MZUNGU ALIYEUWA MAMBA MKUBWA DUNIANI,MBUNGE MPINA AFICHUA TUHUMA NZITO....

  Рет қаралды 18,116

OFFTRACK TV

OFFTRACK TV

Күн бұрын

#OFFTRACKTV #offtracktv #wazirimkuu #kassimmajaliwa #bungelive #bungeni
Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/c...
KWA HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA ELIMU,MAKALA NA BURUDANI KWA UHAKIKA MASAA 24,TUFUATILIE OFFTRACK TV.
PIA USISAHAU KUSUBSCRIBE OFFTRACK TV
/ offtracktv
Email | info@offtrack.co.tz
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI AU UNAHITAJI KUTANGAZA NASI?
🔴 WASILIANA NA OFFTRACK TV : (+255 769 612 166)
🔴 Email: info@offtrack.co.tz
Www.offtrack.co.tz
𝙏𝙝𝙖𝙣𝙠 𝙔𝙤𝙪 𝙁𝙤𝙧 𝙒𝙖𝙩𝙘𝙝𝙞𝙣𝙜
...............................................................................................
Subscribe: / offtracktv

Пікірлер: 94
@barakambuzeyonja6935
@barakambuzeyonja6935 3 ай бұрын
Yaani Africa aliyesoma na asiyesoma kuna wakati unakosa tofauti nchi hii imezidi kabisa yaani MTU anafanya upuuzi huu kweli Acha wazungu waendelee kutuzalau
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 ай бұрын
Speaker huna uchungu na nchi .....shame on you
@JackiePaul-sd1jt
@JackiePaul-sd1jt 3 ай бұрын
Tulia ni mwehu tu kila chenye haki anapinga tu
@Husenimuddi
@Husenimuddi 3 ай бұрын
Huyu spika sio mzalendo kabisa hatuna mtu hapa
@noelimori4621
@noelimori4621 3 ай бұрын
Wabunge wa ccm hawana uruma hata kwenye mambo ya hii nchi
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 3 ай бұрын
Tulia mbona unakuwa kama mtetezi wa serekali badala ya kutetea mwanainchi wa kawaida.. kutoka kwenye meno ya wachumia tumbo
@benjaminkundy128
@benjaminkundy128 3 ай бұрын
Mimi sijawahu kujua maana ya bunge
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 3 ай бұрын
Angekuwa mtanzania wakawaida Angewinda hata mjusi angesimulia huko jela
@golebenson4597
@golebenson4597 3 ай бұрын
😂😂😂mtumwa ndani ya nchi yake
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 3 ай бұрын
Siku zote mjadala wa mpina uwa unapigwa vita bungeni
@cartersport_1362
@cartersport_1362 3 ай бұрын
Huyu spika ,, ngoja ninyamaze mwenye mwanasheria aendelee kuniongelea
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 3 ай бұрын
Washakula rushwa 😂😂😂😂 nan wakutiwa kitanzi
@judy830-b5v
@judy830-b5v 2 ай бұрын
Sijawahi kuona kitu kama hiki tangu kuzaliwa. Ee MUNGU I rehemu nchi yangu.😢
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 ай бұрын
Poleni sana watanzania
@czarelija6114
@czarelija6114 2 ай бұрын
Mmmh mnatuandaa kuingia mtaani
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Hili bunge inafaa watanzania tulichome moto,hili ni bunge la hovyo mno
@ChristopherChimala
@ChristopherChimala 3 ай бұрын
Hapo spika hatuna, hana uchungu na raslimali za Tanganyika, afu mibunge mingine imekaa kimyaaaa, looh !!!
@TeamKRX
@TeamKRX 2 ай бұрын
Kwani I watanzanua musiwacharukie hawa wanunge hewa wee I Kama Kenya mamba Kwa tamaa zao wanacheka tu mbwa hawa😤😬
@mukeshramji1537
@mukeshramji1537 19 күн бұрын
Hu uamuzi ugefanywa offisini SIYO MPAKA bungeni HUYO Mamba awindwe Au JAMANI hebu fanyeni KAZI vizuri SIYO KILA SIKU nilawama tuu Sisi WANANCHI tuelewe VIPI viongozi wapo Au
@amanikwayu2808
@amanikwayu2808 3 ай бұрын
wanyama hubadilika kimaumbile kuenanda na mda haswa kutokana na changamoto za mazingira, hivyo ukisema kushakuwa na mamba wenye urefu zaidi ya 16 .2 feet wameshawindwa hiyo hoja haina uzito, kwenye ikolojia na wildlife management and conservations science, na mara nyingi jinsi mda unavyoenda ndivyo maumbile yanapungua na kuwa madogo zaidi.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 ай бұрын
Uko sawa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 ай бұрын
Watanzania wakikutwa tu na nyama pori....jela inawahusu....leo mamba porini
@bernadethahalelimana3914
@bernadethahalelimana3914 19 күн бұрын
Jamani tuliaaaaa ni mtanzania kweli?,
@SalehAbuu-d6h
@SalehAbuu-d6h 2 ай бұрын
Uyu ni mtetez wa selikar au ni spika wa bunge
