MWAMAKULA AMVAA IGP "SIJAWAHI KUONA/ALITAFUTA SABABU YA KUWAKAMATA TU SIOGOPI KUKAMATWA"

  Рет қаралды 57,888

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

11 ай бұрын

MWAMAKULA AMVAA IGP "SIJAWAHI KUONA/ALITAFUTA SABABU YA KUWAKAMATA TU SIOGOPI KUKAMATWA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Пікірлер: 176
@routesale2577
@routesale2577 11 ай бұрын
Wewee Muongo Nyerere Alijiunga Na Chama Cha Taa Viongozi Wote Walikuwa Waisilamu Hakuna Mwanachama Mkristo Hata Mmoja Mlikua Hamtaki Uhuru
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 11 ай бұрын
Askofu mwamakula mungu akubariki una hekima na busara ya hali ya huu sana akili kubwa hiyoooo
@maryombenilyimo4325
@maryombenilyimo4325 11 ай бұрын
Baba askofu Mungu akutetee na kukupigania,akupe maisha marefu.umesema kwa hekima
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 11 ай бұрын
Asante sana Kelivin. Nyie ndo ma heros wa Tz mnatuletea habari zote. Achaneni na Wasafi chawa wa mama
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 11 ай бұрын
Baba Askofu Mungu akubariki,na akulinde na adui, unapoisimamia haki ya Mungu aliyekutuma. Wataifahamu kweli,na hiyo kweli itawaweka huru. Wananchi wote sio ccm wapo wa vyama na wasio na chama lakini wote ni wananchi na serikali ni ya wananchi tuliowapa dhamana, sio ya ccm!. Waliogawanyika katika kuisimamia haki ya Mungu hawana wito!
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 11 ай бұрын
Ww ni mwanasiasa au mtumishi wa mungu, vua hilo vazi ingia kwenye siasa
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 ай бұрын
Hongera sana Askofu MUNGU Akupe Afya njema
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 11 ай бұрын
Njaa mbayaaa mchungajiii!
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 11 ай бұрын
Askofu Mungu akubariki sana tatizo kubwa ni la kimfumo mfumo wetu wa kisiasa ni mbovu ukiwa na siasa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu katiba yetu ni mbovu ndiyo inayowabeba CCM tuombe Mungu aushushe utawala wai maana wame
@ChristerShao
@ChristerShao 11 ай бұрын
IGP bila shaka utatutangazia sababu kwa nini ulisema Dr Slaa,Mwambukusi na Mudude ni waHaini na sasa imekuwa tofauti.Tuweke vizuri.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
mungu hukutumia askofu mwamakula wewe ni zaidi ya mashekh wote tz
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 11 ай бұрын
Askofu Mungu akulinde baba❤❤
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 11 ай бұрын
Hakuna hata siku moja,ambapo uvccm iliwahi kuomba popote kufanya maandamano.achilia mbali kukubaliwa/kukataliwa. Ile geresha ya maombi ya juz,ililkuwa ni mock scene;ili wengine wakitoa taarifa ya kuandamana, wakatae kwa kisingizio kwamba hata uvccm ilikataliwa. (2) maadam maandamano tZ ni halali haijalishi maandamano yatakuwa na mawanda gani>>iwe ya mkoa mmoja au mikoa yote
@bonabonala5559
@bonabonala5559 9 ай бұрын
kina gwajima wakajiunga hadi kwenda ccm na kujisariti mwenyewe ha kwa mungu gwajima kamsariti mungu mungine mzee wa upako kamsariti mungu kuunga bandari kuuzwaa
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 10 ай бұрын
Ninyi mnaosema ati askofu ache akaekanisani. Sisi wakristo tulimwasi Mungu kutaka wafalme. Wafalme raisi anakuwa kama raisi. Samuel alikuwa kuhani sawa na mchungaji. Lakini waisrael waliomba kuwa pamoja na kuwa Samuel kama kuhani alikuwa anafanya mashauri yote yaliyokuwa yanaitaji kutatuliwa. Lakini walipotaka mfalme. Mungu hakufurahishwa na tendo la kutaka mfalme. Mungu akasema huyo mfalme anaweza kuuza watoto wenu. Lakini Mungu aliruhusu waisrael kupata mfalme lakini Mungu alimwambia Samuel hakukutaa wewe bali wamenikataa Mimi ( Mungu). Kwahiyo wafalme walipokuwa wanashindwa walirudi kumwona Samuel kuhani ili awape ushauri. Kwahiyo kwa Mwamakula ni sawa na anafanya kazi ya Mungu. Na Mungu ni mwenye haki nani atetee haki kama siyo Askofu? Na nikazi ya Mungu!
