Jamaa yuko vizuri, to a boliti kwenye hicho lako kabla hujaangalia la mwenzako! like apa chini km umemuelewa! 💯📩❗❗👏👏👏
@mbonireamina64975 жыл бұрын
Katika mbunge chizi na mjinga ni huyu Lusinde. Unapokuwa kiongozi sio lazima usimame mara kwa mara kudhalilisha wenzako hata kama mtu amekosea. Sijasikia hata siku moja mbunge wa CCM akikosoa chama chake na kina mapungufu makubwa sana. Manunuzi ya ndege na matumizi mpaka leo hatujui ni shillingi ngapi. CHADEMA wako safi sana ila kwa kuwa kimekuwa ni chama mbadala CCM lazima wawabane sana. Hakuna chama chenye kugawa Watanzania kama CCM. Serekali nzima ya Magufuli imejaa WASU - KUMA. Kuma nyie.
@lucyamosi65495 жыл бұрын
Jins madn yalivyoshkwa kenya
@lucyamosi65495 жыл бұрын
Jns madn yavy Shkwa kenya
@lexisavage17705 жыл бұрын
asante sana baba umewaeeleza ukweli Chadema hongera sana sana
@onesmokitwange97836 жыл бұрын
Asanteee... L. Lusinde.
@mangegervas96515 жыл бұрын
Gud saana Mkuu lisinde... Gud jpm
@lucasmugoma28705 жыл бұрын
Sio Gud, ni good
@ancomagu85316 жыл бұрын
Ndiomaana nakupenda sana mweshimiwa lusinde
@baruanindume86956 жыл бұрын
Huo ndio utofauti kati ya msomi na mpiga kelele, Msomi anatumia maandishi kama mifano na mpiga kelele anatumia maneno ya dharau, kejeli, matusi na mifano ya kutunga, Hongera mzee wangu.
@LuganoKapula18 күн бұрын
Ulie soma umemzidi nini lusinde
@emmanuelmohammed12946 жыл бұрын
lusinde braza we nomaaaaa!! dawa chungu hiyo kwa nyumbu
@mazotamagayane49104 жыл бұрын
Hii ndio tanzania yetu
@kingally78165 жыл бұрын
Kweli watanzania hawapendi ukweli Zitto ni 🔥 By King Ally from mahembe kigoma.
@oswardmwambete47524 жыл бұрын
Huyu Lusinde Aisee ni Noma sana nimtu hatariiiii sana
@leonardclaudi35996 жыл бұрын
hongera Lusinde
@mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын
Point Sanaa,km haya ya kweli basi hawana hski ya kuhoji hao
Safi waambie hao waelewe, Ukweli hata mimi zitto ni big up
@zuberikupaza14505 жыл бұрын
Mmh! Utabiri haukuwa sahihi mheshimiwa lusinde!
@mr.sangaellies51105 жыл бұрын
Daaaah hivi kumbe chadema hapo haya
@ugullumsaidi15366 жыл бұрын
Asante mh lusinde waambie tu
@zullaicamatola34316 жыл бұрын
Hajui kazi ya upinzani,pia hajui wajibu wake kama Mbunge
@thomasmtereko4426 жыл бұрын
msukuma and lusinde big up
@mathiasbuyobe35126 жыл бұрын
Lusinde uko sawa
@adamamos75086 жыл бұрын
Safi sana kaka
@ambrosngahoma85975 жыл бұрын
Yanaitwa mawe hayo huyakwepi
@paulmsilanga39176 жыл бұрын
safi Lusinde uko vzr
@goodluckmrosso4866 жыл бұрын
Upo vzr
@yohanakidugala13326 жыл бұрын
mmh Leo umeongea vizuri
@voicatiliotv23096 жыл бұрын
Mzeeeee wa mawe , ameamua kuyaachia bungeni
@fredyjohnwaifakaratz24736 жыл бұрын
SAFII UMEONGEA POINT SANA MAANA WANAKAZANIA MAANDAMANO TU PUMBAVU
@anozacha6116 жыл бұрын
😲😲😲😲😲😲😲😲
@hamdanisalumu73446 жыл бұрын
Fredy John Waifakara Tz wew nikuma
@frankjoseph62136 жыл бұрын
sawa sawa sawa Mkubwa
@shukurumwangosi15376 жыл бұрын
Comrade lusinde 😍😍😍😍😍
@yohabumlelwa23166 жыл бұрын
Kweli kazi ipo chezea mchaga weye
@ramadhanmasenga87306 жыл бұрын
Lusinde kichwa sana
@mbwanaomary75376 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa mwenyeki wa kudumu nimeipenda hiyo. Kweli hawa chaga boy hawaachi hata cent
@anordntungwely48106 жыл бұрын
Chadema toeni ufafanuzi kuhusu taarifa zenu za CAG, maana inaleta sintofaham kwa wananchi.
