalipa mapanga yatakuhusu Saimoni 😅
@emmanuelmlowe-ew7gx8 ай бұрын
Makonda hashindwi mgogoro, mahakama zingetumika miaka lkn makonda amemalizwa kwa dakika 15 tu
@gabrielzakaria28108 ай бұрын
Ameyatimba
@PendoNatalia8 ай бұрын
Jamani mama Samia ubarikiwe Kwa kutuletea jembe
@dorahmushi-we6ts8 ай бұрын
Mama Samia asante kwa zawadi ya Makonda, na hawa wote wanaoshirikiana nae, uwaangalie kwa jicho la tatu, watakufaa baadae hata kuwa wakuu wa Wilaya kama sio mikoa .❤
@sammwamafupa8 ай бұрын
Arusha wana bahati sana uzao wa magufuki umewafikia hakika makonda wewe ni bonge la mtu kaka mkubwa na kila unapotoka unaacha alama ya kukumbukwa baba natamani ukubidhiwe mkoa wa mbeya ua upewe nchi yote hayo ndo maombi yangu kwa mungu mana namini tanzania itkuwa juu sana ikiwa kwenye mikono yako
@nancygitonga32828 ай бұрын
Bwana Makonda piga kazi baba and God grant you His Grace that is sufficient Hongera sana
@joevang46858 ай бұрын
hv wakuu wa mikoa wengine mnafanya kazi gani.mama fukuza wote. au wapewe semina. hv ndo kaz inatakiwa kusikiliza wananchi
@oswardjaphal-cd6np8 ай бұрын
Una kipaji kaka kutoka kwamungu. Sio maigizo Burazote. Zikufikie hapo ulipo. Nakuomba. Ukiwa umetulia nyumba. Cukuwa. Dakika Moja tu. Upitie comenti. Zawana inchi wako. Uta elewa kitu. Una pendwa sana. Wewe. Sankala wa TZ
@IddySeleman-w3w7 ай бұрын
Makonda:mungu na akupeujasiri hekima busara akushidie kila vita za hawa miungu watu wakiinyosha silaha kwako, waangamize familia zao nawewe ukiendelea kulindwa na malaika wakuu mikael, Rafael na Gabriel Aamin amin amin.
@hyy41148 ай бұрын
Huyu ni dua zetu na shangaz yng zimejibiwa alitufanya wajinga dua hujibiwa Alhamdulillah sasa unaenda kudhalalika Allah ni mwingi wa rehema
@lazarosimbo7528 ай бұрын
MAKONDA MAKONDA, USIKATE TAMAA KUNAMAALI UNAENDA,, ILA UNAMAADUI WENGI MUNGU AKULINDE,
@GervasPastory8 ай бұрын
Wasukuma wanavipaji kuwa viongozi au nimepuyanga
@ephraimmakaranga17958 ай бұрын
Aisee Makonda umepigaje hapo
@SaraSara-i1l7 ай бұрын
Viva makonda mungu akuweke baba
@EmmmaTembo8 ай бұрын
Hakika mama Samia akiona huyu mwamba anafurahi saaana
@WinnieBenard-x5c7 ай бұрын
Jamaaa smart halafu mjanja afu anaakili sn anawachoraaa tuuu
@MaribaMariba-w8r2 ай бұрын
Naomba namba ya makonda
@elizabethmassawe6947 ай бұрын
Kaka saimoni.hongera saanh
@jeffreywilliams11718 ай бұрын
Mmh, huyu saimon km sio zimefyatuka kutokana na mario mengi, yaani km mb zake zimejaa na kichwa hakitoshi.ila inaonekana ni mtu wa vision sana.anahitaji msaada wa kisaikolojia.iwe km antivirus kwake.
@alphoncenerlimbweni62338 ай бұрын
Tumuombee Makonda majizi na waonevu ni wengi sana
@jamesmartin70268 ай бұрын
Mimi nilijua tu hili jamaa ni tapeli 😂😂😂
@fredrickipembe81888 ай бұрын
Jamaa anajiamini sana laa hatari sana
@kleofacejerome2 ай бұрын
Dr Manguruwe yamemkuta
@silassaitoti76898 ай бұрын
MAKONDA ANATUFAA SANA.