@khatibabass3106
@khatibabass3106 11 ай бұрын
Angekua shekhe anapinga serekali km huyu mbuzi huyu angeitwa gaidi lkn nikafiri kimyaaaa
@Ambwene
@Ambwene 11 ай бұрын
Mashekhe si manguruwe tuu ni mambwa tuu kwenye hii nchi mamamae zao hawana faida mashetani wale
@DSRGWLMWZ
@DSRGWLMWZ 11 ай бұрын
Wewe ni msenge kabsa mbwaa unakazwa na sigala
@peterleonard1441
@peterleonard1441 11 ай бұрын
Huyu Askofu nimependezwa naye sana. Mungu amlinde kama mboni ya jicho lake.
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 11 ай бұрын
Well talk ❤❤❤
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 11 ай бұрын
Hivi wakati mwingine huwa tunasikia Kuna watumishi wa Mungu wanaojiita manabii wa Mungu je,Kama kweli Mungu anawatumia hajasema chochote juu ya Mambo haya???
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 11 ай бұрын
Sasa kama mungu hajasemanaye kuhusu jambo fulani ajitokeze na kueopoka tu etiee!
@missarepafra3973
@missarepafra3973 11 ай бұрын
Swali hili linaulizwa na wengi. Lakini kama posho imeenda na wakapokea ujasiri wa kusema yote Mungu aliyoonesha si rahisi. Kukaa ktk wito ni gharama kubwa na kujikana ni neema. Shina la mabaya ni mtu kupenda pesa pia rushwa hupofusha! Hayo ni maandiko ya MUNGU!.
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 11 ай бұрын
HAWA NDIO VIONGOZI WA DINI WENYE AKILI NA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU,KUNA VIONGOZI WENGINE WA DINI WAMEJEUKA KUWA CHAWA WA KUPONGEZA HATA JAMBO BAYA.
@cheekszebedayo9340
@cheekszebedayo9340 11 ай бұрын
😢hatutaki huo mkataba hututakiiiiiiiiiiiiiiiii...
@bonabonala5559
@bonabonala5559 6 ай бұрын
tumuokoe mkristo mwenzetu mbalikiwa
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 11 ай бұрын
Gazeti lako litashtakiwa na Kikwete na Kinana kwa kuandika habari za Uongo
@olwinmbangwa2056
@olwinmbangwa2056 11 ай бұрын
Great 👍
@paulkambonya8001
@paulkambonya8001 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mungu akulinde
@mustafamanziliyonjo1402
@mustafamanziliyonjo1402 11 ай бұрын
Hata mkataba was kanisa katoriki na serkari ya watanzania wananchi wengi hawataki wewe askofugani usiependa haki alafu unahubiri neno lamungu utakuja kuhumiwa namungu wagon humwogopi aliekuumba
@taaonlinetv1820
@taaonlinetv1820 11 ай бұрын
Acha udini kenge wewe
@edwinemrod3933
@edwinemrod3933 11 ай бұрын
Askofu huyu atabaki kukumbukwa milele. Amenikumbusha Bishop DESMOND TUTU WA SA
@richardcharles9156
@richardcharles9156 11 ай бұрын
Hongera sana baba Askofu
@irenetesha1339
@irenetesha1339 11 ай бұрын
Tuzidi kuwaombea wakuu wetu Wa dini wapewe ujasiri mkubwa Wa kupambana na utume wao waliopewa na Mungu cha kuongoza wanakondoo tuvuke salama
@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 11 ай бұрын
Uvccm hawakusema watachoma moto vituo vya polisi au ofisi za ccm yaani ww askofu ni pumbu kabisa
@saidmabanga388
@saidmabanga388 11 ай бұрын
Nilikuwa nakuchukia sana ila for now nmkuerewa kiongozii
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana askofu
@AdventJulius
@AdventJulius 7 ай бұрын
Safi nimependa
@saadallah6287
@saadallah6287 11 ай бұрын
Awa maaskofu wa mchongo anaongea pumba tu ndiyo wachochezi wenyewe
@justinesima2221
@justinesima2221 11 ай бұрын
God bless you 🙏
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 11 ай бұрын
Hongera sana mwandishi
@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 11 ай бұрын
Ww askofu uchwara unachoona ni dosari wote tumesoma hukumu acha kudanganya enzi za kanisa kutoa maelekezo kwa serikali zimeisha kwanza samiha akate zile ruzuku mtatembeza bakuli mnapendeza kwa hela za ruzuku ambazo ni kodi zetu bora unyamaze tu
@estambuya3901
@estambuya3901 11 ай бұрын
Acha upumbavu wewe utalaaniwa.
