MWABUKUSI ANAONGEA SAKATA LA KUMCHANGIA TUNDU LISSU GARI. KAFUNGUKA MAZITO

  Рет қаралды 10,250

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

2 ай бұрын

Пікірлер: 75
@user-dk3ou5yk2f
@user-dk3ou5yk2f 2 ай бұрын
Wanaopinga kumchangia shujaa wetu ni Maadui zetu na Tanganyika yetu Tuko na MUNGU tusonge mbele ushindi ni wetu
@derickshula1978
@derickshula1978 2 ай бұрын
Amina sana kaka Mwabukusi, umenena vizuri sana kaka, Lisu ni MUSA atakayetutoa Misiri yetu. Mwabukusi juu Lisu juu, Mbowe juu, Slaa juu, jamani Mungu katupa zawadi ya watu kuliko watu au mataifa yote Duniani
@dillonfoya
@dillonfoya 2 ай бұрын
Tunduism legacy jamani anahitaji gari la kumsaidia kuendelea kutupigania kuweka nchi hii mahali sahihi hata ikiwezekana bullet proof car
@jesaminzo
@jesaminzo 2 ай бұрын
Nakubaliana nawe mtumishi wa MUNGU Mwabukusi!
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 ай бұрын
Tutamchangia mpaka anunue gari mana tunamhitaji sana na tunajua mengi na kutetewa mengi nae huyu mh lissu.
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 2 ай бұрын
Mwabikusi. Umesema. Kweri Mimi namuungamkono Lisu. Silimia
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 2 ай бұрын
Good points brother. May God bless you. Ameen.
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 2 ай бұрын
umemaliza kila kitu
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 2 ай бұрын
Wakili Mwabukusi nafurahia maini Yako hongera tafadhari nikuombe kitu hajikisha umechukua fomu ya ubunge kupitia Chadema
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 2 ай бұрын
Huo ni ukweli Advocate Mwabukusi!! Well said
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 2 ай бұрын
Hakika Lissu ni hazina yetu. Sawa kabisa, Lissu ni mzalendo wa kweli. Awamu ya pili nitachangia tena na tena.
@Samweli-ij3im
@Samweli-ij3im 2 ай бұрын
Wanaobeza ni hao misukule wa ccm ambao damu za wenye haki zinawalilia na zitakuwa juu ya vichwa vyao na watoto wait hao wanao furahia mateso ya wenye haki mile pita handeni
@renatusmgusii2268
@renatusmgusii2268 2 ай бұрын
NampongezA Mwabukuzi. Sina maneno mazuri zaidi ya kieleza jinsi nilivyoguswa na maneno yake.
@derickshula1978
@derickshula1978 2 ай бұрын
NAOMBA SANA MUNGU LISU AJE APATE HATA MWAKA MMOJA KUONGOZA HII INCHI TUTAKUJA KUMUELEWA SAIZ WENGI WAMEZONGWA NA MASHETANI YA TAIFA HILI NDIO MAANA TUNACHELEWA KUMUELEWA.NAJUWA KUSUDI LA MUNGU LITAFIKA,AMINA
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 2 ай бұрын
CCM WANAUMIA LISSU ANAVYOTUPA. HELIMU YA ULAIA KUHUSU HAKI ZETU NA IPO SIKU CCM ITAONDOKA MADALAKANI NA TANGANYIKA YETU TUTAIPATA NA CCM IKAONGOZE ZANZIBAR
@starspreandprimaryschools3075
@starspreandprimaryschools3075 2 ай бұрын
Safi sana mheshimiwa Mwabukusi, nipe namba ya kuchangia
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 ай бұрын
We behind you guys and we still praying for you LISU
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 ай бұрын
LISU LISU LISU PEOPLE POWER
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 ай бұрын
Very good mh mwabukusi
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 ай бұрын
MH Boniface mwambukusi, wakili msomi umekuwa mwalimu Bora sana ktk shughuli za kuielimisha jamiii iliyopo mbele yetu, mh, usihofu uwe na amani moyoni mwako MH Lisu atachangiwa pesa kabisa wasikuchoshe hao haramia CCM, mh endelea kufundisha kinachojiri kwenye Taifa letu,
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 ай бұрын
Namshangaa Prof. Kabudi wa sasa ni tofauti kabisa na Prof. Kabudi wakati wa Tume ya Warioba. Eti huyu ni Professa tuliompeleka kusoma Kwa Kodi zetu na akaenda kusomea ukigeugeu.