@magrethsanga9428 ай бұрын
Mungu hakika huinua watu wake kusaidia wanyonge
@AllyMlenga-u7g8 ай бұрын
Muwekezaji huyo wa vanila janja janjasana
@shallomelias807 ай бұрын
Da mkurugenzi anafurahisha sana
@Kanyawela8 ай бұрын
Ikiwa kwa namna hii mweshimiwa mkuu wa mkoa anaweza kumaliza migogoro hii kwa wingi bas tujue kweli mahakama zetu zinaweza kuwa hazitoi haki
@michaelmoshi8 ай бұрын
Jamaa wa vanilla itakuwa msanii tu.....niko nimekaa pale😅
@OfficialA836402 ай бұрын
Nipo nimerudi kusoma comment yako jamaa kaingia selo tayr tapeli hd kwa Serikali😂😂😂😂
@Zubaiba7 ай бұрын
Makonda ww ni noma dunia nzima hakuna😂😂❤🎉🎉🎉
@joevang46858 ай бұрын
hawa jamaa wa vanilla nusu wanipige namimi njombe. matapel hawa
@daudichoghoghwe50358 ай бұрын
Kama umeona mrad wangurue ataenda kuuzaili. alipe fedhahio
@Leeeeeeee-968 ай бұрын
kumbe ni muhimu
@upgo61128 ай бұрын
Huyu jamaa naona anaenda jera kabisa
@emmanuelmlowe-ew7gx8 ай бұрын
Kesi kama hii mahakimu wangetumia miaka lkn makonda ametumia dakika 15 watu wanalipwa
@OfficialA836402 ай бұрын
Nani kalipwa utapeli umepita hapo😂😂😂
@RehemaPanga-x6z7 ай бұрын
Huyu jamaa si yule aliyesababisha simba kuitwa nguruwe fc😅😅😅, aliyekuwa anatoa zawadi ya nguruwe😅😅😅😅 kwa kila goli
@WinnieBenard-x5c7 ай бұрын
Makonda sio smart kama sabaya
@eliaskangabo7798 ай бұрын
Mheshimiwa Malinda hongera dana kwa kusaidia wanyonge Mungu akulinde,
@ClaraMguju8 ай бұрын
Jamani mi nipo dar na mm namdai uyo mkurungezi wa vanilla nifanyaje Sasa mbona nimevurugwa Sasa jamani au Nije arusha
@musaamos24317 ай бұрын
Huyu jamaa jeuri
@BenedictaMagantg8 ай бұрын
Many congratulations Makonda
@JastinDigadiga-pe8mf8 ай бұрын
Dsm wapo wengi sana
@kevinmbise823221 күн бұрын
Pesa zao zilirudiii
@ebenezermachange-zp4es8 ай бұрын
Haleluya
@OfficialA836402 ай бұрын
Hapa ndy walipigwa kuanzia Makonda wao hd wananchi dah Manguruwe kweli haramu hafai 😂😂😂😂😂😂
@OmegaJustine2 ай бұрын
😂😂😂😂 yani hadi nani aliingizwa chakaaah
@augustinopanga96228 ай бұрын
Yaani Hata hatumii nguvu 😂 mimi ningeshamtia ndani
@brianbaltazar61988 ай бұрын
Yaani huyu saimoni mkondya ni tapeli mkubwa ametapeli watu vanilla village njombe na zanzibar na sasa ameenda kutapeli watu Arusha
@GibsonNtamamilo8 ай бұрын
Sasa ameyatimba kwa Makonda😂😂😂
@fatmaabdallah77098 ай бұрын
Hivi jamani mnavyomuona huyo saimon yuko sawa kiakili?!
@fatmaabdallah77098 ай бұрын
Maelezo aliyokuwa anayatoa kwamba kampuni yake ni kubwa duniani kote na ina wafanyakazi wawili peke yake inatosha kumtathmini huyu jamaa kwamba hayuko sawa😂
@hassansaul70988 ай бұрын
@@fatmaabdallah7709Hahhhh, saa Saba kasorobo kweli, ila nimependa Makonda kumpa muda wa kujieleza 😅
@fatmaabdallah77098 ай бұрын
@@hassansaul7098 kampendelea kwa kweli kumpa muda mrefu wa kueleza upuuzi mtupu 🤣🤣🤣
@buchumiefremu58308 ай бұрын
Hapo vip hapo poa
@kemmymartine48847 ай бұрын
😂😂😂😂makonda kasoma saikolojia sjawah ona😂😅
@EmmmaTembo8 ай бұрын
Wa Makonda kumi wakiwepo Tanzania nzima haki inaweza kuwa rahisi kupata
@atupelekayuni-q2wАй бұрын
Manguruwe dah
@ephraimmakaranga17958 ай бұрын
Aisee Makonda umepigaje hapo!!!!
@enezermwafrica74438 ай бұрын
Mpaka Makonda anatatua kwa nusu dadika, basi inadhihirisha wasimamia Haki wa jambo hili ni wabovu mpaka basi😅😅😅
@ephraimmakaranga17958 ай бұрын
Aisee Makonda umepigaje hapo!!!