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 11 ай бұрын
Nyie maaskofu msituletee udini hii yote tatizo wanaochukua ni waarabu na waislam ndio tatizo usizunguke sana msiwaongopee watu
@jerybrown
@jerybrown 11 ай бұрын
Hujitambui inaelekea kwenunu walipatashida sana kukulea ata darasani ulikuwa nashida kubwa ndomaana unacomment ujinga tipu
@zabibumgina2222
@zabibumgina2222 11 ай бұрын
Na aliongea akiwa amevua joho ww unafikili mwabukusi chizi jinga ww
@drallan6879
@drallan6879 11 ай бұрын
we like you mwanakula a man of God
@zabibumgina2222
@zabibumgina2222 11 ай бұрын
Hunaakili wewe mtangazaji kunaulazima kwasababu na yeye ni mtanzania ww vip babu
@user-sv9ib3np4d
@user-sv9ib3np4d 11 ай бұрын
Mwambukusi,dude na silaa,wanakatwa vichwa kama mtume yohana baada ya kumwambia herode kuwa amefanya makosa kumwoa mke wa ndugu yake,wapo wengi wangesema ila wanaogopa kukatwa vichwa,maana yupo herode na herodia
@mwenem8130
@mwenem8130 11 ай бұрын
Safi sana Askofu Mwamakula, God Bless.
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 11 ай бұрын
unauliza utopolo hii serikali haitii sheria pumbavu kazi kutesa tu.Askofu Mungu akubaliki
@alkadonkundwe
@alkadonkundwe 11 ай бұрын
Wakristu ndio wenye nchi
@user-hu1ev9pt8q
@user-hu1ev9pt8q 11 ай бұрын
Mama sikiliza haya, mungu yupo labda tuone uko mbele❤❤
@abelmghana2843
@abelmghana2843 11 ай бұрын
Mungu saidia taifa la tanzania watu wako hatarini kwa kukosa mahalifa uongo wanaamini kuliko ukweli mungu tusaidie amina
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 11 ай бұрын
Tatizo ni warabu lau wangekuwa wazungu usingesikia upumbavu huu unaousikia hapa
@ngoni7944
@ngoni7944 11 ай бұрын
Soma mkataba vizuri utaelewa kuwa hauna manufaa kwa watanganyika
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 11 ай бұрын
Wana lipi la ajabu wakawa tatizo
@ntwasalath7656
@ntwasalath7656 11 ай бұрын
Police wakamate youth ccm waunganishe na mwabukusi kwenye kesi ya uhaini kama kweli mandamano humu nchini humu ni uhaini
@rashidissa5794
@rashidissa5794 11 ай бұрын
Raisi Samia Mungu Akulinde, Akuhifadhi, akuongoze, akuimarishe na akuepushe na Shari na vitimbi vya kila asiyeitakia taifa letu kheri na Amani. Utayashinda majaribu kwa nguvu ya Mungu. Kwanini kanisa lishikie bango issue ya bandari?
@corneliusgoodluckkivuyo666
@corneliusgoodluckkivuyo666 11 ай бұрын
Kweliii kabisaa HEKIMA na BUSARA inahitajika sana kwa hawa wanao ongoza nchi yetu nzuri ya Tanzania 🇹🇿
@user-ub1yx5vc8b
@user-ub1yx5vc8b 11 ай бұрын
Kassim kingu tambua watu wa dini hushughulika na watu wale wale wanaoshughulikiwa na wanasiasa au serikali. Jua hilo ndugu.
@PienciaFrancis-xi6mi
@PienciaFrancis-xi6mi 11 ай бұрын
Acha wafungwe wanatuchanganya
@innocentmleli1196
@innocentmleli1196 11 ай бұрын
Haswaa!
