MWAMPOSA KAANZA MAJUNGU.

  Рет қаралды 4,877

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 3 ай бұрын
Ajidhaniaye amesimama na aangalie asije akaanguka.Naona chuki na wivu tu hapa. Achana na Mwamposa ndg ,level nyingine ile.Kwa hiyo unafurahia wafe? Mafuta hauzi, ukweli ni kwamba kusanyiko lake ni kubwa so hawezi kuombea mtu mmoja mmoja so anaombea mafuta kama point of contact,ndiyo maana ni buku tu,sasa chupa,mafuta,label, ana faida gani hapo. Mihemuko inakusumbua! Nilikuwa nakufatilia lkn from today umenipoteza.Hayo.yako ndiyo majungu.
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 3 ай бұрын
Mtumishi mbona una jazba? Ni kama una hofu kuwa amekusema wewe Acha jazina na kumsema mtumishi mwenzio Umekosea mtumishi omba rafhi Kwa hili Hakuna mtumishi asiyetafuta hela Wewe siku zilizopita ulisema asiye na sadaka asije kanisani kwako umesshau?
@hudumayakristo
@hudumayakristo 3 ай бұрын
Unafukiri anacho kifanya kuuza maji, udongo na maji ndivyo yesu alivyo agiza..yesu ameagiza nini kuhusu utoaji wa sadaka. BIBILIA imeweka vizuri utaratibu wa utoaji sadaka tunachokipinga ni uvunjwaji wa utoaji sadaka. 1 Wakorintho 14:40 Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu. Mungu akusaidie hujui unachokisema tafuta kujifunza neno la mungu utayajua mengi.
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 3 ай бұрын
Sasa hata wewe hutakufa? Mbona inaonekana unafurahia vifo vya wenzio?? Mwamposa ni Mtumishi wa kweli!,Acha kutubabaisha!!
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 3 ай бұрын
Kwan mwaposa kakosea nn siku hiz vijana wakishiba makande wanakuja kujambia watu.nimeonyeshwa kuna mtu ako anakufa kuna siku nalimwona kijana mmoja et anasema dar es salamu itazmaa mbona sasa haikuzama wewe ndyo una mambo yako tu.
@badaembwilo2349
@badaembwilo2349 3 ай бұрын
Mbona watu wanapona hospital hawaponi kwake wanapona kwani amekutaja wewe unakosea sana
@PhillipShoki
@PhillipShoki 3 ай бұрын
Wewe hujui chochote unatafasiri maono nje ya ufahamu.
@HAAM670
@HAAM670 3 ай бұрын
Katika kitu sipendagi ni Watumishi kuandaa clip za kupondana. Kila mmoja afanye alichoitiwa Watumishi. Kama Mtume fanya utume wako usiponde Unabii. Na wewe Nabii fanya Unabii, acha kumponda Mtume. Mwalimu fundisha acha kuponda huduma ya kitume na ya Kinabii. Ndoto zipo, Nabii zipo, Mafuta yapo, maji yapo, udongo upo, vyote mmevikuta Kibiblia. AYUBU 33:13-16, Matendo 2:17.
@JacksonFrances
@JacksonFrances 3 ай бұрын
MUNGU ATUSAMEHE TUSIKUFURU, PIA TUSAMEHEANE MAANA HAKUNA ALIYEKAMILIKA SOTE NI WAKOSAJI TUPIGE MAGOTI TUOMBE Rehema,Toba na Tuungame DHAMBI ILI MUNGU ATUSAMEHE DHAMBI ZETU TUWE NA UMOJA ILI TUFIKE SALAMA TUENDAKO na TUACHE KUSHINDANA KIROHO MUNGU HAPENDI"
@rastheunique
@rastheunique 3 ай бұрын
Binafsi nalielewa sana neno lako mtumishi
@DenisEkizavel
@DenisEkizavel 3 ай бұрын
Nataka nikwambie huna chochote unakijua ukizungumza kitu tafakari Kwanza njaa Italia hunakitu
@edwindavid7037
@edwindavid7037 2 ай бұрын
Umekurupuka kaka naona unahasira
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 3 ай бұрын
Na mafuta yenyewe wachawi wanakunywa ili kuongeza nguvu za kichawi...?
@AdamKuziganika-sq5nk
@AdamKuziganika-sq5nk 3 ай бұрын
Ada atakupa bule yeye hela z kununua mafuta kutengneza chupa ataztoa wapi awape wote
@bishoparronmgaya1749
@bishoparronmgaya1749 3 ай бұрын
Hongera sana nimekuelewa vizuri MUNGU AKUBARIKI AKUINUE AKUIMARISHE ZAIDI NA ZAIDI.
@hudumayakristo
@hudumayakristo 3 ай бұрын
Ameni.
