The man's voice in the jungle....powerful voice that brings hope to all members of TLS who are in the side of right....keep going brother u deserve to be leader indeed
@Thevineyard98893 ай бұрын
Yes. Hawa ndio wanasheria tunaowataka hapa Tanganyika. Jamaa anasema, "tutazungumza kwa lugha wanayoielewa hata kwa mkono!!". This is bold and strong statement
@ceciliamagalabajimmy43913 ай бұрын
Mwabukusi ❤ you. You seem to be working as teachers!! We use our eyes, hands, legs , mouth and the whole body that's why our pupils understand better. No teacher agrees without questioning Why, when, what, which who....Am proud of you 👏 .
@Lubango-gj3ud3 ай бұрын
Viva viva Mabukusi, unaitendea haki fani yako ya sheria. Mungu akulinde uendelee kutetea rasilimali za umma wa Taz.
@hildandumbalo58273 ай бұрын
Brother Mwabukusi wewe ni mkweli na ni mzalendo. Waambi e💪🏻💪🏻💪🏻
@hildandumbalo58273 ай бұрын
Wamejinyanyasa wenyewe una Yesu brother
@hildandumbalo58273 ай бұрын
Powerful, tuko pamoja kaka
@hamisijuma32762 ай бұрын
Mwabukusi, Mpina na Katiba Mpya mbona hapendwi???
@AliSalim-yu4mo2 ай бұрын
Kwa kweli Kwa Mwabukusi kuwa Rais wa TLS ni tatizo maana Chama hichi ni cha Watu wote wasio na vyama na wenye vyama tofauti!sasa yeye ana Marengo wa kisiasa ulio wazi,sasa Kwa hivyo anaikosesha heshima taasisi hii muhimu ya watu ni vyema hao waliomuengua kufanya hivyo!yeye aungsne na Mbowe na wanasiasa wengine watuelimishe wananchi mambo muhimu ya inchi yetu!❤🎉
@DON-ERICKDANIELKINDOLE-pj8to3 ай бұрын
Hongera sana sana Mwanasheria mzalendo wa kweli.
@sospeterodhiambo68693 ай бұрын
Kwa kweli TLS haipo kwa ajili ya kusimamia haki Hatusikii sauti yao pale wananchi wa nchi hii wanaonewa TLS inataka akili kubwa ya watu kama huyu Mwabukusu kuinyoosha Big up Mwabukusi
@chuguletheodos33423 ай бұрын
Tuko pamoja mwabukusi ,wewe ni big brain brother
@gowekogoweko58033 ай бұрын
UBARIKIWE SANA WAKILI SHUJAA NA JASIRI MSOMI BONIFACE MWABUKUSI 👏🏼👏🏼👏🏼
@mathewyoung21593 ай бұрын
Tuko pamoja Sana kamanda wetu
@eliyagikaro64263 ай бұрын
Uko sahihi!asante.
@serafineslaa10823 ай бұрын
Au mchakato unaendeshwa na mamluki wa serikali ndani ya tls? Huyu Mwabukusi anavyoongea hakuna kifungu alichovunja cha Sheria ya chama.
@Muneeb-x3f2 ай бұрын
Hi. Ni. Kweli. Unasema. Vizuri. Asante. Wambie. Wajijue
@JustineWangi-j2t3 ай бұрын
Nakukubali sana mwambukusi tutafika tu haki huwa haipotei ila inachelewa tu.
@floraashery2242 ай бұрын
Big up sana brother,even though ukweli utasimama hata wakipinga na kukuondoa
@EzekielChalomhola3 ай бұрын
Mwambukusi napenda honest Yako. Wewe ni Moja ya viongizi "Strong" katika nchi yetu. Huwa una nimotivate sana Mimi katika kusimamia uwazi na haki. Mungu akupe maisha marefu.
@fabianmahenge3013 ай бұрын
Big up to you brother Mwabukusi........