@ancomagu85316 жыл бұрын
WAJIGA NDIO WALIWAO WACHANE BROTHER MAANA WAO KUHANDAMANA
@kaundasutikaunda77696 жыл бұрын
ukweli mchungu
@ibrahimally77354 жыл бұрын
Zitoo ana uzalendo wq kwenye mitqndao cyo kwa taifa lakin
@ambokileosward88506 жыл бұрын
Kheri James M/kiti Uvccm taifa hoyeeee
@festondile20396 жыл бұрын
Kwa kua ni CAG kasema naomba CHADEMA wajitathimini na kutafakari sana,Maneno ya Lusinde sio ya kuyadharau kwani kuna wakati hata saa mbovu huwa inaongea ukweli,Hili la Democrasia ndani ya chama pia ni la muhimu...Mulika nyoka mguuni pako kwanza.
@charleskazimoto69685 жыл бұрын
Wakisemwa CHADEMA mnashangilia, wakisemwa CCM mnanuna. Mafisadi walioko CCM na mali walizoiba hazihesabiki. Kibajaji mbwa tu. Watu wa mtera hawajasoma na ndio maana kila kukicha Mbunge ni Lusinde. Mipasho kama mwanamke.
@yakomoifakala55046 жыл бұрын
safi kibajajii
@wahazaben79646 жыл бұрын
Kweli itaishi milele
@belathomgaya48036 жыл бұрын
Point 100%
@xhaibsalim87976 жыл бұрын
sawa umengea vizur sana lakin je hzo ztajenga barabara au madaraja kweli wao kama wamepga watatoa ufafanuz kama hawajoa wizi ila tilion 1.5 za kod tinataka
@elibaricksangaulimile6 жыл бұрын
big chama CCM waache waandamane waisome namba
@godwinmgunda10026 жыл бұрын
Unajipya ww na hilo jimbo utalikosa 2020
@babalily45166 жыл бұрын
CHADEMA IMEZAA SAU NA ACT, HUJUI KAMA HIVYO VYAMA VYOTE VIMEZALISHWA NA CCM, @#ZeroBrain
@stellaanthony40926 жыл бұрын
safi sana
@yassiniferuzi28675 жыл бұрын
Majizi hayo ndio yashike dola yatakaa sana 2020 Sacoss yao ya Chagga Devlopment Mannfesto CHADEMA kiko(ICU) kinapumulia mashine kurudi mjengoni sawa na ZZK auTAL kuingia Ikulu
@amanhassan74605 жыл бұрын
Acheni kuzingua mafisiem
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Kama haumkubali huyu jamaa kama mimi ambavyo simkubali like hapa
@omarymbalala62246 жыл бұрын
💪💪💪
@omarymbalala62246 жыл бұрын
anaongeaga pumba tupu
@uledimtumwa30456 жыл бұрын
Hata Yesu mayahudi hawamkubali, sasa wamezuia nini?