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 11 ай бұрын
Sasa waarabu wako kwao serekali inaanza kupigana na wasio na hatia ee Mungu simama na watumishi wako mimi sipendi mambo ya siasa ila inauma 🥲😭😭
@mohamedkashindi2192
@mohamedkashindi2192 11 ай бұрын
Kweli wewe nitunu ya taifa ili yafaa tukuunge mkono
@rashidmtengule3681
@rashidmtengule3681 11 ай бұрын
wewe askofu kama unataka siasa acha kanisa ushindanena serikari
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 11 ай бұрын
Hapa huyu mchungaji ajibu maswali ana leta siasa ni mchochezi. Kilicho pelekea kukamatwa kwa hawa ni kutangaza maandamano yasio na mwisho. Msifikiri sisi atufwatilii na atuwezi kufwata mataka yenu wewe mchungaji unajulikana kwa kuwa msitari wa mbele na maswala ya kupinga serikali sasa tuta fika mwisho tunaomba utulie tuachiye mahakama itaamua kama ni waaini au sio
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 11 ай бұрын
Katiba imeruhusu maandamano ya siku ngapi?
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 ай бұрын
mungu humtumia askofu huyu mwamakula wengine viongozi wadini hawamtumiki mungu hutumikia pesa kama kina gwajima mzee wa upako mwamakula kama mzee wa efatha mwenye bank ya efatha
@niazonbukoke1964
@niazonbukoke1964 11 ай бұрын
Viongozi wakubwa wa dini mbona mmeufyata kama kwel mnahubiri aman na mshikamano??? Kama mnaogopa kusemea mtaani hata makanisani napo mnashindwa... Acheni woga na kujifanya mpo upande Mungu... Zungunzeni tumieni karama hiyo kuzungumza la sivyo tutakua hatuna iman na nyie
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Wapo kimaslahi wanafiki
@ntwasalath7656
@ntwasalath7656 11 ай бұрын
Serikali haitaki kujifunza yanayotokea handeni kati ya wamasai na wananchi wa handeni ambao wameporwa maeneo yao
@user-sv9ib3np4d
@user-sv9ib3np4d 11 ай бұрын
Baba askofu mungu akujalie kwa ushujaa wako wa kutetea kondoo wa mungu
@JamesJasson-dg8lf
@JamesJasson-dg8lf 11 ай бұрын
Axante kwa kutusemea baba askofu ,mungu azidi kukulinda.
@vedastusejengi1169
@vedastusejengi1169 10 ай бұрын
Wachungaji wengi mmejificha kanisan kumbe ni wanasiasa acheni uchungaji
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 11 ай бұрын
Mwamakula, ni chedema ,ni msera kama kilisu,apingwe na kuzomewa,popote pare aendako, anatumika na mabeberu,atatugarimu kama rwanda
@user-zb5qz6fk1v
@user-zb5qz6fk1v 11 ай бұрын
Waandishi wa habari viraza na ni wanafiki sana pia ni watu wa hovyo
@roserichard4158
@roserichard4158 11 ай бұрын
Kilaza ww
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Kupindua serekali kwani yy anajeshi au kakutwa na kitu
@mustafamanziliyonjo1402
@mustafamanziliyonjo1402 11 ай бұрын
Asikofu unaposema wananchi wanapinga mkataba ujuwe pia wananchi tunaukubali mkataba nchi hii SI yawapinga mkataba tuu hata tunaukubali pia nasisi niwana nchi nawewe unanyima haki za watanzania wengine tafakari lugha urimi
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 11 ай бұрын
We unaudini
@alkadonkundwe
@alkadonkundwe 11 ай бұрын
Ukristu ndio uko hapo
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo 11 ай бұрын
Serikali yetu ya ajabu sana yaani mh
@mustafamanziliyonjo1402
@mustafamanziliyonjo1402 11 ай бұрын
Acha kusema uongo huijui haki wewe nikiongozi mnafiq hii nchi SI ya wewe TU
@routesale2577
@routesale2577 11 ай бұрын
WAKAT WA UTAWALA WA KIKWETE MAASKOFU WA KTOLIKI MLITOA WARAKA LEO SAMIA MNAUNGANA KUMKATAA SAMIA NYINYI NI UDINI TU NGOJENI UCHAGUZI MUCHAGUE MKRISTO MWENZENU
@mohammedsimba4554
@mohammedsimba4554 11 ай бұрын
Tumuogope mungu jamani na tutumie akili kupambanua haya mambo. Itoshe kusema tumuogope mungu
@PienciaFrancis-xi6mi
@PienciaFrancis-xi6mi 11 ай бұрын
Tunaunga mkono mkataba,labda wewe askofu hewa
@MAONYOTVTANZANIA
@MAONYOTVTANZANIA 11 ай бұрын
Umesahau jpm aliwakataa wazungu wa kanada na wachina , hao Ni waarabu wewe mdini vipi ?