@paull86593 ай бұрын
TLS imebanwa koo ni maccmm. Pole brother Boni
@edsonkahesi86033 ай бұрын
Kabisa, na hawa ndo wanaoiharibu nchi kwa kuleta viongozi wabovu, wasiojiamini, nakuacha viongozi bora eti ni wachochezi, mara wanamkosoa rais yani kiufupi maciciem hayapendi kiongozi wakuwafumbua watanganyika macho, wanataka raia wengi waendelee kuwa mazuzu, wajinga wajinga ili watawalike vizuri..wakiona kiongozi mwenye vision wanampiga vita, kwa njia zote, kama siyo kumbakizia kesi watampa skendo mbaya ilimradi asipate nafasi ya kuongoza ili waendee kufanya yao. Mfano mzuri tuliona walivyokuwa washambambikizia tuhuma za uhaini huyu wakili, mara amevunja sheria kwa kumkosoa rais hadharani, mara unaweza sikia mhujumu uchumi, mara mkwepa kodi, yani ciciem wana uhuni mwingi kwa mwenye kuwakosoa.
@GabrielMwampulo-ys4nl3 ай бұрын
Ndg Mwabukusi endelea na ujasiri huo huo sisi wenye akili hatuoni kosa lako.wewe unatetea maslahi ya nchi.
@SarahAlphonce-q4e2 ай бұрын
Kaka kaza buti kweli tumechoka haki inafunikwa kwa wenye madaraka.
@serafineslaa10823 ай бұрын
Hayo ni maagizo kutoka juu.
@patrinraura13973 ай бұрын
Kwa Sisi watu wa chini tunaamini unabii wa kweli unasimama kwenye ukweli na msema kweli siku zote huchukiwa na ndiyo gharama ya Nabii. Mhe Wakili Mabukuzi Mungu atakulinda kwa kuwa unasimama kwenye haki.
@adelinelyaruu30363 ай бұрын
Haki huinua taifa
@innocent910443 ай бұрын
Bro Achana na hii TLS, Gombea uraisi TLS watakutafuta wenyewe baadae.
@LoitushulYamat3 ай бұрын
Nyie mtu anaposimamia haki mnakimbilia ukibaraka acheni tabia hiyo kabisa
@dennisrwelamira12593 ай бұрын
Upewe nafasi yako. Wewe ni mpambanaji. Mara nyingi viongozi hawataki watu walionyooka.
@alexlazoro35302 ай бұрын
Mungu akubariki
@ThobiasMasabire3 ай бұрын
Mungubakuongoze kaka yangu
@ThomasEkama3 ай бұрын
saw saww mwambukusi
@alexlazoro35302 ай бұрын
Kaka mungu akusimamie tuko pamoja wewe ni mwanasheria wa haki kabisa
@DiscowKajojo-no2up3 ай бұрын
Be blessed
@samsonrusagira51682 ай бұрын
Ubarikiwe Wakili Mwabukusi.Kwa kweli TLS wametuangusha Wa tanzania. Panahitajika mageuzi katika chombo hiki Cha Wanasheria
Wenye chama wao pia wanataka U Rais watampisha kiti si rahisi
@renatusikanoni42033 ай бұрын
Brother wewe nakuelewa sana. Nakuombeaga sana kwa Baba katika jina la Yesu azidi kukulinda juu ya MAADUI.
@chuguletheodos33423 ай бұрын
Kwa lissu alivokuwa rais wa tls hakuwa mwanasiasa wa chadema ,acheni ujinga nyinyi mnaopinga hii akili kubwa ya mwabukisi ,
@richardnganya23113 ай бұрын
Hata Lissu alikwamishwa sana Hadi alipotumia mbinu mbadala na kuwahishwa Kwa helicopter mkutanoni!!
@TegemeaFutemakatifu2 ай бұрын
Tena Alikuwa na Kesi kibao, Hawa wamemuondoa huyu Kwa malengo yao
@MichaelMangole3 ай бұрын
Mungu iokoe Tanzania!
@robertsulus79473 ай бұрын
Mwabukusi for president..you have my vote of confidence bro.