@zariadunia6328
@zariadunia6328 3 ай бұрын
Waongo mumekutana kazini kuna kazi matapeli yamekutanankazi kutabiri uongo mungu gani mnayemtafuta huku hamjui mungu ni yupi
@Isaackfusi
@Isaackfusi 3 ай бұрын
Wewe hujamuelewa mtumishi wa Mungu kwa hicho kipande ulichosikiliza ,isikikilize ibada nzima ndo utaelewa alikuwa anamaanisha nini ,mwamposa hajawahi kuwasema watumishi wa Mungu vibaya
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 3 ай бұрын
Na anafundisha kutowasema watumishi wengine kwani hayamhusu mtu yeyote bali ni huduma na yy kapewa
@Elimuyaufalmewambinguni
@Elimuyaufalmewambinguni 3 ай бұрын
Mkumbushe maandiko haya 1.YOELI 2:28,29. 2.Siyo peke yake wanaoibuka na maneno ya ajabu ajabu,ni kwa sababu Mungu alisema ISAYA 44:25 (ISAYA 44:24-26) 3.Soma 1 WAFALME 18:19, 22:8. 4.Mungu wa mbinguni akaamue.
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 3 ай бұрын
Well said servant of God! HIZI NI SPANA ZA KIROHO KUKOMBOA WENGI WANAOPOTEA;ENDELEA NAZO MTUMISHI.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Mjomba umekariri Bíblia, makini tafsiri au teologia Ya yake huijui acha zako. Nilikkuuona WA mana makini Leo nimekutambua huna chicote. Mmsi WA Mwapoza,nawalasimkubali, lakinikwangu ninayeielewa Bíblia kimakini ,Ww unapotosha maandiko Matakatifu na kupotosha wasioelewa viziri Bíblia.
@godblessmamkwe9996
@godblessmamkwe9996 3 ай бұрын
Pesa ilimponza yuca , u Hungarian mliupata wapi nyingi fly catchers."
@elishampoki8751
@elishampoki8751 3 ай бұрын
Walokele mnatutia aibu mnapokwaluzana wenyewe, wakati imani ni moja ubatizo ni mmoja Bwana ni mmoja, Mnaolumbana kwenye mitaondao Mungu awasaidie , mumeacha kutufundisha ili tumjue Mungu nyinyi mnalumbana mnawakela watu, nyinyi bila kujua,
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 ай бұрын
Pamoja mtumishi mimi nakuelewa sana yani kuliko unavyojielewa ww.mm nimekupma.nimepta majibu.hakika ww MUNGU yupo ndani yako amina balikiwa sana mtumishi
@JamesKanyenda-y9y
@JamesKanyenda-y9y 3 ай бұрын
Walio wa MUNGU watakuelewa.ila walio wa shetani awawezi kukuelewa.ww pga kazi MUNGU yu pamoja nawe.sio mwamposa tu.ata mzee wa upako anatumika na kuzimu
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 3 ай бұрын
Vijana wengi ni manabii wa uongo, hata shetani anaotesha ndoto
@durangobasics6195
@durangobasics6195 3 ай бұрын
Tunajuaje shetani anaotesha Ndoto? Kuna mfano kwenye biblia?
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 3 ай бұрын
Kaka Tangu happy na weed umepotea inatos tafsiri ya Bíblia batismo. MUNGU WA wazima Hanna maana waliokufa siwake Bali wanaishi kwake mjomba
@GeorgeNgonela
@GeorgeNgonela 3 ай бұрын
Umewahi kwenda kukwambia huyo kiongozi kuwa utakufa usipofanya haya na haya?
@janengaga2928
@janengaga2928 3 ай бұрын
Watumishi wengi wa MUNGU waliotangulia walikuwa wako bussy na kazi ya Mungu kuhubiri iniili ya kweli ya MUNGU ya utakaso bila kuangalia masilahi . Bila migongano . upendo muhimu.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 ай бұрын
Watumishi wa Mungu.kusemana siyo vizuri.mnawafanya waumini wanene vibaya juu ya wapakwa mafuta ya Mungu.Kwani ukihubiri au kufundisha bila kumtaja huyo mhubiri huwezi ? Tumechoka.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 ай бұрын
Kweli mungu atusaidie
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 3 ай бұрын
Kila siku mnaoteshwa na Mungu kweli ??????kila siku ni kuoteshwa tu
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 ай бұрын
@@veronicankhwazi7954 uongo mtupu.wanatafuta kula tu.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 ай бұрын
Mwambiye huyo ni taperi .tatizo ya watanzania taifa lote ni wajinga watu wanauziwa udongo mafuta. Ovyo.amkeni watanzania .huyo ni taperi anatowa mapata kwa wenye mamulaka alisababisha vifo arusha kukanyaga mafuta .serikari wala hata rumande hakufika mungu manabi wawongo ndiyo huyo mwamposya.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 3 ай бұрын
Umri wowote mwanadamu anaweza kuota ndoto.labda tafsiri
@joyjackson258
@joyjackson258 3 ай бұрын
Nakubaliana kaabisa na alichosema Mchungaji Mwamposa , maana hata yule nabii alipoambiwa akampelekee Daudi neno kwa habari ya uria alienda moja kwa moja kwa Daudi hakuita kusanyiko kuliambia . Mwamposa uko vizuri hayo ni maonyo .