@EmmanuelNyinyigwa8 ай бұрын
Mnunuzi apimwe hakili inawezekana waliingia mkataba na chizi hayuko sawa😅😅😅 umesikia we ni mteule wa rais
@IddiAbdi8 ай бұрын
Makonda mungu akujalie uhamishwe uwende mkoa wa tanga wewe nikama mgufuli msikivu na naahidi ipo siku utakua laisi maana upo pamoja na wanyonge
@godlema61048 ай бұрын
Makonda leo ametumia ekima sana
@DonartLongo8 ай бұрын
Makonda baba lao
@SalomeSulle-nw7pv8 ай бұрын
Ekisi
@gabrielzakaria28108 ай бұрын
Makonda jembe raisi wetu wa kimyakimya
@johnsonsabanya58608 ай бұрын
Uyu jamaaa anafanya na muwekezaji wa nguruwe dodoma🤣🤣🤣🤣
@frankkitomary38788 ай бұрын
mweshimiwa uyu anaoneka mpigaji jino kwa jino mpaka aseemee
@getajo11538 ай бұрын
Huyu SAIMON ndo yule yule aliyejaza matangazo WAPO RADIO au 😂😂😂
@williamftairo34758 ай бұрын
Ndio huyo huyo. Na sasa ana mradi wa nguruwe
@PayanaDaniel7 ай бұрын
Mimi nina wasiwasi na huyo tajiri kama dishi kimeyumba if.
@MwanaishaShattry8 ай бұрын
Mh. Makonda unajua kucheza na akili za watu. Unakipaji kikubwa mno mie ningechefukwa na kutapika
@jairosgreyson32688 ай бұрын
Awaulize wananchi wa njombe ,alichowafanyia
@emmanueljohn87238 ай бұрын
Uyu sasaivi sindo aliye jiingiza kwenye uwekezaji wa nguluwe 😅😅dodoma na doto magali😢
@adelinabaitu32917 ай бұрын
Nikichaa
@khadijajuma68328 ай бұрын
Kuna shetani nyingine yakuitwa Tariq siku yake ikifika atafurahi
@AlfredHaji8 ай бұрын
Wahaya wamasifa jaman
@advancerobert9863 ай бұрын
Mr Manguruwe😂
@AlbertShayo-i6v8 ай бұрын
Mkuu waambie wanasheria zako watafsiri kwa kiswahili watanzania sio wote wanaelewa kiswahili
@peterkanza22078 ай бұрын
Ukilewa usichati.
@simonainea53877 ай бұрын
Kuna watu wanachukia wakisikia makonda Kama magu.
@EssenceEmpire-p6i2 ай бұрын
Dr manguruwe😂😂😂
@tuntufyemwasyete38348 ай бұрын
Hii nchi Ina wanyonyaj wengi
@chikusangalala77598 ай бұрын
Makonda ni raisi wa nchi yani hapowi hata kidogo
@veronicalaiser78697 ай бұрын
Huwa namsikia akielezea hiyo miradi yake kwenye redio lakini huwa siiamini. Hivi ni Mtanzania? Mbona kiswahili chake hakinyooki vizuri.
@musaamos24317 ай бұрын
Huyo anakuwa kama mzambia
@technicalgearboxenginebysc13608 ай бұрын
Huyu ndio aliwaahidi Makolo nguruwe 🐷
@WakiliAbasi7 ай бұрын
Nimemkubari na mimi nitakuja kutembelea shamba
@joycemwango9438 ай бұрын
Be blessed MAKONDA
@LesikarEdward-x9h2 ай бұрын
Makinda wapatie Hali zao
@songeza7 ай бұрын
Huyo ni mtoto wa marehemu Magufuli anakila sababu avae viatu vyake ila msimuue nyie mnaotenda sivyo ye yupo ktk haki anasimamia mwacheni atende kazi mpaka atakapokua Rais
@KattKangu6 ай бұрын
Makonda ukihamishwa kikaz mkoa mwingine namm nahamia uo mkoa
@simulizitanzania25718 ай бұрын
Huo mradi wa Vanilla niliona mwisho wake kabla ya mwanzo. Nilimzuia shemeji yangu,Aliyekuwa tayari na 5,000,000 akitaka kuipoteza....! Huyo Saimon ni tapeli tu
@LittaMushi8 ай бұрын
Safina Arusha tunaomba maombi maalumu kwa ajili ya Makonda...maana MUNGU amejibu maombi ya wengi Arusha
@JumaKitutu-t4s8 ай бұрын
Dunia ina maboya kama hawa
@herbethlukogela76578 ай бұрын
Nguruwe wa simba wanahukumiwa....
@musaamos24317 ай бұрын
Tapeli wa mkoa kaamua kuwasainishatu maana akisema hiyo tuma hela kwenye namba hii hamtaki
@LastDoctor8 ай бұрын
Sssa hivi anapiga za nguruwe huku dodoma
@songeza7 ай бұрын
Huyo tapeli watatokea watu afungwe
@dominicmyumbilwa16578 ай бұрын
Anauza Nguruwe Dodoma Saaizi 😂
@emmanuelmlowe-ew7gx8 ай бұрын
Makonda bwan amwambia mwanasheria utawala hoteli yoyote unayotaka
@aronmtui5978 ай бұрын
Wananchi mnazingua
@dausoncleophace91078 ай бұрын
Kua makini mkuu maadui wapo wengi
@robertigohe74778 ай бұрын
Huyo ni tapeli
@richardburengengwa69988 ай бұрын
Koma kwajina la YESU mtenda haki ana chukiwa siote tunajuwa.makonda songa mbele mungu yuko nawe