@Muneeb-x3f2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@Siha01TV2 ай бұрын
Hii nchii kila mtu ni mnafkiii mpaka mawakiliii ...mnashimdwa ku saport huyuu jamaa kweli
@ChristianMkumbo-ix2ke2 ай бұрын
The Power of God shetani hawezi kushinda
@CleyKobelu-j8n3 ай бұрын
sema kaka
@bmdele58163 ай бұрын
Mwabuksi, You are a big brain brother, Keep hiting hard!.. 🔥🔥
@juliuskitaluka12063 ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@Alute-son20033 ай бұрын
Mungu akutunze zaidi kaka
@SalimuAlmasi-lt9ud2 ай бұрын
Kwa kweli Mwanbukusi Hakua Mfano.Tusaidie watanzani Tumelala.
@EstherMushi-d7v3 ай бұрын
Thank you role model🫡
@helencyprian87453 ай бұрын
Maagizo toka juu, nuru na giza havichangamani kaka# bandari
@cityonahillstudio21072 ай бұрын
Jua LA haki limeshutuzukia waovu hawajui nyakati ndio maana wanajiona wako salama. Tunakuombea Mwabukusi
@RosemaryHerman-b9b2 ай бұрын
Inauma kwa kweli pambana Mungu yu pamoja nawe
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
Tunakuunga mkono ❤
@Samonhelmane3 ай бұрын
Wewe nizawadi Toka kwa mungu
@bonifasmashingia2 ай бұрын
Ivi Kinjekitile ngwale!.mtemi isike. Mkwawa and other freedom fighters wa Tz wakafufuka leo wakaona hii Tz ilivyo now na maovu yake !Unafikirii watawafanyia nini rulers?? Im not the fool and i cant rejoin with watu wa matumbo yao !! Instead i can work with people who have vision and volunteers and sio watu wakuagalia nini watapata kwa matumbo yao !! NATIONAL INTEREST FIRST THEN OPTIMISTIC PERSON INTERESTE LAKIN SERKALI YA SASA NI PERSONAL INTEREST FIRST THEN NDO INAKUJA LEAST BIASED IMPLEMENTATIONS OF GROUPED NATIONAL INTEREST NA SOMETIMES. NO IMPLEMENTATION ON IT !!OUR LATE FREEDOMS FIGHTER HAWAKUWA NA HII SPIRIT NA HII BAD SOUL AMBAYO MKO NAYO CCM RULERS !!THUS TUKAWA INDEPENDENT UNTIL NOW BUT CCM MNATURUDISHA *10 YA MKOLONI FEW MNATUKANDAMIZA MAJORITY WHY THIS CCM LEADERS??WE AWAITING TO DIE NOW !!PREACH AND practice right !! Tanzania ni mali ya umma na sio ya watu flani flanii!! NO QUITE AGAIN WE WILL SPEAK AND FIGHT FOR NEO CCM COLONISATION UNTIL MY LAST BREATH AND IM RAEDY FOR THAT !!IM WAITING FOR MY DUTIES AND TIME BY NOW!! TANZANIANS DONT SLEEP AGAIN BECAUSE OUR TERRITORY IS NOW BARGAINED AS BRIDE PRICE TO THE FEW FOOL NON ELITES WHILE ELITE WE ARE SEEING IT AND WE STILL SILENT !!,WE NEED HEAVILY PATRIOTIC SUPPORT AGAINST THIS SESSION OF INTERNAL LIBERATION OF OUR COUNTRY FROM FEW DECENT AND MONSTER LEADERS WHO WOUND OUR PROSPERITY AND BROKE THEM WE NEED READNESS OF ALL TANZANIAN WITHOUT ANY REGARDING CRITEA TANZANIAN ELITE AND NON ELITE TO RECONCILIATE AND START OUR EFFORTS OF OUR SECOND