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 11 ай бұрын
Uaskofu, uanaharakati, Siasa, Uchambuzi??????? Hivyo vyote ni vyako Mwamakula? Kama ndo hivyo basi tumekwishaaaaaaa!
@oyay2821
@oyay2821 11 ай бұрын
Uuzaji wa bandari umewalipa pesa za kutosha na kuwanulilia nyumba za kifahari kule Dubai. Hayo yote wana jitaarisha kwa kura za 2025 ikiwa wata shindwa watakimbilia uhamishoni Dubai
@danielchacha1305
@danielchacha1305 11 ай бұрын
Kuwa kiongozi wa dini inamaanisha kuwa wao ni jicho la Mungu kuonyesha namna ambavyo watu wanapaswa kutawala.
@allymohamed2724
@allymohamed2724 11 ай бұрын
MASHEIKH WANGEKUWA WOTE MAGEREZA. KIONGOZI WA KUMWASI MUNGU HAWA SIO WA DINI.
@ntwasalath7656
@ntwasalath7656 11 ай бұрын
Unasema kweli asikofu tumeonewa Sana watanganyika wa Hali ya chini hautusadii chochote mkataba huo
@barikielipaulo934
@barikielipaulo934 11 ай бұрын
Waandishi punguzeni unafiki!
@moriscollins4494
@moriscollins4494 11 ай бұрын
Juzi walipigwa kuke ngorongoro ila bado kuna shida mahali
@muhidinally3753
@muhidinally3753 11 ай бұрын
Askofu unapimaje CCM kupoteza legitimacy yake??? Kuna watu kama mlivyo wewe na wenzako wenye akili ya matikiti maji.
@joisejimmy750
@joisejimmy750 11 ай бұрын
Mwiguru alitutukana watanzania tukishinda kutoa tozo tuondoke tukaishi burundi serikali mbona hawakumkamata mpaka leo anaongoza nch
@NsiaMwanga-nd6nh
@NsiaMwanga-nd6nh 11 ай бұрын
Mungu in mchungaji weetuuuu usituache we bwana.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 11 ай бұрын
Tunawasikiliza ila mnapo mtaja JPM kwa ubaya ndio tunawaacha hapo hapo. Hata hilo tatizo la bandari enzi za JPM lisingetokea. Wasio na vyama wapo wengi na asilimia 90 wafuasi wa JPM.
@stevendominic1844
@stevendominic1844 11 ай бұрын
Rest in Peace JPM
@emmanuelmwambogolo6319
@emmanuelmwambogolo6319 11 ай бұрын
Ukwel
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 11 ай бұрын
Wakwanza ww hichi unachokiongea ni upumbavu mtupu
@pungopungo411
@pungopungo411 11 ай бұрын
Eti mwabukusi amevunja sheria akiwa kwenye joho. Na yule sika anaropoka wakati kavaa joho la dhahabu .polisi wanaua watu wakiwa ndani ya majoho. Raisi anakanyaga ratiba akiwa ndani ya uraisi. Kwahio mliona joho la Mwabukusi tu?mbona mimi naona hiyo nchi iko nyaganyaga hanna sheria inayofyatwa
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
👏🏻
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 11 ай бұрын
Mbona mbowe yupo kimya
@jiddawyhazaa5447
@jiddawyhazaa5447 11 ай бұрын
Hutu mchungaji anatetea mfumo christo hafai hajawa mkweli
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 11 ай бұрын
Mfumo kristo maana yake nini?
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Alivua Joho naomba tafadhali Ndugu Muhandishi naomba utafute ile Clip ili upate ushahidi kwa ajili ya hilo swali
@vedastusejengi1169
@vedastusejengi1169 10 ай бұрын
P
@Bikhafija
@Bikhafija 11 ай бұрын
Alivua joo anapo zunguma
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
@NgambilabalinziBaliguluk-os3ln 11 ай бұрын
Huyo mwandishi ametumwa
@danielchacha1305
@danielchacha1305 11 ай бұрын
Samia hakuchaguliwa na wananchi yupo kwa ajili ya matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Lakini wao wanavunja Katiba hii ambayo ndiyo iliyomweka Samia madarakani
@leokamil6284
@leokamil6284 11 ай бұрын
Upande mwengine sitaki kumlaumu maana kawekwa na mfumo wa chama chake nadhani kuna kundi lenye maelekezo kwake.Mungu Ibariki Tanzania
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k 11 ай бұрын
Mbona nasikia mutaruhusiwa kupitisha mizigo yenu kama kawaida muna wasiwasi tu jamani
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 11 ай бұрын
Akili ya punda inakutesa
@mohamedkashindi2192
@mohamedkashindi2192 11 ай бұрын
Mbona mbowe yupo kimya sana hatowi tamko kwa ajili ya waliokamatwa?