@husseinkuchi5510
@husseinkuchi5510 Ай бұрын
😂..... Yan apo mtu kashapitishiwa mrungura ......kama anataka mtu kuwinda mamba c angepelekwa kwengine
@Flaviosafari
@Flaviosafari 2 ай бұрын
Hamna bunge hapa.
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 3 ай бұрын
Sie ni mwabwege sana
@MrGoatAi
@MrGoatAi 2 ай бұрын
Bunge dhaifu
@msafiriomary893
@msafiriomary893 3 ай бұрын
Hampendagi ukweli sjui mpoje
@bakarininga4100
@bakarininga4100 3 ай бұрын
Hao wawindaji hawana waongozaji🚮🚮🚮
@chemli23
@chemli23 29 күн бұрын
Kwa Nini apewe kibali mmezoea kuwinda winda tuu.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 3 ай бұрын
Huyu speaker hatufai kabisa kuwa kiongoz zaidi ya dictator tu
@claudesimukoko1436
@claudesimukoko1436 3 ай бұрын
Mpina anaongea kitu cha maana sana alafu wengine wanaishia kucheka tu, na athabu yake ya kufukuzwa bungeni point kama izi zinachangia jama Hakiri nyingi saana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 ай бұрын
All Tanzania population stand help mpina by full force change Tanzania from dictotaship to civilian tools reject such move chadema odinary Tanzania people stand behind mpina protest so that give ccm who are inside palament cames with capacity of understand they right into Tanzania Palament wekerup chadema use your capacity wekerup tanzania population difend mpina even if the ccm mp because has been difend tanzania people
@josephjeremiah-x5v
@josephjeremiah-x5v 2 ай бұрын
Hakuna spika hapo
@blockchain1203
@blockchain1203 3 ай бұрын
Mpina Anahangaika sana anachokitafuta atakipata tu..Mzee wa Negativity tu anaweza akawa na hoja ila Timing yake Mbovu..! Anyway the end will justify 🚶🚶
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 3 ай бұрын
Acha chuki zako binafsi
@wakayakaya6
@wakayakaya6 3 ай бұрын
Hamna kitu yaani nashindwa kuelewa hakili hiz
@josephjeremiah-x5v
@josephjeremiah-x5v 2 ай бұрын
Sio spika huyu kaingia kwenye mfumo viva mpina ww wazil lopolopo nenda marekan kawinde bas
@BARAKAJOSEPH-j4u
@BARAKAJOSEPH-j4u 3 ай бұрын
Duh b😂😢
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 3 ай бұрын
Humo bungeni wangetoka wote tu coz mi naona kunamatahila tu humo ndani
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 3 ай бұрын
Wabunge wanatia aibu
@Faridkhalid-z3p
@Faridkhalid-z3p 3 ай бұрын
Watanzania ni maboya hakuna mfano majinga, si bdo mliwapeleka hawa bungeni wawakilishe, majinga milioni 65
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 3 ай бұрын
Walimuua wa Nini mamba angetumika kma sehemu ya utalii
@saeedally268
@saeedally268 3 ай бұрын
Tatizo nchi hii lipo kwa rais hana lolote ndo mambo kama haya yanatokeya tuna viongozi wa hovyo sana hawatufai naamini 2025 chadema watachukuwa wabunge wengi pumbavu zao hawa viongozi wa hovyo
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 3 ай бұрын
mpina tunakutegea
@japhetmasatu6149
@japhetmasatu6149 3 ай бұрын
Huyu kiti kikuu kinamfaa!
@JackiePaul-sd1jt
@JackiePaul-sd1jt 3 ай бұрын
Hilo ni bunge Haram na sio bunge tukufu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Jamaa ana akili sana huyu,ila hicho kispika kijinga mno
@wilsonmoses2761
@wilsonmoses2761 3 ай бұрын
Mambo ya ajabu kabisa
@Paulo-e4c
@Paulo-e4c 3 ай бұрын
Hii ni spika ya kiredio labda
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 3 ай бұрын
NILITAMANI HATA MIMI KUFANYA UTALII WA NDANI ILI NIKAMUONE MAMBA MKUBWA DUNIANI, R. I. P CROCODILE🐊🐊
@samsonnyihita3985
@samsonnyihita3985 3 ай бұрын
Ila hili taifa wakat mwingine uzalendo ni mdogo asante Sana mheshimiwa mpina kaka
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 3 ай бұрын
Hicho chama kimetekwa na mafisadi hawana uchungu na taifa hili.toka huko hata kwa usalama wako
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 ай бұрын
Mnateteana ujinga mamba angeingiza Pesa nyingi sana Kuliko pesa alio itoa Huyo jamaa hii NCH Ina viongozi wa hovyo kabisa