nationalization with our common slogan for our future better ness!!mtu msomi ambaye hasaidiii kupushi ustaw na maendeleo ya Taifa lake huyo kwangu ni foool na hafai kuitwa kiongozi wala kusimamia hata usafi wa chooni!!Watanzania wote bila kujali tofauti zetu ni time ya kulikomboa tena taifa letu kwa njia yeyote ile hata ya umwagikaji wa damu kama inawezekana!! Naona sana uchungu pale ninapooona ................hayaendi sawa pamoja na utajiri wa rasilimali tulionao alafu nikiangalia naona maisha ya watu flani hivi waliopo SERIKALIN JINSI MAISHA YAO YANAVYO NAWIRI KWA KUJIPAKULIA WENYEWE HII NATIONAL CAKE YA WATANZANIA WOTE!!!IM REGRET TO BORN IN TANZANIA BUT I WILL FIGHT FOR REEL TANZANIA I WANT
@AlexChawe3 ай бұрын
💪💪👍
@ChristianMkumbo-ix2ke2 ай бұрын
God bless MWABUKUSI
@CharlesiPhilimoni2 ай бұрын
Hoyeeeee sema kweli mwanashelia
@dillonfoya2 ай бұрын
Wa Tanganyika tunahitaji watu wenye udhubutu kama Huyu Wakili.msomi tatizo la kujipendekeza na uoga kuwafurahisha wateuzi hii dhambi Sasa imefika mpaka kwenye Sheria tutaponea wapi kwa mtindo huu TLS mambo mengi wanayanyamazia hawapigi kelele
@noellema91093 ай бұрын
Mungu akulinde ndugu
@mosesmacha10803 ай бұрын
Kuna kitu kizto kinakuja kutoka mbinguni🎉🎉
@CharlesiPhilimoni2 ай бұрын
Kwelii kabisa
@manyarangemgendi49582 ай бұрын
U doing a good job brother
@atupegemwakahesya2 ай бұрын
Nchi yetu imeoza Kila mahali. Sijui tukimbilie wapi! Haki haki imepotea.
@peacemwesiga3 ай бұрын
❤❤❤❤mwabukusi
@georgewambura76953 ай бұрын
I am not fear of an army of lions led by sheep, I fear of the army of sheep led by lions
@lucaschisamalo28523 ай бұрын
Ipo siku yote yataisha mambo ya ukandamizaji Kuna watu wanajiona wao tanzania ni yakwao peke yao
@HassanSaburi-ge6ej3 ай бұрын
Shida inaanzia hapo kwanini tuwe na vyama viwili kwenye nchi Moja ? Mali zinazo zungumziwa ni za Tanganyika kweli umuhimu wa katiba mpya unahitajika wanasheria wetu mlitetee hili TAIFA
@EmanueliWildausoni3 ай бұрын
Mwabukusu mm nakukubal sana wanakuogopa ila mm nina wazo hata kama ww huna naomba lichukue kagombee ubunge mwaka kesho nilijuta sana cku nimekuona green hurt arusha unakunywa chai nikaogopa kuja japo kukulipia kikombe cha chai nakukubal sanaaaaa
@SarahShao-jw1up3 ай бұрын
TLS inaelekea kuwa Organization ya kichawa....!!! TLS becoming USELESS 😢
@dassustephen7313 ай бұрын
Bogus organization
@rweumbizalugaimukamu49053 ай бұрын
Well done
@gabapentin80702 ай бұрын
🔥🔥
@YusuphSeiph-t1p2 ай бұрын
Safiiiii mimi nakuunga mkono toka mda tuuuu
@ndilibangokaruhawe93353 ай бұрын
Ukiwa na utimamu wa akiri huwezi kuiamini TLS
@bensonjoseph88453 ай бұрын
I stand with MWABUKUSI....