@hassanmakweto40126 жыл бұрын
Jinga hyu
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Hassan Makweto yaan pumbavu kabsa
@zainabualtz14556 жыл бұрын
Pumbatupu we baba achana na zzito nimo🔥🔥🔥🔥🔥
@abuyizedon6 жыл бұрын
😂😂😂nimecheka kweli kweli mpaka naiogopa Siasa
@hkmayala4146 жыл бұрын
Mambo niiii? motooo🔥🔥🔥🔥🔥kila kituu? balaaa!!!!!! 😷😷😷😷😷
@paulomroki85626 жыл бұрын
waambie ukweli hao nyumbu!
@zaituniseif94585 жыл бұрын
Lusinde hata mm umenigusa hasa keenye kutoa boliti upo sawaaaa
@verynicemkaro71165 жыл бұрын
Kweli na mmeshampoteza
@julianamasunga41476 жыл бұрын
safi
@wilsonniwagila96325 жыл бұрын
Ndugu Lusinde nilipenda ulivyonukuu kuhusu Kobani na kijiti kwenye jicho kiukweli jicho halina starehe likiingiliwa na kijiti au kibanzi vyote ni adui wa jicho. Tumesikia kibanzi cha Chadema lakini kijiti cha CCM hakikutajwa VIPI???
@edwardedward25206 жыл бұрын
Umeongea ukweli Mh. Lusinde wape wape baba! Taifa limepata hasara kusomesha watu kama akina zirto kabwe hawana faida kwa vijana wala akina mama! Zitto saidia vijana wenzako outoka kimaisha sio kila siku lawama kwa serikali!
@juliussanga93336 жыл бұрын
Edward Edward we ni zaidi ya mbwa..
@empirialmdudj38646 жыл бұрын
kichwan mwako 0
@gilbrtmaganga54716 жыл бұрын
Edward Edward ukweli Gani majizi yako ccm yeye anatetea tumbo lake
@kariakooagrei8576 жыл бұрын
Edward Edward ila atakapokuwa ssm atakuwa na faida
@juliusdeus33066 жыл бұрын
Acha ujnga unataka akusomeshe au aujui mana ya maendeleo ww mandaz kwel
@amanhassan74605 жыл бұрын
kwahyo sahiv CCM mnamkubali CAG?
@vickybwire40496 жыл бұрын
😂😂😂 hatari sana
@juliasmseka56516 жыл бұрын
ukovizuri sana
@kevinndosy82886 жыл бұрын
Unamaanisha kuwa msikosolewe kwakuwa tu mkosoaji anamakosa, upuuzi mtupu
@gabystoney46525 жыл бұрын
Unaweza kusema ukweli but unafiki upo ndani yako
@moarusha82196 жыл бұрын
James lembeniiiiiii kasharudii
@bahatimasawe90916 жыл бұрын
Huyu ni mbunge wa mkoa gan inaelekea wananchi wake wanapata shida kweli
@lameckbalekele29016 жыл бұрын
Kibajaji wapeleke haomajizi hao tuliwaambia ikulu wataiona kwenye Tv
@kaminyogemwachelwa98846 жыл бұрын
Kama cag kasema kwakweli chadema wajitathimin na kujibu kama kweli ama hujuma. ..maana ccm always hawawatakii mema ndugu zao hawa
@allymsuya66555 жыл бұрын
Tunavyotoa kodi kwa serikali tunakuwa tukitoa kodi kwa CCM?!
@jacobnghwali45315 жыл бұрын
Upuuzi tu
@jamesngundateresia26006 жыл бұрын
NAKUPENDA KWA KUWA WEWE NI MZEE WA MIJIWE WAPE WAPE HAO NYALU WEWE NOMA
@abdalahfarida20745 жыл бұрын
Jimbo lake msomi ni yeye tu na ndio maana kila uchaguzi mshindi ni yeye. Mtera hakuna wasomi ndio maana wanatuma mtu wa mipasho.