@calystkavishe9670
@calystkavishe9670 2 ай бұрын
Mungu atangulie katika jitiada za kukomboa Taifa letu la Tanzania kwa kupitia wapambanaji na wanaharakati kama Mh. Tundu Lisu
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 2 ай бұрын
Ukosawa mwabukusi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Big brain explanation vary brave lndipendet privet advocate mwabukusi on tundundulisu
@andrewmbughi3587
@andrewmbughi3587 Ай бұрын
Mwabukusi big up kwa maneno thabiti
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 Ай бұрын
Sana sana sana Mh Mwabikusi. Asante sana Kiongozi.
@AshuriKipingi
@AshuriKipingi Ай бұрын
Naumia sana wanapopungua viongoz kama Hawa,that's nice wanasheria wetu,
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 2 ай бұрын
Wanaopinga Tundu. Lissu Asichangiwe Wameongwa Na Ccm Kwa Chuki Za Ccm
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s Ай бұрын
Nawakubar sana boniphace na tundu hero's journey
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@mosesntamahungiro4995
@mosesntamahungiro4995 Ай бұрын
Mwabukusi kaka shikamooo nimekuelewa kaka
@kinginno3412
@kinginno3412 2 ай бұрын
Tutachanga hatamilioni elfu tatu
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Ай бұрын
Lisu kwakweli mtu moja smart sana na mpambania haki wa kweli wa Taifa.
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 2 ай бұрын
Ccm.mnawakatisha.tamaa.wasimchagie.lisu.wakati.nyie.mnaishi.kwa.kodi.zetu.maisha.yenu.yote.ni.kodi.na.bado.mnaiba.
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 ай бұрын
MWABUKUSI NA WEWE MUNGU AGUBARIKI
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm Ай бұрын
Safi sana wakili majitu mapumbavu tuyatenge sasa tuta fika tu
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc Ай бұрын
Sawfi sana mwabukusi lete namba ya kuchangia. Tunamkaribisha huku kwetu Tunduru
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Ай бұрын
Big Up Mwabukusi
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 2 ай бұрын
Wewe ni jembe letu
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Ай бұрын
Ni kweli mkuu hata kama mtu anayeweza ampe hata mkewe ampigepige masaji pia hicho ni muhimu sana vilevile
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 2 ай бұрын
Kongole sana mheshimiwa. Ni mpumbavu tu ndiye hatakuelewa.
@mtalemwasamwel2172
@mtalemwasamwel2172 Ай бұрын
Mh. Mwabukusi, mbona unachelewa kuchukua KADI!? Ebu kachukue kadi ili Jimbo la Mbeya mjini litakapogawanywa kama inavyosemekana wewe usimame Jimbo moja na Sugu Jimbo jingine. Nakukubali sana Mwamba sijui muda wote huu ulikuwa wapi
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 ай бұрын
asante sana maria je serekali ya muungano tunataka katiba mpya nilazima watanganyika waishi kwa amani na mapori yetu tuyamiki bila kufukuzwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu msilale Tanzania walio wengi awajui yanayo endelea maria je nauliza tutafanyaje swala vitambulisho vya taifa vitolewe kwa haraka sisi wooote ❤
@FredyMichael-ex3kv
@FredyMichael-ex3kv 2 ай бұрын
Nashauri mchango uwe milele
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Huyo keshapewa milioni mia 4 hio michango ni danganya toto apewe na waliomfuga huko Ulaya
@user-op1un3cx5v
@user-op1un3cx5v Ай бұрын
Daaa cnachakusema amemaliza
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Ай бұрын
Freedom is coming 2morooooo❤❤
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Ай бұрын
Tutachangia sana,wasiotaka wasichange hawalazimishwi.