@kivuyopendo5487
@kivuyopendo5487 3 ай бұрын
Kushindana kwenu si juu ya damu na nyama Bali ni ufalme wa Mungu, nadhani hii sio hekima mngetafuta namna ya kuelezana na sio kuliweka hapa au kwenye mitandao
@DenisEkizavel
@DenisEkizavel 3 ай бұрын
Hatamaji hujanywa koorimekukauka hubiri katika kweri watuwapona we nishetana mwampsa songs mbere
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 3 ай бұрын
Sisi tutawasikiliza tu na kuwapima. Jueni kwamba wapo pia manabii wa ukweli na uongo. Unabii wa Yona uliwataka watu kumrudia Mungu, ila tumeshuhudia wahubiri wanaotaka waabudiwe wao. Wahubiri nyote nawaambia msiwadharau watu mnaowaona kuwa wa kawaida, nao pia wana Mungu
@patsonkyando1732
@patsonkyando1732 3 ай бұрын
Wewe hujamuelewa Mwamposa
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 3 ай бұрын
Safi sana mtumishi endelea kufanya kazi ya Mungu,waache hao wafanya biashara
@GeorgeNgonela
@GeorgeNgonela 3 ай бұрын
Hata wewe unapotea unakosa hekima bado unaharibu kanisa
@calistusmahombo-ty8ni
@calistusmahombo-ty8ni 3 ай бұрын
Kumbeka jukwaa la Kumhubiri Kristo JKK
@felisminja3135
@felisminja3135 3 ай бұрын
Aliingia.kwenye tamasha la hamoniza kweli huyo ana neno na hekima
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 3 ай бұрын
Pasta jipuuuu mashetani yaumbuliwe
@GeraldNjau-b6b
@GeraldNjau-b6b 3 ай бұрын
Huyo wala ha2sumbui tunamjua
@pauloadamu9492
@pauloadamu9492 3 ай бұрын
Mtumishi shalom shalom mimi nina swali MUNGU ndiyo amekutuma utoe ujumbe huu
@durangobasics6195
@durangobasics6195 2 ай бұрын
Shalom ya nini tunaongea kiswahili Sema " Amani ya Bwana iwe nawe"
@Beatrice-l8u
@Beatrice-l8u 3 ай бұрын
Acha uongo huna lolote
@GeraldNjau-b6b
@GeraldNjau-b6b 3 ай бұрын
Tatizo Mwamposa amefanya maji mafuta na udongo kua huduma wakati kwenye Biblia haipo.
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 3 ай бұрын
Unasoma biblia ipi?
@elihurumamushi2521
@elihurumamushi2521 3 ай бұрын
usirukie usichokijuwa wakirsto hatusome biblia ndiyo maana mtu anasema chochote kila mahali yesu alikaa na watoza ushuru manamke malaya alimpakaa yesu mafuta heti mtumishi wa mungu ameonekaneka kwenye tamasha la muziki basi siyo mtumishi wa mungu acheni ujinga wa kiroho pili wapi mwamposa kauza udongo unatolewa bure mafuta sh1000: hiyo pesa ya paking tu maji sh1000: kama utaki ya kwenye huduma tumia ya kwako nyumbani nyanyua tuangalie kama upako utaingia kwenye maji au mafuta ya nyumbani ungeleeni kitu mnachojua
@sendemwasende4458
@sendemwasende4458 3 ай бұрын
Mungu atusaidie, tuongozwe na Roho. Mtumishi songa mbele
TUNAUWAWA KWA SABABU HATUNA NGUVU.
22:36
huduma ya kristo
Рет қаралды 1,9 М.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 5 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 10 М.
MIPANGO YA KUMUUA MAMA SAMIA NA GWAJIMA.
34:11
huduma ya kristo
Рет қаралды 49 М.
ROHO YA MAUMIVU KWA NCHI.
1:02:57
huduma ya kristo
Рет қаралды 2,2 М.
FAHAMU SAA NA MAJIRA YA UPONYAJI WAKO.
55:37
huduma ya kristo
Рет қаралды 613
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 5 МЛН