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 11 ай бұрын
Hapo alipo mavi ya mtoka
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 11 ай бұрын
Yule Huwa ni mnafiki sana ndio maana Dr slaa alimtoroka
@hajiameir8688
@hajiameir8688 11 ай бұрын
Wewe kafiri mkubwa na wewe unaakili?huna ishu na ukifa kabla hujasilimu cha Moto utaenda kukiona jisifu Tu hapo na Alana yako hiyo ya msalaba. Hujui Haki usidanganye watu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 11 ай бұрын
Ubaguzi ndio unawasumbua hamna lolote hapo.
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 11 ай бұрын
Mbona unakwepa kutaja sababu ya kukamatwa Kwao Baba askofu vipi bwana wale wamekamatwa kwa maneno yao
@taaonlinetv1820
@taaonlinetv1820 11 ай бұрын
Maneno gan?
@alkadonkundwe
@alkadonkundwe 11 ай бұрын
Hauungwi mkono Na wakristu,angalia hata komenti tu zinaongea
@issotv1736
@issotv1736 11 ай бұрын
Alita John la uwakili
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 11 ай бұрын
Askofu wa michongo
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo 11 ай бұрын
Mimi nashangashaa jeshi la polisi kusema kina Mwabukusi walitaka kupindua nchi,je nchi inaweza kupinduliwa na watu 4 au 10 na je wanasheria wanaweza kuipindua nchi? Je nchi inaweza kupinduliwa na watu wa kawaida ? Serikali yetu iache uwoga wa kuogopa kukosolewa manake huu ni uwoga wa serikali ndio maana inatumia jeshi la polisi vibaya kuwanyanyasa wanasiasa na wanasheria ,wao wanataka kila kitu kikubaliwe tu ,wizi wote uungwe mkono na watu
@muhidinally3753
@muhidinally3753 11 ай бұрын
Kwani wewe mchungaji una umri gani?? Hujui kama huko nyuma kulikuwa na kesi ya uhaini ambapo akina Lugakingira walitaka kupindua serikali???
@missarepafra3973
@missarepafra3973 11 ай бұрын
Wakifika mahakamani tutajua undani yawezekana hatujui siri iliyo sirini. Binadamu kumdhamini kwa unavyomfahamu ishia asilimia kadhaa usimalize zote. Umdhaniae ndie kumbe sie.
@missarepafra3973
@missarepafra3973 11 ай бұрын
@@muhidinally3753 walitangaza kwenye jukwaa au ilikuwa chinichini wakagundulika kupitia vikao vyao vya siri walivyokaa maeneo mbalimbali?! Tinasubiri kundi kubwa la askari walioko nyuma yao haowaliokamatwa maana bila kada hiyo kuhusika utapinduaje nchi?
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 ай бұрын
kwamwendo huu mh samia atakufa mapema kama jpm akifikiri kua Rais ni mungu mtu kuwa sumbua wazarendo wakati mh samia sio mzalendo kuuza bandari za bara na kuuacha zakwao zanzibar bora mungano ufe tudai tanganyika yetu
@w4058
@w4058 11 ай бұрын
Hasbunallah Waniimal Wakiil utakufa wewe mwanzo Hasbunallah Waniimal Wakiil
@w4058
@w4058 11 ай бұрын
Waislam chungu nzima walikuwa mstari wa mbele kina Bi Titi Sykes Suleiman Takdir Sheikh Hassan bin Ameir Nyerere alikaribishwa kwa njama za Waingereza na huyo wa Ireland mwisho wakawafukuza Waislam Nyerere moto wa kufukuta chini kwa chini ns hate speech zake mnafiki mkubwa
ბაკურ გულუას ისტორია - “საქართველოს დაბადება”
3:25:21
საქართველოს დაბადება
Рет қаралды 1,1 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 926 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
ASKOFU MWAMAKULA AINGILIA KATI SAKATA LA UKODISHWAJI BANDARI
57:16
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:51:47
🔴LIVE:HAYA NDIO MAMBO TUSIYOYAJUA KUHUSU ZANZIBAR
37:36
RVS Online Tv
Рет қаралды 69 М.