Mwabukusi: Kila Nikitoka Nyumbani Najiuliza Kama Nitarudi, Kwanini Tufike Hapo Kama Taifa?

  Рет қаралды 1,620

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Boniface Mwabukusi alikuwa akiongea leo Oktoba 05, 2024, katika kongamano la Kitaifa linaloangazia tatizo la kupotea kwa raia nchini Tanzania. Tukio hili muhimu linasimamiwa na Tanganyika Law Society (TLS) kwa lengo la kuzungumzia changamoto hii inayoathiri jamii na haki za binadamu nchini.
Katika kongamano hili, wataalamu, wanasheria, wanaharakati wa haki za binadamu, pamoja na waathirika wa matukio haya watatoa maoni yao.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 11
@KelvinEmersonSteven
@KelvinEmersonSteven 2 сағат бұрын
🔥🔥🔥
@deogratiusKiteti
@deogratiusKiteti 2 сағат бұрын
MUNGU akujalie upambane na uonevu unaotelewa na baadhi ya viongozi wanaojiona miungu watu
@dawsonkaaya4210
@dawsonkaaya4210 Сағат бұрын
Unasema kama Mzalen 9:00 do MH Raisi alikuja na4R wewe ni mzalendo wakuige Msaidie MH afikie malengo na maono.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Сағат бұрын
Hakika kama Watanzania sote.tungekubaliana na 4R na kuzifuata kwa dhati ya moyo kusingekuwa na haya yanayojitokeza.
@mataypanga5262
@mataypanga5262 Сағат бұрын
Uwepo wa polisi ni lazima kwenye mkusanyiko wa watu kulinda usalama
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Сағат бұрын
TLS muendelee kuwa marafik wa taifa na si washindani. Mungu abariki mdumu ktk hilo.
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Сағат бұрын
Wewe ni moja ya wasomi wanaotumia kisomo chao kulisaidia Taifa wengine ni mazwazwa tu wako kimatumbo yao zaidi
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 Сағат бұрын
mungu endelea kumlimlnda rais wa TLs amalize kipindindi chake cha uongozi salama
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Сағат бұрын
Kama waliozoea kujibu hoja za kisiasa kwa bunduki na ubabe watawaeleweni.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Сағат бұрын
Taaluma zingine nazo ziige.
@uumbajiwamunguniwaajabutv2584
@uumbajiwamunguniwaajabutv2584 2 сағат бұрын
😅
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 13 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 49 МЛН
Berlin Global Dialogue: Macron Discusses Europe’s Role in a Multipolar Future
1:11:46
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 13 МЛН