@omariwazirikibao19325 жыл бұрын
Serekali mkae makini na hawa wapinzani kwakweli wataipeleka nch pabaya
Nilikuwa najiuliza kibajaji lusinde yuko wapi wape nondo vimtu kazi ni matusi kukashifu vitawaza sangapi mambo mazuri,at ukifanya mazuri vinakutusi,kasilika sasa huu upinzani wahuni kama Roma mpiga mziki
@neemafanuel45836 жыл бұрын
VP Ccm wamezidi chadema bil 2 Ila ccm til1.5 ni ndogo kwa bil 2?
@seniornyungu97186 жыл бұрын
Nasubir wapinzani wajibu Hoja hizo, vinginevyo hatuwezi kuwaelewa, Siamin Kama kinaweza kuibiwa chochote machoni mwa TUNDULISU, never never never!
@dizodi_vituko6 жыл бұрын
Ufisadi wa chama una msaada gani kwa wananchi tunazungumzia ufisadi wa wananchi
@abrahamkibona70382 жыл бұрын
Mzalendo wa wapi?
@kabezibishoo28256 жыл бұрын
zitoo namkubali sana
@aloycemwakatala26345 жыл бұрын
LUKA 6-41 umesahau kuisoma na waliyogawana kwenye kikao watu zaidi ya 200×10,000,000/= milion kila mmoja sijui ni chama gani kile hivi?
@allymohamedmkiwa2846 жыл бұрын
Upinzani ni majizi makubwa, Wape mapande yao.
@samuelmwambashi41686 жыл бұрын
Wape Wape kaka.
@wiza23096 жыл бұрын
Wajibu wa mbunge sio kutipiana maneno, hayukuwachagua mtupiane vijembe, tunaomba muisimamie nabkuishauri Serikali ndio maana ya Uwakilishi. Sio kurushiana nabkujibu hoja mbunge mwingine sio kazi iliyowapeleka wabunge bungeni. Mawaziri wapo ndio kazi yao kujibu hoja za Wabunge
@msemwageuza12145 жыл бұрын
Watanzania hawa hawafai kutuwakilisha. Wanaichi. Kwenye. Ngazi. Yote uchaguZi. Ujao. Tuwafagie. Wote ,
@ahmedmtani94286 жыл бұрын
leo umejitaid
@tumahamza89726 жыл бұрын
Wape haoooooooo
@dannimasai92125 жыл бұрын
Mwambien asome na ripot ya cag upande wa serikali kma yy mkweli?
@mecksonsamwel26665 жыл бұрын
Ikulu wataiona kweny tv
@omarysaid54076 жыл бұрын
iyo ela yachama apo inazungumzia selekali
@pasterhanshassan4416 жыл бұрын
shetani hawezi kumsifu Mungu, ata ukimsikiliza unaweza kudhani kweli Mungu hafai! ili usiumie kwa uongo wake, kumbuka kuwa ni shetani.
@amaniromeoswadiq91556 жыл бұрын
Eeee ni kidume
@godfreydaniel61676 жыл бұрын
Nilikua cjui kumbe chadema imeoza hivi ...daah
@sanurahyusuph61495 жыл бұрын
Acha huna jipya
@wilsonchallange44206 жыл бұрын
Kibajaji Anatisha
@getajo11536 жыл бұрын
😂😂"WAJINGA NDO WALIOWAWO"..... MMENG'ANG'ANIA MAANDAMANO MAANDAMANO, MMEWAACHA WENZENU WANAPIGA HELA.....😂😂😂😂😂 .... Lusinde bana, inabidi nikupende tu kwa kweli...
@moshialois54995 жыл бұрын
Kwa akili yako kikinuka Lusinde c atajificha, ukoo wake jé atauficha nani? Tatizo anajiwaza yeye badala ya wanaomzunguka. Kwa mfano Kiongozi akisumbua una-deal na family yake tu yeye c anajiona analindwa