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Ata nyelele au CCM wanachangiwa
@ElizeusKaiza
@ElizeusKaiza Ай бұрын
Naomba a/c namba nachanga kutokana kilicho tokea. Waliofanya hivyo Mola awahiukumu popote walipo.
@salmajafari6838
@salmajafari6838 Ай бұрын
Tunataka number team strong tupo huku Gulf county balozi zinanatutesa, tupeni number ya kuchangia
@salmajafari6838
@salmajafari6838 Ай бұрын
Tunachangaje Sasa tupeni number,
@derickshula1978
@derickshula1978 2 ай бұрын
Inchí hii wapo watu MUNGU anatambua kuwa ana watumishi wake!! Na ni wachache. Pili atakapokuja kuwaweka hazalani, wengine watategemea kuona labda Mwamposa, au muhubili yoyote, utakuja kushangaa kumbe wapo kwenye Siasa au harakati. Tena wachache sana. Najuwa mmojawapo ni TUNDU LISU, NA MWABUKSI, HAWA WATU NI WATU WACHACHE SANA DUNIANI, WALITOKEA KIPINDI CHA MJERUMANI ALIPOKUWA ANAKUJA AFRICA. NDIO NAANZA KUWAONA SAIZI. LISU, MWABUKSI, SLAAA, MDUDE, NA WENGINE WOTE WANAOPIGANIA TAIFA HILI KWA GHALAMA ZA UHAI WAO BILA UWOGA NDIO WATUMISHI WA MUNGU ALIYEUMBA MBINGU NA INCHI, WENGINE SINA HAKIKA KABISA. NA SIWAAMINI KABISA.
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 Ай бұрын
Kwa nini anazungumziwa Lisu kama mtu binafsi na sio kama mtu anayefanya kazi chini ya Chama?
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
HAO ULIOWATAJA NDIYO WALIOPIGANIA TAIFA LAKINI SIO LISSU
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc Ай бұрын
Hata miye ninamchangia elfu sabini ili akaifanye kazi ya ukombozi kwa ufanisi na kutuweka huru watanganyika.
@estomihmassawe120
@estomihmassawe120 Ай бұрын
Naomba tujulishwe namna/mfumo wa kuchangia. Pesa(gari la Lisu) yetu tutaituma wapi na vipi?
@OSWARDPANJA
@OSWARDPANJA Ай бұрын
Tukopamoja namba za kuchangia ziko wapi?
@ElizeusKaiza
@ElizeusKaiza Ай бұрын
Account namba inahitajika. Nitumie.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 ай бұрын
Good job wakili Mia Ina Kuja
@EmmanuelAngetile-gn2td
@EmmanuelAngetile-gn2td 2 ай бұрын
Ninakukubali sana kila saa na kila wakati, ujawahi kuongea upumbavu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Ай бұрын
Mwabukusi sio kumchangia gari tu mpe na mkundu wako kuma weeee ccm mbele kwa mbele
@frankatilio
@frankatilio Ай бұрын
Pole sana Muogope Mungu,Kuna kujib kwa Allah kadri ya matamshi,
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
IKIWEZEKANA ANUNULIWE GARI ISIYOPENYA RISASI SHIME WATANZANIA TUSILEMAE KIFIKRA MWENYE ENZI MUNGU AMETUPA AKILI TIMAMUU. BAHATI MBAYA KUNA WALIOUMBWA NA UTINDIO UBONGO HAO TUWAOMBEE
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Mwabukusi muongo Lissu alipiganie Taifa gani? Acha upoyoyo Lissu anapigania maisha yake Sio ya Watanzania Wanamuunga mkono LISSU HAWAJITAMBUI KAMA ULIVYO WEWE MWABUKUSI
@user-vg9sd2fc1k
@user-vg9sd2fc1k Ай бұрын
Kwann alipigwa risasi😢😢
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
@@user-vg9sd2fc1k alijipiga risasi mwenyewe hivi upigwe Risasi mkono wa kushoto Uumie mkono wa kulia Waaache upoyoyo wadanganywe wasio na Akili
@Wamisangi
@Wamisangi 2 ай бұрын
Nani mwenye utindio wa ubongo? Ambaye alizunguka kuwaambia watanzania kwamba kiongozi flani ni fisadi na baadaye akazunguka kumnadi huyo huyo aliye mtuhumu awali eti, eti, eti... achaguliwe awe kiongozi wao. Nini kiliwageuza wakarudia kulamba matapishi yao. Msiwadharau wananchi mkafikiri wana akili za usahaulifu kama kuku. Huwezi kufanya siasa za kinafiki huku ukimtaja Mungu wa Mbinguni, huko, huko, huko na rudia huko ni kujilisha upepo.