@malkavoice25702 ай бұрын
Mipango ya ccm. Tangu Rugemeleza ameachia ngazi hii TLS imebakia uchi,haina nguvu ipo ki serikali ya mapinduzi zaidi
@titusrobert58903 ай бұрын
Mungu atakupigania,usikate tamaa mh
@MuhojaMalicho2 ай бұрын
Nenda jimbon ungane chadema ili ungane na jeshi kubwa la chadema
@bonifasmashingia2 ай бұрын
❤❤
@othmanali53622 ай бұрын
Viva Mwabukusi
@daudigabriel98603 ай бұрын
Haki huinua Taifa 🇹🇿🇹🇿
@JamesFrelimo-rz8ub2 ай бұрын
Nakukubari mkuu nipo nyuma yako
@husseynzooh19792 ай бұрын
✌️🔥
@SadaJamal-f7f3 ай бұрын
Uko sawa comando
@allyfutto87632 ай бұрын
zama za utandawazi wengi tutaumbuka maana kupindiswapindishwa kutasherehekewa, Mungu ibariki.
@DON-ERICKDANIELKINDOLE-pj8to3 ай бұрын
Hongera sana.
@noellema91093 ай бұрын
❤
@elickchaula8582 ай бұрын
NAKUKUBALI SANA MWAMBA IPO SIKU KILA MTU ATAKUELEWA
@PaulPower-w2nАй бұрын
Una Akili nyingi saaaaaaaana
@emmanueltillya20172 ай бұрын
TLS Mjibuni wakili mwezenu.Taifa letu lina changamoto sana.shida ni ndio mzee nyingi.simameni .Tunaitaka TLS ya kina Fatma Karume na LISU .
@zabronmwaipungu22123 ай бұрын
Issue: We, as Africans, must acknowledge that our failure stems from our leaders, who view their positions as hunting grounds rather than opportunities to serve their people.
@OscarBethel2 ай бұрын
Msema kweli hao mafisadi hawata kuachia kwasaba wanajua wewe ni mwiba kwao ukiingia TLS utwabana wanataka watu wao ndio wakae hapo
@mashakalukinda23502 ай бұрын
Jaa Baya sana Kaka jaa zao ziko sehem zote zamwili kama vile kasa hawawezi kuwatetea raiya
@linogodson64783 ай бұрын
Tupo pamoja mkuu
@camilmlay30883 ай бұрын
Yuko na we rafiki yetu mpenda haki
@AlickoSamson2 ай бұрын
Tulitegemea na kuona kuwa tunawakili wasomi watakao tetea jamii ,kumbe nao ................pambana jamii IPO nyumba Yako utashindwa
@AndrewShayo-np1sy3 ай бұрын
Yes poapoa
@KwiniJoel3 ай бұрын
Kwa kazi unazozifanya wewe huna mpinzani katika uchaguzi huu. Ila kiukweli namshukuru sana Mungu kutupa Mtanganyika mhimu kama wewe. Itoshe tu kusema Asante sana Mungu kutupa mtu kama wewe. Ila Serikali na taasisi nyingine za kimaamzi zijifunze mandamano ya Kenya. IPO SIKU na sisi WATANGANYIKA tutakujafanya maamzi magumu Kwa udhalimu huu unaofanywa siku Hadi siku. WATANGANYIKA wa siku hizi siyo mambumbumbu kama ilivyokuwa zamani. We know white and black.
@AlexChawe3 ай бұрын
Msema ukweli lazima achukiwe na waovu
@magesadani90583 ай бұрын
This country is so difficult for sure it needs some people like you who's have enough courage.
@EricUbalijoro-x1l2 ай бұрын
Wewe ni mzalendo na ni jembe ubarikiwe sana
@albertkamala68432 ай бұрын
Hahahaaa..kosa la maadili au tishio kwa maslahi ya waweka pingamizi? TLS iachwe iwe huru..kwa maslahi ya wananchi! Rufaa ni tata..ni kwa nia mbaya, kumlenga mwanasheria Mwabukusi! Hakuna maslahi ya umma kumkwamisha Mwabukusi! Hakuna mwananchi mzalendo yeyote asiyekuunga mkono...ushindi wako ni wa uhakika!
@ambokileasheengai11402 ай бұрын
Chombo kimoja tu kilichobaki vcha Watanganyika vingine vyote vimeporwa na Tanzania