MISAADA YA WAZUNGU CHANZO CHA USHOGA TANZANIA | MBUNGE AFICHUA NJIA WANAZOTUMIA

  Рет қаралды 4,975

MADORA TV

MADORA TV

Ай бұрын

Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara leo Mei 17, 2024 Bungeni Jijini Dodoma amesimama kuchangia hoja kwenye bajeti ya makadirio ya mapato na2 matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ambapo Katika Mchango wake Mhe. Mwita Waitara amegusia suala la ushoga ambapo amehoji kwa nini Waziri Dkt. Doroth Gwajima katika Hotuba yake wakati anawasilisha hajazungumzia suala hilo.
Mhe. Waitara amesema suala hilo sasa ni changamoto na yeye yupo tayari kumshughulikia mtu yoyote ambaye anafanya vitendo vya ulawiti.
“Hatutaki Ushoga Tanzania, Wazungu waelewe kama ni misaada wanaleta wakome waache kabisa, Tusichekeane kama ni misaada Kateni, Hii ni vita kama ilivyokuwa vita ya ukombozi wa bara la Afrika” - Mbunge Waitara
#youtubeshorts

Пікірлер: 23
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 10 күн бұрын
Maashallah hongera sn mbunge msimamo uo uo tunakuelewa sana misaada ya wazungu tuikomeshe
@lukiogospelmusic3252
@lukiogospelmusic3252 Ай бұрын
Barikiwa sana Mh Mwita. Ushoga ni ushetani wakupigwa na kila mtu mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Na viongozi wetu msipepese macho kwenye hili mmepewa dhamana na Mungu tumieni nafasi zenu kuupinga na kuulaani ushoga kwenye taifa letu la Tanzania.
@JamilaMtundu
@JamilaMtundu 5 күн бұрын
Mungu akupe ujasirii kulisemea hili
@user-pl4ju8du7j
@user-pl4ju8du7j 11 күн бұрын
Waziri Gwajima ajiuzuru hatufai kabisa yeye ndio chanzo kikubwa cha ushoga Tz anataka hadi WA latiwe watoto zake ndio achukuwe hatua ujinga gani ktk Taifa letu,
@JamilaMtundu
@JamilaMtundu 5 күн бұрын
Hakika tusimame watu wA mungu tuombe nakuombolezaa
@mohamediabady
@mohamediabady 19 сағат бұрын
Uyu ndio mbunge wa kweli ,
@ahangfaith1180
@ahangfaith1180 Ай бұрын
Asnt mbunge hongera kwakweli serekal yetu inatuuza wawo kwaajili ya maslah yao
@user-zd3tk2qs8b
@user-zd3tk2qs8b 10 күн бұрын
❤❤🎉
@surylinetv4677
@surylinetv4677 Ай бұрын
Nachukia sana ushoga,, Tanzania tukatae ushoga hadharani
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 22 күн бұрын
safi sana Mwita tunataka watu kama wewe
@MabulaNdilanha
@MabulaNdilanha Ай бұрын
Ni kweli kabisa mheshimiwa
@kellysmith4095
@kellysmith4095 Ай бұрын
Ushonga si swala,ambayo inafa kuachiliwa,imefanya mathara.ya kijamii ilipotoka,amerikani,hivyo wazidi kuupinga
@avitjosepht498
@avitjosepht498 29 күн бұрын
Hii hoja ni nyeti sana, gov intervetion urgently needed
@IbrahimuKapelula
@IbrahimuKapelula 12 күн бұрын
Wewe ndo mbunge pekee unasema point wengine ndo haohao,
@SileIsmail
@SileIsmail 2 күн бұрын
Hata kama serikali haitaki kutunga sheria kali kwa kuwanyonga wanaolawiti watoto sisi tutachukua sheria mkononi ya kuwaua wote wanaofanya hivyo
@user-fw3jq3ff5s
@user-fw3jq3ff5s 12 күн бұрын
Tamaa ya viongozi wetu kutaka utajili wa haraka haraka ndiyo chanzo cha kupewa mikopo kwa masharti ya ushoga huku familia zao zikilindwa kwa pesa za wananchi katalieni hilo kwa vitendo ingawaje machawa wao watalinda kauli hizo kwa nguvu
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi 24 күн бұрын
Mimi sina muda na mashoga,mtu yeyote akimrepu mtoto wangu hajalishi mwalimu,dakitari,mbungu,nitamuwa
@victorphilipo
@victorphilipo Ай бұрын
Achani kutudanganya huwezi kuwa omba omba usitimize matakwa. Yao reo mnatudanganya hao hao ndo munapiga makofi to umechoka mnakula hera tu
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 11 күн бұрын
Mwita uko ndo kujitambua
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 12 күн бұрын
ALIPEWA FEDHA HUYO WAZIRI
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 күн бұрын
Feliyer national lmbarasing leadership ot exelence president Samia sluu Hasan lmbarasing such move but waitara you have been cruch opposition complain saport Samia sluu Hasan leadership and say lf you don't saport Samia sluu Hasan leadership gat out from palament this is rizalt ashem on our nation vary lmbarasing difend green uniform now you have been harvest rizalt of difend green uniform in the palament house
@salimualmasi7944
@salimualmasi7944 Ай бұрын
Hapo kila Mauwa yako.Serikali Haitaki Kukanusha Nakula nitakupigia kwa Muda
@billgussy6099
@billgussy6099 Ай бұрын
Achen ujinga hao wabunge wanao lawiti wanatumwa na wazungu? Humo humo bungeni kuna mashoga na wenyewe wame fundishwa na wazungu? Mwaka jana kuna padri amelawiti mbona hamkupiga kelele alipo achiwa bila kushtakiwa? Jinga kabisa
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 24 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
VIJANA WAFUMWA NDANI WAKIFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA LINDI
9:05
Mashujaa TV
Рет қаралды 283 М.