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 3 ай бұрын
hapo tumepigwa hila haya angekuwepo chuma msingeona mawindo hayo
@bazilmateru915
@bazilmateru915 3 ай бұрын
Kwa afrika mashariki watanzania tupo nyuma sana kujielewa na kufuatilia rasilimali zetu
@czarelija6114
@czarelija6114 2 ай бұрын
Hopeless kabisa dada yangu kutetea ubadhirifu
@chemli23
@chemli23 29 күн бұрын
WW spika haufai unatetea ujangili na spika nae yumo kwenye njama hizo.
@jumannechibaladya6223
@jumannechibaladya6223 Ай бұрын
Spika imetoboka haitoi sauti ipasavyo... Aisee
@AbdallahChingua
@AbdallahChingua 27 күн бұрын
hutu mind ni mzarendo kweli
@jumannechibaladya6223
@jumannechibaladya6223 Ай бұрын
Alafu unakuta mtu ananifukuza mim niliyebeba gunia la mkaaa aisee
@AshrafuJuma-l3l
@AshrafuJuma-l3l 28 күн бұрын
Bunge iri bovu cja wai kuona
@omarifadhili651
@omarifadhili651 2 ай бұрын
Bunge la kisenge kweli halifai hata kusikiliza
@MwemajaphetyZackalia
@MwemajaphetyZackalia 3 ай бұрын
Ivi jamani sisi Watu weusi nani ameturoga ivi hii nchi Kuna Watu kweli Wana ubongo na wakikaa wanafikilia kabisa ivi kweli sisi kweli tana akili pore Mungu anajuta kweli kutuhumba poreni Watu wenye ngozi nyeusi
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 2 ай бұрын
Hili bunge kweli la ccmu😂 yaani badala muangalie mawala ya uchumi wetu mnawaza mamba, huu ni ufala
@ntegrity277
@ntegrity277 3 ай бұрын
Huyo jamaa kwanini awinde huyo mwamba wa kipekee sasa mmebaki na kenge watumie sasa Kwa utalii
@HamzaGaudence
@HamzaGaudence 3 ай бұрын
😂😂😂 saloot sana
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 3 ай бұрын
Mh.Mpina anatoa hoja ya haibu kwa mtu anaesifiwa kua mtalamu
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 ай бұрын
Uyu mpina ni chama gani ni chadema au maana ana oja za msingi sana
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 3 ай бұрын
Spika kunamda anakua sawa kunamda anapinda pinda
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 3 ай бұрын
Hii nchi bhana
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 3 ай бұрын
Kenya, the worst Africana country in politics, human-rights , discipline, disrespect for God ect...
@MrGoatAi
@MrGoatAi 2 ай бұрын
Amna uzalendo hapo like serious mnajibu hivi
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Hapo kazi ipo shughuli ni moja tukicheza lafu huku tukishangiliwa na wakuu
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 3 ай бұрын
Kwani huyu SPOKU ANASHIDA GANI😂😂😂
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 3 ай бұрын
aliyemwoa huyu spika analo, anajua kupindisha mada
@michaelnsingija
@michaelnsingija 3 ай бұрын
angekuwa mubongo angekuwa jera
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 3 ай бұрын
Hata waziri anaona aibu,hawa watu hawana uchungu na taifa hili.wanajali masrahi binafsi
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje 3 ай бұрын
Nchi hii ishakua ya kifara na Inaboa kinoma yani .Wanaangalia Matumbo yao tyu .
@cosein
@cosein 3 ай бұрын
Ningekuwa na mamlaka ningemtumbua spika
@hekimamtazamo4151
@hekimamtazamo4151 3 ай бұрын
Hatuna spika in hatuna wazalendo kabisa kwa taifa hili
@jiddahmaulidi3572
@jiddahmaulidi3572 3 ай бұрын
Haya huyo mamba wamemzika
@ChachaChacha-ne6yf
@ChachaChacha-ne6yf 3 ай бұрын
Uyo waziri sijawai kumwerewa
@marcomayalla5138
@marcomayalla5138 3 ай бұрын
Hiii sio Tanzania hawajari kabisa achainyesheeeee
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 3 ай бұрын
Sasa kwan tuna bunge 😅😅😅😅😅
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 3 ай бұрын
Duuu!!!!!!, kazi kweli kweli
@robertmoshi2113
@robertmoshi2113 3 ай бұрын
mh spika 😢
@romanambelle6356
@romanambelle6356 3 ай бұрын
Ila tulia khaa😮
@hosseasimon3887
@hosseasimon3887 3 ай бұрын
Na wanachaka wanaona hana maana!!😢😢😢
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 66 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 2,9 МЛН
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,3 МЛН