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 2 ай бұрын
Nakubaliana nawe ktk kosa la Chadema kumpokea Lowasa, Lakini sipo tayari kuamini Lile kosa la Chadema liifanye Ccm kuwa ni Bora kuliko Chadema, No!! Pale kweli waliteleza Lakini Bado Chadema ni Bora mara 5 kuliko Ccm, wanashangaa kumchangia Lisu gari ya Mil 300 afanye Kazi ya Taifa, wakati Mi Ccm limoja tu linakula ma billion ya Watz?
@user-vs8hp2li9u
@user-vs8hp2li9u Ай бұрын
Shujaa umesema neno
@derickshula1978
@derickshula1978 2 ай бұрын
Wamisangi, naona kama sio ccm basi ubongo wako umechanganika na maji zaidi,ujazo wa ubongo mdogo kuliko maji. nikuulize ukimuhubili mchawi na akaacha uchawi wake utaendelea kumshikilia na uchawi? Pili kuna mtu aliitwa Sauli kwenye Biblia,unajuwa mazambi yake alifanya? Hadi alikuja kuitwa paulo, na ndiye aliyeweka nyaraka nyingi zaidi zitadumu milele kuliko wote walioandika barua kwa watu.huyo uliyetamani wasimsafishe baada ya kutubu zambi zake usije kushangaa hata Mungu alishampokea saizi,tena watumishi wenzake ndio waliomsafisha.wasiogope bulaaa zako watakutana mbinguni.hivyo jitafakar sana upone maji yapunguwe upone kufikili na ujuwe maisha ya taifa lako vzur
@Wamisangi
@Wamisangi 2 ай бұрын
Kuna mahali popote CDM walikiri hadharani kukosea kumpokea EL Hayati, kama ambavyo walitangaza hadharani kumpokea ? Nikumbushe. Nini kiliwasukuma kumpokea kwa sababu zilikuwepo telesi kipindi hicho kwamba Mzee wawatu akitoa fedha mpaka wanafamilia wake wakaingilia kati kumnusuru, nani walikuwa wafaidika wa hizo fedha kama hii tetesi inao ukweli? Kama kumpokea na kumnadi ambapo ilikuwa ni kulamba matapishi yao kulikuwa ni matokeo ya hizo fedha watu hao bado wana integrity mbele ya macho ya wazalendo unaowafanya wa aminike??? Sauli alikuwa anafanya kazi ya Mungu kupitia imani ya kiyahudi dhamira yake ilikuwa njema hakutaka kujinufaisha yeye binafsi. Hivi katika waliokuwa wanamnadi EL nani alikuwa kimbelembele zaidi? Hakuwa amelipwa ndio maana akawa kimbelembele? Magari ya gharama kubwa wanayo miliki nini chanzo chake? Mbona John Mnyika alikuwa na ujasiri wa kukataa maamuzi ya kubadili gia angani na kukataa kumnadi EL, hawa wengine walisukumwa na nini? Wako watu hutaona wakijitokeza hadharani kutafuta sifa ambao kimsingi walitumia akili na maarifa yao waliojaliwa na Mungu kutia mawazo ambayo yaliishamirisha CDM kipindi kile halafu khafla from nowhere na kirahisi tu. Eti tumebadilisha gia angani. WHAT A BETRAYAL THAT WAS!!!! Hekima gani inayo tumika kusema CDM ni afadhali? Nini msimamamo wao kuhusu ushoga kwa mfano?
@Wamisangi
@Wamisangi 2 ай бұрын
Hayo maoni yako kuhusu ubongo wangu na kujibu kwachili NENO. Isaya 54:17
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw Ай бұрын
Kwachili neno aahaa we kweli hauko vizuri
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22